Je kama wajukuu wecheza mchezo mmoja kuuza alafu baadae wengine wakane. Shida sanaa Bora kujenga nyumba Yako.
@sudymgeni70113 күн бұрын
Wajukuu hawausiki katika urithi wezi wakubwa nyinyi. Tafuteni vyenu
@MosaudSaru10 күн бұрын
Naitwa abdulatif habibu rashid mkindi nashauri nyumba hiyo isiuzwe coz asiliye2 itapotea nduguzangu
@cheiknamouna205815 күн бұрын
Msilaumu wajukuu kupewa hiyo nyumba huenda watoto was marehem walipewa nyumba nyingine maeneo mengine Naona watu wamekomalia wajukuu watafute hela😂
@juliethkatabwa530613 күн бұрын
Wapare hao uwiiiii. Bora umesema kila kitu kiwe wazi
@IsaackKileo15 күн бұрын
uwiiii mmeyatimbaaa waparee watani zanguuu😂😂😂😂😂
@HanifaOman-oo4pl15 күн бұрын
Akitokea mteja mkikubaliana muiuzetu basi ..maana ishaanza mitihani kupotezeana muda kuzunguka.maakamani na kuonga pesa nibola muuze.bqs
@leokamil628413 күн бұрын
Shida ni wanunuzi ndio matapeli wanasababisha mizozo kwenye mali za urithi wakishirikiana na watendaji kwani kabla ya manunuzi kwa nini mtu asichunguze undani wa anachotaka kuuziwa .Hii michezo ni mingi sana nchi hii .
@FredrickMatiku-xf2uk15 күн бұрын
Hawa nao wanaboaaa kila kitu wanamuomba mheshimiwa Rais DK. Samia suluhu Hassan awasaidie sasa matatizo yenu ya kifamilia mirathi urithi samia yanamuhusu nini muyamalize wenyewe kama familia kama mnauza mgawane au mrudishe pesa za mwarabu aliyetapeliwa milioni 700 mzitapike pesa zake mshazila pesa zake
@FredrickMatiku-xf2uk15 күн бұрын
Ata mimi pia ni mjukuuuu wa babuuuu nakuja kuchukua mgao wanguu wa pesa mnauzaje nyumba bila kunishirikisha 😂😂😂😂
@EmmanuelMlowe-u1v14 күн бұрын
Hata Mimi lkn wa pemben
@nyabahailani316912 күн бұрын
Waongo siajabu wamepanga watu waatusha washenzi sana labda awe hajapewa pesa
@OmanOman-bx5du15 күн бұрын
Unatoaje pesa zote bila kushilikish familia au kuna utapeli wa aliya juu
@christopherkimaro275415 күн бұрын
Namuona jamaa yangu Alifa Mario.
@AllyMadenge-u6o15 күн бұрын
Tanzania Nchi Masikini sana du
@FredrickMatiku-xf2uk15 күн бұрын
Hao wajukuuu washazeeka tayaliiii mababuu je baba zao wakoje au washapumzika mbele za haki
@mcback438414 күн бұрын
Ninyi wote 27 katafuteni zenu
@amournassorsaid769415 күн бұрын
Wajukuu 27 hapo wengine wamchongo
@kitomondo14 күн бұрын
Msimamizi wa mirathi ndiye mtu pekee anayeweza kuuza hiyo nyumba na siyo mtu mwingine na hana haja ya kumuomba ruhusa mtu yeyote.
@ReynaldaShija14 күн бұрын
Fahamu kuwa Msimamizi wa mirathi sio lazima awe mrithi . Sasa huo uamuzi wa kufanya anachotaka bila kuhusisha writhing halal na Mahakama utatoka wapi ndugu!!!???
@ReynaldaShija14 күн бұрын
Warithi halali
@kitomondo14 күн бұрын
@@ReynaldaShija Mpaka mtu kuwa msimamizi wa mirathi, maana yake umepitishwa na familia na kukubaliwa na mahakama.
@Martin-lv1xw15 күн бұрын
Kwanza huo uchafu ni wa kuondoa katikati ya jiji.
@HamisMghuna-fj3vz15 күн бұрын
Kawaida y waarusha, hawana utu shortly,
@mcback438414 күн бұрын
We nawe Mpumbavu kweli, wa arusha ni wamasai kuna mmasai hapo?
@HamisMghuna-fj3vz14 күн бұрын
@mcback4384 c waarusha ,yani wakaazi wa Ar wana tabia ya, dhuluma,n moja y mikoa iloona watu,wakorifi,hp TZ acha matusi,
@marrypius57613 күн бұрын
@@HamisMghuna-fj3vzkweli kabisa
@BeatriceKitembe-gs9si14 күн бұрын
Heri muiuze tu mgawane kuepusha yajayo mbele ili kila mtu akapambane na mgao wake.
@mohammedsalim331515 күн бұрын
Nauliza marehemu hakuacha watoto ? Kama aliacha wajukuu hawana chao