MAMA BONGE AANGUA KILIO AKISIMULIA KUPEWA MIMBA MANZESE, MTOTO KUFA na KUMZIKA MWENYEWE BILA BABA

  Рет қаралды 139,718

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 409
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
@janethkessy7146
@janethkessy7146 Жыл бұрын
ninashida na dada sinya kaka tafadhali naomben mawasiliono yake
@sikitujuma4866
@sikitujuma4866 Жыл бұрын
Ni keili kabisa uyo sinya ukimuona utasema mkorofi lakini hana hiyana anaroho nzuri na nimtu wa kusaidoa
@pastoraile7195
@pastoraile7195 Жыл бұрын
Kwel sugar sio poa
@NicodemusKithi-xe7mg
@NicodemusKithi-xe7mg 7 ай бұрын
Kweli mama nakukubali
@catherinemichael1275
@catherinemichael1275 Жыл бұрын
Mnao msema huyu mama mjiangalie je mfanana nae ki maendele unachonga inao yesha huna kitu Mimi Bado nasema mama nakupa 5 star ❤❤❤
@HijaSalimu
@HijaSalimu 25 күн бұрын
Unene sihoja kila mtu ana Shida zake
@joycekalago532
@joycekalago532 Жыл бұрын
Huyu mama ana maumiv machungu sana ana machozi ya karib na ni mwepes wa kutabasam Mungu ambarik sana
@jackiefredrick586
@jackiefredrick586 Жыл бұрын
Pole dada. Moyo wako umejaa maumivu hadi najiona ndani yako
@PendoNyiti-n1h
@PendoNyiti-n1h Жыл бұрын
Nalia dah
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
@@PendoNyiti-n1h 😭😭😭😭🤝🤝
@sarhiabenson2683
@sarhiabenson2683 Жыл бұрын
Nilichogundua huyu mama nimchangamfu sababu anamoyo mzuro sana🥰🤲Na ana hakili njema kuliko mnavyo waza
@paulabelleghe451
@paulabelleghe451 Жыл бұрын
Nakupenda Sana mama yangu nakuombea mungu akuponye uishi miaka Mingi umenitia Sana moyo wakupambana
@Kidotii
@Kidotii Жыл бұрын
Ni kwelii una roho nzuriii, watu wenye roho nzuri wanaliaa na machozi yankaribu!
@lisavictor4736
@lisavictor4736 Жыл бұрын
Da sinyaa nakupenda Sana. Ulisoma na mama yangu Kiboriloni nimeonyeshwa na kwenu ulipokuwa unakaa na mama yako zamani nakumbuka na ule msiba wa mwanao aisee Kama ulifanya mwenyewe Basi Mimi nakuita Superwoman wasiojua ule msiba ulikuwa umepambwa kwa heshima utasema anaenda kuzikwa ni Mtoto wa raisi. God bless you
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 Жыл бұрын
Pole mama uclie sana naelewa nijinc gan moyo wako unamaumivu makali,lkn unafuraha sura yako nitabasamu muda wote,Mungu akutie nguvu
@JaneMkinga
@JaneMkinga 29 күн бұрын
Pole sana my mungu akusimamie akupe afya njema. Pambana simama na neno la mungu hilo gonjwa litakauka!! Yesu alikufa msalabani kwa ajili yetu. Hatuna kesi tena kaza buti kawe utapona tuu
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 Жыл бұрын
Sweet usiwe unalia. Unajua ww ni jembe sana. Yaani your super woman. Jipe moyo mkuu bhana usiwe unalia. Ujue Yesu anakupenda sana wewe na atakuponya. Ww upo real sana kipenzi. Ipo sb ya yy kuondoka jipe moyo darling. Usikonde yatapita Sinyaa na utapata Achana na wasema ovyo mpz. Hata ungekua kimya wangesema tu. Hiyo ni asili ya wanadamu na wasingekusema ningeshangaa sb hata Yesu alisemwa. Usikondeshwe na maneno ya wapitaji kwn wanakupa nn dada Big up kipenzi changu, kazi nzuri
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
Kulia ni haki yake kama atajihisi kulia. Machozi tumewekewa na Mungu kulia siyo dhambi.
