No video

NYUMBA ZINGINE ZA VUNJWA ARUSHA MBUNGE GAMBO ATAJWA - ''BORA LEMA ANGETUSAIDIA''...

  Рет қаралды 42,124

Global TV  Online

Global TV Online

Жыл бұрын

NYUMBA ZINGINE ZA VUNJWA ARUSHA MBUNGE GAMBO ATAJWA - ''BORA LEMA ANGETUSAIDIA''...
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 266
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 Жыл бұрын
Na nyie mshaaanza huu wizi na upuuuuzi? Hahahahahhahaha
@jacksoncharles5411
@jacksoncharles5411 Жыл бұрын
Wewe acha usenge, kwenye matatizo ya watu ndo unakuja kutangazia biashara zako za simu,shika adabu yako kenge wewe.
@upendowakwelinaamani1060
@upendowakwelinaamani1060 Жыл бұрын
Watu wako busy na bandari wampe mwarabu nani atakuskia wewe ndugu yaan hapo mwenye nguvu ndio kasha wavua nguo hakuna chenu tena hapo mungu awepe subrah msije kujinyonga kwa maumivu makali mnayo pitia maana kitu nyumba sio mchezo kwa usawa huu😭😭😭
@auntdorah9141
@auntdorah9141 Жыл бұрын
Ungewekwa utaeatibu au sheria mtu akijenga mahali ndani ya miaka 5 au 10 hajatokea mlalamikaji basi hakuna kesi...hizo nyumba mbona kama za zamani kiasi?
@charlesmugisha6529
@charlesmugisha6529 Жыл бұрын
Inauma Sana kwakweli.mimi nasema uyu alie usika kuwanyanyasa binadam wenzake ajue kwamba anaweza kujenga nyumba na yeye asiishi kabisa.kufa kabla ajafaidi chochote na yeye au akajenga nyumba zikawa na mauza uza mengi na asikae mtu yeyote.awe makini Sana pesa sio kila kitu binadamu tubadilike aya maisha kila kitu tutakiacha duniani.
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 Жыл бұрын
Watanganyika wanaishi kama wakimbizi katika nchi yao wenyewe.
@nathanlusulo-po2lj
@nathanlusulo-po2lj Жыл бұрын
Binadamu wananyanyasana Sana utazani wataishi milele
@sharifshaban8817
@sharifshaban8817 Жыл бұрын
Naziomba mahakama wamalize mashauri yote ya viwanja ambavyo havijajengwa kwa wakati ili kuondoa hii sintofahamu na kutoa fursa ya mtu kufanya maendeleo.
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi Ай бұрын
Daaa roho inauma sana hadi huruma mungu atusaidie dunia tutaiacha
@omaryrjohn65
@omaryrjohn65 Жыл бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 eeeeh Munguwangu wambinguni tizama watanzania hawa tizama babaa
@Princewaweru
@Princewaweru Жыл бұрын
Watu wanafanya masihara sana na maisha ya watu hivi hawa wabomoaji mkiwaziba choo milele wasiende haja inakuaje si itakua poa maana mtetezi wa wanyonge ni uchawi tu kudadek
@AnethMinja
@AnethMinja 3 ай бұрын
Kabisa
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi Ай бұрын
Hawa ni kuwaweka busha na maumivu makari
@ayubumbembati8658
@ayubumbembati8658 Жыл бұрын
Mungu anawaona, machozi yao hayawezi kwenda buree!!
@maryrubunga6504
@maryrubunga6504 Жыл бұрын
Poleni mliovunjiwa Mungu asikilze kilio chenu mpate ufadhili
@karimjuma4019
@karimjuma4019 Жыл бұрын
Pole sana brother kwa usawa huu ilo ni pigo kubwa sana
@neemanziku5403
@neemanziku5403 11 ай бұрын
Yan hii serikali yan mnamnyanya mama mtatanzania
@waziriwahekima6824
@waziriwahekima6824 Жыл бұрын
Tanzania ni nchi yakisenge Sana !!! Watu tunatafuta kwanguvu tujenge then tunabomolewa
@omarymbaraj8072
@omarymbaraj8072 Жыл бұрын
Viongozi wa ovyo Sana
@demicratia4071
@demicratia4071 Жыл бұрын
mhhhhh
@karimkassam571
@karimkassam571 Жыл бұрын
Kuheshimu mahakama ...ni pamoja na kufuata Sheria....kumbuka Sheria NI msumeno....
