No video

INASIKITISHA! CARINA AANZA KUPOTEZA KUMBUKUMBU - MWANAYE ANAUMIA - "NATAMANI na MIMI NITOKE na MAMA"

  Рет қаралды 96,877

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

INASIKITISHA! CARINA AANZA KUPOTEZA KUMBUKUMBU - MWANAYE ANAUMIA - "NATAMANI na MIMI NITOKE na MAMA"...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 746
@globaltv_online
@globaltv_online 7 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@jarsjam8894
@jarsjam8894 7 ай бұрын
Allah kakupa mtihani ili urudi Kwa Allah
@user-ny6wt9wj3b
@user-ny6wt9wj3b 7 ай бұрын
jamani mpekeni kwa mwamposa jamani
@user-ny6wt9wj3b
@user-ny6wt9wj3b 7 ай бұрын
na imani atapona mpekeni hata m umuache kanisani inauma jamani mpekeni akachukue mafuta na maji
@estherjonas8466
@estherjonas8466 7 ай бұрын
Pole Mm kwa iman na Kumtegemea Mungu wetu ni Mmoja. Jamani Mpelekeni Kwa Mwamposa please please.❤❤
@CatherineLugoma-iy9mq
@CatherineLugoma-iy9mq 7 ай бұрын
Globaltv_ online muunganisheni na Bishop Elibariki sumbe kama atakuwa tayari
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 7 ай бұрын
Jamani mtoto ameongea neno la uchungu,pole mwanangu muombee mama Mungu atamponya😢😢
@user-ne7kb9in7t
@user-ne7kb9in7t 7 ай бұрын
Shekh nurdin kishk ,uthman Michael $maalim ,shekh walid na wengine msaaidieni dada etu kwa kisomo ...na inshaAllah Mungu ataleta rehma zake ..nifuraha yetu kutaka kumuona daa hawa akiwa bukheri wa afya
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 7 ай бұрын
Uyu dada anahisi maumivu makubwa Sana kiasi anakosa cha kuongea na ametawaliwa na msongo wa mawazo kiasi anapoteza kumbukumbu...ewe Mollah wangu mlezi kama kuna mwanadam anajishughulisha na HUYU Hawa Kwa hii Hali yarrab nakuona shughulika na nafsi yake 🤲📌🙏
@angelaminde1247
@angelaminde1247 7 ай бұрын
😢😢😢😢Hatuna mponyaji mwingine zaidi Mwenyezi Mungu yeye ndio kimbilio na mlango pekee. TUMWOMBEE MWENZETUU JAMAN😢😢 UGUA POLE NDUGU YETU
@bahatidominic8923
@bahatidominic8923 7 ай бұрын
Mungu akuponye Hawa 😢😢
@ivyroses9019
@ivyroses9019 7 ай бұрын
Mungu amponye 🙏❤
@SalmaSamir-df3tz
@SalmaSamir-df3tz 7 ай бұрын
😭😭😭 Ya Rabbi tunakuomba wewe uliye umba mbingu pasina nguzo YAA Allah msaidie hawa apone anateseka sana inshaallah Allahuma Ameen 😢😢😢
@FaridaAli-ud5xb
@FaridaAli-ud5xb 7 ай бұрын
amiin thuma amiin
@alexvenas2699
@alexvenas2699 7 ай бұрын
Amina
@hidayaalisaid1083
@hidayaalisaid1083 7 ай бұрын
Amiin
@bintyramadhani7585
@bintyramadhani7585 7 ай бұрын
Amn yarabii 🤲
@aishaisbarty3934
@aishaisbarty3934 7 ай бұрын
Amen ishallah
@gladnessfinda7534
@gladnessfinda7534 7 ай бұрын
Mungu tusamehe wanao hatuna wakumkimbilia zaidi yako. Tunaomba uponyaji wako juu ya Hawa
@KhananiGharib
@KhananiGharib 7 ай бұрын
Rekebisha kauli mungu hana watoto
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 7 ай бұрын
​@@KhananiGharibhukumfahamu vizuri kakusudia viumbe vyake sio Kam wanae ndokatuzaa, tuitikie aamiin thumma amiin
@KhananiGharib