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 Жыл бұрын
@@damariszuckschwert9489 sio dhambi kweli lkn naumia anavyolia. Mm natamani kulia alie sirini na Mungu wake akiwa kwa maombi. Kulia ni kutoa sumu najua ila alie kwa Mungu wake tu
@floridanyabikwi9304
@floridanyabikwi9304 Жыл бұрын
Jamani watu wanatoka mbali sana hasa sisi wanawake 😭😭😭😭pole mumy umeniliza na mm
@hosianaeliud243
@hosianaeliud243 Жыл бұрын
Nakupenda dada sinya....ww ni super woman... Mungu akusaidie sukari iishe....
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 Жыл бұрын
Amiin
@paulabelleghe451
@paulabelleghe451 Жыл бұрын
Mungu Akulinde mabaya yasikupate mtu yyte ataejaribu kutaka kukuharibia mungu amlaani mara 10000000000000000
@janetdundul3858
@janetdundul3858 Жыл бұрын
Mamashikamoo shikamoo nimekupenda buleeee,,,kwa mwamposa ndiyo kanisa letu hilo 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@farahfrooha9715
@farahfrooha9715 Жыл бұрын
Pole dada shukuru mungu machungu sio pekeyako tupo wengi wenye machungu kuliko ya kwako tuwe pole
@dottohami
@dottohami Жыл бұрын
Kweli nimejifunza kuto mzalau nisie mjua masha Allha mama kaweza sana nimejifunza kupitia yeye nakupenda kwa jili ya Allha ❤️
@joycemlay187
@joycemlay187 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akutunze mama, na akuondolee uchungu moyoni akutie faraja uendelee na mapambano ya kutafuta 🙏🙏
@jacklinesangu3294
@jacklinesangu3294 Жыл бұрын
Mama hongera sana
@maryamkassim3188
@maryamkassim3188 Жыл бұрын
Heri kumsikiza huyu mama mara mia moja unajifunza kitu katika maisha haya kwa kweli wanawake tujitume tulale pazuri kwa nyumba zetu pesa yako ya halali ni tamu sana asikwambie mtu ❤❤❤❤❤
@graceshirima6072
@graceshirima6072 7 ай бұрын
Pole sana Sinyaa, hakika nimeuona uchungu ulionao moyoni, mwombe Mungu auondoe huo uchungu upone my dear, huo uchungu unakusababishia magonjwa mpendwa, ❤❤
@sammushi1512
@sammushi1512 Жыл бұрын
Nampenda uyu mama anaonekana n mama mwenye huruma sana na anamoyo mzur sana mungu anijalie 😎
@JaneMkinga
@JaneMkinga 29 күн бұрын
Kweli kabisa wapende sana watu lakini usiwaamini. Bora maamuzi uliyonayo ya kwenda nyumba ibada. Pia dada jifunze kusamehe usishikilie moyoni hata mungu anatusamehe japo inaumiza. Pole sana damu ya yesu inene mema juu yako.
@CatherineKimoso
@CatherineKimoso 10 ай бұрын
Dada. Yangu sinyaa ni mkweli sana na ni mwema sana ningeomba asikilizwe .❤❤❤sana dada yangu kipenzi. Mungu akutie nguvu .uishi maisha marefu🙏
@marymathew6529
@marymathew6529 Жыл бұрын
Story ya mtoto imeniuma sana,pole sana dada jamani.
