"NAKUAGIZA MSIMAMISHE KAZI LEO, AMEUA, ETI ALILEWA, KHAA" - MAGUFULI

  Рет қаралды 850,385

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

"NAKUAGIZA MSIMAMISHE KAZI LEO, AMEUA, ETI ALILEWA, KHAA" - MAGUFULI
Rais Dkt John Magufuli, leo Novemba 27, ameanza ziara rasmi katika mkoa wa Shinyanga, ambapo kabla ya kuwasili amesimama katika maeneo tofauti tofauti barabarani na kuzungumza na wananchi..
#MAGUFULI
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY:
www.youtube.co....
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
www.youtube.co....
GLOBAL RADIO TV:
www.youtube.co....
EXCLUSIVE INTERVIEW:
www.youtube.co...

Пікірлер: 514
@CK-ri1mo
@CK-ri1mo 8 ай бұрын
Kama umerud hap kuangaliana Tena gonga like hapa!!!!
@jamesmwikwabe6811
@jamesmwikwabe6811 3 жыл бұрын
I'm Kenyan but always you're my mentor. Rest in peace legend 💪
@chibabydaniel
@chibabydaniel 3 жыл бұрын
Tanzanians this man was a gift from God. You'll all live to remember this man. Meanwhile rest in peace kipenzi cha watu.
@saidyussuf1039
@saidyussuf1039 4 жыл бұрын
Asante mjomba Magu kaz nzur
@kashindisimon5265
@kashindisimon5265 4 жыл бұрын
Asante magu kwa Hilo...uko.sawa
@amtheevenus1627
@amtheevenus1627 3 жыл бұрын
Am a Kenyan bt wah this Man was a leader n prayerful rip
@masakaupdate1488
@masakaupdate1488 4 жыл бұрын
Mungu jamanii uyuu Rais nampenda kama babangu mungu angemuonesha tangu mapema tungefika mbali..
@nyotawauniquem7462
@nyotawauniquem7462 4 жыл бұрын
Mnooooooo
@jumakivilo1933
@jumakivilo1933 3 жыл бұрын
Mungu ailaze roho yake mahali pema
@masakaupdate1488
@masakaupdate1488 3 жыл бұрын
@@jumakivilo1933 😭😭😭😭
@hajingangila1558
@hajingangila1558 4 жыл бұрын
Wewe ni jembe hata kama halina mpini linalima tu Mwaaaaaaaa Mh Rais Magufuli nakukubali Sana Live Kiongozi unatenda haki.
@frankbunga488
@frankbunga488 4 жыл бұрын
MH jpm njoo wikaya ya nzg rasmi kero ni nyingi sana
@idrissamussa9529
@idrissamussa9529 4 жыл бұрын
mungu akupe miaka yote
@yufusmalika8339
@yufusmalika8339 Жыл бұрын
Kenya needs a leader like you. Rest in peace.
@juwatv1789
@juwatv1789 9 ай бұрын
The spirit of magufuli makes me smile
@MohamedAli-ho5fq
@MohamedAli-ho5fq 4 жыл бұрын
Yahani mimi machozi yananitoka Mungu amjalie uyu Rais wetu Yani akuna dunia nzima rais kama uyu dunia nzima ❤
@mohamedfaris3000
@mohamedfaris3000 4 жыл бұрын
Hakika wewe ni Faghari yetu, hakika huu ndio uadilifu, hongera Mheshimiwa bora Africa nzima
@agnesndetei4235
@agnesndetei4235 3 жыл бұрын
Rest in peace magufuli you were one in a million,that video speaks for itself.
@sarahwambui8213
@sarahwambui8213 3 жыл бұрын
Raisi wa wanyonge,Mwenyezi Mungu akurehemu.. You loved God and you had a big heart. Nilikupenda bure tu.. Lala salama baba tutapatana baadaye..
@bizimanaadolphe171
@bizimanaadolphe171 10 ай бұрын
Yooo nani uriwacia muzazi magufuri ware ambao urikuwa una watetea .mungu una uruma kweli?
