INJINIA ALIYEJENGA SHULE za KATA ARUSHA TANGU 2007 HAJALIPWA PESA - AMEFILISIKA - MAKONDA AHUZUNIKA

  Рет қаралды 215,174

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

INJINIA ALIYEJENGA SHULE za KATA ARUSHA TANGU 2007 HAJALIPWA PESA - AMEFILISIKA - MAKONDA AHUZUNIKA
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 637
@globaltv_online
@globaltv_online 4 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@mwitakegera8426
@mwitakegera8426 2 ай бұрын
I am actually from Kenya and I congratulate this Man for the good work, such kind of people need to be leader
@ZuhuraNyange
@ZuhuraNyange 2 ай бұрын
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@JosephatJoseph-eo8xj
@JosephatJoseph-eo8xj 4 ай бұрын
Mimi ni wa CHADEMA ila kazi ya makonda imenikosha sana Mungu hakulinde
@naimatemba8061
@naimatemba8061 3 ай бұрын
Yaani wacha kabisa
@justinog3105
@justinog3105 4 ай бұрын
Wana Arusha mko na bahati mlipewa na Mungu kwa kumpata makonda angefika kwetu burundi shida zingepungua mnae kubali makonda mniongezee likes hapo Mungu ampe maisha marefu
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 4 ай бұрын
Sana kiukweli naomba mungu atuletee makonda mkoa wa TANGA , mana huku Kuna madudu mengi
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 4 ай бұрын
Makonda apige kazi
@Bandura386
@Bandura386 4 ай бұрын
Makonda njoo kibondoo
@jokhajj
@jokhajj 4 ай бұрын
Kwakwl shida zingepungua mungu atusaidie burundi aise tuje tupate mtu kama makonda😢
@ashrafadam4629
@ashrafadam4629 4 ай бұрын
Arusha kuna madudu mengi mkoa una vurugu sana huko ujanja mwng mbele kiza , makonda okoa jahaz huko vgogo na madon weng n dhuluma za wanyonge
@AliMkumbukwa
@AliMkumbukwa 4 ай бұрын
Vote for president to be makondaa Piga like kwa niaba ya makonda
@mnyongeiddi2454
@mnyongeiddi2454 4 ай бұрын
CCM simamisheni makonda agombee hata urais huyu anaweza kuwa tunu ya Taifa
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 4 ай бұрын
We hawawezi 😂😂😂 coz kunawatu hawataki hata kumuona ila Kwa nguvu ya Mungu inawezekana
@mnyongeiddi2454
@mnyongeiddi2454 4 ай бұрын
@@georgekimasaofficial1629 bro Mimi kura yangu siwezi kupigia CCM ila kwa hili jembe kama inatokea anagombea kura yangu inaenda CCM
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 4 ай бұрын
Wakati wa Mungu ndo wakati sahihi, kunywa mchuzi nyama zipo chini... Time will tell
@nelsonngowi3950
@nelsonngowi3950 4 ай бұрын
Hata km mkuu watakuchukia, wakuchukie tu ila Mungu atalipa sikio lako lakusikiliza wananchi wako
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 4 ай бұрын
Huyu Mh Anastahiki kuungwa mkono Safi sana
@AlfaEnock-st9md
@AlfaEnock-st9md 4 ай бұрын
Hawa ndio mnasema makonda anawadhalilisha.. Ila amini nawaambia ipo siku mungu atawajibu😥😥
@dullamuso6955
@dullamuso6955 4 ай бұрын
Mungu azidi kukutunza Makonda, Unapiga kazi unatukumbusha Hayati Magufuli.
