Lowassa na Sumaye Wanena Mazito Kwenye Msiba wa Ndesamburo

  Рет қаралды 142,492

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Lowassa na Sumaye, ambao wote ni Mawaziri Wakuu Wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika vipindi tofauti, nao walikuwa miongoni mwa maelfu ya viongozi walioshiriki mazishi ya Mzee Ndesamburo, Moshi Mjini. Wamepata nafasi ya kupanda jukwaani na kuongea na waombolezaji. Kama kawaida hawakuacha kutumia nafasi hiyo kutupia neno na kutoa yao ya mayoni,
SUBSCRIBE NOW: / uwazi1
kupata habari zaidi, WEBSITE: globalpublishers
.co.tz/
FACEBOOK: / globalpublishers
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpublishers
#Ndesamburo. #Lowassa. #Sumaye

Пікірлер: 111
@julianamasunga3458
@julianamasunga3458 7 жыл бұрын
Safiel..... matusi si mpango nani asiyejua huyo mzee nimpinzani? lawama kwenye msiba wapi lini nchi hii inapaswa ipige hatua si malumbano kila kukicha mzee kapendwa na mungu wamuache hapumzike kwa amani!!!!
@lameckbarnaba3739
@lameckbarnaba3739 7 жыл бұрын
rip ndesamburo tunakuombea ulale kwa aman
@ombeninassari2691
@ombeninassari2691 7 жыл бұрын
one day we can
@HipHop_2024
@HipHop_2024 7 ай бұрын
Lowassa dah😢😢😢😢😢
@emanuelmushi9917
@emanuelmushi9917 29 күн бұрын
Lowassa kuongea unaweza sana ila sumaye bna naona kutengeneza sera inakua tabu
@fidelismalley8432
@fidelismalley8432 7 жыл бұрын
kwa kuwa mzee ndesamburo alikuwa mwanasiasa, si mbaya kasiasa kakifanywa kidogo kwa pande zote mbili
@titonkwabi7430
@titonkwabi7430 7 жыл бұрын
Zero zero kweli!
@allyomary9318
@allyomary9318 7 жыл бұрын
kumbe ni shereheee tenaaaaa????makubwaaaa
@athonyfrancis8889
@athonyfrancis8889 7 жыл бұрын
tembea uone si kwa Ndesamburo tu hiyo ndo style ya wachaga msiba ni harusi ya tatu na ya mwisho ya kwanza ni kuzaliwa,pili ni kuoa au kuolewa,tatu ni kifo.
@allyomary9318
@allyomary9318 7 жыл бұрын
Athony Francis wewe ndo utembee uone.issue cio marehemu issue ni hao wasiokuwa na chembe ya aibu kupeleka siasa hapo.
@jaafarmkatta1336
@jaafarmkatta1336 7 жыл бұрын
Mungependa demokrasia were na mwenzio musinge musingekimbia baada ya kutemwa urais
@emmanuelmwangwa3620
@emmanuelmwangwa3620 7 жыл бұрын
Jaafar Mkatta hakuna ulijualo kaa kimya wewe
@dovicochristopher5388
@dovicochristopher5388 7 жыл бұрын
Jaafar Mkatta Ww huna Akili kabsaaa
@pettermasika9120
@pettermasika9120 6 жыл бұрын
Amani Chadema imetoweka Busara za Ukweli za Mzee ndesamburo Kwelikweli Chadema nayo hatunayo tena ,IMETUTOKA
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 7 жыл бұрын
Si ulisema kipindi chote cha uwaziri wako ulikua hujui kwa nini Tanzania masikini,mpaka ulipoenda kusoma Havard...you got a problem with you Sumaye.
@erielmushi7219
@erielmushi7219 7 жыл бұрын
hv nyie mawzri wakuu wastaafu mnataka nn?wakati wenu umeisha msituchonganishe hatupgani wla htudnganyki hata msiba nnaleta siasa,polen
@lachmansingh4327
@lachmansingh4327 7 жыл бұрын
eeee mwenyezi MUNGU naomba umuweke MZEE wetu ndensamburo mahali pema.