@beatricelewanga1376
@beatricelewanga1376 Жыл бұрын
Ni vizuri Sana anavyo ongea anapona Moyo wake .Sinyaaa anaongea vizuri
@halimaoman8726
@halimaoman8726 Жыл бұрын
Pole sana mama bonge unanyoongea hizo changamoto uliopitia mama yangu imenikumbusha mbali sana nimejikuta natowa machozi sana
@roseurio503
@roseurio503 Жыл бұрын
Hongera Dear kweli mwamke na nusu yaani huna makuu wangekua hawa wakushoboka walai balaaa kweli usiwai dharau mtu hadi nimetani kuongea naye walau anifungue macho ❤
@MwigaKatumpula-mi3zt
@MwigaKatumpula-mi3zt Жыл бұрын
Napenda kufuatilia interview za huyu mama kibonge, hakika Kuna cha kujifunza hapa 👏🙏😀
@neemamboya99
@neemamboya99 Жыл бұрын
Huyu mama hatafuti Kiki ila Kiki ndo ilimfuata. Yeye anachofanya ni kuitendea haki nafasi alopata. Nmependa mtoto wake hapendi media
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 Жыл бұрын
Weka pulizo kwenye tumbo mama bonge linyonye mafuta utakuwa kiportable tena na sukari itaisha. Nakupenda le super woman❤❤❤
@vickyshayo7880
@vickyshayo7880 Жыл бұрын
Hongera sana mdogo wangu nimekupenda Bure wewe ni mwanamme shujaa Kwa kweli na ni mkweli sio Muongo unayoyaongea ni ya kweli kabisa
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Najua unamengi moyoni umepitia mengi lakini mpaka hapo ulipo mshukuru Mungu sana kwani wewe ni shujaa sana na jaribu kusahau yaliyopita .Weka ujasiri wako mbele wewe ni Jasiri sana.Shukuru unabint kwani huyo kijana angeweza ata kukupa stress kwa hivyo shukran unabint au tuseme unamtoto hata huyo mmoja
@ZahraKombe
@ZahraKombe Жыл бұрын
Namjua sinyaa vizuri hana kiki kaaza maisha zamani Wala haogopi mtu hongera sinyaa wangu
@ashudahiza7871
@ashudahiza7871 Жыл бұрын
hongera mama nilikua nakata tamaa lakin naanza kusimama sasa
@olivabutoyi434
@olivabutoyi434 Жыл бұрын
Global nawakubali!! Mmetishaaa! Big up dada Sinyaa! Wewe ni Simba jike, hongera sana kwa kuwa mfano mzuri kwa wanawake. Mungu azidi kukubariki na kukuinua. Nimependa myumba yako ilivyo safi, classic na very well organised 🎉❤. Big up sis 👏
@EutropiaMinja-rx8sv
@EutropiaMinja-rx8sv 7 ай бұрын
Mdogo wangu umeniliza sana. Maisha magumu uliyopitia yanafanana sana na ya kwangu. Naomba tuonane kama itawezekana.
@greenermichael2057
@greenermichael2057 Жыл бұрын
Jamaaan😭😭😭😭huyu mama anitafute Mimi niwe mfanya kazi wake wa ndani tutafarijiana mno nahisi Ana huruma na watu
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
Nilikuwa naangalia kila muda aise alhamdulillah nimeikuta mudaa huu pole sna mama Yangu kipenzi unapambana mno sna sna
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 Жыл бұрын
Hongera sana Sinyaa unaishi pazuri 👌🔥💖pole kwa changamoto za maisha
@janelyatuu1135
@janelyatuu1135 Жыл бұрын
Mdada wa kibrloni nakupata sana ndugu yangu unapambana kweli kweli nakumbuka miaka hiyo mtoto wako alivyo fariki uliumia sana pole sana mungu atakupigania hatukuwacha
@editorfrank7471
@editorfrank7471 Жыл бұрын
Inauma sana sikuwahg kujua story ila huku mosh watu walisema alimtoa kafara ,bora sinyaa kaongea mwenyewe
@paulabelleghe451
@paulabelleghe451 Жыл бұрын
Natamani wasanii wakuchukue pamoja na makampuni uwasaidie kufanya matangazo, pia nakupenda mnooooooooo
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 Жыл бұрын
Humuoni kwenye matangazo kwani?
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Hongera mwanamke mpambanaji chukua maua yako 💐💐🌹🌹
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 Жыл бұрын
Mama wewe jembe nimekupenda ❤hongera sana nimejifunza mengi Mungu akubariki sana.
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Hongera sana Mungu akujaalie afya na furaha tele
@malila4582
@malila4582 Жыл бұрын
Mashaallah mama umeweza umeweza umeweza tena
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Wowow hongera sana dear mama ❣️najifunza mimi
@Sifa_film_tv72
@Sifa_film_tv72 Жыл бұрын
Love you Sinyaaa,Kweli wanawake Tuna mengi mioyoni tunatamani pa kusemea🙏
@peterkaale6977
@peterkaale6977 Жыл бұрын
Huyu mama she is so real jaman yani mungu amuepushe tu na hio mikopo afanye vyema kwa biashara zake she is so r
@aloycesamba998
@aloycesamba998 Жыл бұрын
Ukisikia mwanamke wa shoka ndiyo huyu Mimi nikupe 💐🌹🌹 yako mapema
@asumaathuman6094
@asumaathuman6094 Жыл бұрын
Nimelia sana jomoni...huyu mama nimzur mcheshi alafu nimwepes kufurahi
@loisendungu5983
@loisendungu5983 Жыл бұрын
Mm ni mkenya lakini huyu mama nampeda yagu yote everything will be fine mama
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
Alhamdullillah, kiukweli nampenda bure. Mwenyezi Mungu akulinde dada.❤❤❤
@rebeccakagemro3166
@rebeccakagemro3166 Жыл бұрын
Maisha yako yameniumiza.ila nimetoa shule.hongera sana kipenzi changu.ikikupendeza uniruhusu nikufikie.kuna mengi natamani nijifunze kako.