@oscarcharles9624
@oscarcharles9624 4 ай бұрын
kweli kabisa huyu ni rais wetu makufuli
@omariKalyango
@omariKalyango 3 ай бұрын
Huna akili hiyo ndo kazi yake rais ajesimamie vitu kama hivyo alio wateua wafanye kazigani
@Mgema001
@Mgema001 4 ай бұрын
Nimekuja kugundua mama samia tunamtupiaga tu lawama...kuna hawa watendaji wa chini ni ugonjwa kwa kweli....Mama samia tunakupenda mama etu
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 4 ай бұрын
Kbsaaa
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 4 ай бұрын
Chini kumeoza
@nelsonnikodem1100
@nelsonnikodem1100 4 ай бұрын
Mama Hana shida kabisa yupo vizuri mwenyezi munguu amsimamie pamoja na makonda
@mussahancy6591
@mussahancy6591 4 ай бұрын
Umenena vema
@barbarasara4033
@barbarasara4033 4 ай бұрын
Umeonaaeeeee hawa watu WA halmashauri NI jipu
@ahmedsalim9463
@ahmedsalim9463 4 ай бұрын
Kazi ni ngumu lakini usikate tamaa Mungu yuko pamoja nawe
@gilbertdamas5297
@gilbertdamas5297 4 ай бұрын
Inauma sana huyo mkurugenzi afukunzwe kazi babisa
@IreneMacha-g8o
@IreneMacha-g8o 4 ай бұрын
Mkiambiwa mnalegeza sautiii mnasema mnadhalikishwaa😅😅😅
@BilalMuhammad-jt6sq
@BilalMuhammad-jt6sq 4 ай бұрын
Kweli ila kukaa uchi awaoni kua wanazarurisha
@thomsanga7956
@thomsanga7956 4 ай бұрын
Niwazi kabisa mkurugenzi hakua na mpango wa kulipa deni, miyeyusho tu
@elizaberthpius4511
@elizaberthpius4511 4 ай бұрын
Mungu tutunzie tena huyu Baba,,,❤We see you in him for de sake of wanyonge wote,God bless Tanzania
@issaramadhani9141
@issaramadhani9141 4 ай бұрын
Hivi jamani huyu mkurugenzi maelezo yake katika kila maswali anayoulizwa kuanzia wale wezi wa milioni 52 hakuna anachoeleza cha kueleweka sijui huo ukurugenzi anautendaje?😂
@emmanuelbenedicto589
@emmanuelbenedicto589 4 ай бұрын
Halafu watakuja kusema amedhalilishwa wakati hana msaada wowote kwenye utendaji
@capatinaugustingatari
@capatinaugustingatari 4 ай бұрын
Ama kweli Umzaniae ndiye kumbe siye hivi kwili watu wa Arusha haya mliyategemea kwa Mh Makonda?sidhani sasa angalieni jinsi anavyo fanya kazi nzuri hongera zako Mh Makonda 👏👏👏👏👏
@stanleynombwe4865
@stanleynombwe4865 4 ай бұрын
Hilo tatizo la uzulumu mafundi kwenye miladi ya serikali imezoekeka
@HemedMnyambwa
@HemedMnyambwa 4 ай бұрын
Wanao dhumu sio serikali ni walioko serekalin ndio wanaodhumu n Hawa wanaoidhinisha hela ndo changamoto
@emmanuelsunday8325
@emmanuelsunday8325 4 ай бұрын
Kwani watumishi wa serkari ndo serkari hiyo hiyo na ndo inazulumu watu wake
@sospetermigera685
@sospetermigera685 4 ай бұрын
Baadaye mseme anawakosea. MAKONDA anafanya kazi. Mama anaangushwa na watendaji wa chini
@ErastoMkolokoti
@ErastoMkolokoti 4 ай бұрын
Makonda Mungu atakufikisha tu kwenye uraisi wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania wakati ukifika bila upinzani na watesi wako hawatoamini
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 4 ай бұрын
Haswa
@ceciliamallya
@ceciliamallya 3 ай бұрын
Tuendelee kumuombea afike kwenye kusudi
@jacksonsulle6673
@jacksonsulle6673 4 ай бұрын
Level ya Mkoa kwa Makonda bado hatujatendea haki watanzania walio wengi
@sanduulemo
@sanduulemo 4 ай бұрын
Haya yakisemwa mtu anasema anadharilisha watumishi!!
