MKURUGENZI ALIVYOZIMIA BAADA YA KUSEMWA NA WAZIRI JAFO...

  Рет қаралды 654,282

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MKURUGENZI ALIVYOZIMIA BAADA YA KUSEMWA NA WAZIRI JAFO...
Katika hali isiyo ya kawaida Mkurugenzi wa Kampuni ya ujenzi wa barabara amejikuta akiishiwa nguvu na kupoteza fahamu akiwa saiti baada ya Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo, kufika na kukagua ujenzi wa barabara na kukuta madudu yaliyomfanya akasirike sana..
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY: www.youtube.co....
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:www.youtube.co....
GLOBAL RADIO TV:www.youtube.co....

Пікірлер: 610
@shamsahabibu837
@shamsahabibu837 3 жыл бұрын
Tunaoangalia baada ya kifo Cha laic wetu tujuane
@ashuraumari1322
@ashuraumari1322 3 жыл бұрын
🖐️
@shamsahabibu837
@shamsahabibu837 3 жыл бұрын
@@ashuraumari1322 mungu ampunguzie azabu ya kabul
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 4 ай бұрын
Inauma asikwambie mtu
@yaqoubsalim99
@yaqoubsalim99 4 жыл бұрын
Oyaa WAZIRI Nazimia kidogo
@nyavas41
@nyavas41 4 жыл бұрын
Maisha ya mtu nibora kuliko kitu chochote pamoja na huo uwaziri wako ulipaswa kuwa na ubinadamu mwenzako anaanguka haujuwi nini kimemsibu wewe kwa kibri chako unamwambiya nyanyuka? na hata haukujali kabisa ameanguka chini ya miguu yako wewe unaendeleya na porojo zako kama vile kanguka mdudu siyo binadamu mwenzako wacheni kujifanya waungu watu cheyo ulicho nacho ni zamana tuu leyo unacho kesho hauna kibri ni sifa ya mwenyezi mungu pekeyake siyo wewe.
@rasheedshaban2233
@rasheedshaban2233 4 жыл бұрын
Hakuna asie Fanya makosa tuangalieni utu kwanza dah inaumiza sana. Mambo mangapi hamiwatimizii wananchi lakini tupo kimya. Jueni kwamba sisi sote ni sawa mkubwa ni Allah tuu.
@thelivingwordchannel9027
@thelivingwordchannel9027 4 жыл бұрын
Enyi viongozi wa awamu ya tano tafadhali sana mnapokwenda kukagua miradi au kutoa maagizo nendeni na gari ya ambulance.
@bintysaid7177
@bintysaid7177 4 жыл бұрын
Hahahahaaa aki wewe
@thelivingwordchannel9027
@thelivingwordchannel9027 4 жыл бұрын
@@bintysaid7177 hili wimbi la watu kuzimia limeshika kasi hii awamu.
@bintysaid7177
@bintysaid7177 4 жыл бұрын
@@thelivingwordchannel9027 hahahaa mafuta hayo yamejazana kwenye viungo
@thelivingwordchannel9027
@thelivingwordchannel9027 4 жыл бұрын
@@bintysaid7177 unajua hawa watu waliishi watakavyo awamu zilizopita sasa hii inawapa tabu.Imagine kama angekuwa magufuli si jamaa angezindukia mochwali.
@ukhtyalpha1344
@ukhtyalpha1344 4 жыл бұрын
Hawa Watawala wa viburi wana mwisho wao kwa huu uhuni wao mkumbuke kuna MMungu na nyie atawapindua hadharani mbele za watu hamna imani ni ustaarabu gani huo ujinga mloukuja nao hamumpendezseshi MMungu hivyo mnavyo wafanya waja wake viburi na ukali kwenda mbele ndio utawala wa kijunga na kishenzi kama nyie wenyewe
@ajoforo
@ajoforo 4 жыл бұрын
Msicheke, hapo kakopa benki halafu bado anakatwa kwa kuchelewesha, 80 mil tayari, na sio ajabu ali bid low ili apate hiyo kazi na hiyo hela aliyobid inamshinda kufanya kazi na anajua december hawezi kumaliza mwishoni atafungiwa asipate kazi kokote. Hapo officially ni sawa kawa bankrupt kwa nini asizimie. Ujenzi una hela lakini ukikosea inakusafisha... kuna kesi kama hizi.