@KhananiGharib 7 ай бұрын
@@nahlahassan-fd6le kiwajibu basi alikuwa aandike tu viumbe sio wanao ili afahamike naww ulisema hivo ufahamike apo hapana neno viumbe Kuna wanao juwa kutofautisha maneno sio sikumfahamu Bali yeye katika kuandika alipaswa atumie neno viumbe sjuwi umenielewa. Bila hivo ningumu yoyote kumfahamu apo
@KhananiGharib
@KhananiGharib 7 ай бұрын
Rudi tena Kwa sentens aliyoiyandika na uipitie vyema ndiomana mm nikaweka sawa kuwa hajazaaa Wala hajazaliwa alipaswa atumie neno viumbe sio wanao sawa
@SamsungA03core-tz7sz
@SamsungA03core-tz7sz 7 ай бұрын
Kwn kuna haj gan yakupanik katik kukosea kw mtu wakt lengo ni kumuombea dua mgonjw apone nasote tunafaham? Tuachane na ngonjera zakipuuzi kuleteana mafunzo ya uzungumzaji kweny wakt usio sahihi.
@khadijarashidy9304
@khadijarashidy9304 7 ай бұрын
Pole sana mama nyie kuuguza ni kazi skia tu kwa mtu mwingine 😭😭😭😢😢 pamoja na mtoto
@zoab2699
@zoab2699 7 ай бұрын
اللهم اشفيها شفاء لا يغادر سقما اللهم امين يارب 🤲
@rosemarymathias4938
@rosemarymathias4938 7 ай бұрын
Mungu aliyekuleta duniani ndio jibu la matatizo yako dada, pole sana kipenzi Mungu akuponye 🙏
@memoryngambi7570
@memoryngambi7570 7 ай бұрын
Mungu mtenda miujiza msaidie dada huyu mponye kabisa,kwa jina la yesu.
@DianaLugola-ew1rc
@DianaLugola-ew1rc 7 ай бұрын
Pale mwanadamu anapoishi ndipo Mungu anaanzia... Yn huyu dada atapona na atakua na afya njema Mungu ni mwema sana
@mwajumaseifu216
@mwajumaseifu216 7 ай бұрын
Amen
@marietacristovao1387
@marietacristovao1387 7 ай бұрын
Inshallah
@qttqqq1982
@qttqqq1982 7 ай бұрын
Amiin
@marietacristovao1387
@marietacristovao1387 7 ай бұрын
Amina🙏
@claramboya2018
@claramboya2018 7 ай бұрын
Amen 🙏
@fatumakiwera7145
@fatumakiwera7145 7 ай бұрын
Hata sura imeanza badilika maskin ,Mungu mponye ya Allah
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 7 ай бұрын
😢😢😢yn kakonda wallah daah 😢😢
@batulimabewa6953
@batulimabewa6953 7 ай бұрын
Kabisa yaani
@leahchallod3912
@leahchallod3912 7 ай бұрын
Jaman
@hyacintagugu7
@hyacintagugu7 7 ай бұрын
Amen
@GiftAbduly
@GiftAbduly 7 ай бұрын
Kuna sisi n wazima afu tunalalamika Yaraab tusameh waja wako tunakuomba umponye huyu mja wako yah Allah ameteseka sna😢 pole mama na mtoto pia polen daah😢😢😢
@MwanaidiSalehe
@MwanaidiSalehe 7 ай бұрын
Kbs mimi to peleshen moj na na nilion natk kupotez kumbukumbu asa yy 21 lazim mungu amsimamie 😭😭😭
@omanmobile5746
@omanmobile5746 7 ай бұрын
Ewe ulie hai ewe mwenye kusimamia mambo yote bila kuchoka bila kutaka msaada wa mtu kwa rehema zako naomba umssidie huyu dada ALLAH🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
@frankmlalila1705
@frankmlalila1705 7 ай бұрын
Sitaki kuhukumu lkn km kuna mkono wa mtu wallah allaniwe kbsaa,binadamu gan unakosa huruma kias hiki dah😢😢😢😢
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 7 ай бұрын