@raymondlyamuya6900
@raymondlyamuya6900 4 ай бұрын
Huyo Mkurugenzi Kilaza sanahamna kitu hapo
@HemedMnyambwa
@HemedMnyambwa 4 ай бұрын
Loko fundi tunapitia changamoto haza tunapota denda kwenye taasisi ni kama hizii ,alafuu ajitikeza jitu huko anasema makonda anazalilisha watumishi, embu avaee viatu vya huyuu inginia wetu. Mafundi njooni tufahamiane hapaaa
@emmanuelakutulaga9756
@emmanuelakutulaga9756 4 ай бұрын
MAKONDA KIJANA MWENZANGU NAFURAHISHWA SANA NA UTENDAJI WAKO WA KAZI, HICHI UNACHOKIFANYA NI VERY UNIQUE,THATS WHY WENGI SANA WANAKUCHUKIA,...ILA MUNGU AKUTUNZE SANA; BINAFSI NAAMINI TUNGEKUWA NA WAKUU WA MIKOA KAMA WEWE WA5 TU, NA MAWAZIRI KAMA WEWE WA5, NA WAKUU WA WILAYA WA5, NA WAKUU WA POLISI WA MIKAO WA5, NA MAAFISA WA TAKUKURU WA MIKOA WA5 TU, NA WAKUU WA MAHAKAMA ZA MIKOA WA5 TU; NCHI HII NDANI YA MIAKA 10; TRULY NAWAMBIENI UKWELI KABISA,KIPATO CHA KILA MTANZANIA MTAFUTAJI KINGEFIKA LAKI 5 PER MONTH,HATA UMRI WA KUISHI UNGEFIKA MIAKA 80. TUENDELEE KUMUABUDU MUNGU WETU ALIYEZIUMBA MBINGU NA DUNIA.
@yunistinatemba9466
@yunistinatemba9466 4 ай бұрын
Your more than bright Mhe Mkuu wa mkoa, " mlipokosa nyaraka zake zpo nyaraka za nani? Au alitoa msaada? Mungu akupe maisha marefu Mhe wetu
@leodgarchilala721
@leodgarchilala721 4 ай бұрын
Binafsi namkubali sana huyu jamaa pamoja na mapungufu yake machache ila ni bonge moja la kiongozi tena mwenye maono lkn hii nchi watu wanasimama kupinga eti kisa anaemuhoji ni mwanamke dah
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 4 ай бұрын
Damu ya YESU ikufunike Makonda🙏❣️
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 4 ай бұрын
Kwa sasa Mimi nimemkubali sana Makonda. Mzee wa ufufuo kwisha habari yake.
@SadaKigwangala
@SadaKigwangala 3 ай бұрын
Kwakweli
@peterpaschal4522
@peterpaschal4522 4 ай бұрын
Mheshimiwa makonda unafanya kazi nzuri ila hii nchi inahitaji mabadiliko ya seheria maana wanyonge Wana pata shida sana
@Mgema001
@Mgema001 4 ай бұрын
Kila siku nasema wanaoturudisha nyuma hii nchi ni viongozi wa chini hawa wadogowadogo...big up makonda
@nuruurio8319
@nuruurio8319 4 ай бұрын
Yaan viomgoz ndo shida wananchi siyo tatizo kabisa
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 4 ай бұрын
Hakika, na tukipata watu watano tu katika hii nchi kama makonda nchi ingepona
@ChausikuMadale
@ChausikuMadale 3 ай бұрын
Go to taa cc t ​@@nuruurio8319
@rhodamgimwa356
@rhodamgimwa356 4 ай бұрын
Makonda uko vizuri brother!! Nnapenda unavyotuhudumia wananchi wako.
