MPINA AKASIRIKA! AMVAA SPIKA TULIA BILA WOGA - ATANGAZA KUMBURUZA MAHAKAMANI WAZIRI BASHE na MWIGULU

  Рет қаралды 20,787

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MPINA AKASIRIKA! AMVAA SPIKA TULIA BILA WOGA - ATANGAZA KUMBURUZA MAHAKAMANI WAZIRI BASHE na MWIGULU
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 93
@globaltv_online
@globaltv_online 3 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@chesconkwera2005
@chesconkwera2005 3 ай бұрын
The. Only Mp anayeweza kusimamia achokielewa bila uchawa
@DavidMeshack-c6s
@DavidMeshack-c6s 3 ай бұрын
Ccm majambazi tu, Mimi Sina chama chama changu kilikuwa ni magufuli tu basi. Mtetezi wetu alituacha wengine wanateteana huko huko juu. Nasema ukweli ipo siku makonda atakuwa Raisi wa nchi hii, tumeona mungu anamtumia yule kaka, natamani kabla hajawa Rais aje auongoze mkoa wa mbeya tunamtamani sana huyo mwamba
@DannyWiston-xo4hx
@DannyWiston-xo4hx 3 ай бұрын
Huyu jamaa ni the best one
@DannyWiston-xo4hx
@DannyWiston-xo4hx 3 ай бұрын
Huwez, kuwa chawa maisha yako, mimi ni ccm ila we need to change
@NdageKitahama
@NdageKitahama 3 ай бұрын
Ww uko sahihi wamekuonea wananchi tupo pamoja kwamaelezo yako ww ukweli umeuweka wazi walikuwa hawataki wananchi tujue huo ufisadi uliyofanyika kwenye sukari
@maryhando227
@maryhando227 3 ай бұрын
Safi sana, Mungu upo.
@ayoubmtumishi50
@ayoubmtumishi50 3 ай бұрын
Nahisi kuna jambo kubwa sana naona kwenye Sukari hakika iundwe kamati.
@dottomanyesha9692
@dottomanyesha9692 2 ай бұрын
Viongozi vigogo wa bunge wanapitisha miswada, wanaangalia wananufaika je na mambo ya ovyo na ubadhirifu yanayofanya waziri. Kwa mfano, kampuni ya stationery na waziri kuuza chakula ipewe kibali cha kuingiza tani elfu 60 , hapo ni utakatishaji wa pesa Bunge letu mbadilike isiwe kika kitu Ndiyooop !
@dottomanyesha9692
@dottomanyesha9692 2 ай бұрын
AChana nao Mhe. Mpina, mambo ya nchi hii saana, maana viongozi wa nchi hii ni wanaangalia mafumbo yao na maslahi ya watoto wao ba familia zao tu
@DaudMabumba
@DaudMabumba 3 ай бұрын
Mungu akutangulie
@benjaminphelecian7621
@benjaminphelecian7621 3 ай бұрын
Mpina yuko sahihi mungu yupo na wew
@fanuellingson
@fanuellingson 3 ай бұрын
Hoja hujibiwa kwa hoja waje na hoja pia
@abubakarizakaria6041
@abubakarizakaria6041 3 ай бұрын
Upo sawa mpina
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 3 ай бұрын
bx kama Ndio Bashe Hali peke yake Naspika yumo Nawabunge baaazi ila tulia mpina acha wapigaji wapge ila ipo siku wata kukumbuka
@ahmesaofficial9611
@ahmesaofficial9611 2 ай бұрын
😢
@nedkatunge5702
@nedkatunge5702 2 ай бұрын
Tulikupeleka uingereza masomo hii ni halali
@DannyWiston-xo4hx
@DannyWiston-xo4hx 3 ай бұрын
ila mpina umekua na speed kubwa Sana, you had to relux
@jumakizija829
@jumakizija829 3 ай бұрын
Kinachoonekana kwa Mpina ni kukosea approach. Anamwaga sn mchele.