@mudrickchuma3716
@mudrickchuma3716 7 жыл бұрын
tutakukumbuk daima peoples power
@gaspermassawe7397
@gaspermassawe7397 7 жыл бұрын
Sumaye nilikuwa sikukubali wakati ukiwa ccm,kwani ukiwa na nyang' au nawewe unakuwa na FISI,SASA HIVI TUUNGANE WOTE KUHITAFUTA KWELI YA KWELI SIO DEMOTION STRATEGIC DEMOCRACY
@derickmujuni7058
@derickmujuni7058 7 жыл бұрын
SUMA. HATA KUONGEA HUJUI
@ndikumanakalenzo2440
@ndikumanakalenzo2440 7 жыл бұрын
ukiona mtu anaipenda fisiem ujue Huyo ni zaidi ya mchawi
@emmanuelmwangwa3620
@emmanuelmwangwa3620 7 жыл бұрын
presidential materials
@blasyvicent3750
@blasyvicent3750 7 жыл бұрын
R.I.P ndesamburo
@octaaalyiii9539
@octaaalyiii9539 7 жыл бұрын
Katika maisha kuna mambo mawili kuishi na kufaa,katika maisha ambayo upo hai utapitia mengi mazuri na mabaya pia,ata katika kifo vivyohivyo utapitia mengi mazuri na mabaya....mungu amlinde kiongoz ndesamburo njia ni moja yeye katangulia sisi tutafuata. kwahiyo kila mtu apime harakati zake.msilie sana makamandaa sisi sote tutakufaa tu, cha msingi ni kumwomba mungu wako akupee akili na nguvu
@rodneymadoshi2881
@rodneymadoshi2881 7 жыл бұрын
Wahsramu nawapongeza sana kwa utaratibu wenu Mfano mtu akifa asubuhi jioni wanampumzika mapema sana kuna punguza siasa misibani kupandikizia chuki nameno mengine yasio na msingi wwote ktk misiba
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 7 жыл бұрын
Tambua aliefaliki Ni mwana siasa hivyo basi usitarajie kukosa kituhicho kwakua ndio utambulisho wa marehumu katika jamii husika inayomzunguka.
@maryhassan2755
@maryhassan2755 7 жыл бұрын
Utoto kwa Mzima ni aibu! Huyo sio mdogo azikwe kibubububu, alaf imaniyake haisemi mwili unapumzishwa ila roho ilisha toka hakuna ufaham wala maumivu anayosikia kupitia mwili ule. Acha kufikiriwa fikiri wewe c kila usikialo ni sawa. Siasa ni mfumo unaopenya kila eneo.
@markanthony5628
@markanthony5628 7 жыл бұрын
Mary hassan ukishapimwa akili itapendeza zaid
@frankbella5965
@frankbella5965 7 жыл бұрын
haujitambui
@paulokiwango21
@paulokiwango21 7 ай бұрын
R.i.p Lowassa my first president
@kelvinmbena8463
@kelvinmbena8463 7 жыл бұрын
madash na ally polen uwezo wenu wakufikilia umeishia hapo kwani aliekufa in nani kwa status yake acheni unafiki mmechekwa na ccm yenu kwa mambo ya ajabu mnayofanya na raid wenu mungu anawaona sana nimesikitika sana hii nchi sujui lowasa love you still alive.
@somyfrank1
@somyfrank1 7 жыл бұрын
IMEPENDEZA TENA....!!!!!! MUNGU AILAZE MAHALA PEMA ROHO YA MAREHEMU MZEE NDESSA...HAYA MENGINE TUMWACHIE MUNGU
@bashilumatola5453
@bashilumatola5453 7 жыл бұрын
wewe unaye mlaumu sumaye ww ni nani sumaye ana haki ya kwenda chama chochote na kutoa maoni na kufanya siasa chadema oyee
@emmanuelmohammed1294
@emmanuelmohammed1294 7 жыл бұрын
hahaha msiba wa kaskazini ( chaggadema)
@lachmansingh4327
@lachmansingh4327 7 жыл бұрын
pongezi sana kwa mchungaji gwajima ma ukweli ulio utoa kuhusiana na vieleele vya viongozi kujiaamlia vitu kabla ya kupata mamlaka kwa mkuu waoo.
