🔴

  Рет қаралды 15,736

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер
@globaltv_online
@globaltv_online 20 сағат бұрын
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@bibiejuma5094
@bibiejuma5094 19 сағат бұрын
Mbona group la global limeandikiwa limefutwa
@mwanaakidaomar4663
@mwanaakidaomar4663 15 сағат бұрын
​@@bibiejuma5094hata kwangu imeandka hvyohvyo
@SaumuSarai-g5k
@SaumuSarai-g5k 14 сағат бұрын
Mbona hajibu Alivyo ulizwa uyoo
@ArRahman-ih1pi
@ArRahman-ih1pi 13 сағат бұрын
Hana lolote muongo t uyoo hadija kalipwa uyooo na Warabu​@@SaumuSarai-g5k
@Tedy-v3r
@Tedy-v3r 3 сағат бұрын
Mbona group halipo
@makkawi4294
@makkawi4294 13 сағат бұрын
Pole kwa team strong wote na family 🥹🥹🥹
@salmaabdallah9598
@salmaabdallah9598 21 сағат бұрын
Innalilahi wainnailai rajiun.mungu ailaze roho yake mahala pema 👏
@LatifaLatifa-d1w
@LatifaLatifa-d1w 16 сағат бұрын
Amen
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 21 сағат бұрын
Zari tunajivunia uwepo wako.❤❤❤❤
@Songeagirl1
@Songeagirl1 18 сағат бұрын
Khadija khadija😢 haya basi sauwah🙌🙌 Mungu ampe kauri thabiti dada mwana
@Jesca-yn4cf
@Jesca-yn4cf 20 сағат бұрын
Jamani ukweli anaujua marehem na waliokuwa wanaish naye mengine tumwachie Allah 😭😭 inauma sana
@Husnasalim-f2g
@Husnasalim-f2g 15 сағат бұрын
Kabisa ikitokea tafalan wasichan uongea tofaut km nakuongopea pita mitandaon
@MonicaMkombwe
@MonicaMkombwe 13 сағат бұрын
Alafu Bado wapo Oman kama Oman ni pabaya siwarudi makwao watuache tunao uona uzuri wawaaarabu​@@Husnasalim-f2g
@TausiEme
@TausiEme 21 сағат бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉mimi nakupenda sana dada uendelee kusimamia haswa tulioko nje na wasiokuwa nje
@FatumaJuma-b2g
@FatumaJuma-b2g 20 сағат бұрын
Kulluthumu kanyoooka Allah dhiilisha ili 🤲
@husnahassan2514
@husnahassan2514 20 сағат бұрын
Mwana mwana duh umeniuma allh akupe kaul thabit naamin watt wako allh atawasimamia😢😢😢
@aaminaasljbgbvf745
@aaminaasljbgbvf745 13 сағат бұрын
Ni mwanavua yupi mbona sijamjuwa mwenzenu😭😭😭😭😭
@JahedaSalmin
@JahedaSalmin 19 сағат бұрын
Jamani nimeumia sana mungu amlaze mahala pema peponi 😢😢
@DxbYae
@DxbYae 20 сағат бұрын
Kila hatua dua wapambanaji wote tupo kwenye maombi juu ya ndugu yetu ....na haki hitendekee wallah 😢😢inauma sn kifochake kinauma sn
@MariammgateBagamoyo
@MariammgateBagamoyo 17 сағат бұрын
Kabisaa 😭😭
@LailatAbdullah-w9d
@LailatAbdullah-w9d 20 сағат бұрын
Mungu awabaliki sana grobo
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 20 сағат бұрын
Hilo xhimo mimi sikubaliani nalo 😢😢 kama kweli alitumbukia ilitakiwa kije kijiko kuchimbua maana warabu wakijenga eneo hapachimbiki Bila chewe. Wamemuua kabisa
@B.M-ix4rz
@B.M-ix4rz 18 сағат бұрын
Hakika sijawahi kuona chemba kubwa hivo huku Allah atusimamie hakika tuko Kwa kutafuta rizki
@sofiajumaa4538
@sofiajumaa4538 18 сағат бұрын
Sahihi waarabu. Hawakai na lishimo hivyo wanaliangalia maana watoto wao hawasikii waongo hao 😢😢
@AhmedNasser-hj6df
@AhmedNasser-hj6df 16 сағат бұрын
Jamani yapo mashimo ya Karo yazamani kuna watu wengine hawajayafukia .. mm kwangu nililifukia baada ya kutokea ajali kama hii kabla .. tuache fitna jamani
@zidadumbepo1486
@zidadumbepo1486 15 сағат бұрын
Huyu mdada Chawa tena mtz anasaliti ndugu zake
@MonaJuma-cp3jg
@MonaJuma-cp3jg 15 сағат бұрын
