Poleni sana, i learn something juu ya Mama Regina barikiwa Mama wa Kiebrania. Ubarikiwe Mama Samia wanwake kama wewe Mungu akutunze mpendwa mama.
@DianaroseLema9 ай бұрын
Lowasa alilea watoto vizuri huyu fred anaonekana ana utu na busara kubwa polen
@truetanzania9 ай бұрын
Mungu amuweke mahali pema peponi. Asanteni kwa maneno mazuri ya kumkumbuka. Poleni sana familiar ya Lowassa. Kifo chake kimenikumbusha Sokoine na nilikuwa chini ya miaka mitano lakini sijasahau. May he RIP
@rhodanyanguss35439 ай бұрын
Nimesikia kuandika poleni sana kama familia na Mungu awatie nguvu na faraja Mh. Umeacha familia bora ya mfano. Ubarikiwe sana kaka.
@SamsonMwangama2 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akusimamie ninyi wote na Mungu awafunge mkanda wa imani daima
@ReginahNdiema-hj1tb9 ай бұрын
Poleni wandugu zetu watanzania. Sisi wamaasai wa Kenya tunaungana nanyi ndugu zetu Tanzania.
@hawamohammed97409 ай бұрын
Mama samia allah akulinde wewe ni wapekee mamaang allah akuhifadhi
@evafidelis3829 ай бұрын
Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi,kuondokewa na mzazi ni jambo zito sana.Dumuni katika upendo
@luuborafia57969 ай бұрын
Poleni sana Tanzania na familia ya Edward Lowassa, God amlaze pahali pema peponi
@DianaLewanga-xm8kc9 ай бұрын
Mheshimiwa Mama Samia pamoja na Mama Regina Mmejua kuwa mfano Bora na mmetuwakilisha vyema sisi wanawake Tunayo mengi yakujifunza kwenu❤❤❤
@NassirSeifu9 ай бұрын
Inauma sana kipengele cha mama Regina kimeniliza poleni sana wanafamilia ya lowasa
@kerambopaul35399 ай бұрын
Poleni sana wanafamilia ya Ngoyai Edward Lowassa RIP na mungu awape nguvu wakati mugumu wa majonzi , poleni Tanzania jirani wema ❤❤
@eneamwaijande50899 ай бұрын
Mama pole.....kuna kitu kikubwa nimejifunza kwa mama. Poleni familia
@WellnessJosephatMakusanya9 ай бұрын
Poleni sana familiar ya Lowasa natambua kuna pengo Mungu achukue nafasi eneo Hilo kila kitu kitakuwa sawa.
@rehemamwasomola43629 ай бұрын
POLENI SANA JAMANI MUNGU.AWATIE NGUVU MAMA NA WATOTO WOTE KIUKWELI SIO RAHISI.RIP HON.E.LOWASA
@sifamanyori9 ай бұрын
Kwa yesu akuna maisha mafupi kuwa namahisha mafupi nifikira zawanadam siyo Kwa yesu mungu arikuja naneno atakee okoka kihimani atahishi kwamahisha marefu mungu wambinguni kwenyenia zawanyoge
@silvamoz62999 ай бұрын
Poleni ndugu jirani zetu. Waziri mkuu Lowassa nilimuezi Kwa mwenendo wake wa upole na heshima Kwa wote.
@bitishoriziki11139 ай бұрын
Poleni saana njamani ndodunia hiyo muzinguko 🙏🏼👏👏🏼❤️
@joyceamsi63969 ай бұрын
Poleni wana familia, Bwana awe faraja kwenu
@mamalaobabalao679 ай бұрын
From Sweden poleni sana sana
@stanleynyakunga20389 ай бұрын
Pole sana mungu amempenda zaidi
@njagiwinfredwanjiku5739 ай бұрын
Napenda hiki kiswahili cha Tanzania hakina dosari.poleni sana
@djkellyb55399 ай бұрын
Try Kenyan Kiswahili very nice
@hawamohammed97409 ай бұрын
Daah huyu kijana kafanana sana na babaake hata uongeaji wake 😢😢
@marcelastephen42479 ай бұрын
Mungu awe nawe umoja wenu udumu familiar ya Mh Lowassa
@NorahIminza-oe7dm9 ай бұрын
Thanks for recommending Mzee Ntimama and Jonah Kin
@NorahIminza-oe7dm9 ай бұрын
Recognising
@julianamliga52649 ай бұрын
Poleni saana Fred. Mwenyezi Mungu awape faraja.