@mcback4384
@mcback4384 Жыл бұрын
Ndio tuwe na akili wakati tunanunua viwanja, toka 1982 eneo lina mgogoro mahakamani
@hanifamasudi9732
@hanifamasudi9732 11 ай бұрын
Uko wapi magufuli baldayako kufa tunaona vitu tafauti minatokea congo 🇨🇩 likini naishi marikani Ndotozangu nikuishitanzania ndio mana nawafatilia ooh magufuli uko wapi mtetezi wawanyonge 😢
@user-xc4gr6by1y
@user-xc4gr6by1y 11 ай бұрын
Poleni Sana wore tunamsiba wa Aina mmoja lkn utasaidiwa wapii ,Raise tusaidieeeee
@mugishamajeba9628
@mugishamajeba9628 Жыл бұрын
Achana na ccm
@user-di3lr4xb9c
@user-di3lr4xb9c Жыл бұрын
Tusijisahau kuwa dunia ni ya mungu...na cheo nidhama
@shanifesto9037
@shanifesto9037 Жыл бұрын
Rip BABANGU ungeamka uone hili JAPO Kwa lisaa😭😭😭😭
@user-hs7vq1jo2q
@user-hs7vq1jo2q 5 ай бұрын
1983 mpaka leo ni kesi tu 2024 jamani!!
@lastkinglastking3326
@lastkinglastking3326 Жыл бұрын
Hivi wabomowaji hao niwatu au niwanyama 😭😭😭
@demicratia4071
@demicratia4071 Жыл бұрын
si wako kazini wanapewa pesa
@AishaTarimo
@AishaTarimo Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭Nalia Kwa uchungu jaman
@user-dn8dg2rl2q
@user-dn8dg2rl2q 4 ай бұрын
Watanzania ni wapole sana unafujiwa nyumba unaita waandishi wa habari uwa kwanza ndio wandishi wataandika
@user-hs7vq1jo2q
@user-hs7vq1jo2q 5 ай бұрын
Mungu anamudawake wa majibu
@salmasaid2936
@salmasaid2936 Жыл бұрын
Mungu awapiganie tu inaumiza mnooooo.
@shanifesto9037
@shanifesto9037 Жыл бұрын
RIP BABANGU WAMAMA ZETU WANALIA😭😭😭😭😭😭😭HATUNA PA KWENDA😭😭😭😭😭🙌
@GMD820
@GMD820 Жыл бұрын
Nimelia mno😢😢hii ni Tanzania kweli? Nchi yangu tunayosema Ina amani haya bwana mungu nakushukuru.
@GMD820
@GMD820 Жыл бұрын
Watetee wenzangu mungu wangu Niko chini ya miguu Yako baba yangu
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Жыл бұрын
Kwa kwenda mnako. Ikatae CCM. Jipiganie. Pigania katiba mpya. Usiipigi kura tena CCM ya wachache.
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Жыл бұрын
Kwa kwenda mnako. Ikatae CCM. Jipiganie. Pigania katiba mpya. Usiipigi kura tena CCM ya wachache.
@EsamboWakilongo-bu2ds
@EsamboWakilongo-bu2ds Жыл бұрын
Rais mama Samia nimsenge sana angekuwa baba waaki magufuli yasingetokea
@swalehkwangaya1258
@swalehkwangaya1258 Жыл бұрын
Unesha hisia zako sio kutukana Rais
@stevenmwaiko801
@stevenmwaiko801 Жыл бұрын
Mbona Magufuli aliwavunjia Kimara akiwemo Prof.J
@dicksonndalu6212
@dicksonndalu6212 Жыл бұрын
Aisee
@NeemaOmar-ou1sq
@NeemaOmar-ou1sq Жыл бұрын
Inaumiza sana . Kesi ya mda mrefu hivyo kwa nini wasingeweka angalizo kuwa usinunue wala kujenga sehemu hii kwa sababu lina kesi mahakamani. Wameacha watu wamejenga leo wataishi wapi na nani atawafidia hiyo hasara.