@FloraNgoma
@FloraNgoma 7 ай бұрын
❤ Ni kweli kabisa hajui kuweka kinyongo kabisa. Ana upendo sana sana.
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Жыл бұрын
Usijali mungu akutangulie mtoto hamekua mungu hatakusaidiaAnty yangu nimekupenda kwasabu unapambana Kama sisi usilie mungu hatamtunza mtoto umejitahidi jikaze usilie
@ShariahajiOmar
@ShariahajiOmar Жыл бұрын
Mama sinya a Kim ambo ni Super women pole Sana na mitihani iliyokupata usichoke kupambana mungu atakusimamia inshaallah.
@نجمةموبيبي
@نجمةموبيبي Жыл бұрын
Pole sana mama, Na hongera pia
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Жыл бұрын
Nimekupenda na hongera kwa nyumba nzuri
@ummyhoza4495
@ummyhoza4495 Жыл бұрын
Dada nakupenda sana sana mungu akufanyie wepesi ktk kazi yako
@khurlainashly5686
@khurlainashly5686 Жыл бұрын
Story yake inaumiza mungu akupe subra mamangu Dunia inamambo mengi sana
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Pole sana Dada sinyali, Tunakupenda sana, Allah akutimizie hitaji lako 🙏kiukweli hata mimi namchukia sana Mzazi mwenzangu, yani hapa namuelewa sana Dada sinyaa.
@friminershayo5325
@friminershayo5325 Жыл бұрын
Mama mtafute Dr Boaz Mkumbo ,atamaliza ugonjwa wako wa Kisukari na kupunguza uzito. Utaishi maisha marefu zaidi.Uzidi kui enjoy zaidi.
@ladyr.hamsini2311
@ladyr.hamsini2311 Жыл бұрын
Dada huyo Dr Boaz anapatikana wapi?uko na namba za mawasiliano?
@alsam4881
@alsam4881 Жыл бұрын
​@@ladyr.hamsini2311 ingia KZbin andika dr. Boaz mkumbo utapata namba yake kwenye video zake.
@magrethmanintveld5477
@magrethmanintveld5477 Жыл бұрын
​@@ladyr.hamsini2311 Dk Boaz office yake ipo mkabala na Mwananyamala hos
@mirrykirungi5078
@mirrykirungi5078 Жыл бұрын
Friminer shayo anasaidia presha?
@siamnyone8403
@siamnyone8403 Жыл бұрын
We nawee Kwan alikwambiaa anaumwaaa
@rachelkaaya5539
@rachelkaaya5539 Жыл бұрын
Hongera sana mama aki wewe mchapa kazi wewe ni jembe nakupenda sana
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Жыл бұрын
Nimekupenda sana Mama Sinyaa Respekt🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️🙌🙌🙏 ntakutembelea dukani kwako Anty mzuri l nimekumind mno
@EutropiaMinja-rx8sv
@EutropiaMinja-rx8sv 7 ай бұрын
Hata ukinipa namba yako ya simu itakuwa vizuri. Unajua wengi tuna matatizo ila mkikutana ndio unajua kumbe kuna wenye matatizo yaliyofanana. Dada nimefanya kazi na viongozi wakubwa ila napambana tu mwenyewe kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu.
@aishachiyarata1362
@aishachiyarata1362 Жыл бұрын
Nimempenda mama haongezi masifuri kwenye Bei zake
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
😂😂
@duhrurhhddhheud8575
@duhrurhhddhheud8575 Жыл бұрын
😂😂😂kutana na wale kitu unakiona cha ulufu 3 una ambiwa M3😢
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
@@duhrurhhddhheud8575 😁😁walio pata maisha kwa bahati mbaya
@marciawambui1965
@marciawambui1965 Жыл бұрын
😅😅 hongera sana mama,ila huyu ndugu mtangazaji is very funny,
@zamalisaide3209
@zamalisaide3209 7 ай бұрын
MashaaAllah MashaaAllah honger san mama mpambanaji
@aishamansoor7374
@aishamansoor7374 Жыл бұрын
Dada mm nakupenda Sana natamani tuonane mm naww nakupenda Sana mungu atakuhifadhi
@cdeleo9336
@cdeleo9336 Жыл бұрын
Huyu mama ni mtu mwenye roho nzuri mno
@DEEP.WORSHIP
@DEEP.WORSHIP Жыл бұрын
Okoka Dada Yesu anakupenda umtumikie ..
