KUTANA na TRAFIKI mwenye MIKOGO ya HATARI, CHANGAMOTO ZAKE, MADEREVA wasifu BURUDANI ANAZOTOA...

  Рет қаралды 357,283

Global TV  Online

Global TV Online

4 жыл бұрын

KUTANA na TRAFIKI mwenye MIKOGO ya HATARI, CHANGAMOTO ZAKE, MADEREVA wasifu BURUDANI ANAZOTOA...
Trafiki Ashrafu amejizolea umaarufu jijini Dar es salaam kwa namna anavyoongoza magari kwa mbwembwe.
Global TV online imefanya mahojiano nae na kuelezea namna alivyoanza kuwa na ndoto ya kuwa polisi changamoto anazopitia...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 351
@bobwangwe748
@bobwangwe748 3 жыл бұрын
Safi sana Afande Ashiraf. Yuko vizuri sana. Amewahi kunikamata zaidi ya mara 3 lakini sijawahi kupata fine wala kutoa Rushwa. Very understanding guy. Anakimbilia kukuelewesha au kukuelimisha na sio kwenye Rushwa au fine kama wengi wanavyofanya. He’s passionate for the work he is doing. Mungu ambariki sana
@teychriss3248
@teychriss3248 3 жыл бұрын
Your very right! Alinidaka hata mm banana but alinielewa! Na akanielimisha!
@jujuadam1611
@jujuadam1611 3 жыл бұрын
Mmempnda bure au sio
@mosamadmwahija7879
@mosamadmwahija7879 3 жыл бұрын
Mungu akufanyie wepesi ktk kazi zakoo
@sadockchengula5542
@sadockchengula5542 2 жыл бұрын
Safi
@sadockchengula5542
@sadockchengula5542 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema akujaze maisha mema. Ufike mbali na usikengeuke
@williaellymarawiti4937
@williaellymarawiti4937 4 жыл бұрын
This guy loves what he does, he deserves a reward.... big up Ashirafu👌👏👏👏
@saidrashidybravo1895
@saidrashidybravo1895 4 жыл бұрын
Alhamdulilaah huyu askar Muelewa sana Mungu ambariki kaz yake
@wardahamdan2351
@wardahamdan2351 3 жыл бұрын
Kwasisi madereva ukiona afande ashiraf kakukamata ujue unakosakubwa sana, :-) daa mungu akuzidishie broo
@dicksonwanyama1689
@dicksonwanyama1689 3 жыл бұрын
Some time anakusimamisha anakupa hi arafu anakuruhusu. 😀🚦🚥👮 Ndani ya mataa ya tank bovu
@calvinpaul2171
@calvinpaul2171 3 жыл бұрын
Jamaa yuko vzurii..c kama wale wanaoo znguaa
@josephmtuy5204
@josephmtuy5204 3 жыл бұрын
Huyu anafaa sana. Huwa anaelimisha kwanza kabla ya kukimbilia kutoza fine. He is ok yuko vizuri.👍
@Expedito2512
@Expedito2512 4 жыл бұрын
Huyu askari ni mzuri sana moyoni! Hasababishi stress kwa madereva
@neemamturi3273
@neemamturi3273 4 жыл бұрын
Niwachache sana wanaoziwezea hizi kazi Mungu azidi kukuinua zaidi na akupe kibari uzidi kukubarika zaidi.
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 3 жыл бұрын
Kweli
@honorykwahhay4364
@honorykwahhay4364 3 жыл бұрын
Big respect kwa Afande Ashraf, uko smart, unafanya kazi kwa weledi hakika inatia moyo kwa wanafunzi kuona kuwa kazi ya traffic ni nzuri
@sirajimohamedi9301
@sirajimohamedi9301 3 жыл бұрын
Kaz ya police sio traffic 😄😄😄😄
@kubulizuberikubulizuberihu5896
@kubulizuberikubulizuberihu5896 4 жыл бұрын
Nakukubali sana afande ashirafu good job
@m-tatu1050
@m-tatu1050 3 жыл бұрын
Ndiyo faida ya askari waliosoma...big up afande unatumia vizuri elimu na mafunzo yako.