@dianekamariza623
@dianekamariza623 4 жыл бұрын
Wa TANZANIA MUMEBARIKIWA RAISI MWEMA MUNGU AKUBARIKI SANA RAISI MAGUFUNLI🙏
@hjhj6230
@hjhj6230 4 жыл бұрын
Amiin
@jescerprosper6229
@jescerprosper6229 3 жыл бұрын
Daaaah magu mungu akuraze Mahala pema pepon
@rahmakatotok3489
@rahmakatotok3489 4 жыл бұрын
Rais wangu mtetezi wa wanyonge hongera sana baba
@felixkamkala3303
@felixkamkala3303 4 жыл бұрын
I LOVE SO MUCH MAGUFULI KAA IKULU 2015 HADI 2035 SISI WATANZANIA TUKO TIYARI
@brownsebastianmwibi5647
@brownsebastianmwibi5647 4 жыл бұрын
Kweli hata mm namkubali sana Magufuli. Ila wewe hujui ulisemalo, eti akae mpaka 2035? Khaaa
@felixkamkala3303
@felixkamkala3303 4 жыл бұрын
@@brownsebastianmwibi5647 KWAIYO WEWE UNANIZUIA KUWA NA MAWAZO YANGU BINAFSI ETI??WEWE TOA NA WEWE YAKWAKO USITEMBEREE KWENYE MAWAZO YANGU VIP MZEE BABA
@charlesfarru4309
@charlesfarru4309 4 жыл бұрын
Acha kuongea ujinga 2035 kwa katiba ipi
@felixkamkala3303
@felixkamkala3303 4 жыл бұрын
@@charlesfarru4309 KWANI UNATESEKA?
@hassanmzee2878
@hassanmzee2878 4 жыл бұрын
2060 twende magu mungu akupe umri mrefu
@malkiawanguvu3150
@malkiawanguvu3150 4 жыл бұрын
Hakuna haja ya kupiga tena kura apitishwe kwa KURA za NDIO tz nzima, wewe baba unajua hadi keroooo, Mungu akulinde daima , kitu nakupendea hujali ulisoma nae, hujali ndg wa damu au msikaji akilet ukinga wewe unatumbua tu, love u moreeeeee
@valorrugubira6016
@valorrugubira6016 3 жыл бұрын
THIS ONE WAS A GIFT FROM GOD TO TANZANIANS
@nadiahussein5892
@nadiahussein5892 4 жыл бұрын
Prezidaaaaaaa ❤❤❤❤❤❤mungu akulinde baba
@mauriceogoma9591
@mauriceogoma9591 4 жыл бұрын
You are a great leader Mr president, ni wachache wanafanya kazi kama wewe na mwenyezi Mungu akubariki sana.
@calolinamwandali3599
@calolinamwandali3599 3 жыл бұрын
HIS EXCELLENCE,YOU ARE A PRESIDENT OF THE PIPO,AND,NOT ONLY TANZANIA,BUT EAST AFRICA, AS WHOLE,YOU LEAD WITH THE GUIDE OF THE LORD,COZ YOU HAVE WISDOM,WHICH IS THE FEAR OF THE LORD,THANK YOU,GOD BLESS YOU,PROTECT YOU IN YOUR DAILY UNDERTAKINGS!
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 4 жыл бұрын
Mungu Akulinde Rais wetu.Akupe Afya na nguvu yakutuongoza.
@saidisalabi7693
@saidisalabi7693 4 жыл бұрын
Ingekuwa Ni raiya wa kawaida angeozea jela. Lakini kwakuwa Ni traffic anaonaliwa tu.
