JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@Georgemathiasi13 күн бұрын
poleni sana ndugu zangu
@daudisalum957417 күн бұрын
Daaah apumzike Kwa amani mitiii
@ImmanuelSenior17 күн бұрын
Sauti 🔥🔥
@kanankirannko617417 күн бұрын
Hawa wafanya biashara mkiitwa nendeni na walinzi maana hali ya uchumi no ngumu sana au muajiri walinzi hii hali ikiendelea hivi in mbaya sana
@saidhamza531817 күн бұрын
Hivi siku hiz uhai wa binadamu umekuwa hauna thamani kabisa..yaan mtu kutolewa roho imekuwa km kuchinja kuku tu...kwamba utaenda nunua kuku mwingine ufuge na kusahau kbs kwamba ulichinja kuku ..I see 😳