HATARI: WATEKAJI WANAWAKE WAIBUKA, WAMTEKA MTOTO WA MIAKA 16 USIKU, ASIMULIA MATESO WALIYOMPA..

  Рет қаралды 33,821

Global TV  Online

Global TV Online

2 жыл бұрын

HATARI: WATEKAJI WANAWAKE WAIBUKA, WAMTEKA MTOTO WA MIAKA 16 USIKU, ASIMULIA MATESO WALIYOMPA..
Binti mmoja mkazi wa Kijiji cha Vumali, wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, amesimulia namna alivyotekwa na watu wasiojulikana wenye jinsia ya kike, ambao walimpeleka porini na kumpa mateso, kabla hawajatokea wasamaria wema kumuokoa.
Global TV imefika nyumbani hapo na kuzungumza na mtoto huyo, mama yake pamoja na mjumbe.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 67
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 жыл бұрын
Global huyu jamaa bado sana hata kuhoji ni hewa binti anasema amemtambua mmoja mnataka atoroke ushahidi upotee😏😏
@eashaeasha9776
@eashaeasha9776 2 жыл бұрын
Huyu binti anasimulia kama hakuna kitu kilicho tokea ebu polisi wamuhoji vzr hapa kuna kitu kimejificha
@barakakusa7606
@barakakusa7606 2 жыл бұрын
Kweli hata Mimi nahisi Kuna vitu anaficha.
@Sarahrose-ol6co
@Sarahrose-ol6co 2 жыл бұрын
Atakuwa ametishiwa kikubwa
@gililwise
@gililwise 2 жыл бұрын
Inawezekana kuna ishu ya kifamilia
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 2 жыл бұрын
Wamemteka wafanye nini wanawake makubwa panya road sasa wamekuwa women road mmmmm kuna mambo mazito duniani jamani
@teklalumalanja1752
@teklalumalanja1752 Жыл бұрын
Mbona mnamficha?
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b 2 жыл бұрын
Waaàaa huku pia mstuni jameni,mungu awalinde
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 10 ай бұрын
Ndomana wengi wakijenga manyumba wanaweka choo zandani 😢😢😢😢😢
@pendoanzigar3172
@pendoanzigar3172 Жыл бұрын
Mmmmm Kuna uwalakini
@msbahajuma7809
@msbahajuma7809 Жыл бұрын
pole mtoto
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 2 жыл бұрын
Subuhanallah mtihani kwani hiiii duniya inaingiya pepo gani
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 2 жыл бұрын
Pole mtoto
@soha-mamaafrika6123
@soha-mamaafrika6123 2 жыл бұрын
Jamaniii 🙄
@maryamalli9090
@maryamalli9090 2 жыл бұрын
Tanzania imenishinda tena kwa vituko nitahama mie
@bahatirobart7380
@bahatirobart7380 2 жыл бұрын
Maombi yako ya asubuhi Mungu alifanya njia
@salmass2775
@salmass2775 2 жыл бұрын
Ok
@sofiahassani5185
@sofiahassani5185 2 жыл бұрын
Maombi ni lazima yanatuokoa na mengi
@doreenkaiza9930
@doreenkaiza9930 2 жыл бұрын
Tanzania aina amani tena ime kuwa nchi ya vituko
@teddygabriel5662
@teddygabriel5662 2 жыл бұрын
Duh
@irenemalley2787
@irenemalley2787 2 жыл бұрын
Jamani hta wa kwangu amepoteaga toka mwaka jana
@nuliatbaraka6350
@nuliatbaraka6350 2 жыл бұрын
Huyu mtoto mbona hakutaja waliomteka wakati walisemz mmoja anamjua,mbona kama kuna siri ndani vitu vya msingi havitajwi! Hatari sana huwezi unaishia kusema katekwa hataji aliyemteka waka mambo wazi aisee kwa faida ya wengine
@tatotato506
@tatotato506 2 жыл бұрын