@ebenezermachange-zp4es
@ebenezermachange-zp4es 4 ай бұрын
Hakika huyu ni Mungu aliye hai anayetenda kazi kupitia mheshimiwa Makonda ..Mungu amjaliea maisha marefu ya baraka awapinge na kuwaangamiza wanaoinuka kinyume na anachofanya na ikimpendeza amjalie kua kiongozi wa nchi kwa wakati Mungu alioukusudia.Amen
@RamadhaniSuru
@RamadhaniSuru 4 ай бұрын
Aaaamiiiinaaaaa
@RamadhaniSuru
@RamadhaniSuru 4 ай бұрын
Hakika tuzidi kumuombea kwa mungu huyu jamaa ili aweze kumaliza matatizo ya wanainchi
@waltermachange7300
@waltermachange7300 4 ай бұрын
Mheshimiwa Rais Samia Arusha ,unazo kura kama zote, mikoa yote weka mashine kama hizi,Mh Makonda.kina Lengai sabaya uone mambo.
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 4 ай бұрын
​@waltermachange73huyo lingai SI kibaka TU kama vibaka wengine
@stevenmabungi3245
@stevenmabungi3245 4 ай бұрын
Amina
@walinaziontime7300
@walinaziontime7300 4 ай бұрын
Wabunge mnasikia hayoooo sio mpo makini na posho zenu na kuomba mpewe Magali.....mnaona mnavyo taabisha Watu
@kristofuraha3369
@kristofuraha3369 4 ай бұрын
Mkurugenzi anang'a ng'a macho kama fisi maji!😏🙆
@dignakanje4508
@dignakanje4508 4 ай бұрын
Wanyooshe baba hwa watu jmn niwatu wajabu kbisa.Sijui mungu wao niyupi.
@silassaitoti7689
@silassaitoti7689 4 ай бұрын
Mh Makonda Ni jembe ,anatutetea na sisi makontractor
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 4 ай бұрын
Duu nchi hii kweli watendaji wa serikali mnamuangusha mheshimiwa Rais Samia .Hawa watendaji serikali hawaitakii CCM mema wanataka ianguke
@josephignas3988
@josephignas3988 4 ай бұрын
Hiyo ndio mojawapo ya sifa za ccm Sasa km hujui ni dhulma
@victaboy7273
@victaboy7273 4 ай бұрын
Wewe ndio huwa unasifia ccm . Ni kawaida
@MariamWiliam-z8k
@MariamWiliam-z8k 4 ай бұрын
Wanaosema anakosea sindio majambaz hao hao usiwaogope kaka wape Panadol zao
@MariamWiliam-z8k
@MariamWiliam-z8k 4 ай бұрын
Yaan mie baba nakupenda sana ungekuja mbeya jamsn
@MariamWiliam-z8k
@MariamWiliam-z8k 4 ай бұрын
acha wakuchukie tu hawana mbigu yakukupeleka majambaz wakubwa hao mbwaizo
@romanshirima5883
@romanshirima5883 4 ай бұрын
Dah makonda vs magufuli mungu huyu❤
@ahmedsalim9463
@ahmedsalim9463 4 ай бұрын
Ewe Mungu mjaalie maisha marefu mja wako huyu na umlinde na Shari za wana Adam ameen
@kibabysaid6692
@kibabysaid6692 4 ай бұрын
Ameen
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 4 ай бұрын
Ameen 🙏🙏
@geraldadolf4928
@geraldadolf4928 3 ай бұрын
Yaani binadamu wana roho mbaya jamani uyu mama roho ana roho kutu kweli
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 4 ай бұрын
Eeee Yesu mlinde Makonda azidi kutetea Wanyonge Mama Bikira Maria mpine kwa nguvu zote Makonda
@PingaBombwe
@PingaBombwe 4 ай бұрын
Allah akulinde ww ni kiongozi mzuri sana mtenda haki
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 4 ай бұрын
T M U... Kila atakaewalaani laana zikamrudie, kwa jina la Yesu!@.., hivi jamani ni kweli watu hawaoni vile hata wanaume wanatoa machozi? Yule aliyepata ugonjwa wa moyo wamemuona? yale machozi ya yule bibi je? Hivi Leo anajitokeza mtoto wa mwanamke mwenzio, anayariski maisha yake kwa kututetea halafu eti mnaleta siasa!! Mama Samia anamuamini na ndiyo maana amemleta Arusha,alijenge jiji ki mataifa na atutetee walala hoi na fedha za Serikali zitumike ki Serikali nk. Huyu ana hofu ya Mungu na Mungu hatamuacha . Big up Team Makonda Ukombozi❤❤❤
@wisemanking001
@wisemanking001 4 ай бұрын
Makonda is beyond Regional Commissioner job....apewe nchi for the rest of his life!!!