@tausimwaluvalile6450
@tausimwaluvalile6450 4 жыл бұрын
Aliecheka kama Mimi agonge like baada ya jafo kusema eeebwanaee simama bwana afu mkurugenzi kaanguka kazuia mkono mfuko wenye hela hahahaaa jamani hiz presha !!!!!!!nimecheka sana
@forgenmahuve1741
@forgenmahuve1741 3 жыл бұрын
A
@duncankamasi9668
@duncankamasi9668 3 жыл бұрын
Na akatulia tuli
@bakamuubakamuu1556
@bakamuubakamuu1556 3 жыл бұрын
Nimecheka atariii😂😂😂😂😂😂
@magdalenajohn6564
@magdalenajohn6564 3 жыл бұрын
Mungu akawape hekima viongozi wetu wa Tanzania namna yakuongoza sawasawa na Mfalme suleiman
@benwater4957
@benwater4957 4 жыл бұрын
Hivi wewe jafo na wenzako hii tabia ya kufokea watu wazima mbele ya kadamnasi mmeitoa wapi? . Kweli ubinadamu umewashinda kabisa kweli? . Huyo unayemfokea hivyo mbele za watu ni mwanaume kama wewe, ana familia yake kama wewe. ana watoto kama wewe na wanaangalia you tube kama watoto wako. Halafu wanakuta baba yao anakuwa treated kama mtoto kweli? Hata mtoto humtreat this way by the way. Tafadhali mkiona mtu amekosea nadhani kuna ofisi, call them. Talk them nicely, like matured adult. Find out what the problem is. Kama hukuridhika na maelezo then you can decide then. Hebu acheni tabia ya kudhalilisha watu. Let me ask you jafo; what do you get out of this?:jamani tumuogope Mungu. Hawa pia walizaliwa na mama zao kama wewe, tena walizaliwa kwa uchungu uleule aliousikia mama yako. Hakuna mtoto aliyeokotwa. Let me tell touch jafo hii ni laana hata Mungu hapendi uavyotreat watu mabarabarani. Remember what you do to others will one day comes back to you, Mark my word
@masalujosephu430
@masalujosephu430 4 жыл бұрын
Aliye ona kiatu cha mkandalasi gong like twend sw.
@godfreynkondo1689
@godfreynkondo1689 4 жыл бұрын
Ilo buti uku kwetu tunaliita ngwasuma
@godfreygood4748
@godfreygood4748 4 жыл бұрын
😂😂😂ama kweli mzaramo anaweza akakusuta mpk ukafa 😂😂😂😂😂😂hyu kazimia
@bashirkambale4573
@bashirkambale4573 4 жыл бұрын
Magufuli amewafunza kazi 😂😂😂😂😂👏👏
@selemanimaneno9496
@selemanimaneno9496 4 жыл бұрын
Watu hawajala tangu asubuhi mheshimiwa unaingia mda wa lunch wanaahirisha kula wanasikiliza unavowagombeza basal metabolic rate inarud kwenye 0 wanazimia kwa kudata kweli hii hawamu usipojipanga utapangwa kama mkurugenzi alivopangwa
@thadeusbernard8656
@thadeusbernard8656 3 жыл бұрын
Rais mtarajiwa gonga like kam a unamwaminia
@magnusbugingo7471
@magnusbugingo7471 4 жыл бұрын
Jafo hiz kaz zipo uhai ukiondoka haurud tena na usiombe kuondoa uhai wa mtu kwa maneno musikilize vzr kwanza kuna maisha baada ya barabara hiyo
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 4 жыл бұрын
Kweli msingi mzuri huleta Nyumba nzuri.Mawaziri mnafanya kazi kulinda ajira zenu msije kutumbuliwa na mh Rais magufuli
@ابنعثمن
@ابنعثمن 4 жыл бұрын
Inafaa kabla ya viongozi kwenda kukagua miradi watangulizwe madaktari kuwafanyia wanaoenda kukaguliwa medical checkup siku nne kabla,bila hivyo wataanguka wengi. Jamaa haruhusiwi kufa mpaka akabidhi kazi ya Jamhuri.