Watu wanajisaau kama watakufa alafu awajui sikuyao yakuondoka duniani sijui mtaenda kusemanini kwa mungu
@maswamills3161
@maswamills3161 2 жыл бұрын
Mabinti!!!!! Mmmh!!!
@angelageofrey9756
@angelageofrey9756 2 жыл бұрын
Duu naona utata tu uchunguzi ufanyike kwa kina
@devotalaiton5888
@devotalaiton5888 Жыл бұрын
Huyu bint anatabia ya kutoka usiku kwenda kwa wanaume sasa inaonekana alichelewa kurud wakapanga na mwanaume wake wamfunge ili ajue katekwa
@eneamligo7919
@eneamligo7919 Жыл бұрын
police walichunguze kwa kina hili jambo, huyo binti yawezekana ni kawaida yake kutoka usiku ila mama yake alikua hajui, yawezekana alijiteka
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Mtihani mkubwa
@mauamnobwa7412
@mauamnobwa7412 2 жыл бұрын
Hapa kuna kitu sio bure huyu msichana huyu itakua ni mwizi wa waume zao hao wanawake sio bure mchunguzeni vizuri huyu msichana.
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de Жыл бұрын
Maua mnobwa usiseme hvyo' ww sahv wanawake tumekuwa magaid" huyu bint bado mtt mdogo Sana huyo mume wa mtu wa kumpagawisha huyu bint kwel? Usiombe siku yamkute mwanao alafu watu wasemw hvyo' maumivu yake utayaona skuhy
@arafaoman9504
@arafaoman9504 Жыл бұрын
mmh mbona kama alikuwa na mtu wako Sasa kaogopa kurudii ndio wakaamua kufanya hiyo trick sijui wallah ila kama kweli ametekwa basi uchingiz ufanyije
@doreenkaiza9930
@doreenkaiza9930 2 жыл бұрын
Ila naisi Kuna visa kati ya familia ya uyo mtoto na wale walio mteka
@aby21111
@aby21111 2 жыл бұрын
The whole secret is with the girl. The family has nothing to do with it.
@nadrahassan5241
@nadrahassan5241 2 жыл бұрын
Huwo anajua ahojiwe vizuri atishiwe nama polisi muone kama hasemi
@barakakusa7606
@barakakusa7606 2 жыл бұрын
Huy atakuwa alitoka mwenyewe au panya road walimnyakua.
@halimachambuso9985
@halimachambuso9985 Жыл бұрын
Wachawi haoo
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 2 жыл бұрын
Aiseee maswali mengine yaani hayaeleweki
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 2 жыл бұрын
ASEME UKWELI HUWENDA SHIDA IKATOKANA NA WAUME ZA WATU. WANGEWEZA HATA KUKUUA.
@user-uk3jh7bw1r
@user-uk3jh7bw1r 4 ай бұрын
Mmmmh huyu miaka 18 mzaz subir mjukuu
@halimachambuso9985
@halimachambuso9985 Жыл бұрын
Hao ni wachawi asizarau atamkosa mtoto huy ss tushapoteza watt umri km huo tunalia tu sasa
@roswitaexavery3378
@roswitaexavery3378 10 ай бұрын
Mwongo alienda kwabwanake walivyo maliza asubuhi akamfunga nakamba ili asihojiwe alikuwa wapi hana lolote nawewe globo mbona humuhoji kuwa walipo mteja walikuwa wanazungumza Nini walewatekaji kuwa wamekutekea Nini hata hujamuhoji wewe glbo hujui umeshanikera
@kiri5807
@kiri5807 2 жыл бұрын
Huyu girl inaonekana alijiteka . alikuwa na miadi na mtu na hiyo kumgunga inawezekana ni trick tu kuaminisha watu kuwa katekwa. kuna dalili kashakuwa na mimba ndio wanafanya matokeo ya kubakwa .
@Awatee
@Awatee 2 жыл бұрын
Hahah shida dear
@arlife9489
@arlife9489 2 жыл бұрын
Namaeneo hayo yamechangamka
@kiri5807
@kiri5807 2 жыл бұрын
