#EXCLUSIVE

  Рет қаралды 9,095

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

#EXCLUSIVE na HABIBA: MIAKA 15 ANAISHI UJERUMANI, ANAVYOPIGA PESA KWENYE BIASHARA, MOYO wa KUSAIDIA
KWENYE EXCLUSIVE za IMELDA MTEMA ndani ya GLOBAL TV tumepiga stori na Habiba Diaspora Mtanzania anayeishi Ujerumani ambaye amefunguka mengi...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 32
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 Жыл бұрын
Mdada mdogo mwenye akili kubwa, mashaAllah ❤
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 Жыл бұрын
Hongera dada mm mwenyewe nimegoma kuchukua passport ya Austria 🇦🇹
@HabibaMäsgen
@HabibaMäsgen Жыл бұрын
Hongera yako and big update mami pls usichange faida zaidi ntakupa nifate Dm
@nurumwene4421
@nurumwene4421 Жыл бұрын
MashAllah Mtoto wangu habiba hongera sana😍😍😍😍
@HabibaMäsgen
@HabibaMäsgen Жыл бұрын
Shukraan shukraan Auntie Nuru together we can sweetheart
@maernov4257
@maernov4257 Жыл бұрын
Jamani na mm natamani kuja uko ❤
@rahmanyange3716
@rahmanyange3716 Жыл бұрын
Mashallah..! My dear una akili Sana m'mungu akuzidishie..👏♥️🙏
@HabibaMäsgen
@HabibaMäsgen Жыл бұрын
Ameen Ameen pamoja wangu
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 Жыл бұрын
Hongera sana Habiba jirani yangu
@HabibaMäsgen
@HabibaMäsgen Жыл бұрын
Shukraan shukraan wangu
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 Жыл бұрын
Mashaallah
@HabibaMäsgen
@HabibaMäsgen Жыл бұрын
Shukraan shukraan
@sameermanoty7779
@sameermanoty7779 Жыл бұрын
Hongera my sister
@HabibaMäsgen
@HabibaMäsgen Жыл бұрын
Asante sana Br upo?
@AminaAmina-mv4ko
@AminaAmina-mv4ko Жыл бұрын
One point mkatakwao mtumwa
@HabibaMäsgen
@HabibaMäsgen Жыл бұрын
Indeed yes
@Zuu673
@Zuu673 6 ай бұрын
Shule ya kujifunza ujerumani ulijifunza kwa muda gani?
@cocorita8367
@cocorita8367 Жыл бұрын
Gut sprache
@martinsrafael9343
@martinsrafael9343 Жыл бұрын
Dada una akili sana Afrika ni kwetu pia nipo Ugermany
@HabibaMäsgen
@HabibaMäsgen Жыл бұрын
Asante sana wangu kila la kheri inshallah
@hamedyahya9291
@hamedyahya9291 Жыл бұрын
sasa umenda kufanya nini ugermany
@mohamedomar7692
@mohamedomar7692 Жыл бұрын
Aolewa huko
@HabibaMäsgen
@HabibaMäsgen Жыл бұрын
Sikiliza interview yote utaelewa
@Zuu673
@Zuu673 6 ай бұрын
Ndo shida yetu waswahili 😂😂😂​@@HabibaMäsgen
@bonita329
@bonita329 Жыл бұрын
hahahaha habiba msomari mhhhh ??!!😂😂
@julianaswai7846
@julianaswai7846 Жыл бұрын
Nimempend sana huyodad anapend kwo
@Pedeshee01
@Pedeshee01 Жыл бұрын
Ni pisi kali kweli sijui ana tako
@HabibaMäsgen
@HabibaMäsgen Жыл бұрын
Love you right back Asante sana
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Anapiga hela gani jamani mmmh
@AbcMosshi
@AbcMosshi Жыл бұрын
Nakwambia wabingo ushamba😂😂🙌
@HabibaMäsgen
@HabibaMäsgen Жыл бұрын
Mungu awape nao pesa inshallah 🙏
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 86 МЛН
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 7 МЛН
Hali ya maisha ni ngumu Ujerumani
2:12
DW Kiswahili
Рет қаралды 492
Maisha ya Marekani: Kukaa ndani, Upweke, Nyumba, Magari nk
12:22
EBM SWAHILI
Рет қаралды 408 М.
JKizondo Asimulia Maisha ya Marekani
7:31
JKizondo Swahili Bites
Рет қаралды 21 М.
Njia rahisi ya kuingia marekani
2:35
Dnyota usa
Рет қаралды 20 М.
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 86 МЛН