@joakimualfonce3849
@joakimualfonce3849 2 ай бұрын
Polini sanh mungu yup huo niunyama
@fidesbernard4835
@fidesbernard4835 Жыл бұрын
Poleni ndugu zetu inauma sana.
@user-rg1qu2iu3r
@user-rg1qu2iu3r 3 ай бұрын
Jamani eee Mungu kwanini atunahuruma!!!!!!!!😢😢😢
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 Жыл бұрын
Gufuli 😢 RIP baba
@FrolenceRogath-fv6ku
@FrolenceRogath-fv6ku Жыл бұрын
Msipende kuvamia viwanja vyawatu jaman
@stellasamy7662
@stellasamy7662 Жыл бұрын
Lala salama Magufuli
@wilbertmmary9076
@wilbertmmary9076 Жыл бұрын
Wakipita wale wakazi wa kimara hapa😂😂😂
@charlessokoine-qp7uq
@charlessokoine-qp7uq Жыл бұрын
Serikali ya Tanzania are very rabish madam Samia hona sera wewe.unyanyasaji mtupo nyie wananchi wa Tanzania Acheni uwoga mnasidi uwoga.ok pole Sana brother likini tuchenger na sisi serikali sio mungu ni watu kama sisi tu Acheni uwoga wanchi wetu wa watanzani
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Alafu ati viongozi wakija wanajaa kwenye mikutano yao na kushiriki kura .Uoga ni mbaya sana
@shanifesto9037
@shanifesto9037 Жыл бұрын
Mungu,,mama Samia mama hawaoni hao kina mama kweli,,😭😭😭😭😭😭😭inasikitisha sana
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Жыл бұрын
Usimwite mama huyo. Mama hauzi watoto kamwe. Mamamako mzazi hawezi kukuuza, kukusaliti, wala kukuhujumu kamwe.
@robbyman6213
@robbyman6213 Жыл бұрын
Mungu Awasaidie
@barakahenula1370
@barakahenula1370 Жыл бұрын
I feel your pain bro,polee sanaa .Mahakana ni vyema kutumia hekima na burasa kwenye kutafuta haki
@karimkassam571
@karimkassam571 Жыл бұрын
Sheria msumeno....hakuna hekima
@user-rg1qu2iu3r
@user-rg1qu2iu3r 3 ай бұрын
Jamani poleni sana Mimi micjozi emetoka Kwani ujenzi wasasa ivi nigarama 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@Princewaweru
@Princewaweru Жыл бұрын
Pole sana blood
@hatybshenkondo373
@hatybshenkondo373 11 ай бұрын
Pole sana brooo
@shabaniRuwa
@shabaniRuwa Жыл бұрын
Polensananduguzangu serkali Angalien kwajicho la karibu
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Serekali gani inayoumiza watu inabidi tuamke uonevu huu
@minnahloveiove1074
@minnahloveiove1074 11 ай бұрын
Mwaka 83😢 wengine bdo hatukuzaliwa ndio waja kubomoa leo jmn duh sio sawa kbs yani dhuluma mbaya tutaona mwisho wake
@husenihamza7591
@husenihamza7591 Жыл бұрын
Duuu Eeh mungu tupambaniee hatuna pa kulilia
@dignakanje4508
@dignakanje4508 Жыл бұрын
Kweli wanyonge tutajua natutakufa masikini.Kwani matajiri kwasasa ndio wakati wao wakudhulumu wanyonge,kuishi kifalme,kufanya watakacho.Ungefufuka leo Magufuli ukaona hya machozi yawanyonge ungeumia sana.Sijui kwasasa mtetezi wawanyonge yko wapi.Kweli binadamu tufika mahali tunakosa ubinadamu hta kwadakika,unavunja nyumba zawatu bila hta kujali watu wenye watoto.Mungu isikie sauti yawanyonge wako watanzania wanaoteseka kwahaki machozi yakwelo.