@nasrakilela1607
@nasrakilela1607 4 жыл бұрын
Ilove you Dady mungu akutangulie kwa kila ulifanyalo na akulinde kwa kila akuwindae
@silverrichard2975
@silverrichard2975 3 жыл бұрын
R.I.P DR MAGUFULI uliwapenda wananchi wako na kifo chako kiliwaliza watanzania wengi hasa sisi masikini tulikupenda sana
@happysanga3909
@happysanga3909 3 жыл бұрын
Mungu akupe maisha ya Furaha uko uliko ulikua una moyo wa huruma sana nimeamini watu wema hawadumu kwakweli daah inauma sana
@bonifacendayisaba5198
@bonifacendayisaba5198 Жыл бұрын
Moyo mwema, JPM alikuwa mtumishi wa Bwana Yesu. RIP
@AnnKk-sj8ij
@AnnKk-sj8ij 4 жыл бұрын
D.J P Magufuli you're one in a Million in all Presidents, superpower man ,Raisi wawanyonge i ungelikua ndio raisi wetu wa Kenya i sei.Hongera papa kazi nzuri unafanya kwa watanzania msaada wako na kazi yako inaonekana PAPA Lao. Tano 🤛tena
@LB3TATEGERERO
@LB3TATEGERERO 4 жыл бұрын
Kutoka Congo DRC, Mungu aku baraki Rais magufuli, nimetowa machozi kuona roho Njuri ya Raisi John. Mungu aku bariki tena zaidi
@wamaramugara495
@wamaramugara495 2 жыл бұрын
Baba mungu wetu akupe mahali pema peponi
@yusufhusen7067
@yusufhusen7067 4 жыл бұрын
Kwa kweli mungu akulipe
@judithsolanus5852
@judithsolanus5852 4 жыл бұрын
Daaaaah.... Magufuli mbonge la rais kwa kweli mungu akutunze baba 🙏🙏🙏🙏
@mecktyudithmgindo210
@mecktyudithmgindo210 4 жыл бұрын
Nimelia Sana Mungu akuweke maisha marefu mkuu wetu machozi ya watu hayendi bure
@edinahmaganga2722
@edinahmaganga2722 4 жыл бұрын
Nampenda sana Rais wangu ni mtu wa watu Mungu akubariki sana Baba uishi milele
@themutivas5843
@themutivas5843 4 жыл бұрын
Hongera raisi magufuli,mutetezi wa wanyongenge watching from kenya, nikama nitahamia TANZANIA
@monyiaichimawole8924
@monyiaichimawole8924 3 жыл бұрын
Wakati mwingine binadamu atuna shukrani mm nimejaribu kuangalia kazi za mh na anavyotenda kwa hekima sina budi kusema yy sio malaika ata kama kuna anapokosea ila anatenda Mungu akulinde yapo mengi Bb ni vile tu huwezi fika na kusikia yote ubarikiwe sanaaaaa
@rhodakalolo9303
@rhodakalolo9303 4 жыл бұрын
Tunakupenda Sana mungu akupe maisha marefu,
@deusmallya6664
@deusmallya6664 4 жыл бұрын
Mungu azidi kukujalia maisha mrefu rais wetu🙏🙏
@rosewairimu1217
@rosewairimu1217 4 жыл бұрын
Tutahamia TZ,Raisi wa maajabu,MUNGU akudumiahe
@eggysulle7988
@eggysulle7988 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@aliloutfiya3
@aliloutfiya3 3 жыл бұрын
J'arrive pas à retenir mes larmes Qu'Allah vous protège monsieur le Président
@majutomfaume5433
@majutomfaume5433 4 жыл бұрын
Magufuri wewe nikiongozi wa watu, hongera sana Rais wangu unatosha saaaaaaanaaaaaaaa....!!!! Namuomba Mungu nikikua niwe kama wewe.....!!!
@eldajoshua898
@eldajoshua898 4 жыл бұрын
Mi naomba mungu akulinde uongoze miaka yoooooote
@danymwakanyamale4510
@danymwakanyamale4510 4 жыл бұрын
Dany Mwakanyamale
@amirmikidad6380
@amirmikidad6380 Жыл бұрын
utakufa mapema
@magrethmacha6909
@magrethmacha6909 3 жыл бұрын
Mungu azd kukupa maisha marefu baba..
