Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@AlisiaAlisia-yq6wh5 ай бұрын
Tunaomba imufikie laisi jaman
@francismlembwa27335 ай бұрын
Mh kwanza Mimi nakupenda Sana jinsi unavyofanya kazi hakika tulichelewa Sana kupata mawaziri wanaojua ,Utu,haki pia wenye kutumia busara na hekima ya Hali ya juu kutatatua migogoro ya ardh,Mungu azidi kukupa afya njema
@ramadhanmazije38825 ай бұрын
Hongera sana mh Waziri kwa kushughlikia matatizo ya watu. Other Politicians wajue kuwa Siasa zimebadilika. Siasa zilizobadilika nizakutatua matatizo ya watu kwa kulazimisha na kuwasema hadharan watumishi wasiowajibika kutatua shida za watu
@jasonwatz74575 ай бұрын
Kabisa, watu wanataka vitendo sio maeneno tena na ahadi hewa
@kristofuraha33695 ай бұрын
Nimependa namna mh waziri unavyonipigia wahuni spana!
@muhammednassor35694 ай бұрын
Nchi hii ina madudu sana Wallah
@rehemakanyere41885 ай бұрын
Hapo Sawa kbsaa
@geofreykayombo4015 ай бұрын
Hongera kusimama ili,bila kusahau kule pugu kinyamwezi,serikali ya mtaa wanasifa mbaya za ardhi maeneo ya kesi nyingi ambazo visababishi ni wao mjumbe na mwenyekiti na madalali
@sebastianmwakulya81464 ай бұрын
HONGERA MUHESHIMIWA KWA KAZI KUBWA MUNGU AWABARIKI
@DadysBoy.5 ай бұрын
kazi nzuri sana waziri, huyu jamaa wa kuitikia je na mahakamani anaukumiwa kwa kuitikia kakaa miaka 10?
Hao wanaonyaghanywa ni wapiga kula na hao wanaopewa nyumba wasizozijenga ni wapiga kula.sasa Basi kinachokuja ni kumwaga damu.
@selector7284 ай бұрын
Kura sio kula
@MonicaBenitomwalongo5 ай бұрын
Kama Vincent uyo nibalaa
@jtheophil54994 ай бұрын
Slaa piga kazi wakikunyima kura mh.Rais atakuteua tu.Wasikutishie kupitia kigezo cha uchaguzi Kama kura wasikupigie ushachaguliwa na mwenyezi mungu.
@pungopungo4115 ай бұрын
Kwa mwendo huo sio mwendo kinachokuja nikumwaga damu
@jacksonsawe23015 ай бұрын
Njoo Ndachi Nkuhungu broad acre Dodoma
@khalidmdotta38435 ай бұрын
Mwenyekiti ndio wauzaji wakubwa hao
@Clex-f5s4 ай бұрын
Nafasi za uenyekiti wapewe watu wenye elimu aisee hawa watu nj wasumbufu aisee wanatafuta njama yoyote wapate hela
@exaverysimon10645 ай бұрын
❤❤❤❤
@mussamdoe46194 ай бұрын
Mheshimiwa tunakuomba mombo mazinde diwani ndio kikwazo anavunja amani kwakuchonganisha wakulima nawafugaji tunaomba msaada wako mkuu
@RenaldaZeramula5 ай бұрын
Mh. Wstie adabu.hadi watumishi wa serikali. Idara ya ardhi
@kilogreekachananawatuwasio40544 ай бұрын
Kazi hendele supana tu😂😂😂
@JosephuSwai5 ай бұрын
Tunaka nchi yetu ijiendeshe kisheria sio utashi wa mtu au hisani kesho inawezekana haupo mfumo katiba
@ManHussein.5 ай бұрын
Huyo tapeli wa ardhi ni shemeji yako nini?
@Optionxll_Playz15 ай бұрын
Ni kupanga na kuweka Sheria nzuri watu waache wizi.