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Жыл бұрын
Ukijiita maskini, na kuacha kuunga mkono wanaokupigania ukabaki kuwapigia kura CCM tena ndio unajimaliza mwenyewe. Kitambulisho tumia karamu yako kukataa bandari na kutokuipigia tena CCM
@rajaburajabu59
@rajaburajabu59 Жыл бұрын
Brother pole sana inauma sana serikali iyangalie ilo swala sio poa
@hollymore4904
@hollymore4904 Жыл бұрын
Wabomoaji hao hawana wazaz? Mbn wamekosa huruma kwa mama zetu
@justinamunuo8006
@justinamunuo8006 Жыл бұрын
Kaka yangu Balloon Pole sanaa jmn,kweli inasikitisha sana jmn poleni
@ramadhaniomary4870
@ramadhaniomary4870 3 ай бұрын
Mungu tusaidie sisi watanzania.mafuriko,n.k
@chidybwax8080
@chidybwax8080 Жыл бұрын
Dahhh hy mwamba kaongea kwa hisia sana gambo umelala san mzeee watu wako wanalia na ww
@AndersonMakala-vm6im
@AndersonMakala-vm6im Жыл бұрын
Mlichangua wenyewe ccm pambaneni na Hari yenu
@fatmamayunga5792
@fatmamayunga5792 Жыл бұрын
jaman dhambi
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Dahh sasa inakuaje
@user-hs7vq1jo2q
@user-hs7vq1jo2q 5 ай бұрын
Maumivu yaliyopo hapo mungu ndiye ajuae
@waziriwahekima6824
@waziriwahekima6824 Жыл бұрын
Brother pole kiasi kikubwa Sana !!! Malalamiko yako raisi ataipata mtarudishiwa Mali zenu
@jumannehamadi2282
@jumannehamadi2282 Жыл бұрын
pole Sana kaka daaah hadi nimelia
@mariamkanyungu3150
@mariamkanyungu3150 Жыл бұрын
Kaka yangu nikweli unachoongea inauma sana
@user-vw8dt8sy8h
@user-vw8dt8sy8h Жыл бұрын
Hivi hapo hakuna mchawi hata mmoja awaloge wabomoaji wote ,wawe machizi ?
@babykisura1089
@babykisura1089 Жыл бұрын
hyu mama samia hvi aoni haya jmn mbona kipnd cha magu hayakuwepo hya😢😢
@evachuwa3809
@evachuwa3809 Жыл бұрын
MUNGU TUSAIDIE TU 😢
@zainabramadhani9838
@zainabramadhani9838 Жыл бұрын
Shida ya watu wa Arusha wengi wananunuwa viwanja vimeuzwa zaidi ya watu watatu kiwanja kinoja ni vizuri kabla hujaanza kuanza kununuwa kiwanja kwenda Kwa Mtendaji, Jiji na mwanasheria kuepuka lawama
@AshaMakame-zg9xi
@AshaMakame-zg9xi Жыл бұрын
Si Arusha tu sasa imekua km maradhi sugu Yaani huku Zanzibar pia ipo we acha tu
@philipowyinjones9645
@philipowyinjones9645 Жыл бұрын
Jamaa amemaanisha
@eddytheophil7626
@eddytheophil7626 Жыл бұрын
Polen sana..dahh
@user-tw6gr8jn1n
@user-tw6gr8jn1n 3 ай бұрын
Bado amjasema
@sudymgeni701
@sudymgeni701 Жыл бұрын
Yani lazima 3 4 wangekufa tu.mana ningetembeza mapanga wangekoma
@msatibongonyuzi14
@msatibongonyuzi14 5 ай бұрын
Hapo busara ni wengi wape huyo mwekezaji atafutiwe eneo jingine😢😢
@zawadiluvanda8162
@zawadiluvanda8162 Жыл бұрын
duuu,poleni sana jamani inauma sana ila mbunge hapo hamna ni box tupu
@akidajulius1581
@akidajulius1581 Жыл бұрын
Hawana mtetezi hao,
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Allah awape subira kipind hiki kigum
@danieljoseph1610
@danieljoseph1610 Жыл бұрын
Nishawaambia dunia sio mahali salama! mnaona sasa!