@MTONDOZINESAEED
@MTONDOZINESAEED Жыл бұрын
Mama sinyaa, Ongera sana na pole mimi nakuomba mpenzi achana na uyo baba, wewe umeangaika kulea mtoto wako mpaka amekuwa na kusoma ongera sana, uyo achana naye.Pia nakuomba towa dukuduku lako la uyo baba msamehe, kumsamehe haimanishi aje nyumbani kwako au kuwa naye pamoja, Mtowe moyoni mwako msamehe ili uje kuona mbingu, kuna mabaya ambayo tunamfanyia MUNGU lakini bado anatusamehe. Pia nimefurahi sana kwa kupenda kwako kusali, ila naomba fanya maombi ya siku tano au tatu Muombe MUNGU akuonyeshe uko unapokwenda kwa mwamposa upo sahihi kweli plz plz plz fanya maombi . Nakupenda
@jacklinesangu3294
@jacklinesangu3294 Жыл бұрын
Hongera sana mama
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 Жыл бұрын
Ww naye hujui hata matumizi ya h na a
@chuchudorice8531
@chuchudorice8531 Жыл бұрын
​@@sikudhanimohammad7692Bora umeelewa😂😂
@CatherineKimoso
@CatherineKimoso 10 ай бұрын
Mandiko yanasema akija kutaka msamaha msamehe at *770.huyo baba anatakiwa kumumba msamaha mama na mtoto Ili kumponya dada yetu.
@wardaridhwankassim4774
@wardaridhwankassim4774 Жыл бұрын
Hv n kwnn Kawapeleka media Chumban😢 Maan naona Usalam wak utakuwa 10% mung amlindee..! Eneweei Nakupenda mama
@GetrudeRashid-be8bs
@GetrudeRashid-be8bs 7 ай бұрын
Kiukwel huyu mama nimfano wakuogwa,,,nimejifunza mengi,, sinta kataa Tamara kwamwe,,Mungu Wa mbinguni akutunze
@waheedaw1953
@waheedaw1953 Жыл бұрын
POOLE sana sister Allah atakupa zaidi za Halali
@BarnabasAbel
@BarnabasAbel Жыл бұрын
Mama Yetu S, ongera Sana,unaupiga mwingi,Mama Naomba no yako ya simu,nahitaji kukuona mama yangu .Nimekuelewa Sana mpendwa wangu.
@EricaSimon-zd1wl
@EricaSimon-zd1wl Жыл бұрын
Hii si hadithi ni live Mwanamke huyu anafaa kuigwa na jamii hasa wanawake tusilale jamani tuamke wanawake maisha ni mapambano na siku hizi Dunia imebadilika Sana wanawake ndo watafuta pesa na si vinginevyo
@elizabethismile6827
@elizabethismile6827 Жыл бұрын
Daaah poleee😢😢😢 uyo mtoto hakuw ridhiki mamy ,wanasema si kila ukipotezacho, Wala ukipatacho ni chako ,vingine acha viondoke tu 😢
@jacklinmacha2964
@jacklinmacha2964 Жыл бұрын
Jamn huyu dada ni mzury sana ila mnaomponda hamjielew
@augeniamasha4626
@augeniamasha4626 Жыл бұрын
Pole sana mdogo wangu. Mungu anakupigania no matter what. Keep it up. Jitahidi kuchemusha majani ya maembe unyewe Kama chai au maji. Kila siku.