@togowelfare
@togowelfare 7 жыл бұрын
WEE SUMAYE ULIPOIBA RANCHI ZA TAIFA HUKUJUA DEMOKRASIA NA UTAWALA WA SHERIA? AU ULIKUWA MZUNGU WAKATI HUO?
@petermwanyondo6459
@petermwanyondo6459 7 жыл бұрын
RIP mzee ndesa mambo yamsiba niyamtu yyt aiusiani nachama mala sumaye ama lowasa yanini hayo nikukosa hekima kujadili watu ovyo
@hassanmwakatwila4185
@hassanmwakatwila4185 7 жыл бұрын
huna lolote sumaye we ulishafanya selikali zilizopita ulifanya nn
@barakamachamacha5823
@barakamachamacha5823 7 жыл бұрын
Hassan Mwakatwila
@shukuruchambanenje6054
@shukuruchambanenje6054 7 жыл бұрын
achen kdic watu kwan nyie mmefanya nn maixhan mwen ktk jamii uo ni uxhagunaku
@edisonmjema2620
@edisonmjema2620 7 жыл бұрын
Hassan Mwakatwila angemtomba mamaako ungejua alichofanya inzi wakijan
@jaafarmkatta1336
@jaafarmkatta1336 7 жыл бұрын
Safiely Togolani Kutukana tu! Viloba hivyo!
@richjasi4850
@richjasi4850 7 жыл бұрын
Uko vizuri mh. S. nakukubari
@abbiecox1
@abbiecox1 7 жыл бұрын
MCHANGA WA DHAHABU UNAMUHUSU HUYU! AKINYIMWA KITI 2020 ATAKIMBILIA CHAMA CHA WENDAWAZIMU
@lachmansingh4327
@lachmansingh4327 7 жыл бұрын
viongozi waige kazi na haki anazo zifanya mh.rais wetu magufuli hana ubaguzi na anatoa haki sawa.
@ndikumanakalenzo2440
@ndikumanakalenzo2440 7 жыл бұрын
ukiona mtu anaipenda fisiem ujue Huyo ni zaidi ya mchawi
@abbiecox1
@abbiecox1 7 жыл бұрын
KUMBE NI MSIBA WA CHAMA DUH KUMBE HUYU NI ZERO KABISA
@neemamwanga7300
@neemamwanga7300 7 жыл бұрын
km mtu hayuko na point ajipe shughuli jaman
@zamudulla1918
@zamudulla1918 7 жыл бұрын
wenzao wapo kazini wao wanaishia kutwanga maji kwenye kinu
@lameckbarnaba3739
@lameckbarnaba3739 7 жыл бұрын
rip ndesamburo tunakuombea ulale kwa aman
@ambasonkalenga215
@ambasonkalenga215 7 жыл бұрын
kuna watu wenye mapepo ya chama cha majuha wanavyo tuma ujumbe unashangaa kweli huyu mtu ni mzima kweli? mbona anamtazamo wa mapepo amejaa chuki,wivu, yachadema yanakuhusu nini wao wanjua wanayofanya lini fisi kamuongoza mbuzi wana ccm acheni unafiki hina chakuandika nyamaza mashetani
@djprincecharles5975
@djprincecharles5975 7 жыл бұрын
Lameck Barnaba
@samsonmwijage5301
@samsonmwijage5301 7 жыл бұрын
ajabu, watumia msiba kama turufu ya kisiasa.
@mudrickchuma3716
@mudrickchuma3716 7 жыл бұрын
tutakukumbuk daima peoples power
@petermwanyondo6459
@petermwanyondo6459 7 жыл бұрын
huo nimsiba mtu yyt aweza shirki hata ccm mambo yakukosoa watu nikutkuwa nafikra njema
@nzilamashala3570
@nzilamashala3570 7 жыл бұрын
mmmh sherehe ilinoga jamani hizi siasa .
