MZEE AIBUKA KWA RC MAKONDA KUPINGA BARUA YA MAGEREZA YA KUMLISHA MFUNGWA CHAKULA CHA ELFU22 KWA SIKU

  Рет қаралды 25,526

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 71
@user-xs6sh5wh4p
@user-xs6sh5wh4p 3 ай бұрын
Duh r.i.p magufuli😢😢😢kaka makonda pambania watu wamungu.mungu akupe ulinzi
@athumaniKazua
@athumaniKazua 3 ай бұрын
Huyu baba ni jirani yangu ni mtu safi sana na anapesa 😢
@noelimlinga9694
@noelimlinga9694 3 ай бұрын
Huuu baba ni wa kisongo mr.kama sijakosea na ndie alie muuzia nabii geordavie eneo la ibada
@victoremanuel29
@victoremanuel29 3 ай бұрын
Anapesa san
@frankmmasi
@frankmmasi 3 ай бұрын
Ni wa morombo SEMA ana maeneo mengi na pesa ipo
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 3 ай бұрын
Pesa aijfich
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 3 ай бұрын
kwaiy sasa imetoroka au bado IPO kama haijafa ipo iroge2 usi ifunge
@johnmollel3332
@johnmollel3332 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂 tulia wewe watu igombane
@eliaspaul9028
@eliaspaul9028 3 ай бұрын
Kuamanina wabongo nyie sio watu😂😂😂
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 2 ай бұрын
kwanini sisi sio watu
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 2 ай бұрын
mahakama ya mkoa kwa mkoa sasaivi iko mkoa gani mana inakwenda mkoa kwa mkoa mpaka imefika inasikilizwa upande kimoja
@ayububrantaya6624
@ayububrantaya6624 3 ай бұрын
Duuuh noma
@twakawawa9344
@twakawawa9344 3 ай бұрын
Kesi ya utapeli hii
@allyabdallah4357
@allyabdallah4357 2 ай бұрын
Hiyo sheria ya hovyo sana
@Ezekiel-rh2ni
@Ezekiel-rh2ni 3 ай бұрын
Ma boroka!!! Pole sana mzee masantulaa
@johnkiimbila6799
@johnkiimbila6799 3 ай бұрын
Sheria mbaya sana hiyo.
@thabitdaudi9815
@thabitdaudi9815 3 ай бұрын
Hatari sana madai sio kesi katika hii nchi ni ujinga
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 3 ай бұрын
HIYO SHERIA IONDOLEWE HARAKA SANA AMA TUANZE KULOGA UKOO MZIMA😢
@abednego3876
@abednego3876 3 ай бұрын
Dah mungu wangu
@paschalmatinde321
@paschalmatinde321 3 ай бұрын
Mahakama hakuna haki, haki ni pesa
@rahmarama5669
@rahmarama5669 3 ай бұрын
Jmn watu tunaishi kwa Dhambi tunawalisha watt wetu Dhambi tupu machozi ya watu
@veronicajohn7645
@veronicajohn7645 3 ай бұрын
Haya mambo sio kabisa
@Drepsama
@Drepsama 3 ай бұрын
Sheria
@SaimoniCharles-qm5bz
@SaimoniCharles-qm5bz 3 ай бұрын
Hiii Sheria Iko wap jmni
@nicodemashaggite8429
@nicodemashaggite8429 3 ай бұрын
Sheria ya kipuuzi sana....watunga Sheria wanajielewa kweli!!!.....je, akimwekea sumu?? Kwa maana hiyo maisha yakinishinda nitapeli mtu Ili nilishwe!! Maana Sheria kumbe inalinda na kuhalalisha wezi!! Daaaa kumbe tuna hali mbaya namna hii😢😢
@erickwanjarajr5707
@erickwanjarajr5707 3 ай бұрын
Hii inchi ngumu sana😂😂😂😂😂
@danielkanso
@danielkanso 3 ай бұрын
Mmmmhhh kwa sheria hiii
@abdillahchikota4303
@abdillahchikota4303 3 ай бұрын
Sasa hiyo sheria au upuuzi
@alfanmkulo2792
@alfanmkulo2792 3 ай бұрын
Ndo maana watu huchukukua Sheria mkononi Kwa ujinga kama huu
@YusuphMarcOgaga
@YusuphMarcOgaga 3 ай бұрын
Sheria inataka ivo wala si uonevu
@khaliduhadi2336
@khaliduhadi2336 3 ай бұрын