@omaraliy8207
@omaraliy8207 4 ай бұрын
usivunjike moyo jitahd inshallah utafka
@magrethmagonza186
@magrethmagonza186 4 ай бұрын
Makonda mngu akuweke..wambiwe ukweli hakuna kudhalilisha ni ukweli saidia wanyonge
@GreysonMdee-wm8tn
@GreysonMdee-wm8tn 4 ай бұрын
Andika MUNGU sio mngu
@peterlyimo6696
@peterlyimo6696 4 ай бұрын
Makonda ana reasoning nzuri sana, sikuwaza kabisa kama yeye.
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 4 ай бұрын
Makonda ni Mtu na Nusu
@margarethashayo5308
@margarethashayo5308 4 ай бұрын
Ningeomba tu Kila baada ya mwaka mmja makonda awe aanamishwa Kila mkoa jmn Kila mtu apate haki 🙏@paul makonda
@bennshirima9918
@bennshirima9918 4 ай бұрын
Mh.makonda, nakupongeza kwa hili jambo...ongera sn.
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 4 ай бұрын
Amlipe pesa zake angekua ndio yeye anadai miaka yote hiyo kweli!
@Ramatozzy-zv7ix
@Ramatozzy-zv7ix 4 ай бұрын
Mhuuuuu kipindi ichoo ndoo naanza chekechea kbxa
@bonifacedanielmwakisunga9638
@bonifacedanielmwakisunga9638 4 ай бұрын
Hawa wakurugennzi wanapatikanaje vilaza hata wajinu wake ajui jamani nchi itaenda kweli kama wao ni kukaa ofisini tu awashughuliki na kutatua kero za wananchi
@issarashid7707
@issarashid7707 4 ай бұрын
Makonda tuko pamoja kamanda Mungu akusimamie katika kutenda haki
@maryamabdallah3140
@maryamabdallah3140 4 ай бұрын
Vijana wetu wengi wamemaliza masomo yao ya vyuo vikuu na wako vizuri...na kazi hawana. Kazi zimekaliwa na vilaza kama Hawa ambao hawajielewi....mama Samia fukuzia mbali wajinga Hawa ndio wanakuchafua Bure, unabakia mama yetu kupata shukran ya matusi....
@zawaeli3357
@zawaeli3357 4 ай бұрын
Nakuhakikishia hapa hata kijana wako angeonekana kilaza.
@gabybulba9574
@gabybulba9574 4 ай бұрын
Makonda looks full President with good and fair governances, mungu akubarikie hicho kiti naombea
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 4 ай бұрын
Mpaka mkurugenzi anashika kichwa anajuta kwa nini mama samia kamchagua hiyo kazi huyo ndo mkuu wa mkoa kamanda makonda ukimaliza kadili na wahuni wanaokaba mitaani arusha
@PhilemonNambololo
@PhilemonNambololo 4 ай бұрын
Hapo value for money ihusike,thamani ya hela 2007 siyo sawa na thamani ya leo.
@kennysiao6908
@kennysiao6908 2 ай бұрын
Ingekua pesa yako ingesema hivyo… tumia busara
@nduyehgechanel8476
@nduyehgechanel8476 4 ай бұрын
Mh. Makonda, vijana tuna la kujifunza kama viongozi wajao
@mararegiononline3457
@mararegiononline3457 4 ай бұрын
Ila Makonda bana umetisha Mzee kwa hiyo mlalamikaji afanyeje? Akabomoe shule
@barakajohn8005
@barakajohn8005 4 ай бұрын
Nimeelewa ndio maana Bro unawaletea moto mpaka wanalia kama honi😂😂😂
@JenethFrank
@JenethFrank 4 ай бұрын
Muheshimiwa hizi halmashauri especially ma afsa utumishi, makatibu wanasumbua sana ikiwa unataka uongoz wako unataka kusiwe na malalamiko jaribu kuwahamisha hamisha ufanye uchunguz then uwasimamie utajua mengi. Nataman ningepata nafasi ya kuonana na wewe.