@togowelfare
@togowelfare 7 жыл бұрын
HAHAAAAA! MTACHUKUA JENEZA SI IKULU WEWEE
@telesphoriwilliammuhikambe4826
@telesphoriwilliammuhikambe4826 7 жыл бұрын
waacheni wazike mtu wao inawaumanini?
@sdawalokole9489
@sdawalokole9489 7 жыл бұрын
huyu ndo mzee sumatra/sumaye?
@christinahaule9726
@christinahaule9726 7 жыл бұрын
S.l.p mengine umwachie mungu
@masininimkama3980
@masininimkama3980 7 жыл бұрын
baba anameremeta ngoja waumie
@jimlightmusic4635
@jimlightmusic4635 7 жыл бұрын
rip mzee tunakuombea sana
@kennytapwazy1877
@kennytapwazy1877 7 жыл бұрын
daaaaaaah pumzika kw aman mzeeee
@mashaurchief5002
@mashaurchief5002 7 жыл бұрын
Msiba or kampen
@eradmdage8504
@eradmdage8504 7 жыл бұрын
R. I. P KAMANDA
@thedriver.michael.3975
@thedriver.michael.3975 7 жыл бұрын
Lowassa oyee
@preciousmlangi8056
@preciousmlangi8056 7 жыл бұрын
Mzee uko poa unaimba vizuri ongera sana kija church yetu
@husseinhkitambi1701
@husseinhkitambi1701 7 жыл бұрын
hahahaa aisee msiba au mkutano wa kampeni za kisiasa .jamani akili kukichwaa
@adambolingo8097
@adambolingo8097 7 жыл бұрын
Hussein H Kitambi --Hussein hujitambui wewe, sikiliza hotuba vzr na kuiingiza siasa hapo sio hatari coz mzee NDESA MBURO ni mwana siasa ambae ni mwanzilishi na kiongozi wa kisiasa, angalia jeneza lake hilo limepambwa na bendera ya CDM. wewe INZI huna hoja na bado ni mbwiga kimaono.
@adambolingo8097
@adambolingo8097 7 жыл бұрын
Hussein H Kitambi --Hussein hujitambui wewe, sikiliza hotuba vzr na kuiingiza siasa hapo sio hatari coz mzee NDESA MBURO ni mwana siasa ambae ni mwanzilishi na kiongozi wa kisiasa, angalia jeneza lake hilo limepambwa na bendera ya CDM. wewe INZI huna hoja na bado ni mbwiga kimaono.
@nasolojohn9232
@nasolojohn9232 7 жыл бұрын
Hussein H Kitambi we we mwehu unafikiri anakosea sumayi
@nasolojohn9232
@nasolojohn9232 7 жыл бұрын
Hussein H Kitambi msiba wowote lazima history itolewe maana ni mahali pazuri pakutolea shida maana demokrasia imeminywa
@nasolojohn9232
@nasolojohn9232 7 жыл бұрын
Hussein H Kitambi umesikia ya lowasa
@richardsalvatory3186
@richardsalvatory3186 7 жыл бұрын
r.i.p
@jiwahassan523
@jiwahassan523 7 жыл бұрын
we are what we think
@festombaba8820
@festombaba8820 7 жыл бұрын
ila huyu jamaa sumaye anajichora.MTU ulikua mkuu eti Leo hii unajua mwenyekit wa kanda ya pwani alafu chama chenyewe chadem
@transmadale
@transmadale 7 жыл бұрын
mbona Cameraman Unaichezesha picha ya Rais wetu hivyo?acha wivu bhana
@richjasi4850
@richjasi4850 7 жыл бұрын
Uko vizuri Rais wetu luwasa tupo pamoja
@jaafarmkatta1336
@jaafarmkatta1336 7 жыл бұрын
Rich Jasi Urais atausikia tu !