@Daniel-rs9nv
@Daniel-rs9nv 3 жыл бұрын
Kamanda tunakukubali sana . It is my hope to see u gaining higher ranks in ur field in the future. Uz a perfect example of a traffic officer. Jah bless
@elizasangu5732
@elizasangu5732 3 жыл бұрын
Nakukubar sana nikikukuta maeneo ya tank bovu shule ashirafu mungu akupe nguvu katika Nazi yako
@annastaziajakobokwaslema2001
@annastaziajakobokwaslema2001 3 жыл бұрын
Madereva wengi wanakufa kwa ajili ya roho mbayaa Nani amesikia hiyo na kuelewa gonga likes zako hapa tujuane
@mackykempstv7512
@mackykempstv7512 3 жыл бұрын
Daaah! Huyu ndio polis wangu bora kwa Tz
@noelanassari5335
@noelanassari5335 3 жыл бұрын
yupo vizuri,naomba awe anaoneshwa kila mara,pia anapenda kazi yake
@mackykempstv7512
@mackykempstv7512 3 жыл бұрын
@@noelanassari5335 yan nngekua na uwezo wa kulipia vipind...nngekua namuwekaga yeye tu
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 3 жыл бұрын
💯
@akimjoseph2818
@akimjoseph2818 3 жыл бұрын
Namwomba afande IGP ampromoti askari hodari Ashrafu. He has passion towards his work. We have few of his kind. May God bless his work.
@salhaayubu6027
@salhaayubu6027 2 жыл бұрын
Nampenda sana huyu Ashraf Allah akuzidishie afya njema
@aishasilaji5759
@aishasilaji5759 3 жыл бұрын
Mimi nampenda Sana huyu afande upo vizuri Sana Kwa kazi njema
@vero57
@vero57 4 жыл бұрын
Hachukui lushwa afande, MAGUFULI TUNAOMBA mpadishe cheo pls
@faustinsirili3480
@faustinsirili3480 4 жыл бұрын
Huyu trafiki Yuko vizuri Sana. Wengene wakiwa kazini wanachelewesha Sana wanatumia muda mwingi kukagua magari. Tanzania tungekuwa na trafiki moja Kila mkoa mambo yangeenda vizuri
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 3 жыл бұрын
Amen ubarikiwe sana
@christinammassy1550
@christinammassy1550 3 жыл бұрын
Anatenda kutoka moyoni, tuzipende kazi zetu kihiviiii...
@joycechaz2840
@joycechaz2840 3 жыл бұрын
Hahaha inategemea na kazi km uliyokuwa unawish kufanya ndio hiyohiyo umeipata, maana nowdays unafanya kazi unayopata na sio unayopenda
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 Жыл бұрын
@@joycechaz2840 umenena vyemaa hahaaaa dunia hii banaa!
@revdrseni
@revdrseni 4 жыл бұрын
Afande amesema point sana. Utu ni kitu cha muhimu sana. Hata kama uko kwenye haki, basi kama mwenzio akikosea, basi jitahidi kuzuia isitokee ajali. Mfano mtu ana overtake kimakosa, basi mwache, punguza mwendo. Asante Afande Ashraf
@abdulrisassy2488
@abdulrisassy2488 3 жыл бұрын
Ashrafu ni mtanzania 🇹🇿🇹🇿tena mrangi wa dodona naona wakenya🇰🇪🇰🇪 mmeshaanza kusema eti ni askari wenu et mkikuyu🤣🤣🤣
@elizabethejohn8127
@elizabethejohn8127 3 жыл бұрын
Hahahahahahahaha
@hamisaally2627
@hamisaally2627 3 жыл бұрын
🤣🤣
@hldagredeardafrosa2682
@hldagredeardafrosa2682 3 жыл бұрын
Siyo Dodoma warangi ni kondoa
@gemakimario4167
@gemakimario4167 3 жыл бұрын
Mh,Singidaaaa
@gemakimario4167
@gemakimario4167 3 жыл бұрын
Nyaturu tribe
@teychriss3248
@teychriss3248 3 жыл бұрын