Huyu Masha Allah ,hafi mpakasiku ya Mungu ifike , mana anajikubali kwahiyo yake hali , tabasam lake ni Subira na Afya maalum kwenye roho yake ,Allah unajua tusioyajua nautamtendea lililonakherikwake ,AMIN😢❤❤❤
@user-vq6dc4nr5p
@user-vq6dc4nr5p 7 ай бұрын
Allahumma aamiyn 🤲
@ishaanizkeah8814
@ishaanizkeah8814 7 ай бұрын
Amiin
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 7 ай бұрын
Allahuma Amin
@ToneTone-ll3qb
@ToneTone-ll3qb 7 ай бұрын
Allahu ampe subra
@lissamaryam7292
@lissamaryam7292 7 ай бұрын
Subhanallah 😢😢😢mwili umechoka na kuumwa ndo maana akili imeanza kupoteza kumbu kumb😭😭😭Allah akupe shifa hili liwe jaribu tu la maisha Yako hapa duniani😢😢😢akupe afya njema Uwe mja mwema Subhanallah
@eliaichraymond1215
@eliaichraymond1215 7 ай бұрын
Dada Imelda unafanya kazi njema sana ambayo haitasahaulika mbele za mungu!keep it up
@jaymwinyi6957
@jaymwinyi6957 7 ай бұрын
Sana hyu dada imelda Mungu pia amzidishie kwa kumfatilia hyu dadaetu
@carolinerubeya7817
@carolinerubeya7817 7 ай бұрын
Mungu wetu mwenye nguvu baba wa milele,mtazame kwa jicho lqko la huruma mwanao,Umpe uponyaji ameteseka pakubwa sana,Inatosha Baba tenda jambo juu yake akawe mzima tena😭
@elizakasonta4129
@elizakasonta4129 7 ай бұрын
Daaa nalia kwauchungu kweli 😢😢 mungu akuna kinacho shindikana kwako muponye hawa kwa jina la yesu
@marietacristovao1387
@marietacristovao1387 7 ай бұрын
Maombi pekee ndo tiba,ewe Mwenyezi Mungu naomba utende miujiza yako,Hawa ameteseka kwa muda imetosha baba,naomba utende uponyaji wako,tazama mwanae analalamika anatamani kucheza na mamake lakini inashindwa,Ee baba yetu uliye mbinguni na duniani sikia kilio chetu amina🙏
@happyfaniabatromeo8010
@happyfaniabatromeo8010 7 ай бұрын
Huyu Dada anatia huruma sana 😢😢nakumbuka alisema chanzo cha tatizo lake aliota amechomwa kisu tumboniii✍️Sasa kwa hali iyo angeanza maombi iyo inshu yake ilianzia Rohoni 📌❤️🇹🇿
@happyfania9384
@happyfania9384 7 ай бұрын
Kabisa
@lisamandela9987
@lisamandela9987 7 ай бұрын
Jamn maombi
@theresaelizabethelijah117
@theresaelizabethelijah117 7 ай бұрын
Uchawi upo jmn tuombeni sana pamoja na mfungo mungu wetu halali mimi pia nilimuota kakangu yani tumbo moja baba na mama ananinyonga na kamba kuanzia hio siku nikapata matatizo ya koo ilijaa kohozi la usaha ghafla ilikua miaka miwili kupona namshkuru mungu huku ulaya kuna matibabu mazuri hivi sasa nimepona 😢 Hata Carina pia atapona wasichoke kuomba 🙏
@habibahassan9738
@habibahassan9738 7 ай бұрын
Yaa rabby mponye dada uyu🤲🏽🤲🏽🤲🏽😭
@CatherineLugoma-iy9mq
@CatherineLugoma-iy9mq 7 ай бұрын
Hakuna hospital inaweza msaidia tena tafuteni msaada wa Yesu hakuna gumu kwake🙏
@midnightstory7923
@midnightstory7923 7 ай бұрын
Wenye pesa wana Taka sifa kwenye mipira na mambo mengi ya kipumbavu Allah atakunusuru dada tunaendelea kukuombea dua Inshaa Allah kwa uwezo wake utasimama 🙏🏿🙏🏿
@aishaomar9621
@aishaomar9621 7 ай бұрын
Yaa raaby mswehe dada hawa kwa aliokukosea mpunguzie mazito yake mjalie shifaa ya haraka 😢😢😢😢😢inauma pole sana mama yetu Mungu akutie nguvu uzidi kumuuguza mwanao na mjukuu wako😢😢😢😢