@@B.M-ix4rzwarabu hawachimbi choo kirefu km ss tz choo chao futi 5 tena pana km upama wachumba
@MonaJuma-cp3jg
@MonaJuma-cp3jg 15 сағат бұрын
Tunawasiwasi na khadija kupewa pesatu nawarabu aseme uongo khadija popote ulipo tutakutafuta tukunjinje mwezi waramadhani inshallah hatutaki uongo team shaghala wote
@ArRahman-ih1pi
@ArRahman-ih1pi 14 сағат бұрын
😂😂Wallah nacheka km mazuri achinjwe kweli😂
@khdj-x3w
@khdj-x3w 5 сағат бұрын
kabisa tumtafute tumchinje hafai kwa jamii hyu amesha kuwa mwarabu
@AzizaIssa-o9o
@AzizaIssa-o9o 3 сағат бұрын
Hadija acha hzo n kama umepatiwa pesa ili useme urongo hvyo mungu atakulaan pamoja na familia yako
@MaryamHAMISI-ei9fq
@MaryamHAMISI-ei9fq 15 сағат бұрын
Inalilah waililah rajiuni soteniwa Allah 🙏😢 Allah ampumzishe kwaamani tumeumia sana wapambanaji
@RedmiA3-g8w
@RedmiA3-g8w 19 сағат бұрын
Da zari tunajivinia uwepo wako ❤❤❤
@FatmaIddi-r3u
@FatmaIddi-r3u 21 сағат бұрын
Mwenyenzi mungu amuweke.mahali pema
@ZwainhOman
@ZwainhOman 18 сағат бұрын
Khadija atujakuelewa sio kijijini km mnavyo zania awa wote ni walewale😢😢😢😢😢😢
@halimamsafiri288
@halimamsafiri288 16 сағат бұрын
Kaaagizwa na Hao Hao 😢😢😢
@SalehomariIbrahim
@SalehomariIbrahim 15 сағат бұрын
Kanunuliwa uui
@MonicaMkombwe
@MonicaMkombwe 13 сағат бұрын
​@@halimamsafiri288mpuuzi tu huyo ndg yake alijifanya anaujua umalaya mpk kupata mimba alitegemea Kwa baba ake au mama ake hapa si atulie kama tulivyo tulia wenzake
@Niabebewamor413
@Niabebewamor413 6 сағат бұрын
Kumbe hata wewe hujamuelewa kaongea Pumba tu mxuuuuuuuuuuuuu
@MonicaMkombwe
@MonicaMkombwe 3 сағат бұрын
@Niabebewamor413 yaani mihemuko ya kipuuzi tu
@نجاةالعبري
@نجاةالعبري 19 сағат бұрын
Inalilah wainalilah rajiuun pumzk kwa aman team strong mwenzetu 😭😭! Mwaka kwa team strong tume uwanza vibaya hak ya mungu
@ArRahman-ih1pi
@ArRahman-ih1pi 14 сағат бұрын
Mungu yupo na haki ya mtu haipoteii,
@B.M-ix4rz
@B.M-ix4rz 18 сағат бұрын
Khadija mungu anakuona ila Allah ndo anajua hili
@ashrapherzain_mnyika4574
@ashrapherzain_mnyika4574 19 сағат бұрын
imeniuma sana Kwa hili tyukio sisi tunaemjuwa km rfk yetu, daaaaah Mwana umeondoka mapema sana😢😢💔💔💔🖤
@ZainabLol-wx7xf
@ZainabLol-wx7xf 16 сағат бұрын
YAANI NAUMIA SANA😢
@Ashurarajabu-z4i
@Ashurarajabu-z4i 15 сағат бұрын
Sana yan😢😢 nikiona watoto wake jamani​@@ZainabLol-wx7xf
@FatmaMusaifa
@FatmaMusaifa 18 сағат бұрын
Inalillah waina ilahirajiuna 😭😭😭 inauma sana Allah atusimamie ss tuliokua mbali nafamilia ila dah
@KuruthumYusuph-u9b
@KuruthumYusuph-u9b 6 минут бұрын
Jamani poleni sana wanafamilia
@OmanOman-v2g
@OmanOman-v2g 16 сағат бұрын
Mungu akueke dar zari nakupenda mnoo❤❤❤❤
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 14 сағат бұрын
Khadija unasema kweli kabisa ispokuwa watanzania tuko wabishi
@AisharajabuMwaliko
@AisharajabuMwaliko Сағат бұрын
Mungu hampe kauli dhabiti
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 20 сағат бұрын
Innalilah waina ilayh rajiun polen sana kwa familia
@Zuuh107
@Zuuh107 3 сағат бұрын
Jaman polen sana wana family
@Mtitisur
@Mtitisur 17 сағат бұрын
We khadija mungu anakuona acha kutetea Waarabu
@OmanNuzwa-c3e
@OmanNuzwa-c3e 17 сағат бұрын
Sima wana zao
@OmanNuzwa-c3e
@OmanNuzwa-c3e 17 сағат бұрын
Wanawakataa ndugu zao
@TausiEme
@TausiEme 16 сағат бұрын
@@Mtitisur haswa bila hay et magrop wanapataga stor