Big up! Kwanza unahofu ya Mungu! Bonge la brother man! lol! Umetisha! Uko right kabisa Kuna madereva wababe barabarani humu! Yaani wanajifanya wajuaji hatari! Kazi ya kukamata kamata utahurumia wote! 😀😁
@cosmasdaud9088
@cosmasdaud9088 4 жыл бұрын
Pongez kwa kuipenda kazi yako
@suleimanbalemba3348
@suleimanbalemba3348 Жыл бұрын
Nakubali Afande Ashirafu Abassi Shaban
@joycechaz2840
@joycechaz2840 3 жыл бұрын
Hii ndio raha ya kufanya kazi unayoipenda😘😘 safii afande Mungu akubariki sanaaaaaa
@halimasulaiman3229
@halimasulaiman3229 2 жыл бұрын
Maashaallah mimi nakupenda sana wewe afande Ashraf Allah akupe nguvu inshaallah katika kazi yako
@LucresherGerald
@LucresherGerald Жыл бұрын
MUNGU akubariki sanaa hakika unaipenda kaz yako more blessing 2 him
@lulyehomadale9009
@lulyehomadale9009 3 жыл бұрын
mapenzi na kazi, passion
@jalalybabilas4213
@jalalybabilas4213 4 жыл бұрын
Anapend kazi yke ndo maan yuko bora
@happykimaya2762
@happykimaya2762 4 жыл бұрын
Anaipenda kazi yake,yaan kwa madaha zaidi
@adensir630
@adensir630 3 жыл бұрын
Ukifaham kazi ,,,na ukaipenda kazi yako....Ni Raha sana...
@olivervalentino9788
@olivervalentino9788 Жыл бұрын
Hongera uko na hofu ya Mungu
@williaellymarawiti4937
@williaellymarawiti4937 4 жыл бұрын
Mhesimiwa Rais Magufuli, naomba umuone huyo traffic Police.
@elizabethjames2693
@elizabethjames2693 3 жыл бұрын
Wow
@elizabethjames2693
@elizabethjames2693 3 жыл бұрын
Afande uko vizur
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 3 жыл бұрын
@@elizabethjames2693 adi raha
@leiratykisura6718
@leiratykisura6718 3 жыл бұрын
Nec brother yan ukipenda kaz yako lazma huifuraiye na ufanye kaz vzr na kwa mikogo saf sana brother na unajina la mtto wang Ashilafu mwanangu wahoo mung akubarik🤲🤲🤲🤲😍😍😍😍😍😍😍👏👏👏
@queenmwasanguti2370
@queenmwasanguti2370 3 жыл бұрын
Uki ipenda kazi yako raha sana
@ozld4864
@ozld4864 4 жыл бұрын
Kweli kabisa afande Ashraf Kuna watu wakiwa barabarani wana pretend kuwa wao always wako perfect na Ndio wenye right na mwingine ndiye amekosea.
@angelatarimo1969
@angelatarimo1969 3 жыл бұрын
Anafanya kazi nzuri sana Mungu ambariki
@adamdaudi6191
@adamdaudi6191 3 жыл бұрын
Huyu mwamba Ofcourse anaipenda sana kazi yake, 2017 alikuwa pale maringo round about nilikuwa nasalimiana nae kila asubui nikiwa nasubiri daladala, juzi nimempita tank bovu!. All the best!.
@asmahanyally3225
@asmahanyally3225 3 жыл бұрын
Ashrafu upo juu sana namekupenda bureee!!!
@amosmahona433
@amosmahona433 4 жыл бұрын
Nasoma koments huku naangalia video
@mnendehassan5008
@mnendehassan5008 3 жыл бұрын
Kbsa
@florabaruti8032
@florabaruti8032 3 жыл бұрын
Anapenda sana kazi yake hadi raha
@JKQGAME
@JKQGAME 3 жыл бұрын
Kama mm vile
@hasnakimaro7250
@hasnakimaro7250 3 жыл бұрын
Mimi je?
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 3 жыл бұрын
Ata mimi
@NuruMalangalila
@NuruMalangalila 25 күн бұрын
Mungu akubariki bro asee
@ericamwakyokile5797
@ericamwakyokile5797 Жыл бұрын
Huyu trafic Ashraf yuko vizuri sana. Hata ukiongea nae mcheshi, ni trafic anajua kazi Yake.