@GraceMwaipopo-s5r
@GraceMwaipopo-s5r 3 ай бұрын
Unaweza kumtembelea
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 4 ай бұрын
Kina Mary CHATANDA wapo wanakata Mauno kupika Majungu pumbavu zao...MAKONDA wakuache ongoza Hadi Mafisadi wafe
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 4 ай бұрын
Kaka unaedai haki yako..me nakuomba ufanye Mazoezi ili kujenga Afya yako. Makonda kaka tunakuombea dua ufanikiwe kuwanyoosha.
@dorcasmruma9001
@dorcasmruma9001 4 ай бұрын
Alafu wanakuja watu wanasema makonda anawadhalilisha watumishi! Phuuuu piga kazi makonda
@cloudngoko.2679
@cloudngoko.2679 4 ай бұрын
Mwamba kwelikweli. Alafu aje mtu katoka alikotoka aseme fyuu fyuu fyuuu. Yani kaambali na huyu Mwamba ujue wahuni nchii wapo wengi ndio maana makonda akiwabana kidogo unaona wanaanza kurusha Midomo mtandaoni. Acheni Makonda afanye kazi yake aliyetumwa hapa duniani.
@geraldmminza6494
@geraldmminza6494 4 ай бұрын
Muache mungu aitwe mungu
@nicksonmallya11
@nicksonmallya11 4 ай бұрын
Makonda Mungu akubariki sana akusamehe dhambi zako zote.
@GomwoMisago
@GomwoMisago 4 ай бұрын
Tupe number iwe yako au yoyote ile tukufanyie kazi Arusha ufisadi umezidi ndani ya Ofisi yako
@dinakyoma5977
@dinakyoma5977 4 ай бұрын
"Kila mtendaji avae viatu vya mwananchi" NENO hili pekee tu lingetosha kukaa as a main KPI kwenye kila mkataba wa kazi wa watendaji , lingefanya mabadiliko mskubwa!
@maingwamaingwa9887
@maingwamaingwa9887 4 ай бұрын
Nilichogundua kupitia ziara za makonda watendaji wengi wamewekwa kindugu na kirafiki ndo tatizo la mambo mengi kwenda hovyo
@GomwoMisago
@GomwoMisago 4 ай бұрын
Mungu akubariki mtetea wanyonge
@AmisiEmedi-qk1wj
@AmisiEmedi-qk1wj 3 ай бұрын
Magufuli isback
@dismascosmas7860
@dismascosmas7860 4 ай бұрын
Mmepata kiongozi mshukuruni sana Mungu
@hafidhdrogba3392
@hafidhdrogba3392 3 ай бұрын
Mkulugenzi sulambaya rohomba zuluma
@shakilasharifa9
@shakilasharifa9 3 ай бұрын
Eti mutaani 😂😂good job makonda ❤❤
@avinrwegasira3448
@avinrwegasira3448 4 ай бұрын
Magufuli living ❤❤❤
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 4 ай бұрын
Kweli kbs
@floinburton3490
@floinburton3490 4 ай бұрын
Mbona mnakata video kabla haijaisha tunashindwa kuelewa imeishaje, wanapiga cm Tanesco video imeisha...,, I DISLIKE THIS.
@SalimSaid-k3z
@SalimSaid-k3z 2 ай бұрын
Makonda mm namuwomba..mama samiya are tanga ..mama samiya makonda ajetanga
@bsmonline8482
@bsmonline8482 4 ай бұрын
Huyu dogo akienda hivi kimasihara tuu anaweza beba nchi
@kichalimaulid4904
@kichalimaulid4904 4 ай бұрын
Daaaah makonda shikamoo pongezi kwa Dr Samia suluhu Hasan kwa uteuzi wako najinsi unavyo msaidia majukumu hongera sana
@adamseea742
@adamseea742 4 ай бұрын
The next president kama hamtaki njoon mniue
@mkondomkondo4721
@mkondomkondo4721 4 ай бұрын
Hivi hawa wakurugenzi,huyu mama wa zanzibar anawatoa wapi hawa wapuuzi?