@ZainabLol-wx7xf
@ZainabLol-wx7xf 16 сағат бұрын
Anaongea ovyo tu😢
@Mtitisur
@Mtitisur 15 сағат бұрын
@@ZainabLol-wx7xf kaniuzi kisa yeye katoka kwenye ukadama kaolewa na hao waarabu anajifanya amesahau madhila ya hawa watu 😏😏
@hamisaally968
@hamisaally968 20 сағат бұрын
Swala kama ili unatakiwa usiwe upande wowote kama wewe khadija maana vyote uweza kutokea ukimuangalia uyo dada na mwili huo MashaaAllah wa kuingia kwenye shimo na wakamtoa wenyewe bila msaada wa waokoajiii
@TausiEme
@TausiEme 20 сағат бұрын
@@hamisaally968 mwambie huyo maan haelewekii
@FatumaMamlo-st8pj
@FatumaMamlo-st8pj 19 сағат бұрын
Mdada muongo huyu yachimbwe kabisa wakati anazikwa mwanao au fyoko liongo hili dada
@نجاةالعبري
@نجاةالعبري 19 сағат бұрын
Mungu mwenyew ndo ana jua hak ya mungu la mfilipinno atuja lisahau lime kuja lingine mungu atu simamie waja wake turud kwt salama 😭😭
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 18 сағат бұрын
Jamani nchi inaua watu kwanin mnaenda hiyo ndio nauliza kwani si nchi zpo tele
@TausiEme
@TausiEme 16 сағат бұрын
@@RitbayRitbay wewe upo nchi gani mbona sikuelewii mwenzangu
@Zuwenamchuzi
@Zuwenamchuzi Сағат бұрын
Kunastofahm hapo ila tumuschie mungu warabu wanamambo mengi sana😢😢
@SofiaSofia-d9j
@SofiaSofia-d9j 49 минут бұрын
Wamemuuwa2 wanao ishinawaarabu ndotunawajua vivuri wanaroho mbaya sana😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@Jenifajerad
@Jenifajerad 21 сағат бұрын
Ambaaa atujamuelewa huyu adija tujuane eti tz wana chimba olelaaa
@MiriamKhalid-z6o
@MiriamKhalid-z6o 19 сағат бұрын
Khadija ni mshenzi kashakuwa na maroho kama ya kwao
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 18 сағат бұрын
Kweli
@AhmedMohamed-so7db
@AhmedMohamed-so7db 2 сағат бұрын
Hata mm cmuelewi kbs kwanza maelezo yake hayaja nyooka kbs kwani ni nani
@Halimamurushid
@Halimamurushid 16 сағат бұрын
Ukisiki machawa wa waarab n uyu khadija
@sofiajumaa4538
@sofiajumaa4538 Сағат бұрын
Huyoo anajiita hadijaa msimuhoji tena jamani anatuumiza vichwa vyetu sie tunataka mwenzetu arudi tz 😭😭
@farajaSelubebe
@farajaSelubebe 17 сағат бұрын
Watanzania wenyewe wakiolewa Oman loho zawo zinabadilika zinakuwa kama wa Oman tu😢
@AishaRamadhan-r1u
@AishaRamadhan-r1u 20 сағат бұрын
Kweli hata hapa ninapo fanya kazi kunakisima usipo angalia vizuri mana unatumbulia nikweli vinakuwa nyuma ya nyumba
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 18 сағат бұрын
Watu hawajui wnaajua ni kusema uwarabu mbaya tu
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 15 сағат бұрын
Sasa utetezi upo wapi mnaegemea upandewawarabu
@ZainabLol-wx7xf
@ZainabLol-wx7xf 15 сағат бұрын
Mie nitachangia pesa za Uchunguzi😢
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 17 сағат бұрын
Huyo dada kauliwa kauliwa mungu atamuadhibu aliyefanya hivyo
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 15 сағат бұрын
Nenda kashtaki police
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 17 сағат бұрын
Mm nilikuwa nisha acha kusikiliza vipindi vya Zarina toka nione ana watetea hao warabu. Walienda Oman kupewa rushwa na warabu kurudi wakawa wana wasafia
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 16 сағат бұрын
Tatizo mnapenda kukandamiza nyinyi kwanyinyi
@ChausikuAli
@ChausikuAli 15 сағат бұрын