@nataemsuya
@nataemsuya 4 жыл бұрын
Hehee🤣......*Eeeee bwana eeeh simama bwana*wakat mwenzio kaanguka 🤣🤣🤣.. halafu comedians ni wengi Tz,huyu mkurugenzi jinsi alivojidondosha ni km aliangalia kulia na kushoto halafu anajilaza pembeni ya miguu ya Mh.Jaffo🤣🤣
@hamidayusuph249
@hamidayusuph249 4 жыл бұрын
😃😃😃😃😃😃😃😃😃
@kidawanavutaisiakaliilison2178
@kidawanavutaisiakaliilison2178 4 жыл бұрын
@@hamidayusuph249 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mcutanorsonvanwillson2991
@mcutanorsonvanwillson2991 4 жыл бұрын
Hahahaaaa. We jamaa umejua kunifurahisha
@farahanafarer7588
@farahanafarer7588 4 жыл бұрын
Ameanguka itakuwa ni pressure mungu masimamie
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 4 жыл бұрын
😂😂😂😂hii kali ya kufunga mwaka hahahah
@maryammaram2612
@maryammaram2612 4 жыл бұрын
Kabisa January inanukia hiyoo😀😀😀
@jaham4481
@jaham4481 4 жыл бұрын
😄😄😄 Tunazimia kidigitali kwa step
@alwattanchinga
@alwattanchinga 4 жыл бұрын
Hahaaha
@rehemaramadhani1572
@rehemaramadhani1572 3 жыл бұрын
🤣🤣
@shabaazbikorwa2580
@shabaazbikorwa2580 4 жыл бұрын
Kama maigizo mana na presha imeshuka kweli hapa kazi tu mzee chali 😁😁😁😁😁😁
@josephinekicheleri860
@josephinekicheleri860 3 жыл бұрын
Hap KAZI TUUU mawazili fukuzeni kazi wazembe wotee...MUNGU AWAPE UHAI NA KAZI BORA VIONGOZI WETU
@edisonpeter3894
@edisonpeter3894 4 жыл бұрын
Jafo bwana😆😆😆😆 eti WE BWANA SIMAMA😆😆😆😆 mtu kazima huyo boss!
@marthakambona4809
@marthakambona4809 4 жыл бұрын
Kanichekesha kweri jafo
@hawasalum7218
@hawasalum7218 4 жыл бұрын
umenichekesha
@edrickniwamanya9968
@edrickniwamanya9968 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂et mchaga na hela kazimia mkono upo kwa mfuko
@bintysaid7177
@bintysaid7177 4 жыл бұрын
Hataki mfuko uguswe amezimia zimia au amezimia
@husseinhassan4241
@husseinhassan4241 4 жыл бұрын
Edrick Niwamanya ahahaahaba imenifanya nicheeeke mchaga bhana
@dianarosemassawe4824
@dianarosemassawe4824 4 жыл бұрын
Kinacho wafanya wengi wanaumwa wanazimia wana jifungia ndani wana kosa amani mbele za watu hofu hakuna adui mkubwa kama hofu ni kuishiwa nguvu pole baba
@kingjulius8264
@kingjulius8264 4 жыл бұрын
Jamaa alitakiwa kuwa honest yasingefika mbali ukweli ni mkombozi
@neemafatu7885
@neemafatu7885 4 жыл бұрын
😰😰😰😰hali hiyo kagombezwa na binaadamu mwenzake tu anazimia,sijui Siku tutasimama mbele ya mungu kuhukumiwa hali itakuwaje kwa madudu tunayoyafanya😱😱😱😱😱
@abdulkarimothmanabdalla1850
@abdulkarimothmanabdalla1850 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@70SIXER7
@70SIXER7 4 жыл бұрын
ahaaaaaaa!