@OmariNgurangwa
@OmariNgurangwa 4 ай бұрын
Hela zishariwa izooo
@gideonstanley2155
@gideonstanley2155 4 ай бұрын
Wasomi wengi walioajiliwa na selikari kwenye utendaji hakuna kitu sijui darasani walikuwa wanakalili😢
@jasonwatz7457
@jasonwatz7457 4 ай бұрын
Mkurugenzi huyu ni wa kuondolewA, either ai mfuatiliaji au she is clueless
@GodfreyMwambwalo-ev9nh
@GodfreyMwambwalo-ev9nh 4 ай бұрын
Kwa kweli mheshimiwa Makonda Mwenyezi Mungu Akujalie Afya njema uendelee na kazi unayoifanya kuna maonezi makubwa sana katika nchi yetu
@oscarcharles9624
@oscarcharles9624 4 ай бұрын
makonda mungu aendelee kukupa uzima na Afiya mtetezi Wa wanyonge yani wewe unaweza sana
@vikimartin9441
@vikimartin9441 4 ай бұрын
Yaani siku hizi sikosi kuweka bando, huku ni patam balaa, mh.makonda hapoi Wala haboi.mambo ni moto,chai ya moto kikombe Cha bati.
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 4 ай бұрын
Daah jamaa anatisha sana
@khalidhaji-ls2or
@khalidhaji-ls2or 4 ай бұрын
Wee huogop
@basumegheMbotwa
@basumegheMbotwa 4 ай бұрын
Makonda Mungu akulinde maana utakuwa namaadui wengi sana🙏🙏
@khamisally9559
@khamisally9559 3 ай бұрын
Piga spanner Mh. Makonda mpaka wanyooke hawa kunguni kama sio viroboto. 🤸‍♀️🤸‍♂️
@himidnassor5167
@himidnassor5167 4 ай бұрын
Mung amtunze Sana....HUYU..KIONGOZI
@ismailchibonda5005
@ismailchibonda5005 3 ай бұрын
Huyo mkurugenzi mpumbavu sana alipataje ukurugenzi duh! Kweli watu wanaroga kupata vyeo
@geoufo2858
@geoufo2858 4 ай бұрын
😂😂😂😂daah ila jamaa mwamba bhn
@olemenye-jb8yw
@olemenye-jb8yw 4 ай бұрын
makonda for president
@Saiddoti
@Saiddoti 2 ай бұрын
Mh.makonda mungu akulipe sawabu kwakaziya kuwatetea wanyonge
@strong8534
@strong8534 3 ай бұрын
Mpigie simu. MAKONDA kiboko hatari kabisa
@hamisimsosi6237
@hamisimsosi6237 3 ай бұрын
Kwani huyu makonda mboni ana akili nyingi kazitoa wapi angalia hilo swali mkulugenzi alijiona ameruka kumbe katubukia mtaloni😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@Mapenzi2635
@Mapenzi2635 4 ай бұрын
Mh. Makonda your integrity is unparalleled.
@TwahaAbdallah-bc4zq
@TwahaAbdallah-bc4zq 4 ай бұрын
Weweni mbadalawa magufuli pambanandugu wenimkombozi
@HawaSwaleheh
@HawaSwaleheh 4 ай бұрын
Mi naona achukue makufuli tuu akafunge madarasa wanafunzi wasisome hadi atakapolipwa😂😂😂😂
@issaidrisamusa5962
@issaidrisamusa5962 4 ай бұрын
Watu wa haki za Binadamu waone , mambo yalivo. Na wasiegemee kwa watumishi tu waone na raia wanavokosa haki zao . Wasimame na upande wa pili pia
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 12 МЛН
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 8 МЛН
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 28 МЛН
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,6 МЛН
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 12 МЛН