Inalilahi wainalilah rajighuun mola ampe khauli thabiti ndugu yetu mbele yake nyuma yetu ukweli wote anajua mwenyezimungu
@Maryam-n7u8q
@Maryam-n7u8q 21 сағат бұрын
Hadija katumwa huyo maana maelezo hayaeleweki
@MiriamKhalid-z6o
@MiriamKhalid-z6o 19 сағат бұрын
MWENYEZI MUNGU anamwona
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 18 сағат бұрын
Kma hujasoma skul kweli kufahamu ngumu
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 14 сағат бұрын
Tueleze wewe yanayoeleweka.
@AminaLibisa
@AminaLibisa 15 сағат бұрын
Uyu mdada amesha tekwa na waarabu kweli utumwa ukiendekeza unakua chizi😢😢
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 14 сағат бұрын
Na wewe naomba utuletee uhakika unaoujua. Ikiwa huyu mama unasema anadanganya haya weww sema ukweli.
@AminaLibisa
@AminaLibisa 4 сағат бұрын
Na wewe ndo wale wale huna jipya
@AminaLibisa
@AminaLibisa 4 сағат бұрын
Mmesha kuwa watumwa😏😏😏
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 16 сағат бұрын
Tatizo kumbe umeolewa oman kumbe
@ImaeImae-p3v
@ImaeImae-p3v 14 сағат бұрын
Ndo maana anatetea
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 14 сағат бұрын
We Khadija Khadija ongea kama unanyongwa shuhudia uongo una uzao na ww ipooo siku ukwelii utaongea nakama unatetea uongo uwe juuu ya uzao wako,
@OmaniSico-i8f
@OmaniSico-i8f 16 сағат бұрын
Asante sana dada dida Kwa maneno mazuri Maana kuwa wajinga walisema kuwa eti anamiba Ya boss wake
@Shadia544
@Shadia544 19 сағат бұрын
😢😢😢 Jamaniii poleni sana familiya ya mwanamvua jamaniii 😢😢😢😢
@Jamila-c7k
@Jamila-c7k 17 сағат бұрын
Unawatetea warabu wee Khadija ungetulia tu unapoteza muda hapo wapishe wengine waongee😢😢
@SajdaHussen
@SajdaHussen 17 сағат бұрын
Mimi amenikera anaeongea usenge hadija
@RabaiyaA
@RabaiyaA 17 сағат бұрын
Hana akili huyu kidomodomo
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 14 сағат бұрын
Mngepiga nyie sim mkaeleza vizuri. Mkatuletea na evidence kama kauliwa. Kama mnavyosema
@Zengeni-gz8fe
@Zengeni-gz8fe 15 сағат бұрын
Tz mhmm..ndo kwanza unatetea...yani adija
@aishajuma5079
@aishajuma5079 19 сағат бұрын
Haya apate kesi yakuchimba kisima bila kufata sheria 😢😢imetuuma yani hatuelewi kiukweli ajali ya kawaida gani na mnasema ni ajali ya kudumbukia ila uyu bibie anatetea ugali wake 😢😢😢😢
@MiriamKhalid-z6o
@MiriamKhalid-z6o 19 сағат бұрын
Ndoa yake na mwarabu kapangwa
@نجاةالعبري
@نجاةالعبري 19 сағат бұрын
Ni kwl kabisa
@B.M-ix4rz
@B.M-ix4rz 18 сағат бұрын
Hakika hawa ndo wanaotuangamiza Kwa kujipendekeza
@AishaAmin-b2k
@AishaAmin-b2k 18 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂 wallah kaniuzi wallah sana aya wapate kesi ya kusimba kisima sisi tunateseka na kunyanya sika amuulize mfanyakazi ajue ukweli halisi hawa ni washenzi naishi oman muda ishi kwakuwa c kwako umeolewa wewe au tulia kama ulivyo
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 18 сағат бұрын
Jamani mm huyu namuona kaongea kweli mtupu kwasababu familia upande wa jamaa zng ishawafika mwanamke alikufa wakashikwa na polisi wote kwenye nyumba wakaja kupima wakachukua na simu yke alijitupa sababu mwanaume wke kaoa kwa pesa zke alikua anamtumia hii nchi ina sheria zke polis ilichukua mpk watoto wiki nzm inapeleleza stor zikaja wafanya kazi kauliwa kauliwa Oman wanaua wanaua huku wanapeleleza mpk vifundo vya mkono.
