No video

WATANZANIA ACHENI ROHO MBAYA - WAZIRI SILAA

  Рет қаралды 14,124

ARDHI TV

ARDHI TV

5 ай бұрын

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amewataka Watanzania kuacha roho mbaya pindi mwenzake anapomilikishwa kama alivomilikishwa yeye katika eneo ambalo yeye aliamini halina mmiliki au amehisi ni eneo la wazi.
Waziri silaa amesema hayo wakati alipofika eneo la Bunju Beach ambapo kulikuwa na malalamiko ya wakazi wa maeneo hayo kuhusu upimwaji wa viwanja vipya katika maeneo ambayo wao wanaamini yalikuwa ni ya wazi na hatarishi.

Пікірлер
Harley Quinn's revenge plan!!!#Harley Quinn #joker
00:59
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 26 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 199 МЛН
Comfortable 🤣 #comedy #funny
00:34
Micky Makeover
Рет қаралды 17 МЛН
Harley Quinn's revenge plan!!!#Harley Quinn #joker
00:59
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 26 МЛН