@AminaLibisa
@AminaLibisa 7 ай бұрын
😢😢😢 pole sana dada Mungu yupo inshallah utapona tu Kwa uwezo wa Allah 🙏❤️
@esterromanus6213
@esterromanus6213 7 ай бұрын
😭😭Hawa unateseka jaman
@ToneTone-ll3qb
@ToneTone-ll3qb 7 ай бұрын
Amiin
@Zuuh4286
@Zuuh4286 7 ай бұрын
Pole sana hawa umeteseka sana Mungu ausaidie jaman upone Mtoto anataman Muda wako wa kuksemesha lakin hapati pole sana mwanangu ombe dua mama apone inshaaAllah 🤲🏻🤲🏻☝🏻☝🏻🙏🏻🙏🏻
@edinachami4318
@edinachami4318 7 ай бұрын
Eemungu mwangalie hawa kwa jicho la huruma zaidi mponye kinachomsumbua usiruhusu akate tamaa kwani aliko toka ndombali🙏🙏
@janemugoya1316
@janemugoya1316 7 ай бұрын
May God heal you in Jesus name
@htx1873
@htx1873 7 ай бұрын
So heartbreaking 💔 😭Mungu Mjaalie huyu mtoto Amani ya moyo , nguvu na Imani , poleni sana.
@user-wx6rv5qt2t
@user-wx6rv5qt2t 7 ай бұрын
Tatizo lake ni la kiroho mtibuni kiroho atapona kikubwa imani
@sheyabby7146
@sheyabby7146 7 ай бұрын
Ewe yarabi wewe ni mwenye Huruma tuhurumie sie waja wako.mfanyie wepesi huyu Dada aweze kurudi kwenye afya yake InShaAllah
@ishaanizkeah8814
@ishaanizkeah8814 7 ай бұрын
Ya Rabbi mjalie dada yetu shiffa kwa kika ww ndio mwenye tiba
@Faidh-sr7yy
@Faidh-sr7yy 7 ай бұрын
Yarab mpe shifaaa huyu dada
@faridaally-jp1gx
@faridaally-jp1gx 7 ай бұрын
Allaah Akupe shifaa ndugu yetu Allaahuma Amiin
@khadijatanzania8040
@khadijatanzania8040 7 ай бұрын
Hawa anateseka sana😢😢
@leahmollel6589
@leahmollel6589 7 ай бұрын
Mungu muinulie mtu wa kumsaidia Hawa! Mkono wa uponyaji uwe juu yake🙏
@PendoMajura-vy7mb
@PendoMajura-vy7mb 7 ай бұрын
Mdada mzuri jamani Mungu akuponye
@rahmaoman470
@rahmaoman470 7 ай бұрын
Subhanna Allah uyu dada anateseka sana Allah muonee huluma mponye mja wako
@fatmaally7252
@fatmaally7252 7 ай бұрын
Mama samia ebu sema kitu mama kuhusu uyu bint ikibindi mpeleke nje uyu hawa jamani mungu atakulipa
@fatumamohamed9614
@fatumamohamed9614 7 ай бұрын
Kweli kabisaa Rais wetu mpenzi mpenda watu tusaidie kumpa sapot ya kwenda kutibiwa nnje mwanao Hawa anateseka jamani inauma, MUNGU wangu ninae kuabudu naomba utende Kwa Hawa apone nakuomba sana MUNGU wetu🙏🙏
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 7 ай бұрын
Mbona alisha fanya jambo tangu ana operation ya 18 au 19 kitu km hicho 😢😢
@fatmaally7252
@fatmaally7252 7 ай бұрын
@@ruqaiamohammed345 bc tunaomba afanye tena asimchoke
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 5 ай бұрын
Kweli kabisa
@user-kx4dl8zj1s
@user-kx4dl8zj1s 7 ай бұрын
Natamani nisikilize niangalie ila nashindwa😢😢 najikuta nalia maskini Dada yetu ipo siku Allah atakuponya
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 7 ай бұрын
Allah ampe shifaa dada Hawa polesana mwanangu usiliye mama atapona kwauwezo wa Allah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@jaymwinyi6957
@jaymwinyi6957 7 ай бұрын