@skeeteranderson375
@skeeteranderson375 19 сағат бұрын
Mshenzi kweli huyu muongeaji jawa ndio wale watz wanaotetea waarabu kwa kila kitu ht cku moja hawakai upande wa watz upumbavu wa hali ya juu . Yaani anasimulia km akikuwepo au yy ndio police ni muongo sn
@AishaAmin-b2k
@AishaAmin-b2k 18 сағат бұрын
Hao ndo wanakulaga kote kote ili awe upate wa baby chezea ugari wewe
@RayOmar-vk2nn
@RayOmar-vk2nn 18 сағат бұрын
Asante yani anaongea kama mzawa wa huku mm naona wangeulizwa wafanyakazi wa oman sio huyu muolewaji
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 18 сағат бұрын
Ukweli ndio huo
@neema-ee6qm
@neema-ee6qm 17 сағат бұрын
Ss wew ulitaka aseme uongo
@AbnourAbdullah
@AbnourAbdullah Сағат бұрын
Je kama siyo maiti yao jee afate tu taratibu bila kuijua mait yao?
@OmAn-cz8kt
@OmAn-cz8kt 17 сағат бұрын
Mungu atusimamie jamani allah ampumzishe
@Byme6434
@Byme6434 18 сағат бұрын
Kama Amefariki kwenye Shimo la Maji imechukuwa Mda Gani mpk Wamemuona?
@OmaniSico-i8f
@OmaniSico-i8f 16 сағат бұрын
Umeona dada yangu
@abhaijar4078
@abhaijar4078 2 сағат бұрын
Waseme walicho kifanya wallah😪😭😭😭
@TausiEme
@TausiEme 20 сағат бұрын
Zari mi bado sinto fahamu ,hiyo picha ya shimo waliwezaje kulipiga picha alfu wasiweze kupiga picha wakiwa wanamtoa au akiwa anaelea
@aishajuma5079
@aishajuma5079 20 сағат бұрын
Wallah aya maisha nyie hii dunia
@MiriamKhalid-z6o
@MiriamKhalid-z6o 19 сағат бұрын
Warabu wanaona sisi ni mbulula
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 18 сағат бұрын
Mambo hya polis sio mtu wowote kupiga picha yule mwanamke alikufa wakaambiwa wakamuage mwezao walimpiga picha mpk bs
@aminamacha5594
@aminamacha5594 17 сағат бұрын
Tunaomba Embassy isimamie Hilo swala wachunguze mwili wake kabla hajasafirishwa 😢😢ni heri tugome asizikwe ili tupate ukweli jaman inauma 😢😢😢
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 14 сағат бұрын
Ukipata ukweli ndio atafufuka
@JacklinyChacha
@JacklinyChacha 20 сағат бұрын
Acha kutetea ujiga hao wamemuua tu 😢😢😢😢😢😢😢
@GraceMarine-vo9hu
@GraceMarine-vo9hu 20 сағат бұрын
Wewe unaushahidi gani
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 20 сағат бұрын
Nyie mnaona nyie nchi za Afrika mtu auliwe tu
@SalmaSaid-v3d
@SalmaSaid-v3d 21 сағат бұрын
Yule khadija kaongea nibhivyo kabisa si alikuwa anyamaze TU mbwa weupe kashafanya kafara ila Sasa adija ukejielezea Hadi umekera 😢
@MiriamKhalid-z6o
@MiriamKhalid-z6o 19 сағат бұрын
Kinatetea ndoa umbwa jeusi
@ShanyShany-d1u
@ShanyShany-d1u 17 сағат бұрын
😢wamemwingza hilo
@Hawa-qc9fo
@Hawa-qc9fo 20 сағат бұрын
Wamemuua bana swali je wamemuokoaje mbona hamna dalili ya matatope wala mjimaji pembeni 😢😢😢
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 15 сағат бұрын
Ulienda ukaona hamna dalili
@AminaJuma-r4y
@AminaJuma-r4y 14 сағат бұрын
Kwani huyu nani anaongea uongo pasipo kumuogopa mungu 😢😢😢 sisi tuliyopo oman tutatetewa na nani kama watumwa wa tz waliyopo omani wana watetea waarabu 🙆🏻🙆🏻