@@salma0000 kweli kusoma hujui basi hata picha huoni ?
@kiri5807
@kiri5807 2 жыл бұрын
@@salma0000 ok hayo ni maneni ya wazungu lakini sisi sio wazungu . kwa tuna yetu yakiswahili ndio km hiyo.
@ziadamtebwa3712
@ziadamtebwa3712 11 ай бұрын
Mhi mtihani pole dada lla kujiteka akajifunga kamba sio rahisi acheni dhana.
@felisterandrew8741
@felisterandrew8741 Жыл бұрын
Mtangazaji yupo mazoezini ama?
@marykirigiti203
@marykirigiti203 2 жыл бұрын
Walimfuata ndani au alitokaje ndani usk jamani
@fatumamuya7296
@fatumamuya7296 Жыл бұрын
Lambda alienda msalani
@lahaeertanzania6795
@lahaeertanzania6795 Жыл бұрын
Alienda msalan wkt anarud nd akaktana nao wanamxbir mlangn
@demicratia4071
@demicratia4071 2 жыл бұрын
Vijana walikua kazini huyo mtoto aliitwa nje hakuj6a watamteka
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 2 жыл бұрын
Sio kweli wamteke na kumweka tu msituni
@hamidmweusiii35
@hamidmweusiii35 2 жыл бұрын
Hawa media nao chenga kwl wametaja jina halaf iyo sura wanaificha ya nn
@marrychriss2507
@marrychriss2507 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@chimbokiswaga8662
@chimbokiswaga8662 2 жыл бұрын
😁🤩😁
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 2 жыл бұрын
Sawa jina wametaja majina si yanafanana
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 2 жыл бұрын
Sawa jina wametaja majina si yanafanana
@devotalaiton5888
@devotalaiton5888 Жыл бұрын
Huyu bint ni muongo itakuwa kawaida yake ni kutoka usiku kwenda kwenye mambo yake wala ajatekwa huyu aojiwe vizur ni muongo huyu bint
@chimbokiswaga8662
@chimbokiswaga8662 2 жыл бұрын
Vipi? Hawa kukupelekea Moto maana nasikia jamaa hao Wana peleka na moto
@angelageofrey9756
@angelageofrey9756 2 жыл бұрын
Miaka 14 au 16?
@eashaeasha9776
@eashaeasha9776 2 жыл бұрын
Huyu 16 sio 14
@promisetenson7258
@promisetenson7258 2 жыл бұрын
Siamini sana huyu binti kuwa alitekwa,kutekwa sio mchezo ni kufa au kupona sasa mbona anaongea kwa nyodo hana hata hofu wala kuonyesha hisia zozote?huyu alikuwa na mwanaume hiyo ya kufungwa kitambaa usoni ni trick tu wala haina hata mashiko.
@khneesajumaa2052
@khneesajumaa2052 2 жыл бұрын
Mtangazaji mwache hajieleze unauliza uliza nini sikuelewi unaluka luka tu
@phanicemulongo7098
@phanicemulongo7098 2 жыл бұрын
Pole sana dada mungu anakupenda sana kama wewe uhai niko Kenya 🇰🇪
@devotalaiton5888
@devotalaiton5888 Жыл бұрын
Huyu bint ni muongo alijiteka mwenyewe ila anacheza na akili ya mama yake Itakuwa anatabia ya kutoka usiku
@niggahassumwisye241
@niggahassumwisye241 Жыл бұрын
Watu wengi hawapendi kukojoa kwenye dishi usiku,huyu binti ni kawaida yake ya kutoka usiku za mwizi ni arobaini
Happy 4th of July 😂
00:12
Pink Shirt Girl
Рет қаралды 47 МЛН
That's how money comes into our family
00:14
Mamasoboliha
Рет қаралды 9 МЛН
Heartwarming: Stranger Saves Puppy from Hot Car #shorts
00:22
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 20 МЛН
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 152 МЛН
Happy 4th of July 😂
00:12
Pink Shirt Girl
Рет қаралды 47 МЛН