@fatimamamlo8041
@fatimamamlo8041 4 жыл бұрын
Neema fatu usichezee mkono kuingia kinywan kufukuzwa paha ulipokawa unalisha watoto mtihan
@neemafatu7885
@neemafatu7885 4 жыл бұрын
@@fatimamamlo8041 kilal jambo mtangulize alokuumba hasa unapokabiliwa na msukosuko kama huo.ukiwa na tawwaqul ktk moyo huwezi kupata pressure ktk maisha kwa kuwa si yeyote anaeruzuku bali ALLAH Pekee.tunatakiwa kutafuta sababu ya kuipatia hiyo rizqi,kisha unatawwaqal kwa Allah.atakupa tu biidhinih, tena huwenda zaidi ya hiyo.tuache kuziabudu kazi mwisho unakuwa dhalili kama hivyo.Allah atupe moyo wa kumtegemea yeye pekee!aamiin
@fatimamamlo8041
@fatimamamlo8041 4 жыл бұрын
@@neemafatu7885 nalijua hilo lakin kumbuka kaur ya Allah alipotuambia jisaidie nami nitawasaidia sasa hapo lazima ajisaidie kwamfano akinyimwa kazi kwenye kampun yake umr huosaiz atasimamia mngwegan hijambo weye itabeba gunia lambatata kuliko huyo
@babamildatmkdsm5234
@babamildatmkdsm5234 4 жыл бұрын
Imeniuma utasema ndugu yangu... Toka muda nilikuwa namuona moyo unamuenda mbio.. ana presha ya kushuka jamaa
@aminasalum1954
@aminasalum1954 4 жыл бұрын
Hahahahahaaaaaa hahahaha hahahahahaaaaaa manyoko asee kazimia km wale wamam wa moshi walivyozimia Kwenye vikoba hahahahahaaaaaa
@williammagesa3721
@williammagesa3721 4 жыл бұрын
Machozi yamenitoka alivyo anguka
@lonnie546
@lonnie546 4 жыл бұрын
Duh Nina wakati wangu mguumu ila jamaaa kazidiwa pole sana
@goalshighlight00
@goalshighlight00 4 жыл бұрын
Viongoz watanzania sijui mpoje mnajisikia kama hamfi tena bwana??
@glumia920
@glumia920 4 жыл бұрын
Its Insane.. Mtu anapata Heart Attack halafu unamwambia Asimame badala ya kuita Awaishwe Hospitalin..
@ابنعثمن
@ابنعثمن 4 жыл бұрын
Amalize kazi ndipo apate ruhusa ya kukata roho!
@burtonsatshop2061
@burtonsatshop2061 4 жыл бұрын
Apige kazi kwanza kodi zetu
@prisscakalasa4996
@prisscakalasa4996 4 жыл бұрын
Yaan,utu umetoweka Tz
@mpesmail1834
@mpesmail1834 3 жыл бұрын
Huyo mpiga video mbona anamkata mkandarasi kwenye frem ya picha.? Tunamona waziri tu..
@devidydevidy2301
@devidydevidy2301 4 жыл бұрын
Dadeq nimecheka kisukuma kwan kumbe wanazimiaga kizembeivo🤔🤔
@doreenmnyite2343
@doreenmnyite2343 4 жыл бұрын
Hakufanya vizuri😏😏😏😏
@mohdmussa5587
@mohdmussa5587 4 жыл бұрын
Na ww utaambiwa simama hvohvo ukija ukitumbiliwa mfuyyyyyyuuu
@josiahjoshua1112
@josiahjoshua1112 4 жыл бұрын
Ndende atakutana na mtawala katika mizunguko ya hapo guest ila wanawake hawatakutana 0758279199
@fahadAlloufy
@fahadAlloufy 4 жыл бұрын
acting!!! miaka iliyopita walikuwa wapi saiz wanajiact kupata marks
@kenray9321
@kenray9321 4 жыл бұрын
Mzee ana pressure na unamsomea kama mtoto mdogo, coz u have the power. U lack respect
@burtonsatshop2061
@burtonsatshop2061 4 жыл бұрын
Kama anatumia pesa za kodi zetu vibaya??