@JacquelineMahumbe9 ай бұрын
Fred barikiwa
@yohanashega2 ай бұрын
Du poleni sana ila ninamuomba Mungu awape faraja ktk kipindi hiki kigumu
@msa-pn8yt9 ай бұрын
huyu mtoto wa malehemu aisee kanyooka sn mungu ampe maono makubwa km baba yake
@benedictmrisho18009 ай бұрын
Richard hongera kwa wasifu mzuri wa RIP Baba yako iliyojaa umahiri wa kukwepa lawama kutoka popote na kwa yeyote. Huo ni uungwana.
@ToshaEmedi-gi4je9 ай бұрын
Mwenyezi Mungu awatiye nguvu nakuwa faraja kubwa
@twisilemwabukusi49819 ай бұрын
Kweli pumzika kwa amani Mh Lowasa. Mungu akupe Raha ya milele na awe faraja kubwa ya familia. Lakini zaidi ya hapo ambariki kiongozi wetu wa kitaifa Mh Dkt Samia Suluhu Hassan kwa moyo wake wa upendo alio nao. Ni katika mengi sana amekuwa mwepesi wa kusaidia watu. Mungu akuzidishie kila lenye kheri na mafanikio katika safari nzima ya maisha yako mama yetu. You are really a peace promoter. Be blessed so much Madam.
@robertedward19929 ай бұрын
Hakika umekomaa Fred,mungu awape moyo wa imani
@StellahKilonzo3 ай бұрын
Kama nikelewa hìyo nyimbo kwa kiswahili I will be happy.
@cedrickpangani82189 ай бұрын
Watoto sisi wakiume wapili huwa tunazaliwa na ushujaa wa ajabu sana
@limymasele219 ай бұрын
Kabisa
@PrayMbowe9 ай бұрын
Kwann na sio wa kwanza
@dazuujuma7789 ай бұрын
@@PrayMboweuyooo ashaanza wivu😂 joky
@VeronicaIsimalilo9 ай бұрын
Pole Sana mungu awatienguvu
@CkuckuOmande9 ай бұрын
Mungu amlaze mahala pemajl
@LucyAloyce-sb8he9 ай бұрын
Mungu awajalie Iman na aman hasa katika kipindi hiki kigumu
@MgayaAdhumani9 ай бұрын
Rais Samia anamoyo WA utu na ubinadamu pia ana busara
@MACHOYATAI-jk6fu9 ай бұрын
Angekuwa na moyo wa utu angepunguza bei ya sukari na mafuta
@MACHOYATAI-jk6fu9 ай бұрын
Acha uchawa
@gracekavishe98239 ай бұрын
Ubarikiwe salamu yako nimeipenda watu wanajali salamu nzuri kama hiyo
@benedictmrisho18009 ай бұрын
Mh Fred kuwakumbuka walinzi wa RIP mzee wako hakika unaonesha unyenyekevu. Wengi husahau wadogo lakini muhimu. Uendelee na hulka hiyo ya kutosahau wadogo na hasa wafugaji pia.
@RizenPrime9 ай бұрын
Samia Mungu yupo tutolee haya Matozo ya Kaisari
@FransiscaAlex9 ай бұрын
Mungu awatie nguvu familia ya mh Edward Ngoyai lowassa.