@Merry99Mabugu
@Merry99Mabugu 2 ай бұрын
Kimeumana na bado hajasema mpakà 20025 itakua imeiva 😅😅😅
@Felix-e6t4m
@Felix-e6t4m 2 ай бұрын
nauliza wabunge tunaenda wapi wazawa wenyeji atukuletwa kwa meli Wala treni wabunge ambao sura yao aiambatani na sura alisi ya Tanganyika tutawatoa mamlakani wakina Bashe na wengineo wenu ni simba sauti ya wanyonge tupewe haki zetu zote watanganyika tulinde tanzanaiti yetu msilale Tanzania walio wengi vijana wapewe mashamba wajiajiri kuliko kuajiriwa
@josephkamatha407
@josephkamatha407 3 ай бұрын
Bashe ana kitu anaficha
@cloudjulius-sf6nw
@cloudjulius-sf6nw 2 ай бұрын
Piga za kichwa wamekuonea sana box la kura litawajibisha hao usijali
@barakakevela245
@barakakevela245 3 ай бұрын
BASHE UNALINDWA NA TULIA KWA UFISADI WAKO
@AthumanDauda
@AthumanDauda 3 ай бұрын
Kuna upigaj mkubwa sana upande wa wazir kilimo napia wazir wa fedha naye yupo anatufanyia mambo ya kutuumiza wananchi Sasa ruhaga mpina kumfungia vikao kumi na Tano nikuona ameongelea upigaj nakuona watanzania wanyonge watajua kua serkali ilioko inawapigaji watanzania tumkumbke magufur aliwaambia watz kua ccm imejaza majizi Leo ndo haya
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 2 ай бұрын
Mtanzania mnyonge ni wewe peke yako sisi wengine sio wanyonge. Spika yupo sahihi na hakutoa maamuzi Bali amesimamia Sheria. Sheria za Bunge ndiyo zimemhukumu Mpina
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 2 ай бұрын
Mh. Mpina unazidi kupotea!!! Unasema hukusikilizwa wakati kamati imekuita na kukuhoji!! Usiudanganye umma ndugu yangu.
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 2 ай бұрын
Kwahiyo hapa unamshitaki Mh. Spika kwa Nani?
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 2 ай бұрын
Hoja zako mheshimiwa Ni dhaifu Sana! Unasema wabunge hawajaandaliwa kuchangia hoja yako wakati wabunge walichangia Tena kwa kina kabisa!! Ungekaa kimya ingekua umechukua uamuzi wa Busara Sana Mh.
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 3 ай бұрын
Sawa Sawa baba mpina hao mawaziri wezi tu
@abubakarizakaria6041
@abubakarizakaria6041 3 ай бұрын
Itabid tue mfano kama Kenya hinizarau kubwa sana kuka namajambazi
@FriddaUrasa
@FriddaUrasa 3 ай бұрын
Mbinu 161 ,tunajipanga 2025,wanajuana
@NuruJuma-zv3yz
@NuruJuma-zv3yz 3 ай бұрын
Hasira yote hiyo niakukosa Posho,, posho ya vikao 15 simchezo😅😅😅😅😅😅
@rajabumtuga7372
@rajabumtuga7372 3 ай бұрын
Toa uthibitisho wa hilo unalo ongea kama alivotoa uthibitisho mh. Mpina hapo.
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 3 ай бұрын
Posho la nini mtu anajitoa kututetea Sisi mana Sukari bado bei ipo juu
@RaisingPeoplesDestiny
@RaisingPeoplesDestiny 3 ай бұрын
Watu wengine bhana unafikiri mpina ana njaa kama za kwako..