@kamaukamau6233
@kamaukamau6233 3 жыл бұрын
I hope walimuacha amalize hiyo kandarasi,sio vema to put unnecessary pressure
@mwitajohaness8816
@mwitajohaness8816 4 жыл бұрын
Dah kweli Mzee Wa watu hana hmu ikiwaza ana mkopo bank du anaona bora amwabgukie jafo
@janimohamed2938
@janimohamed2938 4 жыл бұрын
Ukiwa na afya mbovu! usiombe kazi awamu hii...hapa kazi tu. Ha ha ha ha aaa..
@lucyzakaria4258
@lucyzakaria4258 4 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@pendosaloon8066
@pendosaloon8066 4 жыл бұрын
Jani Mohamed haaaahaaaa atar
@bintysaid7177
@bintysaid7177 4 жыл бұрын
Hahahaaaa balaa
@ابنعثمن
@ابنعثمن 4 жыл бұрын
Yalaaaa mbavu zangu!
@mussakiula7481
@mussakiula7481 4 жыл бұрын
😂😂😂
@davidsonstevenson2653
@davidsonstevenson2653 4 жыл бұрын
buti la mkunzenzi km la msela nondo
@victorleopard1340
@victorleopard1340 4 жыл бұрын
Kasutwa hadi kazimia😀😀😀 Usicheze na wazaramu. Ila Masawe kwa kuzuga😀😀😀 Eti kazimia hapo
@bintysaid7177
@bintysaid7177 4 жыл бұрын
Bila kasutwa bila maturumbeta yuazimia je akufuatwa na maturumbeta utakuaje hahaaa
@mariamabdullah489
@mariamabdullah489 4 жыл бұрын
Sisi Ndiyo Wazaramo Original Tunamsuta mtu mpaka anazima kedadadeki, mchaga kazimia mbele ya mzaramo
@kassimkassim6386
@kassimkassim6386 4 жыл бұрын
Nimecheka kwa sautii
@kinjeketilengwale1141
@kinjeketilengwale1141 4 жыл бұрын
Mariam Abdullah 😂😂😂😂😂😆😆😆😆😆😂😂😂😂😂 mbavu zangu wazaramo noma😂😂😂😂😆😂
@kassimkassim6386
@kassimkassim6386 4 жыл бұрын
Ni shida
@kabaiyukyasnider6797
@kabaiyukyasnider6797 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 4 жыл бұрын
Jaman mnatuonea wachaga hatujuwi kuongea😁😂😂
@MengiMeng-fd7sq
@MengiMeng-fd7sq 5 ай бұрын
Sio kuanguka tu afe kabisa atutaki wakandalasi wazemmbe😂😂😂😂wasio na hupendo na nchi yao
@jenifaranthony869
@jenifaranthony869 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 kaisha kula pesa apo alipo ajui atafanya nn yani akili Mali kachukua pesa kapeleka kuizalisha Hana kitu😂😂😂😂
@roseuwambe8089
@roseuwambe8089 3 жыл бұрын
Mtauwa watu mtoage taarifa mkienda🤣🤣🤣🤣🤣
@benjaminfataki6898
@benjaminfataki6898 4 жыл бұрын
gongo zilimzidi huyo mpalekeni kitandani akalale.kazimiya wala kalala udongoni kuonyesha kwamba yamemshinda.
@rizikibakar3186
@rizikibakar3186 4 жыл бұрын
Na yy kayataka,Jafo alijua anaongea na Eng.kumbe Mkurugenz.Sasa mambo ya Eng anajibu nn?