@eliahmashala5180
@eliahmashala5180 4 жыл бұрын
Majibu ya watanzania kupata kiongozi mwema yalisikika muda mrefu sana ila wakati wa MUNGU ulikuwa bado. .na sasa tunashuhudia jinsi mwenyezi MUNGU alivyotujibu kwa UPENDO wa dhati juu ya kiongozi mwenye hofu ya MUNGU. ..Tunakuombea mheshimiwa JPM kwa kazi zako njema MAY GOD BLESS TANZANIA AND THEIR PEOPLE'S. ..AMEN
@maxdizzo2560
@maxdizzo2560 4 ай бұрын
Amen
@eastafricabrokerkiller8028
@eastafricabrokerkiller8028 4 жыл бұрын
Safi kamanda magu
@jamilasuleiman6438
@jamilasuleiman6438 4 жыл бұрын
Mungu akubariki sanaa
@salmaomary7793
@salmaomary7793 4 жыл бұрын
Mungu mwema magufuri rais wa wanyonge
@priscamwita.mtotoniwakeham9126
@priscamwita.mtotoniwakeham9126 4 жыл бұрын
Mungu akubariki magufuri
@hassanluqman7823
@hassanluqman7823 4 жыл бұрын
Akuna LA kumuombeya ila tuh mungu akupe maisha mema na umri mrefu na akuongoze kwa njia ( DINI )Iliyo sahihi
@brownsebastianmwibi5647
@brownsebastianmwibi5647 4 жыл бұрын
Unataka asilimu??
@hopekabano8051
@hopekabano8051 4 жыл бұрын
🤣🤣
@dyanatanz6574
@dyanatanz6574 4 жыл бұрын
@@brownsebastianmwibi5647 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀maana waislam ndio uwa wanajiona wao ni watu wa mungu.
@brownsebastianmwibi5647
@brownsebastianmwibi5647 4 жыл бұрын
Ni hatari@@dyanatanz6574
@dyanatanz6574
@dyanatanz6574 4 жыл бұрын
@@brownsebastianmwibi5647 kwel kaka haon kama tunatia aib kwa nn asiboleshe elim hicho kingeleza kifundishwe hata kwa shule za maskin. Et nilisain kumbe nimehukumiwa mm 😀😀😀😀kingeleza simama nishuke
@danielnaibei3244
@danielnaibei3244 3 жыл бұрын
Though you are gone, I salute you Doctor,RIP
@dazuujuma1211
@dazuujuma1211 4 жыл бұрын
💓💓💓💓 presider MAGU 💪💪💪
@geraldmollel4050
@geraldmollel4050 4 жыл бұрын
Nambi muswahili
@lucyombayzakayo2660
@lucyombayzakayo2660 4 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akulinde baba Magufuli!
@LuckyTemu
@LuckyTemu 4 ай бұрын
CHUMA REST EASY DAD❤😢
@dianafancy6726
@dianafancy6726 3 жыл бұрын
He's such an amazing soul
@stevenmasangula2104
@stevenmasangula2104 2 жыл бұрын
Siku zote nitasema REST IN POWER MAGUFULI (RIP) RAIS WANGU WA REJEA
@jonaskikoti4309
@jonaskikoti4309 4 жыл бұрын
Magu hakika Mungu akulinde
@SAMWELLUKUMAY-w9w
@SAMWELLUKUMAY-w9w 3 ай бұрын
Daaaah! Ulikua mwemaa sanaa. Mungu akupumzishee mahala pemaa
@sharifaselemani4608
@sharifaselemani4608 4 жыл бұрын
I love you baba nitakupenda suku zote
@zurahassan9447
@zurahassan9447 4 жыл бұрын
Nakupenda sana kwa imani yako
@saidiselemani7786
@saidiselemani7786 4 жыл бұрын
Rais Kama huyu duniani utamutafta sanaaaa sisi watanzania tuitumie nafasi hii
@mrintrepid8996
@mrintrepid8996 8 ай бұрын
Tanzanians were the luckiest people of Africa ever for having Magufuli. No president will ever come to be like him. Rest easy my HERO.