Allah atakupa shifaa ddngu, kwani subra ina Malipo kwa uwezo WA Allah utapona ddngu na ss twakuombea upoe na ikiwa ni mtu basi amekukusudia inshaallah ipo siku yatamrudia waallahi
@ShukraniHashim
@ShukraniHashim 7 ай бұрын
Mungu ni mwema kila wakati
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 7 ай бұрын
Yaarabi Yaarahman Yaashafii Yaa malik kwa rehma zako na huruma zako mpe shifaa mja wako aweze kusimama na kila mwenye mazito ya muondokee 🤲🤲Amiin kiukweli anateseka ila wewe hushindwi na chochote 😭😭😭
@dianamawji8558
@dianamawji8558 7 ай бұрын
Mungu muumba mwa nakamura can not fell take Carina to Apostle Mwamposa this is my advise Luke 1:37 with God all things are possible
@leaherasto929
@leaherasto929 7 ай бұрын
Hawa mrembo sana pamoja nakuumwa kote Mungu akufanyie wepesi Hawa
@witnessmaliki103
@witnessmaliki103 7 ай бұрын
Mungu akuponye dada inshallah 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 7 ай бұрын
hizo mamilioni mnazompa professor jay si musaidie huyu dada apate tiba????😢
@mwanamisiali5712
@mwanamisiali5712 7 ай бұрын
Kbs
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 5 ай бұрын
Kabisa
@user-uc6xe7ht4k
@user-uc6xe7ht4k 7 ай бұрын
Imeniliza sana 😢😢pole sana hawaa Kwa yote duuh Dunia simama shuke
@user-mz2dk3uo5l
@user-mz2dk3uo5l 7 ай бұрын
Dahhhhh calolina 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 nyie jmn mboni hivi jmn mungu msaidie uyu Dada Hadi anasahau jamani
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 7 ай бұрын
Dada yangu nakupenda sana pamoja na maradhi uliyo nayo lkn sikuwahi kuskia ukimkufuru mungu inshaallah unapepo yako kwa Allah kuumwa ni ibada dada yangu unatufunza kushukuru kwa kila hali
@zainabzwena3156
@zainabzwena3156 7 ай бұрын
Pole mtoto wangu mungu nimwema mama atakua sawa😢😢😢🤲🏽🙏
@user-hp6bf5lh2d
@user-hp6bf5lh2d 7 ай бұрын
Hii inaumiza😭😭😭 jamani wenye uwezo please wamsaidie huyu Dada Nimeashindwa kuangalia mpaka mwisho hii Video😭😭😭
@joharyMussa-kc5vs
@joharyMussa-kc5vs 7 ай бұрын
huyu dada hua nikimuangalia naumia sana anaumwa sana mwenyezi mungu amufanyie wepesi apone haraka 😢😢😢
@user-jg8zz6el8k
@user-jg8zz6el8k 7 ай бұрын
Ee Mungu Pokea Maombi Yetu Kwa Ajili Ya Hawaa Kwni Anateseka Sana😢😢😢
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 7 ай бұрын
😢😢😢
@user-qp2uf4iy3p
@user-qp2uf4iy3p 7 ай бұрын
Mungu wetu tunaamini upo fanya kitu hata kwa huyu mtoto angalau yarabby ya Rahman ya rahiim ya qudduc antal mu awal wa antal muakhir ckia maombi yetu yarabby hakuna aliwezae hili icpo kuwa wewe yarabby. Yarabby tunaomba mola utuonyeshe ukuu wako hata yatoke mamilioni wewe ndie doctor wa mwisho tunaomba tupate ushuhuda kama tulio utapa kwa nabii Yusuf
@rachelmikey5493
@rachelmikey5493 7 ай бұрын
Mungu ni jibu....kiukweli sisi tuta toa faraja na labda pesa but Mungu ndo mponyaji....nakuomba ee Mungu wangu unae weza yote ume sema tukuite nawe utaitika uta tuonyesha mambo makubwa magumu tusiyo yajua.....😢onyesha uponyaji wako ee MUNGU wangu.