@yasimxyz2880
@yasimxyz2880 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭auuuu mbavuzangu jaman nanikaona ganguka alafu mukono kawekakwenye mufuko wahela🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭
@anuaryally6177
@anuaryally6177 3 жыл бұрын
Mzaramo anavyomsema mtu mpaka anapolomoka bila kupingwa duu
@saidhamza5318
@saidhamza5318 5 ай бұрын
Skol ni kampuni kubwa sn. Sa ilikuwaje hapo, mkurugenzi nahisi alijisaidia b4 aanguke chini 😮
@anuaryally6177
@anuaryally6177 4 жыл бұрын
Unaambiwa mzaramo uwa ampigi mwizi kwa silaha anamchapa kwa maneno tu mwizi yatamuingia na kuanguka mda mwingine ata kupoteza maisha chezea mzaramo wewe
@zuhurasebastian5883
@zuhurasebastian5883 4 жыл бұрын
Wananchi tusifumbe macho sasaivi jambo kama ili likitokea kwenue mkutano wa watu wengi tunamvaaa uyo kiongozi
@alwattanchinga
@alwattanchinga 4 жыл бұрын
Amekula pesa nyingi nini mbona amepigwa na roho hivo jamani
@elizabethnatumwa4191
@elizabethnatumwa4191 3 жыл бұрын
Wacha we enzi zako uliunguruma!!!!
@michealndirie4687
@michealndirie4687 4 жыл бұрын
Watching fr Kenya Tanzania so funny 😅😅😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄
@ramadhanmasiku4105
@ramadhanmasiku4105 4 жыл бұрын
Nasikia wazaramo wanakusema mpaka unafariki nimeamini kwa hili
@khadeejaabdullah7083
@khadeejaabdullah7083 4 жыл бұрын
Hahahaaaa
@ernestmateo6967
@ernestmateo6967 4 жыл бұрын
Hahahhahahah wazaramooo noma
@babaonyinye6889
@babaonyinye6889 4 жыл бұрын
Hahaha nimecheka sana
@kinjeketilengwale1141
@kinjeketilengwale1141 4 жыл бұрын
Ramadhan Masiku 😂😂😂😂😂
@dr.arthurnkalango3540
@dr.arthurnkalango3540 4 жыл бұрын
😂😂😂
@hamismasoud8306
@hamismasoud8306 4 жыл бұрын
Pumabaavuu walizoea kupiga sana pesa za serikali lkn sasahivi ukipiga ujue unapiga roho yako 😂😂😂
@aminaomary908
@aminaomary908 4 жыл бұрын
😂😂
@johnlaoz1416
@johnlaoz1416 4 жыл бұрын
Mi naona siyo mpigaji mana hajasema upungufu wake uko wapi
@robertnoel5232
@robertnoel5232 4 жыл бұрын
Maendeleo ni kama Ujauzito haina haja kuyaelezea, Yataonekana na wananchi watayaona
@janegeogre3234
@janegeogre3234 4 жыл бұрын
pumbaaaaf kabisa kenge haoooo!! tumbuaaaaa....hatutaki wavivu blaa blaaa blaaa staki kuskia! wakiota mapembe waongezee mkia!... hapa ni kaz ju ya kaz yan bampu to bampa!!
@simbalion7323
@simbalion7323 4 жыл бұрын
kashapiga faru joni konyagii halafu waziri anamwambia usipewekazi popote hahaha lazima ulaleee
@gracejohn886
@gracejohn886 4 жыл бұрын
Jafo wewe endelea kutoa maelekezo mkulungenzi amechoka kalala ila anakusikia
@barakamgendi9649
@barakamgendi9649 4 жыл бұрын
Wewe bwana amka kama umesikia hiyo ..... tuwe pamoja kufuruhiiiii
@barakaalmas3399
@barakaalmas3399 4 жыл бұрын
Bora ukalime kuliko kuomba kaz kwa utawala huu🙆🙆🙆🙆🙆
@EdnaMuro-tx8os
@EdnaMuro-tx8os 3 ай бұрын
Iv kwann huyu wazir walimtoaga asee
@mudhihirumikidadi6066
@mudhihirumikidadi6066 3 жыл бұрын
Mtaua watu acheni ukaliwanguvu yasoda
@imhotepheru436
@imhotepheru436 3 жыл бұрын
Nawapongeza sana Viongozi wa Tanzania,,, Kwanza kwa kuwapa Watanzania contracts izi... Serikalii nyingi Africa wanagawa contacts hizi kwa Wachina na wageni... Namshukuru waziri uyu kwa kuwa tough.... Apa kazi tu ♥️
@rogersraymond2809
@rogersraymond2809 4 жыл бұрын
hahahahaha mchaga nomaa sanaa jamaa kazimaa uku mkono upo kwenye mfuko wa nyuma analinda wallet 🤣🤣😆😆🙌🏽🙌🏽🙌🏽Nani mwinginee kaona iyo?