@jaafarmkatta1336
@jaafarmkatta1336 7 жыл бұрын
Rich Jasi Na wewe siyo Luwasa bwana. Watu wengine msiojua hats kuongea acheni kucoment mnatia aibu!
@allyomary9318
@allyomary9318 7 жыл бұрын
mlisubirii sehemu ya kuaga muanze siasa zenu . hapa kaziii tuuuu.
@joshuanyonyi8820
@joshuanyonyi8820 7 жыл бұрын
ally omary Jpm balaa siasa mpaka kwenye mazishi.....mtanyoonka
@edisonmjema2620
@edisonmjema2620 7 жыл бұрын
ally omary unamavi kichwan huyo aliyekufa ni muasis wa chama hayo yanayomwa ni halali fisiem wakike wew
@barakamachamacha5823
@barakamachamacha5823 7 жыл бұрын
ally omary fanya yako acha yawatu
@barakamachamacha5823
@barakamachamacha5823 7 жыл бұрын
Safiely Togolani huu ni msiba
@edisonmjema2620
@edisonmjema2620 7 жыл бұрын
Baraka Macha Macha hayo yanayofanywa ni wasifu wa marehemu chek logo za chadema kilakona
@husseinhkitambi1701
@husseinhkitambi1701 7 жыл бұрын
huyu mzee mpumbavu sana ina maana hapo kwenye msiba wapo akina chadema tu
@edisonmjema2620
@edisonmjema2620 7 жыл бұрын
Hussein H Kitambi mpambav wew mbwa koko wa fisiem usiyejua kitu unaishi bila kujielewa mzee Ndesa nikiongoz wa chama hayo yanayofanywa nisawa angalia hata mapambo ni CDM wew mbwa ndiyo siku ukifa utazikwa kimya kimya
@stevenwalioba9863
@stevenwalioba9863 7 жыл бұрын
msiba wa kushangiliwa na makofi unatufundisha nini enyi wana siasi? au ndo Demokrasi yenu
@stevenwalioba9863
@stevenwalioba9863 7 жыл бұрын
Jamani watu wanaomboleza nyie mnatoa matusi hamna aibu
@allyomary9318
@allyomary9318 7 жыл бұрын
safiel hujitambui.na huijui siasa ya nchi hii endelea kutukanaaa hivo hivo.mwisho wa picha utaelewaaa.Rudi shule tenaaa.make huwezi kuwa sawa kiakili
@annacarlos7925
@annacarlos7925 7 жыл бұрын
Hussein H Kitambi mpumbavu mwenyewe kwani walivyosema mwanzo wanna ccm moshi mmetukimbilia ila viongozi ndo hakuna muakilishi ccm
@peemoneybags410
@peemoneybags410 7 жыл бұрын
Ridiculous
Msiba wa Mke wa Mengi Ulivyowakutanisha Rais MAGUFULI na Lowassa
7:45
Incredible: Teacher builds airplane to teach kids behavior! #shorts
00:32
Fabiosa Stories
Рет қаралды 11 МЛН
LIFEHACK😳 Rate our backpacks 1-10 😜🔥🎒
00:13
Diana Belitskay
Рет қаралды 3,9 МЛН
БЕЛКА СЬЕЛА КОТЕНКА?#cat
00:13
Лайки Like
Рет қаралды 2,5 МЛН
KIJANA ANAYEIGIZA SAUTI YA RAIS SAMIA AWAVUNJA MBAVU MKUTANONI
6:59
Lowassa atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Monduli
5:13
Edward Lowassa
Рет қаралды 37 М.
HISTORIA Ya KARUME, Rais Aliyezawadiwa  KIFO Kwa WEMA Wake!
22:09
Global TV Online
Рет қаралды 598 М.
MHE TUNDU LISSU ATEMBELEA KABURI LA FILEMON NDESAMBURO
3:54
Chadema Media TV
Рет қаралды 29 М.
Incredible: Teacher builds airplane to teach kids behavior! #shorts
00:32
Fabiosa Stories
Рет қаралды 11 МЛН