@issamohamed5109
@issamohamed5109 2 жыл бұрын
Hongera sana Kaka Allaah,akulinde Uendelee kusimamia Haqi
@allyjuma9244
@allyjuma9244 3 жыл бұрын
uk vizuri Afande
@mariamhance7627
@mariamhance7627 Жыл бұрын
Namkubar mala nyingi huwepo pale tank bovu mataa namkubar sana jembe lakiz polisi mzur hana roho mbaya mungu abalik..jeshi letu la polisi na mangene asante tanzania gd tz nakupenda tz
@anganilestephen1086
@anganilestephen1086 3 жыл бұрын
Nakubali sana utendaji kazi wa uyu kamanda......ata nikiwa kwa daladala pale tangbovu natamani tugande niendelee kumtizama.
@cristianoronaldofans9022
@cristianoronaldofans9022 3 жыл бұрын
Enjoy your work, he is the best example
@stevensosipita5673
@stevensosipita5673 3 жыл бұрын
Hakika anaonyesha kuipenda kazi yake hongera sana afande ashrafu
@maimunamohamed1320
@maimunamohamed1320 2 жыл бұрын
Kazi nzuri afande
@fatmaismail7683
@fatmaismail7683 3 жыл бұрын
Nimependa alivyo smart
@momjayden1047
@momjayden1047 3 жыл бұрын
Yaan nimeipenda Sana hii anapenda Sana kazi yake
@zeynabzawadi1238
@zeynabzawadi1238 2 жыл бұрын
Safisana nampenda kwa kazi zake mungu akutangulie🙏🤲
@leinaamos
@leinaamos 3 жыл бұрын
Safi Sana
@dalmasruwa1479
@dalmasruwa1479 3 жыл бұрын
Am kenyan kudos bro
@khadijaallyfikirin358
@khadijaallyfikirin358 3 жыл бұрын
Saf sanaaa afande ashraf mtt wa mie
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 3 жыл бұрын
the real black african Traffic men much love you from Congo zaire welcome in congo
@duasufiani2782
@duasufiani2782 Жыл бұрын
Ongela Sana afande ukiipenda kazi yako ata uchoki mungu anakupa nguvu
@jomba6514
@jomba6514 4 жыл бұрын
Afande yupo vizuri sana kazini 👍
@darlingdarling8251
@darlingdarling8251 Жыл бұрын
Nampenda sn uyu askari ❤️❤️❤️❤️❤️
@sullemanisullemaniathumani6107
@sullemanisullemaniathumani6107 2 жыл бұрын
Mungu akulinde afande uko vizurri sana nimeipenda utendaj kaz wako mkuu
@Georgekipusa
@Georgekipusa 3 жыл бұрын
Kama wote wangekuwa kama huyu askali kweli tungekuwa atuana stress maana wapo maasikali wengine pasua kichwa hatar
@kombojumaa3348
@kombojumaa3348 3 жыл бұрын
Very good uko poa sana wengi wao wakiwa trafc wanaona wameshafika mbingu
@gambalesmanoni9399
@gambalesmanoni9399 4 жыл бұрын
Ninamkubali Sana huyu jamaa. Big up
@danielazampigayangaaowanak4532
@danielazampigayangaaowanak4532 4 жыл бұрын
iyo nimeipenda deleva kua na utu uwo ndio udeleva
@jasminkivamba3023
@jasminkivamba3023 4 жыл бұрын
Jamaa huyu anavituko
@iddatysupergirl6581
@iddatysupergirl6581 3 жыл бұрын
Yuko vzur sana very interesting
@hassanmahmoue3034
@hassanmahmoue3034 3 жыл бұрын
Iddaty nichek 0715165518
@nashamcmtamu2411
@nashamcmtamu2411 3 жыл бұрын
Namkubari sana Afande
@BongoPlatformTv
@BongoPlatformTv 3 жыл бұрын
Hata mm nilimuona live Jamaal yuko vizur sana. Na anafurahisha.