@faudhiaticha
@faudhiaticha 11 минут бұрын
Inaalillah wainaailaih Raj ghuun
@hussainalajmi5511
@hussainalajmi5511 16 сағат бұрын
Sikilizeni 😢😢😢 munguu atujaliye turudi makwetu tu salama sasa izovidio ziwapi maana warabu kikitokea kitu vidio zinasamba mfano yule wasaudia sasa zikowapi sasa icho kipicha watu watamini vip kwaiyo ubalozi hilijambo sijuw ata nisemaje😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 yarabi
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 16 сағат бұрын
Zari naona ushakubali kutetea nawewe mhh ama kweli mnyonge hana haki
@Yanamwisho
@Yanamwisho 2 сағат бұрын
Ongea tuu lkn kwa nn hawafi wanaume tukaskia ni ss tu
@KhadijazabronMwajombe
@KhadijazabronMwajombe 21 сағат бұрын
😢😢😢😢😢😢Dar mungu wangu jamani
@FarahaOthman
@FarahaOthman 18 сағат бұрын
Huyu khadija mnafiki mmoja aende zake
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 18 сағат бұрын
Ni mtu mzr sna mashaaallah
@KunguMasunga-p9x
@KunguMasunga-p9x 58 минут бұрын
Jamani kifo cha mwanamvuwa kina tuogopea sana nawapa pole ndugu jamaa na malafki
@MbwanaBadru
@MbwanaBadru 13 сағат бұрын
Mwana wetu daaah 😢😢😢
@Aisha-d8c4h
@Aisha-d8c4h 20 сағат бұрын
Ingekuwa ndio mwanamvua amemuuwa madam wake zinguwa picha na video kibao😭😭😭😭😭😭
@FatumaJuma-b2g
@FatumaJuma-b2g 20 сағат бұрын
Kabisaaaa
@NeemaJanga
@NeemaJanga 20 сағат бұрын
Kweli kabisa Mungu atusaidie tu
@MiriamKhalid-z6o
@MiriamKhalid-z6o 19 сағат бұрын
We acha tuu umeonae video za yule kadama wa ufilipino?
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 18 сағат бұрын
​@@FatumaJuma-b2gnyie Oman zao natokea kesi ngap mnaona mapicha nikosa kubwa kuoneka wapiga picha
@TausiEme
@TausiEme 16 сағат бұрын
@@Aisha-d8c4hkumshukuru Mungu kwa kila jambo hatuna jinsi wallah
@MwajumaMhuza
@MwajumaMhuza 15 сағат бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kuwalinda dada zetu wote ambao mnapambana nje ya TZ😢😢
@HadijaOman
@HadijaOman 14 сағат бұрын
Umeongea sahihi Dada kuruthumu
@OmanOman-v2g
@OmanOman-v2g 17 сағат бұрын
Mungu ampumzishe kwa aman somo yangu😂😂😂😂😂 imeniuma sana
@YussraMohd-v6w
@YussraMohd-v6w 16 сағат бұрын
Unachek au unalia
@MohammedyKhadija
@MohammedyKhadija 12 сағат бұрын
​@@YussraMohd-v6wanacheka 😢
@sofiajumaa4538
@sofiajumaa4538 2 сағат бұрын
🤔🤔
@ShanyShany-d1u
@ShanyShany-d1u 17 сағат бұрын
Kwavile kaolewa na waalabu ana watetea😢
@Nooorooa
@Nooorooa 21 сағат бұрын
Half watanzania wanafki sana kwanini wamekataa familia wasimuone marehem hy mnafiki
@RahmaAli-hn8fj
@RahmaAli-hn8fj 21 сағат бұрын
Tunachotaka sisi maiti ikifikwe tanzania basi
@LatifaMbwana-y8h
@LatifaMbwana-y8h 21 сағат бұрын
Kwann wasichukue video wakiwa wanamtoa kwenye shimo,na wameweza kupiga picha shimo
@husnahassan2514
@husnahassan2514 20 сағат бұрын
Na hkuna dalili ht ya maji wLa tope​@@LatifaMbwana-y8h
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 18 сағат бұрын
Kwasababu wnaakawaida kupiga picha maiti haifi yule aliokufa karibun alipigwa picha anaenda kuagwa wakampiga picha