@zainabumsafir1182
@zainabumsafir1182 7 ай бұрын
Subhana Allah yaraby msaidie hyu mja wko hakika bila ww awez
@jaymwinyi6957
@jaymwinyi6957 7 ай бұрын
Jamani viongozi wa Tanzania na wanaoumia na maradhi ya dadaetu Allah awatie mioyo mumsaidie hyu binti apelekwe nje kimatibabu na pia afanyiwe visomo zaidi km ni mkono wa mtu pia ijulikane waallahi muheshimiwa mama suluhu n muheshimiwa Makonda jmni msaada wenu muhimu
@Sisopotashiumz
@Sisopotashiumz 6 ай бұрын
Daaah inaumaa sana,tusikufuru tukiwa wazima pia anaemtesa huyuu dada ssiamuche tu!! Anapata nini akimtesa mwanadamu mwenzake daah
@aysherbenta5426
@aysherbenta5426 7 ай бұрын
Eeee mungu uliyeumba mbingu na ardhi tunakuomba mpe shifaa huyu dada kwa uwezo wako.
@user-vu7we8dj7v
@user-vu7we8dj7v 7 ай бұрын
Mungu fanya jambo katika familia
@tvrunywabreakingnews3499
@tvrunywabreakingnews3499 7 ай бұрын
Ya Rabii mnusuru mjawako msamehe aliokukosea kwakweli anatesek sn anaumia sn Ya rabii 🤲
@shadrackndossy8181
@shadrackndossy8181 7 ай бұрын
Pole mama angu kwa kuuguza
@gladnessfinda7534
@gladnessfinda7534 7 ай бұрын
Daah maneno ya huyu mtoto daahh!!! yanaumiza sana sana. Poleni
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 5 ай бұрын
Yaan 😢😢 w acha tu
@juliethkayusi2152
@juliethkayusi2152 7 ай бұрын
Ee Mungu msaidie Dada Hawa.Umponye Bwana Yesu
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 7 ай бұрын
Yesu haponyi mtu
@florencemeza6540
@florencemeza6540 7 ай бұрын
​@@fatmafatu1128na hicho ndo kunamutesa aende kanisani ataona
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 7 ай бұрын
Amen
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 7 ай бұрын
​@@fatmafatu1128kila mtu na imani yake dada mbona makasiriko na kwenye vitu vizito kama hivi hata kama angesema bibi yake amponye ni yeye na imani yake
@user-jn7rl4rz6b
@user-jn7rl4rz6b 7 ай бұрын
😢😢😢 subhaanaa allh 😢😢😢😢 mwenyezmungu akupe tahafifu urudi katika hali yako ya mwanzo duhuu aise kabla hujafa hujaumbika😢
@TatuHusseni-hs7mu
@TatuHusseni-hs7mu 6 ай бұрын
Dad kwakweli huyu dad hawa kaniliza sana pamoja na mtoto wake E YAALLA nalia mim namatatizo kumbe wapo wenye matatizo zaidi yangu E YAALLA BI tuna tegemea msaada kutoka kwako hatuna kimbilio isipokuwa wewe Allah 🙏 ulie tenganisha mbingu na ardhi pasipo na nguzo Inshallah 🙏 wakati Sahihi wa Mungu utafika Inshallah 🙏🙏
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 7 ай бұрын
Mungu atamponesha Hawa inshaallah. Lakini operation bado hazijamalizika, na vile viwembe na nyoka vinavyotoka tumboni ni matatizo gani nayo jamani 😮😮 ??