@mbwanarajab7238
@mbwanarajab7238 3 ай бұрын
Watu hawakupewa nafasi kabisa ya kujieleza zaidi ya kutushiwa na kudhalilishwa
@nehaan5054
@nehaan5054 4 жыл бұрын
Mm noooooooooooo nshasemaa achaaa ibakii story ajazeeee yy ajionaa mjuajii shikaaa tenaa lucky za customers tenaa nkasema nyotee wadosi wwngune wabyaaa wanawake mkichezaaaa mufungwee nafsiiii zenu cc wanawake cyooo sawaaa wazur wapo wabyaaa wapooo🤪🤪🤪🤪😜👋🙏
@estherkahindo6495
@estherkahindo6495 3 жыл бұрын
Kiekiekiekie kiekiekiekie hapa ni kazi walipata elimu kwa muheshimiwa rais Magufuli tumupate wapi apa congo
@khadejarajab8007
@khadejarajab8007 4 жыл бұрын
Hahahahaha eti we bwana simama hapa kazi 2😂😂😂😂
@hamidayusuph249
@hamidayusuph249 4 жыл бұрын
Jomon duuuh TZ SIHAMI😃😃😃😃😃😃😃Kuna Raha balaaaaa
@edsonmnyetumbi9723
@edsonmnyetumbi9723 4 жыл бұрын
ila miradi mingi inayumbishwa na baadhi ya viongozi huyo mkurugenzi wa kampuni dhahili anaonyesha kuna kitu kaficha kuweka wazi mbele ya waziri hii tumeona miradi mingi huku kwetu mainjinia wameshindwa kumaliza miladi hii imetokana na urasimu wa baadhi ya viongozi
@skjjsj1889
@skjjsj1889 3 жыл бұрын
Wazaramo wakina za kusema. Hawawezi mate. Maneno kama. Cherehani mpaka bb wa. Watu kazimia waramo kwa kuongea
@shabankiwesi6727
@shabankiwesi6727 4 жыл бұрын
Hawa ndo mawaziri siyo wakuchekacheka hapa kaz tuu big up mh,jafo.
@davidsonstevenson2653
@davidsonstevenson2653 4 жыл бұрын
alikua na mkopo huyo
@fauziakarama8581
@fauziakarama8581 3 жыл бұрын
Kwa pressure hizo watazimia wengi tuu
@burundishallsmile1day109
@burundishallsmile1day109 4 жыл бұрын
Labda Amezimia baada ya kuambiwa Aendelee kukatwa malipo na huenda ana madeni bado yakuwalipa outsourcers wake! Maskini Maisha ya Mtu siri yake!!!
@juliasdiyagu6585
@juliasdiyagu6585 3 жыл бұрын
Wameonea sana lakn sasa basi mama tunataka mtu ajitetee sio kisawewe kiongozi uogopwe never
@abdallasukwa8910
@abdallasukwa8910 4 жыл бұрын
Tatu Bora wagombea uraisi zanzibari
@hajihaji1991
@hajihaji1991 4 жыл бұрын
Kweli tunakabidhiw kaz na zinatkiw zifanyw ndani ya mda ila inapotoke kinyume lazima tusemezane kW nzuri na sio ya kutiana presha
@raphaelkimaro1753
@raphaelkimaro1753 4 жыл бұрын
sasa mtu gani anazimia huku anazuia mfuko pesa zisitoke. wajaribu kumtoa pesa kama hataamka
@carrenchigulu5712
@carrenchigulu5712 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu mie nisaidieni
@jamcmeja2557
@jamcmeja2557 4 жыл бұрын
Mbane kila MTU ajitahidi kufanya kasi
@kasendelukadi2047
@kasendelukadi2047 3 жыл бұрын
Africa tuna shida kwa kweli
@BontamLee
@BontamLee 4 жыл бұрын
Hatari kweli kweli,,mjomba KIKWETE,tunakufa huku wapiga dili.