@TALLUBOY
@TALLUBOY 3 жыл бұрын
Dah umetisha sana
@julianampwata2945
@julianampwata2945 3 жыл бұрын
NAMKUBALI,ANAFANYA KAZI HUKU AKIBURUDISHA NA KUBURUDIKA,RAHA JIPE MWENYEWE,NO STRESS
@samsonzablon
@samsonzablon 3 жыл бұрын
Nimefuatilia sana style hizi zinanikumbusha mafunzo yangu ya Udereva kwenye ile mikao ya askari wa usalama barabarani
@neemiandondole6168
@neemiandondole6168 Жыл бұрын
Hongera sana afande. Tunakupenda
@jonathankazimili4767
@jonathankazimili4767 3 жыл бұрын
Hongera sana afande shiraff unaipenda kazi yko sana
@salmasalim6055
@salmasalim6055 3 жыл бұрын
Wow amazing 😃
@khamismbwana8981
@khamismbwana8981 2 жыл бұрын
Wow so nice afande
@brillianthalisi2259
@brillianthalisi2259 3 жыл бұрын
Afande Ashrafu ulichosema ni kweli madereva wengi wanaroho mbaya sana
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 3 жыл бұрын
Piga kazi kaka maisha yaendelee
@nchumaTz
@nchumaTz 2 жыл бұрын
Huyo mwislaeri mweusi noma sana
@johnmasawe9795
@johnmasawe9795 3 жыл бұрын
Jamaa yupo vizuri aisee
@emanueleliapenda2443
@emanueleliapenda2443 3 жыл бұрын
Mimi nimefanikiwa kumwona jamaa yuko vizuri.Changamoto kubwa anamatusi sana hasa kwa madereva wa daladala.Alimtukana dereva mmoja siku moja kwangu Kama devera nilijisikia vibaya kwelikweli.Aache hiyo tabia.
@mohammedalnabahan.4127
@mohammedalnabahan.4127 3 жыл бұрын
Nakukubali broo
@joycesalvatory7768
@joycesalvatory7768 3 жыл бұрын
Viongozi wampandishe cheo huyu Traffic, anatoa sana mafundisho kwa waendeshaji, hakimbilii kutoza faini, anaipenda kazi yake anaifanya kwa passion, please please please apewe cheo
@dishasuwa7616
@dishasuwa7616 3 жыл бұрын
Big respect bro😘😘
@rusimbitumaini7772
@rusimbitumaini7772 Жыл бұрын
Hongera sana.
@asharamadhani4641
@asharamadhani4641 3 жыл бұрын
Mashallah
@claressamrisho134
@claressamrisho134 3 жыл бұрын
Huyu afande namkubali sana,inaonekana wazi anaipenda na kuiheshimu kazi yake.Yuko makini sana na kazi yake huku akituonyesha manjonjo yake.Inawasaidia pia wale wanaonuna
@lamecktheonest225
@lamecktheonest225 4 жыл бұрын
Yaani hua nacheka dah😁😁😁,,, njia panda yakawe alimaarufu kwa dito,,, na njia panda yakwenda kawe mzimun
@grayxonmmary6893
@grayxonmmary6893 4 жыл бұрын
Mm namkubali Afande hance pale mataa ya fire yule ananifurahisha zaidi zizan hata kama anachukuaga rushwa......
@hjlpoi8739
@hjlpoi8739 4 жыл бұрын
Jamani jamani msimsahau afande hansi pale faya yupo vizuri mno.kuna siku nimemshuhudia gari la mwendo kasi lilipo mpush akaanguka chini na kofia yake ikazagaa . Na alipo inuka hakutaka longolongo akaruhusu mwendo kasi liondoke na yeye akiendelea kuchapa kazi .