Huwo ni upindishaji sheria. Hawa wezi wa aridhi zao huyo ni mwizi tu kama mwizi mwingine tu afunguliwe jinai hakina madai hapo
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 3 ай бұрын
sheria ya ufalafala
@allyabdallah4357
@allyabdallah4357 2 ай бұрын
kwani hafanyi kazi za magerza
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 3 ай бұрын
Daaah
@RajabuDangi-qv2uo
@RajabuDangi-qv2uo 3 ай бұрын
Uhuni wa hali ya juuu
@amiribakari2528
@amiribakari2528 3 ай бұрын
Ukitaka kujua hela mbaya angalia kifungu kilivyo badilishwa..kutoka utapeli ad madai...mahakim yaani
@avitusmichael5
@avitusmichael5 3 ай бұрын
Nimecheka kisha nikalia kwa kumhurumia huyu mzee anavyoteswa na majizi
@agrivaluefarm3353
@agrivaluefarm3353 3 ай бұрын
Kumbe usipolipa kodi serekali ikikufungulia mashtaka ya madai ni poa sana unakunja nne gerezani unaagiza msosi wowote na matibabu juu. Jamani kwaherini kitaani naenda kujichimbia jela nikirudi vishavu vimenitoka stress free
@ZachariaKimamanti
@ZachariaKimamanti 3 ай бұрын
Waaaaa sheria ifuate mukondoyake
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 3 ай бұрын
Daah sheria za Tanzania ndio sababu ya kuongezeka kwa waharifu
@binsalim5273
@binsalim5273 3 ай бұрын
Nije kuonana na mkoa kwa mkoa
@ramsaymtando1742
@ramsaymtando1742 3 ай бұрын
Pole sana lakini kisheria ukitaka mdai wako afungwe yani wewe andaa pesa yani ku gharamamia mfungwa wako ndani ya mwezi sita.sasa hapo unaona umeonewa nini.hiyo siyo kesi ya jinai Heti atakuwa mfungwa wa JAMUHURI. Ni wako huyo mzee
@katambimfalimbega3808
@katambimfalimbega3808 3 ай бұрын
Masikini bila kubadilisha Sheria hizi hatutoboi
@user-fh6sg7uc2g
@user-fh6sg7uc2g 3 ай бұрын
Sio cd, itskuwa ni flash
@ZachariaKimamanti
@ZachariaKimamanti 3 ай бұрын
Watanzania niko nahoja kwann ninyaganywe shamba langu hafu nimushitaki mtu mbado mm namuudumia akiwamufungo chakula je ni saihii
@jacksonbarnaba9088
@jacksonbarnaba9088 3 ай бұрын
HIII SHERIA HAIKO FAIR. unawezaje kuwa unamdai, na unamhudumia chakula? guys? is this serious?😢
@abdulfatahjuma5355
@abdulfatahjuma5355 3 ай бұрын
Jamaa km amemeza CD !! Anatiririka tu
@veronicajohn7645
@veronicajohn7645 3 ай бұрын
Ndio maana mimi sitaki hata kumkopesha mtu hela wala chochote
@ReginaldAplonary
@ReginaldAplonary 3 ай бұрын
Nikopeshe mm vero
@veronicajohn7645
@veronicajohn7645 3 ай бұрын
@@ReginaldAplonary NO
@shimoneycashtalk9176
@shimoneycashtalk9176 3 ай бұрын
Hiyo sio kesi ya madai huyo katapeliwa Tanzania ndio. Inchi ambayo tunayo ikubali sasa inakuwaje mtu haki yake kuzulimiwa
@EdwardManweki
@EdwardManweki 3 ай бұрын
Hapa sasa hata mkuu wa magereza analijua hili
@mbarakaomary1785
@mbarakaomary1785 3 ай бұрын
huyu wakili naona hajakamilika vizur ,mwandishi ungetafuta wakili mzuri mzoefu kidogo
@user-yl2br2ts3i
@user-yl2br2ts3i 3 ай бұрын
uza hyo chen mzee kasomeshe watoto
@estakapufi7582
@estakapufi7582 3 ай бұрын
Hee yani namdai anapelekwa jela kwa makosa yake yeye mwenyewe kwa kushindwa kulipa deni langu pesa yangu sijapata alafu tena nizidi kutupa pesa kumuudumia muharifu kweli hii shelia ya wapi ebu tujuzane jamani heee.