@AishaAisha-w1v
@AishaAisha-w1v 17 сағат бұрын
Taratibu zinaendelea mungu awape subira
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 20 сағат бұрын
انا لله وانا اليه راجعون الله يرحمها ويغفرلها ويغفر لها ويسكنها فسيح جناته يارب العالمين🤲🤲، basi ni vile vile wameogopa kupita polisi sababu ni hicho kisa sio shimo la maji machafu
@AminaJororo-x5y
@AminaJororo-x5y 20 сағат бұрын
jaman mm naogopa sana yarabi wangu nataka kurudi nyumbani😭
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 20 сағат бұрын
Sababu ya kuogopa
@Sanjar-y3c
@Sanjar-y3c 19 сағат бұрын
😂😂rud
@نجاةالعبري
@نجاةالعبري 19 сағат бұрын
Kuogapa lazima haki ya mungu me naona september ina chelewa kurd nyumban 😭😭
@fatimaharoun-np8uv
@fatimaharoun-np8uv 18 сағат бұрын
Na iyo September ilipo sasa😂😂😂​@@نجاةالعبري
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 18 сағат бұрын
@نجاةالعبري sasa jina unaitwa najat alafu muarab unaogopa nchi yko au ndio umefunguliwa na boss jna
@Oppo-t3s2x
@Oppo-t3s2x 20 сағат бұрын
Dada mwana Allah akupe kaul thabit na akusamehe makaosa yako ndoto zako zimezima kama mshumaa habibty naumia sana kwa ajili ya wakina WAZIRI wako. My inaumaa sanaa mungu awape subra wazazi wako 😢😢
@NechLove
@NechLove 20 сағат бұрын
@@Oppo-t3s2x Mungu yupo pamoja nea hivi ni mtu wa wapi
@SamSang-h4g
@SamSang-h4g 20 сағат бұрын
Allah akufanyie wepes kweny safar yak dad angu mbele yak nyum yetu wot tup nje tunapamban allah atufanyie wepes
@MiriamKhalid-z6o
@MiriamKhalid-z6o 20 сағат бұрын
​@@NechLoveni mzaliwa wa tanga
@neemamdami7466
@neemamdami7466 19 сағат бұрын
Habari yako eti ni Mwakizaro sehemu gani? Nami nipo Tanga nataka kuhudhuria
@FaridahMchome
@FaridahMchome 18 сағат бұрын
Innalillah wainnailayh rajiun
@FatmaMlawa
@FatmaMlawa 14 сағат бұрын
Kulluthum umeenda juu yamstari uyo khadija anawatetea kwa sababu kaolewa huko
@asmaalghafri449
@asmaalghafri449 Сағат бұрын
Police hapa oman rushwa hakuuuuna
@LailatAbdullah-w9d
@LailatAbdullah-w9d 20 сағат бұрын
Pengine walichanganyikiwa unajua tatizo likikukuta akili inahama
@HadijaOman
@HadijaOman 15 сағат бұрын
Naomba kuuliza huyu hadija ni muomani au ni tanzania yani naongea mpaka anaboa unaachaje kupaza sauti kua ni ajali wakati huna huakika wakati unajua maisha ya huku unavyo nyanyaswa alafu unawatetea warabu Mungu atulinde kwakweli yani ww hadija ww hadija ww hadija nimekuita 3 umebowa mpaka basi
@ImaeImae-p3v
@ImaeImae-p3v 14 сағат бұрын
Kaorewa hku ndo maana ana tetea
@hamisaally968
@hamisaally968 19 сағат бұрын
Kwanza uku polisi wapo fasta na kutwa wapo mitaani wanazunguka na magari kwa nini wasipige simu ta dharura ili polisi waje kupima na kuona mazingira ya tukio? Ata kama wangemtoa kwa kumpa huduma ya kwanza lazima wangehusisha polisi na waokoaji why wafanye wenyewe? Dada MashaaAllah uyo mwili huo waliwezaje kumtoa wenyewe walivyo legea hivii ebuu achenii kuvunja vunja bwanaaa ili lionekane tukio la kawaida.