@fabby1181
@fabby1181 3 ай бұрын
mamamako
@NuruJuma-zv3yz
@NuruJuma-zv3yz 3 ай бұрын
@@fabby1181 woote sisi chanzo chetu ni baba, halafu hapomahali unapopatukana, ndio tumepita wote,
@remmymmewa307
@remmymmewa307 3 ай бұрын
💪💪🖐️
@umlaith5202
@umlaith5202 3 ай бұрын
Huyo Anania kutoka CCM
@joshuarose6756
@joshuarose6756 3 ай бұрын
Wew upo sahihi ungeAmia chadema Tuu
@HEMEDFURAHISHA
@HEMEDFURAHISHA 3 ай бұрын
kaaen myamalize kwan bunge ndio mhimili Wanch natunategemea maendeleo mkubwa yatokane namhimili
@MussaPailya
@MussaPailya 3 ай бұрын
Punguza kauli zako mpina Huseni bashe yuko sahihi naona unatafuta comment mtandaon
@AthumanDauda
@AthumanDauda 3 ай бұрын
Majiz aliowasema magufur kua niwapiga dili hususan ktk ccm chama tawara je kwann kamati ilikuja namaon ya sipika sio maoni na maamuzi ya kamati
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 3 ай бұрын
Mimi naona ww hufuatilii bunge linavyoendelea kwa sasa bado wanaongelea sukari kwa huyo huyo Mh Bashe Uwe unasikiliza vizuri kwenye bunge LIVE please
@celinamosha9420
@celinamosha9420 3 ай бұрын
Kwendryaaaaa
@erestizacharia4758
@erestizacharia4758 3 ай бұрын
Boys wewe, hata hujielewi.
@sonnyr1899
@sonnyr1899 3 ай бұрын
Chawa pori wewe
@OmarMohamed-bs2hf
@OmarMohamed-bs2hf 2 ай бұрын
Kama wewe umeebuwa na dudu na umeonekana kuwa umesemakweli alindwe alofanya hata spika atakuwa ni mkosa kipande wako
@attunelson8828
@attunelson8828 3 ай бұрын
Kwahiyo wa tz tulivyokuwa tunateseka na sukari wewe mpina ulikua unafaidika?Bashe amechukua hatua za dharula wananchi tupate sukari.Hivyo viwanda vinatutesa na bei zao za sukari ni kubwa.
@SimbabweSaid
@SimbabweSaid 3 ай бұрын
Wewe spika na wezi wenzako mafisadi mnamuonea mpina mnatuletea ushenzi wa awamu ya nne msifikiri sisi ni wapumbavu ndio maana hamumzungumzi vizuri john magufuli mwisho wenu unakuja hongera mpina tupo na wewe huyo bashe na wanaomuuga mkono wote nimafisadi mlaaniwe
@judicalosika7642
@judicalosika7642 3 ай бұрын
Ni uwajibikaji wa Pamoja!!
@DannyWiston-xo4hx
@DannyWiston-xo4hx 3 ай бұрын
Huyu jamaa maneno yake yataishi! Tulia nampenda sana ila kwa mpina amenikosea sana
@JosephatLusambo
@JosephatLusambo 3 ай бұрын
Jeshi la mtu mmoja Sipika na kundi lake la kubebana
@LeonardmatiasWiliamu
@LeonardmatiasWiliamu 3 ай бұрын
Tuko pamoj.mpina.namimi.niko.siciem.kwahiro.hapana.razima.tufanye.msbadriko.ya.kura
@DavidMeshack-c6s
@DavidMeshack-c6s 3 ай бұрын
Mheshimiwa wewe ni jembe pamoja na kuwa upo chama cha majambazi, Selikali yetu ilitakiwa kuwa na viongozi wafuatao: p makonda, mpina mwenyewe, tundu lisu, John heche, Mzee majaliwa, msukuma, sugu, na wengine ambao nitawasema baadaye. Waache watutese vichinjio tunavyo
@judicalosika7642
@judicalosika7642 3 ай бұрын
Umemsahau "Taratibu"
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 3 ай бұрын
Jembe limekulima wapi?hebu vaa nguo Acha tabia hiyo
@judicalosika7642
@judicalosika7642 3 ай бұрын
Na Ibrahim Traore!!!
@kaponasalum3648
@kaponasalum3648 3 ай бұрын
Soma vipengele vyote, Mimi bado hujaniwashawishi, hebu fichua kwanza maovu yako wakati ukiwa Waziri wa Mali Asili na Utalii.
@sadikingonyani8124
@sadikingonyani8124 3 ай бұрын
Kwa nini nayo malalamiko hukuyafanya BUNGENI? Unatafuta umaarufu wa KISIASA wananchi
@hassanbigilenyema6178
@hassanbigilenyema6178 3 ай бұрын
unachekesha kwan ulikuwa haufuatilii kinachoenedelea bungeni, siyo lazima ucomment ndugu,
@piusmdoe3200
@piusmdoe3200 3 ай бұрын
Du! bado tu.
