JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@MsNajma-j7e3 ай бұрын
Kipsi boss wangu jamn Allah amjarie shifaha nirifanya Kaz hapo mikumi alhamdulillah ❤❤❤❤❤
@fatimaalmahrouqi67113 ай бұрын
Mashaa Allah tabaraka arahmani kwa hakika chakula chenu nikitamu saana na mshauri yeyote anaetaka test ya Africa basi asogee hapo Mikumi ... Hongera saana Khalfa Nassor Al Rahbi kutuletea test ya Africa.. Mikumi nimeipenda saana jinsi ilivyopangiliwa kwa vyakula vya tamaduni ya Africa.... Keep it up
@hamisaally9683 ай бұрын
Ipo sehemu gani
@Aisha-o4v3 ай бұрын
Tutumieni lokeshe
@JRN26122 ай бұрын
Ipo sehemu gani?
@ShukurkollAngel3 ай бұрын
Waaaw ! Modern Mikumi. Congratulations.❤
@hamidasalim63373 ай бұрын
Mie numekula hapo chakula safi kabisa na kitamu tamuuu haswa. MashaAllah MashaAllah, keep it up
@amoural-harthy73123 ай бұрын
Nataka location ya hiyo restaurant
@hamisaally9683 ай бұрын
Ipo sehemu gani ndugu
@TheAlesry3 ай бұрын
MashaAllah sheikh Rahbi
@Sisterjemi13 ай бұрын
Ma sha Allah tutakuja In sha Allah
@modyworldmody42973 ай бұрын
Well done Tanzania food center....
@SalmanSaid-zk3pb3 ай бұрын
Mashaallah ❤tutakuja siku mmoja tukumbushie tz
@h.alshidhani89713 ай бұрын
Ahsante Al akhh Nasser. Tupo pamoja
@azizaali85063 ай бұрын
Masha Allah masha Allah na mimi naomba nafasi ya kazi uncle ikiwa ipo pliiiiiiz!!!!!
@khalfanaltaley3 ай бұрын
Well done Nasser keep it up!
@KhayratAlly3 ай бұрын
Am so proud of my babu abdallah kipisi ❤
@salamabakari83842 ай бұрын
Mashallah ❤❤
@rahimaessa2552Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉Mashaallah
@GdFf-ik2eo3 ай бұрын
Ma sha allah supu pweza nakumbuka tz
@KhalifaSaid-x2c3 ай бұрын
Waooo Mr. Nasser
@SalmaAlMabsali3 ай бұрын
Mikumi oyeeee Fika ujionee mwenyewe
@NachumMaulid3 ай бұрын
Maasha Allah mm vp nafasi zakazi zipo
@ahmedalrashdi57473 ай бұрын
Iko wapi hiyo hoteli tuma location
@GdFf-ik2eo3 ай бұрын
Jamani dd zari umroendeza huo udhungin Ma sha allah
@bikeymmaka25892 ай бұрын
Ee baba yake maryam Kipis
@faridapeace51123 ай бұрын
Mi nataka kazi jamani najua kupika sanaa
@PeninaAdam3 ай бұрын
Nina miaka 10 oman sijawahi kuijua hii restaurant kweli biashara yataka matangazo nitaitafuta jtatu mimi napenda kula restaurant nikiwa zangu off namwagilia😊 moyo
@faudhiasalum72793 ай бұрын
Ugali na dagaaa na mrenda 😋😋
@belyseirakoze53713 ай бұрын
Kuse ule ukweli nilifanya kazi Saudi na Dubai ila kote huko hakuja fikia Oman yani Mungu azidi kuyibariki Oman ❤❤❤❤❤ napenda Oman hata sijuwi niseme aje ❤❤❤❤❤❤ Oman Oman Mungu akubariki nakupend Oman hadi basi ❤❤❤❤❤ sijaon nchi kama wew Oman 🤗🤗❣️❤️🥰
@abubakarmussa55193 ай бұрын
Saudia ni sura sura tu kwenda zubala
@salamabakari83842 ай бұрын
😂😂
@abdullahhilalabdullahalmug31683 ай бұрын
MikUMi Restaurant ❤
@alrahbialrahbi2773 ай бұрын
ما شاء الله تبارك الرحمن
@JRN26122 ай бұрын
Asa hamjui kuwa Muscat kubwa? Mnasema tu Muscat, sisi tutajuaje location yake?
@RamadhanMbwana-o1j3 ай бұрын
Siyo bilauli, dada ni bilauri...
@faudhiasalum72793 ай бұрын
Naomba kazi
@nikrahayubu-sz3pw3 ай бұрын
Hii hotel ipo sehem ganiii jmn nataka kuja kula kongoro
@piliramadan8753 ай бұрын
Mashaallah mashaallah
@aminahamad34283 ай бұрын
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatu baba naoma kz hapo mikumi nipo oman.
@faudhiasalum72793 ай бұрын
Duh 😋😋😋chips mayai
@wenge4x4233 ай бұрын
Zidumu fikra za Mzee Kipisi
@NassorKhamis-l6r3 ай бұрын
Mashallah
@HedayaCorwa3 ай бұрын
Chips zege chips yai
@umsoud33063 ай бұрын
ماشاءالله تبارك الرحمن
@ayushiabubakar19303 ай бұрын
Mm naomba no nikijisikiya kubadilisha mate niagize
@GdFf-ik2eo3 ай бұрын
Ma sha allah
@truthspeaker20623 ай бұрын
Wanayo family room ?