@bitishoriziki11139 ай бұрын
Upendo nikujitolea tukuwe tuna kuheshimu sana inaumiza 🙏🏼👏👏🏼❤️
@aminayussuf72159 ай бұрын
Mwinyi kaacha watoto wangapi
@DesdeliaKombaa9 ай бұрын
Polen jamniii kufiwa kunaumaaaa
@dainessmyovela21159 ай бұрын
🙏Mungu amweke mahali pema anapostahili🙏
@YohanaDaniel-f9t9 ай бұрын
Wimbo umenigusa sana ,poleni sana familia
@charleskarume63129 ай бұрын
Poleni wanandi kufiwa na mkwelima na shemeji yenu
@rizioniramadhan16749 ай бұрын
Mungu amlaze mahali pema peponi kamanda wetu
@davidrweyemamu9389 ай бұрын
Mama Samiah tunakushukuru sana sana!
@SaunaMyonga9 ай бұрын
Poleni wana monduli
@RESTUTADAMAS-to4eg9 ай бұрын
Poleni sana watanzania wote
@NdeshiKaaya9 ай бұрын
Mungu awatie nguvu
@maddnzomo19 ай бұрын
Poleni poleni sana....
@Khajiadamseif9 ай бұрын
mung hamlaze mahala pema peponi amen.
@farajilalah83799 ай бұрын
Huyu jamaa yupo vizuri
@rosejulius77569 ай бұрын
Rest well 💜 Baba
@Sengakarera9 ай бұрын
Poleni sana familia ya lowasa,,
@KheriAlmasi9 ай бұрын
Kikwete vipi mbona sijasikia akishukuriwa
@tumainiisrael93789 ай бұрын
Upo smart sana Fred
@MiliamPaulo9 ай бұрын
Sis sot tutarejea kwake 15:47
@adamuyohana9 ай бұрын
Hakuna hata siku moja vyombo vya habari kutoa maendeleo ya Lowasa akiwa hospital 😢 inauuma san
@kianda9739 ай бұрын
Mungu aibariki familia ya Lowassa, amina.
@kirumpas3189 ай бұрын
Poleni ni hali ya maisha
@GlaydceChiloloma9 ай бұрын
Ameni
@SubiraShaban-m4z9 ай бұрын
It hurts💔💔💔
@elibarikimollel71499 ай бұрын
Hakika wananchi wapenda haki tunasema bila shaka yoyote kwamba kwa historia ya kiutendaji wake na nia yake moyoni, ndani ya ccm na serikali hakuna atakayetokea kuvaa viatu vya kiongozi huyu, labda nje na kwa viongozi wa ccm waliotangulia tu.
@leokamil62849 ай бұрын
R.I.P poleni sana wafiwa
@Simfrosa-b8c9 ай бұрын
Bahati bukuku
@FelisterMunissy9 ай бұрын
Hatukuja na kitu na hatuondoki na kitu na mshahara wa dhambi ni mauti hakika ni fumbo sana hakin mjanja wala bingwa ufalme wa mbingu s elim bal matendo pumzika baba ni safari ya wote
@leilamdoe-zu1lt9 ай бұрын
Inauma sana lkn ndio hivyo Kazi yake Mola haina makosa
@marteuboutros17159 ай бұрын
😢😢😢 Rest in peace Lowassa
@AnnasitaziamadengeMadenge9 ай бұрын
Pole San
@HassanSalmin-u7r9 ай бұрын
Inalilahi waina ilahi rajiun
@DanifordMvumbagu9 ай бұрын
Rip Mzee wetu lowasa
@ClaudiKimaro9 ай бұрын
Pumzika kwa Aman shujaa
@lemamolelilemamoleli77409 ай бұрын
poleni sana asee
@AdamSaffi2119 ай бұрын
Kikwete acha unafiki, mulimtukana akiwa mzima leo shujaa, vipi nyinyi mbwa koko! Be human! Mukamtoa kafara shauri ya matumbo yenu, hamukumbuki sakata la Richmond? Kikwete, Nape na Kinana should not have gone there. Ishi utukanwe na ufe usifiwe tena sana, ona mlivyopishana msibani, Hanna hata aibu - mnasikitika nini?
