"TUNGEUAWA - WEWE UMECHAGULIWA na MUNGU" - KESI ya BIBI MDOGO KUUZA NYUMBA YAFIKA kwa MAKONDA...

  Рет қаралды 33,342

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 37
@globaltv_online
@globaltv_online 4 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@asubuhisalmon-gh6fr
@asubuhisalmon-gh6fr 3 ай бұрын
Tanzania nzima mkuu wa mkoa ni mmoja tu Makonda baba piga kazi.
@babuuosama8752
@babuuosama8752 3 ай бұрын
Makonda dua za hao wazee ni borah kuliko mali Chapa kazi kuwa komowa matapeli
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 4 ай бұрын
Makonda angekuwa mkuu wa mikoa yote tanzania hakuna cheo hicho?
@majidfrolian4904
@majidfrolian4904 4 ай бұрын
😅😅😅😅😅 tumwombe Mungu hiko cheo kitokeeeee, kila mtanzania mnyonge anamtamani Makonda
@oscarcharles9624
@oscarcharles9624 3 ай бұрын
Awe rais kabisaaaa❤
@maasaiafricanguides5717
@maasaiafricanguides5717 3 ай бұрын
Mkuu wa mikoa Yote si mkku wa nchi? Hicho cheo kina mwenyewe
@kiboshokiboshomungumkubwa7789
@kiboshokiboshomungumkubwa7789 4 ай бұрын
Mbona wa kuu wa mikoa mingine wako wapi waige kwa makonda
@Juke995
@Juke995 3 ай бұрын
Yan mzee na cheo sijui gan hajui maan ya mtoto yatima 😢mtoto yatima ni aliefiwa na baba sio lazima wazazi wote wafariki. Makonda anafanya vizuri sana
@patrickmukundichalamila3038
@patrickmukundichalamila3038 3 ай бұрын
Yatima ni mtoto alie fiwa na wazazi wote
@Juke995
@Juke995 3 ай бұрын
@@patrickmukundichalamila3038 yatima ni mtoto aliefiwa na baba sio lazima na mama hebu rudi shule kwanza ukamalizie madarasa uliobakiza
@patrickmukundichalamila3038
@patrickmukundichalamila3038 3 ай бұрын
@@Juke995 Inaonekana hujui so kaa hivo hivo
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 4 ай бұрын
MAMA SAMIA HOOOOYEEEEEE MUNGU AMEKUTUMA KUCHAGUA MAKONDA AWE KIONGOZI WAWANYONGE KM WEWE MAMA SAMIA UNAVYOSAIDIA WANYONGE
@PetroMwita-yc2uy
@PetroMwita-yc2uy 3 ай бұрын
Kumbe magu aliona kitu kikubwa kwako mapema ndomaana Yani uncle magu alikuwa anaona mbali sana
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 3 ай бұрын
Sana.. magu alikuwa mcha Mungu
@LucasNtalima
@LucasNtalima 3 ай бұрын
Makonda ndie rais manawatanzania tunapenda haki sio vyama tunaamini makonda hatakuwa na upizani
@thedon8467
@thedon8467 4 ай бұрын
KIONGOZI mwenye KUJUA MAJUKUMU YAKE
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 4 ай бұрын
Ingewezekana angekuwa Waziri wa kushughurikia kero za wanachi ili azunguke nchi nzima awe anaweka kambi tu hata kwa kuchanga gharama za posho yake tungechanga.
@user-zt6re1dr5f
@user-zt6re1dr5f 3 ай бұрын
Wizara ya kushugulikua kero za wananch iundwe,watu mnaona shda hz viongoz wengne muige ht c kwa asilimia mia,oneni kinana huyuuuuuu?????❤❤❤❤❤❤
@chivatasabihi
@chivatasabihi 3 ай бұрын
Huyu ndiye Naibu MP.... Ajae...
@user-lu4ve2se5p
@user-lu4ve2se5p 3 ай бұрын
Kama ingewezekana mama yetu kipenzi msikivu samia suluhu hasan angeongeza wizara ya kusikiliza kero za wananch na makonda awe waziri wa wizara hiyo atembee nchi nzima jaman huku mikoan kumejaa dhuruma viumbe wa mungu wanahangaika
@user-mx7mi6pd6q
@user-mx7mi6pd6q 3 ай бұрын
Ushauri mzuri sana.
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 3 ай бұрын
Hilo mama mdogo ni mbwa,limeingia kwa nyumba yenu kichawi,leo hiii watoto wa mke na mke mkubwa Mungu atawapa haki yenu.Limke lidogo lichawi.
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 3 ай бұрын
Wewe si yatima kabisa usijidai. Yatima ni mtoto aliyefiwa na baba yake akiwa chini ya miaka ya balegh tena awe mwanamme. Mwanamke anakuwa mkiwa. Mwanamme akishakuwa umri wa balegh pia huwa si yatima tena. Maana kama aliyefiwa na wazazi ni yatima basi ulimwengu mzima mayatima. Kiswahili lugha yenu lakini maana ya maneno ya lugha yenu hamuijui. Wewe si yatima.
@reginakatele8829
@reginakatele8829 3 ай бұрын
Wewe ni musa
@MartinhoMartinho-rj2es
@MartinhoMartinho-rj2es 4 ай бұрын
Ndugu Makonda.ww.ni.seremani.
@user-ty2kc5jy7s
@user-ty2kc5jy7s 3 ай бұрын
Dada amefanana na mamaake copyright huulizi
@deadcrush
@deadcrush 4 ай бұрын
Mahakama hiyo….
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 3 ай бұрын
Jamani somesheni watoto. Sasa baba mdogo.anatunza hukumu. Kwani yake?
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 3 ай бұрын
Watu wa huko Arusha hakuna cha mwanamke wala mwanaume dhuluma zimo ndani ya damu zao kaa nachonjoo watakuliza sasa hivi
@JohnMunisi
@JohnMunisi 3 ай бұрын
Muheshimiwa makonda wakuloge wagaragaze baraka za Hawa wazee zitakulinda.
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 3 ай бұрын
Kwa nini watu wanarombaya sana hivi
@user-tp7bz9ep2l
@user-tp7bz9ep2l 3 ай бұрын
Makandawira wengin achan nao wengin makond
@HappinessMamuya
@HappinessMamuya 3 ай бұрын
Yatima ni yule alifiwa na wazazi wte ama mzazi mmoja wapo wote ni yatima
@magdalenapeter419
@magdalenapeter419 3 ай бұрын
Weee umesomea wapi? Yatima hasa ni aliye fiwa na Baba maana baba ndiyo mtafutaji ktk kuitunza familia
@Rolemodel_wa_taifa
@Rolemodel_wa_taifa 3 ай бұрын
Yatima aliyefiwa na Baba na awe chini ya miaka 18
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 3 ай бұрын
Si mtafute aldh zenu aaaaah acheni kusumbua mahakama
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 55 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,2 МЛН
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 55 МЛН