@roqayaro94393 ай бұрын
KISAMVU NA MATEMBELE YAPO
@QusayMajid3 ай бұрын
😍😍
@Aishajohn-o3m3 ай бұрын
Jamani kazi zipo apo nahitaji
@faudhiasalum72793 ай бұрын
Ukipata na mimi😢😢😢 udugu wangu 😢
@yasminjuma91463 ай бұрын
❤
@sallyandmozachannelchannel372 ай бұрын
mnafanya online
@tinnahagustinolyelu42473 ай бұрын
Oman yote muongo mkubwa hiyo mascat yenyewe kumaliza mtihani
@florianhenry71983 ай бұрын
Ambao nguvu zimeshuka 😂😂😂😂😂😂😂
@AzaAzamhmod2 ай бұрын
NATAKA ACHARI YA PRAWNS
@Aziz-p6s2 ай бұрын
Apo mzanzibari anatamani kupaa afike uko
@happinessmtani76213 ай бұрын
Group mbona halikubari
@husnalalu0083 ай бұрын
Namba location jamn mimi apo kwenye kongoro 2
@KhalifaSaid-x2c3 ай бұрын
Location pls
@thuwaybaelnabhany68963 ай бұрын
Alheil Shamaliya opposite na nakheel
@SaraaSaraa-i1j3 ай бұрын
Sijaona chipsi mayai
@mosule92623 ай бұрын
Mbona simba wakishambulia mnakata acheni mpaka ateba afunge ndio mtoe
Kumbe ww ukuja kuangalia changamoto ya wafanyakazi wa ndani imekuja kutangaza matangazo ya biashara fanya uende ukakute familia
@hamisaally9683 ай бұрын
Hakuna wa kutatoa changamoto zetu amna wengi uja wakifika wanaanza kuwatetea wenyejiii na kufuata maswala ya kujulikanaa tuuu
@elchapo91253 ай бұрын
Tulia wewe kero za wafanyakazi rudi kama umeshindwa kufanya kazi ndio maana ikaitwa global news
@hamisaally9683 ай бұрын
@@elchapo9125 ujielewiii wewe kama ndo ayo mawazo yako basi katika vipindi vilivyopita wasingesema wanasikiliza changamoto upooooooo
@kamanyolabilajasho38333 ай бұрын
Hawezi kusikiliza changamoto za wadau wote Oman inahitaji awe hapa miaka 5! @@hamisaally968
@salummbunga41672 ай бұрын
Yaani unasema una changamoto na huku unarenew mkataba
@fatmasalim82933 ай бұрын
Ipo wapi hiyo restaurant please ❤
@AbdillaahAbdillah3 ай бұрын
Oman alheyl shamali
@fatmasalim82933 ай бұрын
@@AbdillaahAbdillah jazak allahu kher akhuyi
@alrahbialrahbi2773 ай бұрын
Ipo Alkher yanatizama na na African solun
@ummohammed83803 ай бұрын
Ipo Alhail
@m.mmarckus62983 ай бұрын
Wako sehemu gani jamni😂😂twambieni tusiopajua
@husnathabiti41143 ай бұрын
Alheri
@NduwimanaRehema-qi4hc3 ай бұрын
😂
@AminaHabibu-c9n3 ай бұрын
Kumbe Kuna waarabu wanaongea kiswahili 😂
@Aziz-p6s2 ай бұрын
Waisilamu wenzetu
@MohamedIbrahim-bn1gz3 ай бұрын
Sasa kweli Watanzania tunaonewa Oman au ni porojo tu
@kamanyolabilajasho38333 ай бұрын
Porojo tupu na kama hiko changamoto lipo labda ni 0.001%!
@BinMohammed1123 ай бұрын
Ivyo nivyakula vya kizanzibar acha uwehu wewe
@hamisaally9683 ай бұрын
Kipi hapo ambacho bara amna 😂😂😂
@fatmaalnabhani36093 ай бұрын
Jamani huyu jamaa yuko Mct (Oman) wana hotel ambayo wanapika vyakula vya Africa kwa ujumla si lazima Bara wala Pwani
@HamduniYasir3 ай бұрын
Nyie global tafute waandishi wenye mvuto muandishi ashawishi kumsikiliza bahna mnaboa 😂😂
@Aziz-p6s2 ай бұрын
Unataka akae uchi
@sleeprelaxation84313 ай бұрын
Chakula hakina spice chakula gani hicho? 😂 jamani, chakula ni spice maana hizo spice nazo ni tiba mungu katupa😂. Yani wewe kula nyama kama ilivyo uone kama utapenda🤣🤣. Na huyo wa kisukari spice ndo tiba haswa, sio kuchemsha vitu ti
@abdullahal-mahruqi96103 ай бұрын
Nadhani spicy ni pilipili ilokusudiwa au?
@sleeprelaxation84313 ай бұрын
@@abdullahal-mahruqi9610 well hiyo hatamkwi alivyo tamka yeye. Labda abaki tu kwa kiswahili. Maana kachanganya mambo.
@abdullahal-mahruqi96103 ай бұрын
@@sleeprelaxation8431 😂 😂😂 Naona atakuwa Kafata Waingereza, ndio washamba hawajui viungo. Wao mlo wao ni chakula cha kuchemsha tu kama njegere na viazi ulaya ama kukaanga viazi vikaitwa chips. Sasa wao spicy wanayoijua ndio ni pilipili tu.😂🤣🤣😂
@abdullahal-mahruqi96103 ай бұрын
@@sleeprelaxation8431 Spicy wazungu waingereza kwa ushamba wao wanajua ni pilipili tu. Tusifuate washamba hao 😂😂😂. Hawajui bizari, mdalasini, hiliki nk. Wachemsha mjegere na viazi ama atakaanga chips na samaki na chumvi tu na siki(vinegar). Ndo maana wakisema spicy ujue ni pilipili tu. Na sisi tiunafata tu mkumbo😂😂