@AthumanDauda
@AthumanDauda 3 ай бұрын
Kwan mpk anafukuzwa bungen ukujua tatizo nchii inawajinga weng
@rajabumtuga7372
@rajabumtuga7372 3 ай бұрын
Hakupewa nafas ya kujieleza bingeni. Hata aliyo elez kweny kamat hayajazungumziw bungen
@josephkamatha407
@josephkamatha407 3 ай бұрын
Hakupewa nafasi ya kutetea ushahidi wake
@DannyWiston-xo4hx
@DannyWiston-xo4hx 3 ай бұрын
Hakuna msukuma fala
@DannyWiston-xo4hx
@DannyWiston-xo4hx 3 ай бұрын
Kuna watu nliwaambia kajala alipoludiana na harmo,ilikua ni mipango na hakuna mskuma fala, nadhani kwa wenye akiri wamejua namanisha nin
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 3 ай бұрын
Akiri😂😂😂
@DeusiMorisi
@DeusiMorisi 3 ай бұрын
Nenda chadema mbadirishane
@mokiaolenaputu7648
@mokiaolenaputu7648 3 ай бұрын
Duh huyu jamaa ni kichwa. Halafu wasukuma siyo mafala
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 3 ай бұрын
Nashangaa huyu Fala ni msukuma wa aina gani.
@DeusiMorisi
@DeusiMorisi 3 ай бұрын
Huu ni mgogoro mkubwa
@DeusdeditMichael
@DeusdeditMichael 3 ай бұрын
MPINA ANATETEA VIWANDA LAKINI WAZIRI BASHE ANATETEA WANANCHI. PIMENI WENYEWE ANAYETUFAA.
@gabrielnjiapanda3710
@gabrielnjiapanda3710 3 ай бұрын
Huwezi kutetea wananchi kwa kuvunja sheria ya nchi.
@DeusdeditMichael
@DeusdeditMichael 3 ай бұрын
@@gabrielnjiapanda3710 SHERIA KANDAMIZI HIYO INAYOWAPA WENYE VIWANDA KUAGIZA SUKARI NA KUZALISHA SUKARI. WANANCHI TUNATAKA SUKARI BEI CHINI NA SIYO SHERIA.
@judicalosika7642
@judicalosika7642 3 ай бұрын
​@@DeusdeditMichaelhata mataputapu ije tu!!!
@erestizacharia4758
@erestizacharia4758 3 ай бұрын
Kuvunjwa kwa Sheria Ni vijiashiri vya matumizi ya rushwa na hujuma didhi ya wananchi, mweshimiwa mpina uko sasahihi.
@DeusdeditMichael
@DeusdeditMichael 3 ай бұрын
@@erestizacharia4758 RUSHWA NI KUMPA MZALISHAJI WA SUKARI KUAGIZA SUKARI BADALA YA KUZALISHA. NA HATA WALIPOTAKIWA KUAGIZA SUKARI HAO WENYE VIWANDA HAWAKUAGIZA HADI SUKARI IKAADIMIKA. WANANCHI TUNATAKA UAGIZAJI SUKARI UWE BIASHARA HURIA, KILA MWENYE UWEZO WA KUAGIZA AAGIZE ILI BIDHAA IJAE SOKONI. HAO WENYE VIWANDA WAMESABABISHA WATU KUNYWA UJI WA CHIMVI, ETI SHERIA!!!
@MosesMnyantope-zw4ed
@MosesMnyantope-zw4ed 3 ай бұрын
Du
@IbrahimMohamedally
@IbrahimMohamedally 3 ай бұрын
Kapimwe akili wewe huna lolote hara mwalimu wako mgeja amekukataa
BAKWATA: Mwiba mzito kwa Waislam Tanzania
43:19
Kalamutz
Рет қаралды 10 М.
How To Get Married:   #short
00:22
Jin and Hattie
Рет қаралды 25 МЛН
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 14 МЛН