@nestoryvunja2885
@nestoryvunja2885 4 жыл бұрын
God bless you my president Dr John Joseph Pombe Magufuli
@deboramngure1976
@deboramngure1976 4 жыл бұрын
Mungu akutangulie Baba wetu kipenzi
@biringanineregina3572
@biringanineregina3572 3 жыл бұрын
Baba muheshimiwa rahisi umepewa hekima na Mungu ubarikiwe milele kwa hekima uliyopewa na Mungu
@jacksoncharlz5613
@jacksoncharlz5613 11 ай бұрын
Mungu amlinde sana uyu mwamba daaah
@bayorobby1866
@bayorobby1866 4 жыл бұрын
+254 long live rais Magufuli! Napenda Tanzania
@isayahzachariah8135
@isayahzachariah8135 4 жыл бұрын
Eee mungu bariki taifa letu la tz na mubariki rais wetu magufuri
@CatherineAloyce-ew4go
@CatherineAloyce-ew4go Жыл бұрын
Roho yako ilale maalipema peponi baba 🙏
@CONSOLE177
@CONSOLE177 10 ай бұрын
Nguzo imeanguka jamani Pole 🇹🇿 Mungu amekupenda kuliko sisi😢
@theantara8931
@theantara8931 4 жыл бұрын
Mungu akubariki
@batulimohamed6088
@batulimohamed6088 4 жыл бұрын
Mungu akulinde rais wt
@ENM2603
@ENM2603 8 ай бұрын
Cet homme était un don du ciel
@hitamungujeandamascene5710
@hitamungujeandamascene5710 2 жыл бұрын
namlilia sana mheshimiwa Rais Magufuli AFRIKA NZIMA TUMEMPOTEZA RAIS SHUJAA
@KhadijaMohammed-z8c
@KhadijaMohammed-z8c 7 ай бұрын
Allah anapenda viongozi Kama Hawa wenye haki siku ya kiama Allah atawapa kivuli angali iyoo siku akuto kua na kivuli mungu amlipe nimeona malaisi lakini uyuuu mungu amlipe kwa haki izii alizo fanya enzi za uhai wake
@zurahassan9447
@zurahassan9447 4 жыл бұрын
mungu akuinuwe wendelee kuongoza Tanzania
@rafikielaniki124
@rafikielaniki124 4 жыл бұрын
Kweli mtetezi wawanyonge barikiwa sana
@zaitunidaudi3936
@zaitunidaudi3936 4 жыл бұрын
mungu akupe maisha malefu
@MeshackLukanda
@MeshackLukanda 9 ай бұрын
ujue Tz tunazingua
@annalukuwi8495
@annalukuwi8495 4 жыл бұрын
Mungu akujaalie Raisi wetu kwa kweli wewe ni kiongozi wa kipekee sana Mwenyezi Mungu akupe Afya njema ili uweze kutuongoza vyema ubarikiwe sana sana
@msafirikushama9188
@msafirikushama9188 4 жыл бұрын
Hivyo ndiyo maana ya Rais ni kuwaongoza na kuwatumikia watu ili hao watu waone faida ya kuwa katika nchi huru yenye demokrasia inayofuata haki katika maamuzi.
@nicholasmacharia3102
@nicholasmacharia3102 11 ай бұрын
The best gift Tanzania will ever have.
@aminamichael1706
@aminamichael1706 3 жыл бұрын
Mungu yupo siku zote akuhifadhi unapostahili magufuli Wetumpka
@husseinkihame9542
@husseinkihame9542 3 жыл бұрын
Aliteseka sana Rais wetu kiukweli wasaidizi wake wengi walikuwa hawamsaidii kwa kiwango kinachotakiwa
@naomymasawe2062
@naomymasawe2062 4 жыл бұрын
Ubarikiwe sana rais wetu tunakupenda sana
@brunidamadege3747
@brunidamadege3747 Жыл бұрын
😭😭😭Baba rudi Baba tunakukumbuka saana Mungu Fanya njia tunalia.
@georgemhalla3515
@georgemhalla3515 4 жыл бұрын
Duuuuu hatari sana, Hongera Mzee baba
@jabilishekusa2202
@jabilishekusa2202 4 жыл бұрын
Duh mimi ni chadema lakini napenda sana raisi wangu magufuri mungu akupe umli mrefu akulinde nashali za wasiokupenda
@mchaggakilimanjaro1263
@mchaggakilimanjaro1263 4 жыл бұрын
Abarikiwe tumepata kiongozi murwa Tz
@sirajimohammed3323
@sirajimohammed3323 4 жыл бұрын
sawa baba
@godliverbilagambalaye6246
@godliverbilagambalaye6246 4 жыл бұрын
Jamani baba mungu akuongoze baba Nina wimbo wako
@RichardKanyi-hu7eg
@RichardKanyi-hu7eg 7 ай бұрын
I will never forget makufuli and I am Kenyan but Uyu alikua wa haki
@omidogo5538
@omidogo5538 4 жыл бұрын
Pole sn mama kwa mtihani mungu atakusaidia,na hao polisi huwa wadebana kwa kesi zao ,rais br washore vizuri ,wajuwe kazi zao satakaa sawa tu tunakuomba
@danieldaniel-lb2on
@danieldaniel-lb2on 4 жыл бұрын
Nimekuelewa afande!