@kudisalashija9823
@kudisalashija9823 4 жыл бұрын
Jamaa kaanguka huku kashika mfuko wenye pesa!!!
@g.p.ubandusa7564
@g.p.ubandusa7564 4 жыл бұрын
Hpn uwesi fanya hivyo
@tausijuma5222
@tausijuma5222 4 жыл бұрын
Kwenye suruali kuna usalama kweli haha maana kashika tumbo
@mrsochu-hv7bm
@mrsochu-hv7bm 4 жыл бұрын
😥😥😥inatia huruma lakn kama vile baba yangu .....
@esaumahundi5076
@esaumahundi5076 4 жыл бұрын
Jamani jamani selikali niwatumie wachina wako vizuri kwa viwngo vya lami huwezi ukalinganisha na wazawa wanaweka taa zao Kama kutisha kwa Nini msiwatumiee hai wachina mtaweka vilaka vya lami mpakalini?
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 5 ай бұрын
😂😂😂 tunaongalia 2024 gonga like hapa👇👇
@ayoubabdull1265
@ayoubabdull1265 4 жыл бұрын
Ha,ha,ha,ha, Jafo umempeleka kuzim huy mtu ...chakula kinakatika heshima hakuna kaona bora aende zake duuuuh! kama kaz hamziwez msikimbilie kuingia mikataba zama hiz mtakufa bure bora zama zile hata miaka mitano hakuna anaekuuliza umefkia wapi achen kauzen mboga mboga huko...pumbav..
@barakammari7459
@barakammari7459 4 жыл бұрын
Hatari sana wakuu mtu anapga chini presha hiyo jaman mnaeza kuua
@ndobolimuganila1904
@ndobolimuganila1904 4 жыл бұрын
Aaaaahaaaaa oy muonee huruma hyo mdingi aixey maisha!!!!
@juliasdiyagu6585
@juliasdiyagu6585 3 жыл бұрын
Dah unapewa kazi alafuwakiona nyingi wnakata daaaaah inatosha sasa
@allyahmed4014
@allyahmed4014 4 жыл бұрын
Mkurugenzi kazimia lakini mkono upo kwenye mfuko wa nyuma anaogopa wazee wa kuchomoa betri wasije jiongeza 😂😂😂
@nehaan5054
@nehaan5054 4 жыл бұрын
Kmaa munguuu kaa mumbaa maumbile yaleyale ya munguu mtu ainaa hyo Hua hakujaaliwaa changanmkaaa yy mwenywee time hamnaa musidhani kmaa nataka wenzake laaah badaaa asharikiwaaa ki uchumii atakaa gorse no away road close ckufichii ckuttakii bakii uchoreee story maqtooob molaaa kkamjalia
@jawadena2294
@jawadena2294 4 жыл бұрын
Barabara mbovu sana ya kwenda maramba raisi
@ramadhaniisihaka295
@ramadhaniisihaka295 4 жыл бұрын
Kweli wazalam noma aisee😀😀😀😀😀😀😀
Players vs Corner Flags 🤯
00:28
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 74 МЛН
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 10 МЛН
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 257 МЛН
Every parent is like this ❤️💚💚💜💙
00:10
Like Asiya
Рет қаралды 16 МЛН
South Africa-Mandela and Nyerere news conference
2:15
AP Archive
Рет қаралды 1 МЛН
"NAKUAGIZA MSIMAMISHE KAZI LEO, AMEUA, ETI ALILEWA, KHAA" - MAGUFULI
8:19
MZEE WASIRA AONGEA MAZITO MAANDAMANO YA CHADEMA, MBOWE ANA..
26:33
Players vs Corner Flags 🤯
00:28
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 74 МЛН