DR SLAA: "MIMI NI MPENZI WA MUUNGANO - MAGUFULI TULIFAHAMIANA TANGU BUNGENI - MIMI BADO NI BALOZI"

  Рет қаралды 8,415

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

DR SLAA: "MIMI NI MPENZI WA MUUNGANO - MAGUFULI TULIFAHAMIANA TANGU BUNGENI - MIMI BADO NI BALOZI"
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 34
@gaagwasaugustino2584
@gaagwasaugustino2584 5 ай бұрын
Dr.Slaa wewe bado ni Balozi,heshima yako Baba. Endelea kupambania Taifa letu tupate Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, asante.
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 5 ай бұрын
Ccm wakikataa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi na kulazimisha uchaguzi ufanyike kwa katiba hii wanayoitumia kuiba uchaguzi, basi wanaharakati wote na wananchi wote wenye akili timamu na viongozi wa dini na vyama vya siasa visivyo vibaraka wa ccm tuungane tuunganishe nguvu zetu pamoja tuandae maandamano makubwa Nchi nzima siku ya uchaguzi tukiwa na mabango makubwa mengi kiasi cha kutosha kuionyesha serikali ya ccm na mafisadi wake pia kuionyesha Dunia kwamba tunataka katiba mpya! hatutaki kufanya uchaguzi huo wa mchongo bila katiba mpya na tume huru ya uchaguzi! Na hii inatakiwa ianze uchaguzi wa mwaka huu wa serikali za mitaa! kama ccm wanakaidi kuleta katiba mpya. Asanteni, mwenye akili timamu ataelewa ninachokisema.
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 5 ай бұрын
Big point 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 5 ай бұрын
Kweli Dr.Slaa anaongea ukweli Bunge haliisimamii serikali na limebaki kuwa wapiga debe wa serikali badala ya wananchi! Mahakama siyo huru! Jaji anaweza kupigiwa simu na kutekeleza maagizo kutoka juu! Mfumo wa hovyo sana! Tunataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi!
@JamesAbel-ig8wb
@JamesAbel-ig8wb 5 ай бұрын
Kwenye msimamo uko vizuri kuwa balozi ungekuwa ccm lakini ulikataa
@Felix-e6t4m
@Felix-e6t4m 5 ай бұрын
asante sana watanganyika atutaki muungano Tena kupuuzwa na uongozi ulioko tuone sura alisi ya Tanganyika kwamaana iyo watanganyika fungueni macho tunayajua yote Sasa ni mapambano kwa wadhalimu waende kwao waarabu na wazungu na Zanzibar watawala kutoka visiwani Zanzibar kutawala Tanganyika tukatae kabisa kwasauti moja serekali iwache porojo wenu ni simba sauti ya wanyonge
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri 5 ай бұрын
Excellent experience of the current social-political situation and hope for the future of the country.
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 5 ай бұрын
Dr Slaa ni kigeugeu sana
@JosephuSwai
@JosephuSwai 5 ай бұрын
Kwa lipi
@JosephuSwai
@JosephuSwai 5 ай бұрын
Kweli baba
@lgf7297
@lgf7297 5 ай бұрын
Anajikanyagakanyaga hana hoja. Nani ateue? Warioba aliteuliwa na nani?
@rashidsuleiman9253
@rashidsuleiman9253 5 ай бұрын
Ni jimbo gani katika hayo majimbo ya Marekani yamewahi kua nchi huru na kua na kiti umoja wa mataifa? Halafu ujue hizo tanganyika na Zanzibar sio state mzee
@johnkashandu2117
@johnkashandu2117 5 ай бұрын
Phd rubish
@JosephuSwai
@JosephuSwai 5 ай бұрын
Chawa
@karyori69
@karyori69 5 ай бұрын
Marekani ilishakuwa na civil wars baada ya abolition of slavery!
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 5 ай бұрын
Katiba ni simple ila tatizo mifumo yetu bado si rafiki
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 5 ай бұрын
mifumo ni zao la katiba ni sawa na kusema gari nzuri lakini ingini mbaya
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 5 ай бұрын
MSOMI HALISI 👏🏼👏🏼👏🏼HEKO BALOZI WILLBROD SLAA
@AyoubKhatib-p4k
@AyoubKhatib-p4k 5 ай бұрын