@nabii-zc1hm
@nabii-zc1hm Жыл бұрын
Gambo gambo gambo saidia hao watu, msiposaidia mwisho wenu ni mbaya sana hakuna mfano twende kazi
@hilaliusjohn8386
@hilaliusjohn8386 Жыл бұрын
Hivi ya Mambo huyu Samia anayaona kweli?? Au naye anafurahi
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn Жыл бұрын
Ana muda huo bac
@joshuasarakikya1442
@joshuasarakikya1442 Жыл бұрын
inauma saaana
@erickrubanda
@erickrubanda Жыл бұрын
Me nawambia magufuli atakumbukwa sana
@vikramlufunyo5832
@vikramlufunyo5832 Жыл бұрын
Ivi hizi nyumba kwenye sensa zilihesabiwa au hazikuhesabiwa?
@teedullah5708
@teedullah5708 Жыл бұрын
Nikweli poleni
@user-ny2bi8yj1o
@user-ny2bi8yj1o 11 ай бұрын
Jamani hata kama kweri 41 miaka
@saidimkombe9842
@saidimkombe9842 Жыл бұрын
Huyu mama dah
@matridawilium9945
@matridawilium9945 Жыл бұрын
Hyo ndio ccm mtaanyoka tu
@emmanuelbayi4640
@emmanuelbayi4640 Жыл бұрын
Lema lemaaaaaaaaa angalia hayoooo
@kajalamaganga1913
@kajalamaganga1913 Жыл бұрын
Baba amka hata mara moja uone haya😭😭😭😭😭
@neemabright3635
@neemabright3635 Жыл бұрын
CCM Arusha ndo kwaheri wajipange tu....
@magretkijanga6038
@magretkijanga6038 Жыл бұрын
Duh
@mohamediabdalah7650
@mohamediabdalah7650 11 ай бұрын
Duh hii kweli mama anaupiga mwingi. 😮😮😮
@adamumbilinyi9183
@adamumbilinyi9183 Жыл бұрын
Mbaya sana Mungu awalaani hawa viongozi hata kama kuna vyovyote vile kwanini wasilipwe fidia kibinadamu Then Rais unajificha wapi huoni au
@user-ny2bi8yj1o
@user-ny2bi8yj1o 11 ай бұрын
Iyo ndo ccm mnayoitaka mtakoma ccm ikiwaretea kanga pic Moja mnchanganyakiwa angarieni sasa ccm iyo
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Subuhanallah inalillahi wainailahi rajuun
@mlyambisipaul8399
@mlyambisipaul8399 Жыл бұрын
Hiii ni Tanzania 😭😭😭
@yonasaimoni1302
@yonasaimoni1302 Жыл бұрын
Ndio mkome mlimkata lema kupenda inzi wa kijani goja mpewe mkokore
@AshaMakame-zg9xi
@AshaMakame-zg9xi Жыл бұрын
82 nyumba inavunjwa leo mm nna miaka 41 sasa dah hii kweli Tanzania yetu tunaipenda ila kwa hawa wanasheria wanofanya hivi duh sijui niwambieje
@MkayaMilia-hg7zo
@MkayaMilia-hg7zo Жыл бұрын
ao ni watanzania wezetu na kumbukeni kuwa Wana family zao ni lazima wapete haki zao kwaza kuvuja nyumba za watu ambao wanaishi ndani ni laana kubwa Sana embu mwogopeni ata mungu ina Uma Sana tena zaidi ya Sana mm Nina Imani na raisi Wetu kuwa atalisimamia Kwa Hali kabisaa kwani ni uwonivu kubwa Sana tagia nyumba zinaaza kujegwa Wana agaliya Tu paka watu Wana amia muda wooote uwo kwani wakusimamisha agali mtu aliaza msigi au kununuwa agali ni lazima walienda kuandikishana Kwa watumishi WA serekali yetu ni Kwa nn awake seme kipindi icho MSI mnunuwe hapa kwani kuna mgogoro
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Жыл бұрын
Hii nchi vipi aisee?!