@lovefisima8010
@lovefisima8010 4 жыл бұрын
Hahahahaha sawa afande
@josewillson1813
@josewillson1813 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@florahmushy4917
@florahmushy4917 4 жыл бұрын
Mhe. Mungu akutunze sana
@Asmaa-nk4ef
@Asmaa-nk4ef Жыл бұрын
Machozi yamenitoka pumzka kwa amani rais Wang mungu akupe Nuru ya milele kaburn kwako nakupenda na ntakupenda milele kiongoz Wang ❤️❤️🙏🙏
@agelkihaula5622
@agelkihaula5622 4 жыл бұрын
Mungu akurinde raisi.wetu akupe.afya njemaaaaaa
@princealex5291
@princealex5291 4 жыл бұрын
Mungu andelee kukup moyo kam huo Rais wetu
@denisjohn1719
@denisjohn1719 Ай бұрын
I miss you Uncle Magu!
@latifamkulazi8378
@latifamkulazi8378 4 жыл бұрын
Asante mungu kwa kutujaalia Rais mpenda haki
@omaryjuma4856
@omaryjuma4856 4 жыл бұрын
Mhe uje naitigi kunamaovo sana
@bintmlimba1876
@bintmlimba1876 4 жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzanian, Mungu mbariki Raisi wetu.
@jafarimoshi9269
@jafarimoshi9269 4 жыл бұрын
Binafs nimelizika namaamuz yako rais Wang love you mungu akulinde
@maidamwaipopo7645
@maidamwaipopo7645 4 жыл бұрын
Duuu nimelia sana kwa huyu rais magufuri jamani mimi sina cha kusema
@annakomba9599
@annakomba9599 4 жыл бұрын
tumepata jembe lakweli
@vihamema8975
@vihamema8975 4 жыл бұрын
Xx
@okotalbertoloya8058
@okotalbertoloya8058 Жыл бұрын
You are the only president I will remember in my life 🤝
@FadhilisaidiNgeni
@FadhilisaidiNgeni 13 күн бұрын
Hongera magufu
@jestinakanji8168
@jestinakanji8168 4 жыл бұрын
Hakika mungu katupa raisi mwenye huruma😭😭😭😭😭😭
@gasipanesitor9610
@gasipanesitor9610 4 жыл бұрын
Amakweli laisi wetu magufuli nimpakwa mafuta Mungu anakaandani yake ana nibaliki sana. Tuzidi kumuombea kwa Mungu asongembere.
DUH! MAGUFULI ASHTUKIA MCHEZO MCHAFU - AMBANA MEYA - "PESA ZIKO WAPI?"....
11:32
MAMBO YALIYOMCHEFUA MAGUFULI KUPITA KIASI LEO NI HAYA..
25:04
Global TV Online
Рет қаралды 1,3 МЛН
iPhone or Chocolate??
00:16
Hungry FAM
Рет қаралды 53 МЛН
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 30 МЛН
MAGUFULI AMPIGIA MKURUGENZI TAKUKURU LAIVU, AMFUKUZA KAMISHNA WA MKOA!
13:52
Wananchi 'WAMCHONGEA' MBUNGE, DC kwa MAGUFULI LAIVU - "WANATUTISHA"
15:50
Global TV Online
Рет қаралды 743 М.
"RPC UMLIPE HUYU MAMA MIL 15, HUYO GADDAF YUKO WAPI KWANI? - JPM
11:08
Global TV Online
Рет қаралды 3,7 МЛН
MANENO YA AGREY MWANRI 'YAMKAUSHA MBAVU' MAGUFULI "MAMBO NI BUM BUM"
4:56
Mtanzania Digital
Рет қаралды 1,8 МЛН
LIVE : RAIS DKT. JOHN P. MAGUFULI AKIWA NJIANI KURUDI DAR ES SALAAM
5:25
LIVE: MAGUFULI AMKATAZA MKURUGENZI KUONGEA KIINGEREZA "NITAKIFUNGA"
23:26