@Tanzania..cashauro
@Tanzania..cashauro 7 ай бұрын
Uchawi huo
@drmussa1220
@drmussa1220 7 ай бұрын
Hasbun Allah wa nimal wakeel ) Allahumma inna naj aluka Fi nuhoorihim wa na oozhubika min shuroorihim )🤲🤲🤲🤲
@florencemeza6540
@florencemeza6540 7 ай бұрын
Nauona mwisho wa Merembo huyu mnaomutesa kumbuka malipo ni hapa na mbinguni mtakuta hesabu yenu IMELIDA HEBU MPELEKENI KANISANI akaombewe jamani
@user-ds8ok2rc3v
@user-ds8ok2rc3v 7 ай бұрын
Pole mama yangu mungu akujaze imani pole sana hawa kwa uwezo wa mungu utapona weka imani
@zuhrakhamis6508
@zuhrakhamis6508 7 ай бұрын
Allah atàkuafu zaid ila kisomo kinahitajika kwa huyu dada jaman
@ursulafeer193
@ursulafeer193 7 ай бұрын
Pole sana ndugu yetu mungu atakuponya kwann usiende kwa mwamposa anaponya watu ndugu yangu hachagui dini mungu atakuponya itakuwa sawa tu kwa Imani yako utapona tu amen pole sana mwanangu mungu atamponya mama.
@happyhaule671
@happyhaule671 7 ай бұрын
😢😢😢😢😢 inasikitisha kwa kweli jmn duh Mungu mpe uponyaji mwaka huu 2024
@omytifa6403
@omytifa6403 7 ай бұрын
ALLAH atakufanyia wepes ndugu yangu
@bintymwanaka5378
@bintymwanaka5378 7 ай бұрын
Hawaa mdogo wangu fanya adkari kwa wingi Allah akuondolee maumivu akupe subra akufanyie wepesi kwa kila hali sema hii marakwa mara (((hasbunallah waniimal wakiil))) ❤❤❤❤❤nakupenda
@sesilianjala3306
@sesilianjala3306 5 ай бұрын
MUNGU AENDELEE KUIPIGANIA HII FAMILIA. HILI HII ROHO YA MFILISTI ILIYOTUMWA KWA HAWA. IMTOKE HII ROHO YA MAGONJWA MPK INAWAFILISI KWA JINA LA YESU 🙏
@user-qr2wv8dp9t
@user-qr2wv8dp9t 7 ай бұрын
Allah akupe shifaa jmn upone kwa haraka dear
@HalimaKatotoally200-bw6xj
@HalimaKatotoally200-bw6xj 7 ай бұрын
Mungu mjalie hawa apate afya njema Kwan anapitia mazitoo inauma Sana jaman😢😢
@RachelEmid-jq6eo
@RachelEmid-jq6eo 7 ай бұрын
Daaaa😭😭🙌
@annatwelewile3498
@annatwelewile3498 7 ай бұрын
yaani maisha haya ,dah,nimetoa machozi,inauma sana tena sana.Mungu ingilia kati baba mponye mwenyewe mwanao,.
@judithawadhi3510
@judithawadhi3510 7 ай бұрын
Mungu tunaekuabudu ,Mungu ulietuumba,Mungu wa viumbe vyote tunakuomba baba Muhurumie Hawa mponye baba ili aweze kukusifu tena baba tunakuomba Mungu.
@fridashekiyao4182
@fridashekiyao4182 7 ай бұрын
Amina
@tecratzmwakyambomwakyambo7243
@tecratzmwakyambomwakyambo7243 7 ай бұрын
Ameni daaaa
@sheilakileo2443
@sheilakileo2443 7 ай бұрын
Ehe Mungu muumba dunia na viumbe vyake nyosha mkono wako juu ya Binti mwenzetu..... Mchu.Frenk Gelbert Sema neno maja hapa Ukuu wa Mungu unekane..