@mariamdullazy8166
@mariamdullazy8166 Жыл бұрын
😢😢😢 inasikitisha sna
@GodfreyNefary-mq5gr
@GodfreyNefary-mq5gr Жыл бұрын
Nchi Haina mwenyewe acha I yeshe
@gaspeldaniel1140
@gaspeldaniel1140 Жыл бұрын
Mama anaupiga mwingi
@mustaphakijazi9807
@mustaphakijazi9807 Жыл бұрын
Dah umaskini una uma sana ewe MOLA Tusaidie
@neemabright3635
@neemabright3635 Жыл бұрын
This is my say Iko siku hii nchi itaelewa SoMo tu itafika mahali watu wamechoka ccm itakuwa ndogo sana muda unakuja tu just simple ..... As that
@user-sd5zf6fz4v
@user-sd5zf6fz4v Ай бұрын
Kwa nini serekali ya fanya huvi inashindwa kutambuwq samani ya wananchi wake hivi Samia yuko wapi su anawatumaa
@mrsab303
@mrsab303 Жыл бұрын
So sad😭😭😭😭😭
@Filamumaridhawa
@Filamumaridhawa 8 ай бұрын
Kunawatu wazuluma huku dunianii
@Official83640
@Official83640 Жыл бұрын
Dah inauma ujue hivi vitu ombeni visiwakute ya Rabbi😢😢😢😢
@catherinesumari7499
@catherinesumari7499 Жыл бұрын
Jamani dah nashindwa kuvaa viatu vyenu
@lailalaila8206
@lailalaila8206 Жыл бұрын
Magufuri ndio arikuwa mtetezi wa wanyonge na kuwaonea huruma wamama aisee mtihan kwakweri uyu samia yye hanadri na wageni tu wenye nchi hatuna samani uyo mfanya biashala kashaonga pesa vijana wamepewa ndio wamepata nguvu sasaiv aisee mungu tusaidye na viongozi wa hovyo wa tz jmn warabu ndio wanasaminika hapo watu wanamishwa iri hapewe kigogo furani iv wanasema mfanya biashala aisee ni shida hii nchi ishalibika anaendesha samia na kikwete
@birianination7097
@birianination7097 Жыл бұрын
Watu walivunjiwa ubungo wakati wa magu, na hata fidia hakutoa.
@kipupwefedede7130
@kipupwefedede7130 Жыл бұрын
​@@birianination7097fidia walipewa wa mwanzon. waliouziwa mwishon walitapeliwa usiwaongopee watu
@chrismassawe2939
@chrismassawe2939 Жыл бұрын
Alivunja kimara mbezi mpaka watu wakafa kwa presha
@sixmundleonard2135
@sixmundleonard2135 Жыл бұрын
Wa kimara walio kuwepo mwanzo washa lipwa waliouziwa kwa mara ya 2 walitapeliwa
MAHALA ALIPO MAKONDA, SIRI NZITO
2:59
Wasafi Media
Рет қаралды 3,9 М.
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 19 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 10 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 17 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 130 МЛН
HUYU HAPA MWENYEKITI ALIYEUZA ENEO KWA WATU 18 ARUSHA
13:06
Daily News Digital
Рет қаралды 22 М.
VIDEO YA MAKONDA AKIWASILI UWANJA WA NDEGE ARUSHA
2:20
masta tz
Рет қаралды 20 М.
HOUSE GIRL EP 12 || SEASON 2 || Love Story💕💕
19:25
BUSATI TV
Рет қаралды 12 М.
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 19 МЛН