@sabihaibrahim1439 ай бұрын
hee mtihani kikwete ni mnafiki hatari na anajiona mmiliki wa nchi ni yeye anamajukumu mengi huyu mbele ya Mungu
@TunauzaSimu-fn2ff9 ай бұрын
Wanafik wanasiasa wote km Lowasa hangerudi ccm kweli wangekuwa na usogani kikwete na ccm wenzake. Ukitaka uwe mtu uwe mtumwa wa ccm. Ipo cku! Wamepita wangapi naleo b d wanaendelea kuondoka acheni jinga nyinyi ccm
@judyngowi3919 ай бұрын
Hivi kinana nae alihusika eeh? Nape sijamwona kwenye huu msiba, alimtukana sana huyu baba
@sabihaibrahim1439 ай бұрын
@@judyngowi391 mtihani
@hadijamandanje61899 ай бұрын
Mi naomba muwajue wanasiasa sio wa kuwachanganyeni hapa kwenye msiba mambo ya siasa kwa sisi tusiowanasiasa hakika hatuyawezi Wala hatuelewi
@GlaydceChiloloma9 ай бұрын
😊
@lmashua9 ай бұрын
Poleni sana
@JosephNgowi-w4y9 ай бұрын
Da kizuri akidumuuu
@nicksonshoo4299 ай бұрын
Hivi waziri wa habari alihudhuria huu msiba wa Lowasa
@dazuujuma7789 ай бұрын
Hata ndugu zako hawatashiriki wote siku yako ya mwisho, ni amali yako na muumba wako tu siku hiyo tujitahidi kujipambania wenyewe
@josephosborne30729 ай бұрын
Rip mzee lowasa
@ThomasMntelemkobunga9 ай бұрын
Bwana awaonekanie
@dadateddy-j4m9 ай бұрын
1:00
@AllyRazak9 ай бұрын
Polen sana Wana familia
@charleskarume63129 ай бұрын
Kumbe mke wa EDUAD ni mnadi wanandi wote piga kelelee
@idrisajuma93149 ай бұрын
Hata mm machoji yamenitoka
@khadijashabani55099 ай бұрын
Hivi l anawatoto wangapi
@frankmganda24249 ай бұрын
Mungu nimkubwa sana
@IDEPHOSBLATUS9 ай бұрын
Hiya ndiyo maana ya mke mwema
@jacquelineulomi25579 ай бұрын
Amekomaa kiimani sana
@hafsalucky10889 ай бұрын
❤❤❤.
@George-jz3jg9 ай бұрын
Sifa zote mnazozitoa hizo ni unafiki tu hilo zee lilikuwa fisadi sana nashangaa sana maneno yenu ya kinafiki ya kumsifia
@noelabeli33469 ай бұрын
Kawe na wewe fisadi...baladhuli we
@geey78939 ай бұрын
Umeonaee😅😅. RIP mzee
@ramadhanihamadi63049 ай бұрын
Daaa umekosa utu we jamaaa
@karibunyumbani38249 ай бұрын
Wewe ni mpumbavu tena mpumbavu sana ukiwekwa kwenye madaraka mtu kama wewe ndio utamaliza nchi kwa umaskini wako na roho mbaya uliyonayo tena ni heri kwake alipata muda mrefu wa kutengeneza na MUNGU tena nambinguni ameenda ametubia dhambi yake ...wewe unamjua kama fisadi ...MUNGU anamjua kama mtakatifu na mtu safi aliyefaa kwenye ufalme wake pole sana kwa Hilo
@dominapetertarimo32369 ай бұрын
Kipindi kama hiki wachawi huwa mnakipenda sana, kwa roho zenu za kichawi.
@EsterMalimi9 ай бұрын
Very 😭
@florahmushi7489 ай бұрын
Ana sauti ya lowasa tupu
@neemamgona10729 ай бұрын
Rip LOWASA
@michaelmollel35859 ай бұрын
Pole
@SurprisedBicycle-lw8jx9 ай бұрын
😢😢 unafiki mtupu😢😢
@natashasergo1199 ай бұрын
Dah mwanae mkubwa sauti ni babaake mtupu Allah awatie nguvu