@daslamonline4665
@daslamonline4665 3 ай бұрын
Dunia ya dhulma sana hii,
@harithrashid5314
@harithrashid5314 3 ай бұрын
Sio duniaaa hio Tanzania yenu imezidii
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 3 ай бұрын
Mzee Kamroge huyo
@EmanuelMnubi
@EmanuelMnubi 3 ай бұрын
sheria za madai zinawapa kibuli matapeli
@ChancellorFelix-vm5yp
@ChancellorFelix-vm5yp 3 ай бұрын
Wanasheria wanalalamika Makonda anaingilia mhimil wa mahakama iv kwel Kwa Sheria zakijinga iv c maafa yatakua mengi gharama zakumhudumia mfungwa c Bora awape wahun wamalize kaz wakutane pepon
@BituroPaschalKazeri
@BituroPaschalKazeri 3 ай бұрын
HONGERA WAKILI
@ndabarinzesamuel9333
@ndabarinzesamuel9333 3 ай бұрын
Iweje mtu akutapeli Mali zako akikutwa na hatiya yule mwenye haki ndiye atamlisha mhalifu gerezani? Hiyo serial imesomwa wapi jamani, Tanzania nanyi kwenu kuna rushwa ya hali ya juu.
@happinessmosala2217
@happinessmosala2217 3 ай бұрын
Nimdai mtu halafu nimlishe tena???come on!!!what type of sheria is that???
@user-it6zi7zw8y
@user-it6zi7zw8y 3 ай бұрын
iyo kesi ya wizi alie hukum iyo kesi kazengua vip uzulimiwe Mali yako alafu alie kuzurum maliyako afungwe alafu ulie mshtaki umudumie chakula acheni wizi iyo sheria sijawai iskia sheria afungwe mpaka siku atakapo lipa pesa zako
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 3 ай бұрын
Sheria yakipumbavu hiyo
@lothatarangei8187
@lothatarangei8187 3 ай бұрын
Upuuzi mtupu,,,, Sheria kama iko hivi Tanzania Bora watu wapigane mapanga tu😅
@mwidinikimaro3545
@mwidinikimaro3545 3 ай бұрын
Huyu ndo masantula
@YohanaTulito
@YohanaTulito 3 ай бұрын
Najee. Sasa yule. Anae mdai. Mwungine. Yeye. Atakuwa. Na faida. Gani. Kama malipo yako. Hupati. Na utamudumia. Tena. Si ataende kuk filisi. Au
@mgtanzania9834
@mgtanzania9834 3 ай бұрын
Ndo sheria yetu ya madai ilivyo. Hakuna namna , lengo la kumfunga mtu kwa madai sio kumwadhib bali ni kumfanya aweze kulazimika alipe deni lake
@Ezeqsweya1116
@Ezeqsweya1116 3 ай бұрын
Huu ni ujinga mtupu
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 3 ай бұрын
Sheria za kijinga
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 6 МЛН
Bend The Impossible Bar Win $1,000
00:57
Stokes Twins
Рет қаралды 42 МЛН
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 200 МЛН
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 25 МЛН
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 6 М.
Kimeumana: Ruto's dangerous video lands him in a hot soup
10:27
Rogers Kakasungura
Рет қаралды 2,8 М.
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 6 МЛН