@yasintajohn1189
@yasintajohn1189 Жыл бұрын
Pole mama wew jembe acha na watu wanao coment ujinga hawana hata paku lala.... big up darling mama
@Oman-nu2kc
@Oman-nu2kc 7 ай бұрын
Jamani kumbe huyu mamaangu kabsa mm wajina wamwanao jamila namm jamila nakupenda sana mama❤❤❤🎉🎉🎉
@zainabukivale9571
@zainabukivale9571 Жыл бұрын
Mama unafanana na Mimi yangu makubwa zaidi dada naangaiga usiku na mchana lakini nimepoteza pesa zaidi ya milioni 70 kes ipo maakamani haishi na uyo Diwani wa temeke namdai mwaka wa Tano Sasa milioni tatu anasema nimpeleke popote hawezi kunilipa nimetembea kwenye maofis bila mafanikio jamanii uwiiiii mungu nisaidie natafuta namba za shelawado
@graceshirima6072
@graceshirima6072 7 ай бұрын
Safi sana Sinyaaa, hongera mamaa nakuja kuchukua nguo
@NsiaSwai-g4p
@NsiaSwai-g4p Жыл бұрын
Mungu akuondolee maradhi ya sukari dada uyafurahiye maisha
@sharommiriam2674
@sharommiriam2674 Жыл бұрын
Uyu dada kichwa Sema ndo ivo hira mbaya za watu wasyopenda maendeleo yawezie wanapenda ufeli kimaisha
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 Жыл бұрын
Kuna wakati nilikuwa nalia,nashukuru Mwenyezi Mungu Sasa silii Sana Kama wakati ule sio kwamba nimeacha Ila najitahidi kujithibiti inaposhi dikana nalia
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 Жыл бұрын
Pole mam nimekupendraaa sana
@eunicejohn5520
@eunicejohn5520 Жыл бұрын
Huyu mtoto wake nataman asome koment hii plz USIMSUMBUE MAMA YAKO
@shazygeofrey1237
@shazygeofrey1237 Жыл бұрын
❤you sinya😂... May God bless you more dear
@nasrafadhili7408
@nasrafadhili7408 Жыл бұрын
Mm nimegundua huyu mama marafiki ndowamemuangusha
@faridahalwaily85
@faridahalwaily85 Жыл бұрын
MashaAllaah MashaAllaah Allaah Akubareek na Akuhefadhi
@happyfaniabatromeo8010
@happyfaniabatromeo8010 Жыл бұрын
Huyu Mama anahitaji msaada wa MUNGU akutane na watu sahihi wakumsaidia kwa AFYA na UCHUMI wake kuimalika zaidi pia anakitu kikubwa chakusaidia Mabinti na Wamama kwakuwapa Mafunzo 🙏🔥❤️💪
@annamussa185
@annamussa185 Жыл бұрын
Haya makanisa ya Sasa akienda ndo watamfirisi watamla pesa mpaka ashangaye
@thefamilyoflove
@thefamilyoflove Жыл бұрын
Hongera dada unatu panguvu kipenzi. From US
@DottoMalago
@DottoMalago 6 ай бұрын
Hongera mwaya,mwanamke wa shoka
@zayumar2955
@zayumar2955 Жыл бұрын
MashaAllah sinyaa ni mwanamke anaejielewa mnoo mpambanaji kaza buti mama love you ❤️❤️❤️❤️
@tuttifruti2097
@tuttifruti2097 Жыл бұрын
Mama Sinya , pokea so much love from 🇰🇪. Your biggest fan . Tena video zako zote ❤❤❤❤
@hadijasharifu1463
@hadijasharifu1463 Жыл бұрын
Jamani pole na hongera sana kwa kupambana na maisha
@sheilajuma8963
@sheilajuma8963 Жыл бұрын
mashaallah huyu mama nampenda ni mkweli
@estermwakatundu3028
@estermwakatundu3028 Жыл бұрын
Nambaako sina naomba Mimi kibonge km ww Ila sipo dar mama sinya nipo mkoani na MUNGU atakubariki🙏🙏
@GraceMadukwa
@GraceMadukwa Жыл бұрын
Mama unayepambana Mungu aendelee kukuinua
MAMA MKWE AMEVUNJA NDOA YANGU
1:04:02
ZamaradiTV
Рет қаралды 21 М.
ТИПИЧНОЕ ПОВЕДЕНИЕ МАМЫ
00:21
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 1,9 МЛН
DID A VAMPIRE BECOME A DOG FOR A HUMAN? 😳😳😳
00:56
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 33 МЛН
Bishop. Ezekiel Ngwale _-_ Nafasi ya Mwanaume
50:50
Bethel Templefrelimo
Рет қаралды 116
BABA YANGU KIPOFU Full episode /50/ #love
23:19
BabaJoan
Рет қаралды 187 М.
BINTI LISA - PART 43
3:02:05
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 36 М.
ТИПИЧНОЕ ПОВЕДЕНИЕ МАМЫ
00:21
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 1,9 МЛН