Muungano uvunjwe Tanganyika wazaifu sana mna roho mbaya sijui ilikuaje tukaungana na nyie
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 5 ай бұрын
😂😂😂😂 Mm najua Zanzibar ni Mali ya Tanganyika na wazamzibari wote ni WA Tanganyika sema ni watumwa mliobakishwa zanzibari baadae ya biashara ya watumwa kukomeshwa
@afropatriot7769
@afropatriot7769 5 ай бұрын
Kaka kichogo kipo flat au mchongoko🤣🤣🤣 maana kama ni flat inabidi tukusamehe
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 5 ай бұрын
​@@charlesboniphace2249😂😂😂😂😂😂😂😂 watumwa ugonjwa wa moyo😂😂😂 kwa maneno yako 😂😂😂
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 5 ай бұрын
​​@@afropatriot7769😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mchongoko😂😂😂😂
@arthurmwabulambo1201
@arthurmwabulambo1201 5 ай бұрын
Huyu mzee anasema hana chama wakati ongea yake yote ni chadema. Kama walivyomwambia Petro zungumza yako inakutambulisha kuwa ni mfuasi wa Yesu.
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 5 ай бұрын
Alikuwa balozi mzuri sana huko Scandinavia🎉🎉
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 5 ай бұрын
Nchi za kiafrica viongozi waliokuwa wapenda haki, na viongozi bora, huwa wanachukiwa na kuondolewa madarakani, tunabakia na wapiga makofi ya uwongo kwa Rais ili kuchunga nafasi zawo kwa manufaa yawo wenyewe
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 5 ай бұрын
Hii nchi ni mgumu sana ndugu
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 5 ай бұрын
Ccm inajua kabisa,endapo ukipatikana mfumo bora wa uchaguzi yaani kusiwepo upendeleo wowote kwa chama chochote kile,huo ndio mwisho wao,hilo wanalijua kabisa,maana ikiwa kweli wewe unatoka mitaani,basi unajua wazi jinsi watu wengi wanavyoichukia ccm"
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 5 ай бұрын
Hakika umeongea ukweli ndugu! Hawa mafisiemu inatakiwa waondoke madarakani japo wengi wanaona ni kazi kuwatoa lakini nguvu ya pamoja inawezekana kuwatoa! Tusikubali kugawanywa ns ccm hiyo ndiyo mbinu wanayoitumia pamoja na pesa kuhonga na kuwagawa wananchi ili wao wapate mwanya wa kushinda!
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 5 ай бұрын
Hilo halipingiki ndugu
@hajihassan5433
@hajihassan5433 5 ай бұрын
Mhe. Dr. Slaa tukizungumzia KATIBA MPYA achana kabisa na Tume ya Warioba na Katiba Pendekezwa kwa sababu maoni ya Warioba ni HARAM alilazimisha maoni yawe yanaukubali Muungano na waliokataa waliwekwa ndani miaka 9 bila Mahakama. Tanzania ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hivyo kila upande ukajadili na kupiga kura ya maoni, tuendelee nao au la, kama tuendelee nao ndio tutafute maoni Katiba yetu iwe je, hapo tutapata Katiba vinginevyo ni kupoteza tu muda.
@JosephuSwai
@JosephuSwai 5 ай бұрын
Boya
@hajihassan5433
@hajihassan5433 5 ай бұрын
@JosephuSwai Watanganyika mumevaa koti la Muungano kila kitu kimataifa ni nyinyi halafu ndio mnaozungumzia Katiba mpya bila ya sampuli hata ya ibara 1. Kama nia ya Muungano haipo tuuvunje waliouhitaji hawapo na walivyoutaka ulikuwa na una miaka 60 sasa ni ujinga kujadili sijuwi walikosea hapa au pale.
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 5 ай бұрын
Katiba ni simple ila tatizo mifumo yetu bado si rafiki
DR. MAGUFULI AKIFAFANUA KUHUSU HIFADHI YA BARABARA
5:38
Jimmy Jo
Рет қаралды 161 М.
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
Synyptas 4 | Арамызда бір сатқын бар ! | 4 Bolim
17:24
TAZAMA DK Slaa alivyokaribishwa CHADEMA, afunguka mazito
7:22
Mwananchi Digital
Рет қаралды 4 М.
Sijapokea Barua ya Kufutwa Ubalozi - Dr Slaa
4:14
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 3,9 М.