@ersinbalaban6071
@ersinbalaban6071 3 жыл бұрын
napendeza kazı esrafu..mungu seidia🧿
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 3 жыл бұрын
Mungu akupe mema ya nchi unafanya kazi vizuri sana Mh Magufuli mimi sipo tz ila naomba umwangalie huyu afande kwa upande wa pili
@rosemary3816
@rosemary3816 3 жыл бұрын
Anapenda Sana kazi yake ndo maana wao ongera sana afande👨‍🍳👮‍♂️👮‍♂️👮‍♂️👮‍♂️
@tonyspencer1928
@tonyspencer1928 3 жыл бұрын
Hao ndio wanaofurahia wanachofanya big up afande
@shabanimnondwa6094
@shabanimnondwa6094 Жыл бұрын
Huyu Trafic kwakweli ni mtu ambaye hii kazi iko kwenye damu yake yaani anaipenda ,anafanya kazi yake kwa umakini na kwa upendo Mungu ambariki ktk kazi yake
@lewissinkalatz.3914
@lewissinkalatz.3914 2 жыл бұрын
Waoooh,hivi ndivyo unapaswa kutambua kipaji chako na kukiishi na pia unapaswa kujituma na kuipenda Nazi yako,syo kama trafiki wengi walivyo,nimpenda
@zenassylvester125
@zenassylvester125 3 жыл бұрын
Ukiipenda kazi lazima utakua na vitu vya ziada
@valenceshayo806
@valenceshayo806 3 жыл бұрын
Huyu jamaa binafsi namkubali sana kwa utendaji wake wa kazi
@rahimdikungule3737
@rahimdikungule3737 4 жыл бұрын
Nakubali sana kaka
@danielkwilemba4715
@danielkwilemba4715 4 жыл бұрын
Very good
@felizbonbonface8275
@felizbonbonface8275 3 жыл бұрын
He so funny ...me nampenda coz anapenda anachokifanya mpka raha anawamotivate wale ambao wanadream ya kufanya hyo kaz hata kama syo hyo kaz anatuelimisha tupende tunachokifanya
@ussihadji2248
@ussihadji2248 Жыл бұрын
Ni askar wa mfano, anaipenda kaz yake
@halimamustafa3181
@halimamustafa3181 3 жыл бұрын
Nime mpenda akifanya kazi kwa furaah
@mduluhtiddy7392
@mduluhtiddy7392 4 жыл бұрын
Anaimbisha kwaya au anaongoza magari inaelekea hiyo kazi ippo kwenye damu yake
@fridaymwaseba5848
@fridaymwaseba5848 4 жыл бұрын
Humjui Huyu inaonekana uko mbali na Dar this guy is cool na kwa muda wa rush hour huwezi kwama ata kama kuna foleni
@gracelauzi9746
@gracelauzi9746 3 жыл бұрын
Ana imbisha kwaya yake ya marafiki yuko poa Anivunja mbavu haki afurahisha
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 3 жыл бұрын
Uko vinzuri ashirafu nimeipenda hiyo unafurahisha Sana na unaonejana ni jinsi gani unaipenda kazi yako madreva wengi watakupenda
@nuruanaqoqona8284
@nuruanaqoqona8284 3 жыл бұрын
@@asteriambwei3349 ombi langu umpandishe cheo
@nassoroidd5756
@nassoroidd5756 3 жыл бұрын
Yani huyu mshikaji na mkubali sana yani lazima nimpe hi nikipitaga hapo mbezi
@ahmedrashid6629
@ahmedrashid6629 3 жыл бұрын
Nikipita tango bovu nakuletea mananasi kwa wingi
@tinawanandi2446
@tinawanandi2446 3 жыл бұрын
Duuuh nimekupenda bule
Ruto's Biggest Mistake Firing Attorney General Muturi?
14:27
KimathiTV
Рет қаралды 232 М.
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
PANDA BOI
Рет қаралды 25 МЛН
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 20 МЛН
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 39 МЛН
ZIARA YA MAKAMU WA RAIS MHE. DKT. PHILIP MPANGO MKOANI KIGOMA
3:09
𝗢𝗙𝗜𝗦𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗠𝗨 𝗪𝗔 𝗥𝗔𝗜𝗦
Рет қаралды 1,7 М.
WATANZANIA ACHENI ROHO MBAYA - WAZIRI SILAA
21:54
ARDHI TV
Рет қаралды 14 М.
KUTANA NA TRAFFIC MWENYE SWAGA ZAKE AKIWA KAZINI
4:07
bayo TV
Рет қаралды 3,1 М.
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
PANDA BOI
Рет қаралды 25 МЛН