@setiseti5281
@setiseti5281 7 ай бұрын
Amina yaaraab
@user-mi7cd8ch1b
@user-mi7cd8ch1b 5 ай бұрын
Allah atakujaria utapona in Sha Allah kama nabih ayubu ariumwa sana mbaka ameoza na kutoka wadudu lkn my Allah arimponya kwa huwezo wake yye in Sha Allah,,kama kunadinadamu ameusika kwa ushirikina yye Allah atakuripia
@GABROSISHABAN
@GABROSISHABAN 4 ай бұрын
Pole my sister tunakupenda pia
@joycenicodemus.2232
@joycenicodemus.2232 7 ай бұрын
Mungu ndie mponyaji wamagonjwa yote mungu mponye huyu dada 🙏🙏🙏
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 7 ай бұрын
Ee M/Mungu ingilia kati magojwa ya hawa hapate kupona 🤲🏼🤲🏼🙏🙏Mtoto wa hawa umejua kuniliza 😭😭pole sana
@SelinaPaschal-vq2iy
@SelinaPaschal-vq2iy 7 ай бұрын
Dada anapitia maumivu huyu Sema ni strong sana MUNGU amuweke mama yake mzazi miaka mingi ,,,,nakumbuka marehem mama yangu alipitia maumivu sana hata sisi hatukua nafuraha kabisa 😢
@teddyndungurusabnu4792
@teddyndungurusabnu4792 7 ай бұрын
huyu dada jamani angeenda kwenye maombi jamani naimani atapona maombi sio kubadili dini aende jamani dunia inamambo mengi nyie hii mie siamini kama ni Mungu ndio kampa hii hali😰
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 7 ай бұрын
Yaan hawa analiza wengi kila siku ya Allah kwa huruma yako mponye mja wako huyu anateseka sana na ana imani kubwa sana kwako
@user-xb3kc1lz9p
@user-xb3kc1lz9p 7 ай бұрын
Anae simamia Maisha ya Hawa Ni Mungu Na kama Kuna mwanadamu anae mtesa Hawa Mungu atamulipa tu,, nakuombea Mungu atakusimamia,,, Hawa Kuna Jambo nataka nkuachie dada Hawa ukiona mitihani yote unapitia Na bado Mungu anafanya njia ya wewe kupitia kumbuka Mungu anakupenda dadangu niushuhuda Mungu anakuandalia so hatakama kunae Alie kinyume nawe lkn Hana nguvu kumliko Mungu ameshashindwa Mungu anakupenda naipo sku moja utasimama dadangu🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤❤v
@MatswelopeleMphela
@MatswelopeleMphela 7 ай бұрын
Pole hawa mungu wa mbinguni nakuomba uturehemu tusamehe baba tunakuomba uponyaji juu ya hawa mungu nakuomba mponye mtumishiwako amen.
@user-zk8hx2zp5t
@user-zk8hx2zp5t 7 ай бұрын
Amkubali Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yake na aamini tu atapona
@VimaMedia
@VimaMedia 7 ай бұрын
Ewe mungu muone uyu dada anaumia sana🙏
@getrudamsigwa2776
@getrudamsigwa2776 7 ай бұрын
Mungu amponye
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 7 ай бұрын
M'mungu atakufanyia wepesi ktk maradhi yanayokusibu utapona kwa uwezo wa ALLAH yy ndie aliyoyaleta Maradhi na ndie atayaondosha utapona inshaAllah .
Challenge matching picture with Alfredo Larin family! 😁
00:21
BigSchool
Рет қаралды 42 МЛН
天使救了路飞!#天使#小丑#路飞#家庭
00:35
家庭搞笑日记
Рет қаралды 89 МЛН
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47
BABA YANGU KIPOFU Full episode /30/ #love
37:10
BabaJoan
Рет қаралды 78 М.