@GbpAud_King5 ай бұрын
Jerry silah pekeake ndo anapiga kazi
@sophsoph47405 ай бұрын
Na makonda 😢
@christinewomanoffaith54794 ай бұрын
Na chalamila,wanajitajidi Arusha makonda
@kimingowameno40685 ай бұрын
Kimyaaa Nani mwenye miaka 10
@RestutaLeo-xq7rf4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂, kimyaaaaaa ka Maj mtungin
@MrishoHussein-oz9nr5 ай бұрын
Mh ukitoka huko pitia bagamoyo na wenye viti pia wanahusika na sisi tumezulumiwa mali zetu wao ndio chanzo
@bhokemagarya30765 ай бұрын
Kabisaa huko ndo kabisa yani
@pungopungo4115 ай бұрын
Mnawaudhi watu tu .haya tafuteni Kura za uchaguzi kihivyo
@pungopungo4115 ай бұрын
Raisi hebu angalia waziri kwako wa aridhi anachokifanya kama kitakupendeza Basi naaendelee. Si kashika mpini wananchi wananyan'ganywa nyumba zao anapewa ambae kaja na makaratasi eti ni wakwanza kupewa kama niwakwanza mbona hakujenga? Haya yetu macho
@johnmichaellukindo214 ай бұрын
@@pungopungo411ondoa upuuzi wako wa kura!
@OmanOman-dn6dj5 ай бұрын
Mteja wako huyu mchukue😂😂
@RenaldaZeramula5 ай бұрын
Polisi nao wanahusika
@AlisiaAlisia-yq6wh5 ай бұрын
Uonevu huo jaman😅😅
@salmanmagwe26125 ай бұрын
Serikali yetu achaneni na akili ya KIJAMAA ktk sector ya ardhi,tungeni sheria imara za umiliki ili isiwe rahisi kumyan'ganya mtu eneo lake. Serikali isimamie tu sheria na sio Rais kuwa ndio kila kitu bali iwe mwenye ardhi.ondoeni sheria ya ukomo wa HATI,kwani ardhi nitaweza kuipeleka nchi jirani? na sheria ya kumnyang'anya mtu eneo lake eti hajaliendeleza,kwani maendeleo ni lazima yawe ni ujenzi tu?mashamba yote ya KAHAWA,CHAI NA MKONGE,yaliyopo mjini yasibadilishwe kuwa makazi yabakie tu mashamba milele kwani mwisho wa siku hatutakuwa na hayo mazao kwa uzembe na sheria zetu za ajabu.mapori tengefu yanavamiwa ovyo na wananchi kwa kutetewa na wanasiasa na kuyan'gan'gania na mwisho wa siku tutapoteza uoto wa asili kwa sababu tu tumeruhusu wanasiasa watuamulie mustaqbali wetu wakijali tu kura badala ya kuwasikiliza wataalamu.
@RenaldaZeramula5 ай бұрын
WOTE WANAOUZA.NYUMBA.WAPEWENUYARATIBU WA KUSAJILI.HIZO.NYUMBA KM ZIKO MAENEO HALALI AMBAYO HAYANA MOROGORO AU KUEPUKA KUUZA NYUMBA ZA WALIOPO UGHAIBUNI
@pungopungo4115 ай бұрын
Kwanza sheria za aridhi ukipewa kiwanja ikipita miaka 3 hujaendeleza sio chako tena kinachoshangaza mtu ana miaka 30 kwenye nyumba kaijenga kwa shida anaambiwa vunja sio kwako hapa.aridhini ya selikali unaemnyanganya ni mtanzania na unaempa ni mtanzania.tena unaempa nyumba ambayo haijui hata garama yake. Hakuna njia mbadala hadi kuvunjia watu au kunyaghanya. Sasa nawapa ushauli wa blue ikifikia mmoja katangulia kujenga yule alikwisha Jenga atoe faini ili yule akapimiwe kungine.acheni roho mbaya zakukpmesha watu.raisi uko wapiga mbona umenyamaza?