@MiriamKhalid-z6o
@MiriamKhalid-z6o 19 сағат бұрын
Wenye pesa sio mwenzio mlungula umepita 😢😢😢
@KhadijaKhadija-zv8uo
@KhadijaKhadija-zv8uo 15 сағат бұрын
Oman lazima itachugumzwa maana Hospital na police lazima watachunguza
@AtifaIslam-t6g
@AtifaIslam-t6g 21 сағат бұрын
Umeongea point mashimo yana kutu mifiniko ya mashimo ilioza kwa ndani sasa uwezi kujua ukipita juu yake yaliza utaingia ndani kuna mwanamume mkenya alikonyagq juu ya shimo akatumbukia ndani na akafa mwaka juzi qatar
@MiriamKhalid-z6o
@MiriamKhalid-z6o 19 сағат бұрын
Akatolewa na nani?
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 18 сағат бұрын
​@@MiriamKhalid-z6ona weye
@Niabebewamor413
@Niabebewamor413 6 сағат бұрын
Da zari hivi kwanini umempa chance huyo khadija ya kuongea kaongea upumbavu tu au kwasababu sio ndugu yake hivi icho kishimo cha kuingia mtu kama mwanamvua kweli daaaa Ila sisi wa Tanzania hatupendani looooooo mungu akupe kaur thabit dada mwanamvua haki Damu yako haitaenda bule mamy mungu atalipa 🙏🙏🙏🥺🥺🥺🥺😭
@ElizabethNyabu-q1x
@ElizabethNyabu-q1x 15 сағат бұрын
Tz hampo serious na watu wenu dah cjui serikal inawaza nn
@ZainabLol-wx7xf
@ZainabLol-wx7xf 16 сағат бұрын
RAFIKI UMENIACHA,MWANA UNGEBAKIA TU IRAQ😢😢😢
@OdriaKabati
@OdriaKabati 18 сағат бұрын
Pumzika kwaaman mpambanaji mwenzetu hakika kila nafsi itaonja mauti wamekukatisha maisha wamekuuwa ,,😭😭😭
@OmanOman-xs2hb
@OmanOman-xs2hb 17 сағат бұрын
😭😭😭😭😭
@OdriaKabati
@OdriaKabati 17 сағат бұрын
@@OmanOman-xs2hb Mungu yupamoja nae Aamen,🙏🙏
@NasraSaidiYusuph
@NasraSaidiYusuph 14 сағат бұрын
Tena ata mshahara wake ilikuwa hajapewa bado
@KalangulaKalan
@KalangulaKalan 16 сағат бұрын
Aiseee wee dada
@SaumuSarai-g5k
@SaumuSarai-g5k 14 сағат бұрын
Huyo hadjA n seleimn wote shahi mal gahawa pumbavu zao😢
@salhamsekeni907
@salhamsekeni907 21 сағат бұрын
Huyu adija em aache uongo waarabu ni kila weekend wanakutana haya kijijini hiyo vipi mh na hakuna anaeweka boc rokap waarabu huwajui wewe
@LatifaMbwana-y8h
@LatifaMbwana-y8h 21 сағат бұрын
Huyo Khadija lazima atetee nchi yake
@sifatiiman
@sifatiiman 17 сағат бұрын
Nnchi take wapi kilupigwa miti na mwarabu ndio anajiona muoman😮
@KamisaRamdan
@KamisaRamdan 20 сағат бұрын
Hadija mnafiki anasaliti nchi yake
@MiriamKhalid-z6o
@MiriamKhalid-z6o 19 сағат бұрын
Anatetea ndoa umbwa jeusi
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 18 сағат бұрын
Anasema haki ilivyo unatka aseme uwongo tatizo tokea Zaman mshasemshwa waarabu wabaya lkn mnakuja kwanin msitulie tukafuga kuku pamoja na mbuzi
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
Mimi S01Ep37 (TV Series)
26:55
Elizabeth Michael
Рет қаралды 1,8 М.
Trump announced the end date of the war / Emergency plane landing
14:05
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН