MMASAI Mwenye MTOTO wa KIZUNGU ASIMULIA Alivyombadili MWANAYE

  Рет қаралды 621,349

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 1 000
@mirajihazard2117
@mirajihazard2117 5 жыл бұрын
kama umesikia neno ( watu wanapenda sana ) mara nyingi kuliko maneno mengine thumb up pls
@jakii7878
@jakii7878 5 жыл бұрын
😁😁😂😂😂
@auzennelazaro2429
@auzennelazaro2429 5 жыл бұрын
Anapenda sana sana
@thumakajo4828
@thumakajo4828 5 жыл бұрын
😃😃😃😃😃😃
@jorumkiungo303
@jorumkiungo303 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@rayrayndiema
@rayrayndiema 5 жыл бұрын
🤣😂🤣😂🤣😂
@neitherherenorthere8367
@neitherherenorthere8367 5 жыл бұрын
Oscar = pure authenticity. He is so admirably mature for his age. Yes , you must be a proud mother Suzan !! So happy for you.
@mumbigikuyu3421
@mumbigikuyu3421 5 жыл бұрын
Rubbish!!
@lukemelyemwenga2910
@lukemelyemwenga2910 5 жыл бұрын
the guy is so bright kwa keli,, intelligent and confident,, daah
@mgendimussa7224
@mgendimussa7224 5 жыл бұрын
Kama nawe umeipenda sana hii naomba ugonge like nimeipenda sana mie twende sawa jmn
@justinanthenge619
@justinanthenge619 5 жыл бұрын
I love Oscars mother "follow your heart" she is a jewel. I am so proud of her. I hav learnt and seen something very important. Bravo susan
@nellymwangilwa4288
@nellymwangilwa4288 5 жыл бұрын
Mungu awabariki Sana huyu mwanamke ni one in a million...it's really good to follow your instincts,am happy for you, Nelly from Lebanon
@fredrickromani6148
@fredrickromani6148 2 жыл бұрын
We love your native culture
@abdillahiismail444
@abdillahiismail444 Жыл бұрын
Osca
@happynessmarki2780
@happynessmarki2780 5 жыл бұрын
Huyu mtoto anaakili sanaaa MUNGU amtunze ktk kima na maarifa yakumjua na kumpendeza yeye
@jumamwengwa4682
@jumamwengwa4682 5 жыл бұрын
Asante Mama Daudi AKA MAMA OSCAR. Mtoto anajua kiswali na kimasai kwa sababu ya kushinda na vijana wa kimasai muda wote🤝
@robertotieno5638
@robertotieno5638 5 жыл бұрын
LESSON:.... Follow your heart and do whatever you you feel because there is only one life and never regret what you do.... THUMBS UP!!
@naimanurdin2846
@naimanurdin2846 5 жыл бұрын
Masai mekuelewa sna apo kwenye kumsomesha mwanao.sana unataka mwanao asome sana tena snaa Mungu akubariki wewe pamoja na kizazi chako
@azizimuhibu7771
@azizimuhibu7771 5 жыл бұрын
Àmiin
@newsky8232
@newsky8232 5 жыл бұрын
Ona
@SunsetHunter4526
@SunsetHunter4526 5 жыл бұрын
MAMA KAONGEA BONGE LA UJUMBE KUWA FOLLOW YOUR HEART♥️ KITU AMBO WAAFRIKA WENGI NI NGUMU KUKIFUATA WAZAZI WANALAZIMISHA WATOTO TUFATE MIOYO YAO
@mwanaishamlima2047
@mwanaishamlima2047 4 жыл бұрын
Ata mi nimeipenda
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 жыл бұрын
Hongereni sana kwa kumlea Kijana Oscar hivyo. Atakuja kuwa mtu mashuhuri. Mungu ambariki Oscar.
@longishuzack4970
@longishuzack4970 5 жыл бұрын
Much respect for our tribe Masai and I'm so proud
@mumbigikuyu3421
@mumbigikuyu3421 5 жыл бұрын
Proud of what?? Proud that they are welcoming devils into their midst??
@lightnessmollel7098
@lightnessmollel7098 5 жыл бұрын
Longishu Zack 👍
@SefrozaMafuru
@SefrozaMafuru 5 жыл бұрын
@@mumbigikuyu3421 you are racist.!
@mumbigikuyu3421
@mumbigikuyu3421 5 жыл бұрын
@@SefrozaMafuru yes I am. If you are not a racist you are a brainwashed fool.
@mercellinarlinar4271
@mercellinarlinar4271 3 жыл бұрын
@@mumbigikuyu3421 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@rithersospeterkati3355
@rithersospeterkati3355 10 ай бұрын
Tack Oscar för att du följer ditt hjärta. Siku nyingine tukija Tanzania tutakutafuta ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🇸🇪🇸🇪🇹🇿🇹🇿🙏
@aishaissa6028
@aishaissa6028 5 жыл бұрын
Nomempenda mtt ako anajiamini,,sana ma shaa ALLAH anamwambia mtangazaje ngoja aseme kingereza basi lt say
@shabanbeda1697
@shabanbeda1697 4 жыл бұрын
Nawewepia
@frankpeter4764
@frankpeter4764 3 жыл бұрын
@@shabanbeda1697 multimillion
@kikasamanda1583
@kikasamanda1583 5 жыл бұрын
Jag är glad för det lilla som Oscar är från dåcting på pratar svenska och swahili mycket bra
@oum759
@oum759 5 жыл бұрын
Gonga like kma Oscar anaogea kiswahili vzur kuliko babake
@godfreywazidy2034
@godfreywazidy2034 5 жыл бұрын
Hahahahaha
@mozaali1120
@mozaali1120 5 жыл бұрын
Kweli kabisaa
@janeawuor9468
@janeawuor9468 5 жыл бұрын
Kabisa
@credomsalanji2675
@credomsalanji2675 4 жыл бұрын
😆😆😆😆😆
@unapologeticallyme9055
@unapologeticallyme9055 3 жыл бұрын
Awww i already love this family, the boy Oscar is very brilliant 👌the boy is going gar he has a bright Future ahead
@jazzymkalitv5535
@jazzymkalitv5535 5 жыл бұрын
Damu nzito kuliko maji. Mashaallah ajua kucheza kimasai vizuri sana.
@favourmargaret5126
@favourmargaret5126 5 жыл бұрын
Wao !wao! wao !Oscar keep it up !
@ladymashaallahilikeuaadvis997
@ladymashaallahilikeuaadvis997 5 жыл бұрын
Masha ALLAH, oscar ALLAH akuongoze mwanangu
@jillfavour77
@jillfavour77 5 жыл бұрын
That Kiswahili from Oscar, is pure and real!
@ruvlystudio9964
@ruvlystudio9964 5 жыл бұрын
The father is so proud of his son.
@gideonpaanmedia
@gideonpaanmedia 4 жыл бұрын
Yes infact we're also glads to see our foreigner being a pure maasai
@mariamsuleimansilima4434
@mariamsuleimansilima4434 5 жыл бұрын
abasolutely follow yr heart. i like oscas and his mom and his father as well for there confidence.
@privatepilot9945
@privatepilot9945 5 жыл бұрын
Your grammar is very poor 🤣🤣abasolutely ndio nini?absolutely
@marystella3095
@marystella3095 5 жыл бұрын
Ila Oscar mtoto ana akili sana, kitendo cha kupokea ujumje na kuufafanua jinsi ulivyo! Hongera sana.
@isayangoiva5629
@isayangoiva5629 5 жыл бұрын
Ninajisifu kuwa masai dah namshukuru Mungu kuniumba mmasai asante mola
@angelinajoseph5733
@angelinajoseph5733 5 жыл бұрын
i nimekupenda bure Oscar lugha zote unajua
@chiefmahucha6847
@chiefmahucha6847 3 жыл бұрын
Sure.., Kwa harakaharaka hapo Oscar atakuwa anajua kuongea lugha 4 hivi. (1) Kiswideni (2) Kiswahili (3) Kimasai (4) Kiingereza
@sophiejemimah8858
@sophiejemimah8858 3 жыл бұрын
Bless his heart. Proud Mom.... quite smart intelligent boy. He sounds matured
@paulkennedy5728
@paulkennedy5728 5 жыл бұрын
I like mums conclusion, really extra ordinary...
@lovenesswotee4716
@lovenesswotee4716 5 жыл бұрын
Very true follow your heart maasai are real no duplicate big up maaa people.
@dadarehema
@dadarehema 5 жыл бұрын
Me nipo Sweden nikija Tz nitakuja kuwasalimia akina Oscar, nimewapenda bure!
@florammpukwini3320
@florammpukwini3320 5 жыл бұрын
mount meru flawers
@godsonmasele1438
@godsonmasele1438 4 жыл бұрын
Karibu kigamboni kwe2😊
@gideonpaanmedia
@gideonpaanmedia 4 жыл бұрын
Ongera sana dadangu mtangasaji kazi sana. Mm mkenya nafuatilia sana vipindi sako
@Focus_Mengi
@Focus_Mengi 5 жыл бұрын
Mtangazaj keep it up dadaangu. U doing a tremendous job. And for these peeps who r trying to bring u down with their brainless comments *ignore them* ndo jibu kwa mijinga!
@hassandau8512
@hassandau8512 4 жыл бұрын
Zari zebos ledd
@mohamednoor4290
@mohamednoor4290 4 жыл бұрын
thanks a lot u are welcome to Masai and African she is a good Martha huyo ni rais wa Tanzania soma visuri wewe ni kiogozi
@goodluckemmanuel969
@goodluckemmanuel969 3 жыл бұрын
Sawa Hilo neno lilitakiwalianze na ol...
@alexmwanioti6390
@alexmwanioti6390 3 жыл бұрын
Brave, hb,intellegent, every parent must be proud for you son
@aishaelias3867
@aishaelias3867 5 жыл бұрын
Handsome boy ♥️
@Focus_Mengi
@Focus_Mengi 4 жыл бұрын
Minor
@AbleTasharMusic
@AbleTasharMusic 3 жыл бұрын
I love you Oscar your astar in the making May God bless you child❤️
@zhuraab7223
@zhuraab7223 5 жыл бұрын
Mashallah doqo yupo vizuri
@ireneamber492
@ireneamber492 2 жыл бұрын
These are kenyan massai and Oscar pia ni wetu hapa 🇰🇪. Watanzania mkae kando
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 4 ай бұрын
Why tukae kando?
@ruthleonard2958
@ruthleonard2958 5 жыл бұрын
Waooo!!! Yan Oscar hadi pronunciation ya kimasai !! Sikia neno "Anasema" ..😘😘
@herimallya3385
@herimallya3385 4 жыл бұрын
"Sema teena"
@Nancybosibori-sz5nb
@Nancybosibori-sz5nb 8 ай бұрын
Thanks mom for appreciate you kids be blessed
@mirajihazard2117
@mirajihazard2117 5 жыл бұрын
dah nimemulewa vizur sana mama alivyoongea kiengereza
@lameckmbembati6636
@lameckmbembati6636 4 жыл бұрын
Tutaflie kam umemuelew
@mathematicsforlife783
@mathematicsforlife783 4 жыл бұрын
I understand you mama great decision mama
@azizimuhibu7771
@azizimuhibu7771 5 жыл бұрын
Sawa,ila nawasi wasi huyo Oscar, sio mwanae in blood, labda huyo mwingine chotara mdogo,nitakubariii,big up masai
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 5 жыл бұрын
Siyo wake jamani
@azizimuhibu7771
@azizimuhibu7771 5 жыл бұрын
@@m.mmarckus6298 yaah,wakumkuta ila yy ndio .kambadilisha
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 5 жыл бұрын
azizi muhibu dada ukiamuangalia osca vizuri na kama una wajua wamasai vizuri utagundua oscar ni Masai vizuri kiukweli mashaallah
@azizimuhibu7771
@azizimuhibu7771 5 жыл бұрын
@@zumbeshauri8114 mimi mwanaume,oscr kalelewa umasain ndio maana ana onekana kama mmasai
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 5 жыл бұрын
azizi muhibu ahaaa sawasawa
@naomijohn6759
@naomijohn6759 3 жыл бұрын
Napenda the way mlivyo osca mungu akubaliki sana
@graceapolinary4171
@graceapolinary4171 5 жыл бұрын
Follow your heart and do whatever you feel because there is only one life .....What Oscar doing is purely 💪♥️♥️
@ayubleo
@ayubleo 5 жыл бұрын
Uyo dogo genius umri mdogo lakn anajua lugha 4 afu anapenda kujifunz big up Oscar
@webnett7651
@webnett7651 5 жыл бұрын
😂😂Oscar cute and lovely 😍
@solemogui
@solemogui 4 жыл бұрын
Oscar keep up nipendezwa sana na ur courage.
@fransismange1091
@fransismange1091 5 жыл бұрын
What a child, I like the part when Oscar handled well the Translation job.
@modiranks1186
@modiranks1186 5 жыл бұрын
Watu wanapenda Sana wanapenda Sana.
@mimaakenirram1405
@mimaakenirram1405 5 жыл бұрын
kwaiyo huyo mama Oscar ajui kiswahili mwanae anajua vizuri tu
@vivianchawe7561
@vivianchawe7561 5 жыл бұрын
Suzzane anawaaribu watoto wake anabalisha sana wanaume
@thetrends9973
@thetrends9973 5 жыл бұрын
Watoto hushika lugha kirahisi kuliko wakubwa
@bethwaithaka9441
@bethwaithaka9441 5 жыл бұрын
@vivianChawe ati mamake anabadilisha wanaume so kumaanisha hawa watoto sio wa huyo maasai
@thetrends9973
@thetrends9973 5 жыл бұрын
@@bethwaithaka9441 mtoto wa kwanza ni wa kufikia. Wa pili ndio wa mmasai
@Mercyzhenya
@Mercyzhenya 5 жыл бұрын
@@vivianchawe7561 nijirani yako unamjuwa? ??kwaiyo masai anapigiwa hatari
@zilpahcharlotte3856
@zilpahcharlotte3856 5 жыл бұрын
Am proud to be born a Maasai lady
@lusekelodaison8159
@lusekelodaison8159 5 жыл бұрын
Kama na wewe ushawahi kukutana nao mahali popote dar au moro ukamuona Oscar amevaa kama vazi tu la Kimasai kama nilivyomuona mim gonga like tujuane hapa
@furahandelwa7900
@furahandelwa7900 5 жыл бұрын
Lusekelo Daison Kitunda hiyo Dar tumepanda nao sana daladala😀👌
@ashasalum5948
@ashasalum5948 5 жыл бұрын
me nilimuona pale nolasco club pale nje nilimshangaa sanaa
@kitykate5497
@kitykate5497 3 жыл бұрын
He's very mature. I wish him well
@muniraahmed624
@muniraahmed624 5 жыл бұрын
Leo silali kabla sijapata subscribers 500. My fan's kazi kwenu 🙏💕.
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 5 жыл бұрын
Subscribe kwangu nakuja kwako
@hamedalsuksiri2982
@hamedalsuksiri2982 5 жыл бұрын
+968 79053695 this is my no, how are you munira? It's good if we can chart & exchanging views no problem, tnx.
@mohammadcosmas2018
@mohammadcosmas2018 5 жыл бұрын
Munira Ahmed SAMAHAN munirah naomba nitumie namba yako au nitafute kwa namba yangu +255785398004
@mansourahmed5464
@mansourahmed5464 5 жыл бұрын
Munira Ahmed hujaamua kulala....!!!tuh....maana watoa likes.....wanaringa khaswaa!!!
@mustaphahassan589
@mustaphahassan589 5 жыл бұрын
Munira Ahmed pole sana kwa kutokulala
@japhetbosire8598
@japhetbosire8598 4 жыл бұрын
I like the way Oscar is adapting to the Maasai culture and traditions am watching from Kenya
@kaminyogemwachelwa9884
@kaminyogemwachelwa9884 5 жыл бұрын
Masai ...anapenda sana Kwahiyo😂😂😂😂😂😂😂
@kenyansfactsgalore1983
@kenyansfactsgalore1983 4 жыл бұрын
Proud to be Maa Hatu copy hatu compete hatu change tuko same origanally made I love my tribe Lemashon is my name
@dastansalamba4975
@dastansalamba4975 5 жыл бұрын
Jirani zetu toka Kenya tunawakumbusha Oscar Mmasai ni Mtanzania, hamkawii kusema baba ake Daudi ni Mmasai toka Kenya.(joke)
@tanzania2559
@tanzania2559 5 жыл бұрын
Dastan Salamba 😂😂😂
@evanslawrence7764
@evanslawrence7764 5 жыл бұрын
Dastan Salamba kwa wakenya mbona kawaida sana, si uangalie ile hata film ya the Swiss Masai, ya Siku nyingi. Mombasa, wanavyo jitanua kwenye beach na watoto wao. wakenya na wazungu kuoana ni kawaida sana. ni kama south Africa. halafu ujue waafrica wengine hawatambui mila ya wa masai ng'oo'ninyie tu hapa. wazungutu peke yao wanaiona kaa kivutio. huko inje kwa waafrica wengine kuna mila za hatari, ya MAASAI cha mtoto.
@franciscoamos4605
@franciscoamos4605 5 жыл бұрын
Haaaaaaahaaaaahaaa
@theonlyfunguokeyz5638
@theonlyfunguokeyz5638 5 жыл бұрын
🤣😜😜😜
@beckiebecca3432
@beckiebecca3432 5 жыл бұрын
Tuwaje jamani😂😂😂😂
@neemaanthony4919
@neemaanthony4919 5 жыл бұрын
Duh nmekupenda bure Oscar uko smart sana
@asas-gl6el
@asas-gl6el 5 жыл бұрын
He's so cute adorable💞
@masauletitika351
@masauletitika351 2 жыл бұрын
Hongerani Sana watu wa mungu
@salmawawuda4202
@salmawawuda4202 5 жыл бұрын
Congratulations madam for what you have been choosing for your child
@shanimhanga7896
@shanimhanga7896 5 жыл бұрын
Huyo Masai ni noma!!!hongera zako Kwa family nzuri,
@candidusnyoni103
@candidusnyoni103 5 жыл бұрын
Up 2 u maasai
@silyadamian5708
@silyadamian5708 5 жыл бұрын
Mm namwangalia mdogo wake Oscar tuu😂😂😂😂anaruka kama Masai but sio kimasai😂😂😂
@valerianmwanga2225
@valerianmwanga2225 5 жыл бұрын
kumbe na ww umeonaee!! nmekashangaa haka kadogo kake na oscar
@linetnyawira1915
@linetnyawira1915 5 жыл бұрын
Hahahahaah pia mimi jito langu lipo tuu kwa mdogo wake
@bernajames5901
@bernajames5901 5 жыл бұрын
😂 😂 had mimi yan kanachekeshaaa nako kanaruka jmn hahahaaa
@brightpeople3152
@brightpeople3152 5 жыл бұрын
Umenfanya nicheke kijinga make nilikuwa sijamfatilia
@lykamlaki7120
@lykamlaki7120 5 жыл бұрын
😂 😂 😂 akikua atajua
@saitotisaitoti6734
@saitotisaitoti6734 5 жыл бұрын
Mmasai umenifurahisha sana kutopoteza utamaduni wako.angekuwa mwingine angeacha watoto wawe wazungu
@benjaminlaglise3140
@benjaminlaglise3140 5 жыл бұрын
Oscar anaakili ongera sana. I'm proud to be African love you masai.
@ismailelias3554
@ismailelias3554 5 жыл бұрын
Izo like mnazipeleka wapi naon kila mtu anazitaka
@magynzioka1122
@magynzioka1122 5 жыл бұрын
Masaii amempokonya mzungu mke wake na mtoto tena wa kiume na amemrithi amempa mikoba yote ya masaiii hiii kaliii
@mwadangatv
@mwadangatv 5 жыл бұрын
Hakuna mtangazaji hapa
@Mpakauseme
@Mpakauseme 5 жыл бұрын
Mambo ya maisha ndugu yangu wazungu wanapenda sn masai
@hussenistreak5165
@hussenistreak5165 5 жыл бұрын
Ulitaka uridhiwe ww ? Maku nyeusii mfyuuuuu
@musakitz6205
@musakitz6205 4 жыл бұрын
0:09 Baba Oscar is like hajui everything anapenda sana he is not responding to the quiz 🤷‍♀️. Oscar wooooow very nice kiswahili
@queenmariana5887
@queenmariana5887 5 жыл бұрын
Huyo mtangazaji rudi shule😢😢
@petrokiyenzenapendamzkihuu596
@petrokiyenzenapendamzkihuu596 5 жыл бұрын
Ww umeishia level gani?
@nemnem7431
@nemnem7431 5 жыл бұрын
Naipenda hii family hadi naumwa....
@Fm-MornStar2014
@Fm-MornStar2014 5 жыл бұрын
Hope he will not come to be brainwashed by his ancestry family to hate African lifestyle. Nakuombea sana Oscar.
@queentoto3878
@queentoto3878 2 жыл бұрын
🥰🥰🥰🥰🥰🥰❤❤❤mara nyingi sana wamasai wanafahamu English one loves ❤
@aishaissa6028
@aishaissa6028 5 жыл бұрын
Oscar yuko vzri ma shaa ALLAH sasa uyo mzngu hajui kiswahili wanaongeaje na masai
@rizikibakar3186
@rizikibakar3186 5 жыл бұрын
Aisha Issa English
@johnsonartabou2855
@johnsonartabou2855 5 жыл бұрын
Huyo mzungu Oscar anagonga Kiswahili sana jama
@bethwaithaka9441
@bethwaithaka9441 5 жыл бұрын
huyo mtoto ana kiswahili nzuri kuliko babake
@brendahetyang5430
@brendahetyang5430 5 жыл бұрын
Johnson Artabou Oscar mkalimani katika familia
@saidiomali3324
@saidiomali3324 5 жыл бұрын
Jamani namimi mnyamwezi nataka kuoa mzungu na niazae nae wana jua. Kupendana sana wazungu
@officialamris7954
@officialamris7954 5 жыл бұрын
Aliye gundua mtangazaji mwanafunzi wa shule ya kata namba like zang😂😂😂😂😂😂
@tausir.mgeleka1433
@tausir.mgeleka1433 5 жыл бұрын
Hahahahahahaha
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 5 жыл бұрын
Mother alikuwa wapi muda wote kuongea ngeli. 😀😀😀
@anthonylimommuni1481
@anthonylimommuni1481 5 жыл бұрын
Daah kumbe mashine za kimasai zina faida saana congratulations daudi
@rashidisaid6961
@rashidisaid6961 5 жыл бұрын
Mtangazaji we kwenye maswali bado ...
@nurumuna7297
@nurumuna7297 5 жыл бұрын
mtoto Oscar ana Akili sana ' Akili imetulia
@devothasanga9228
@devothasanga9228 5 жыл бұрын
We mama ungeolewa namkinga jamani raha lakin pongezi kwako daud masai
@lessasanga7465
@lessasanga7465 5 жыл бұрын
😀
@teresiahnjambi3507
@teresiahnjambi3507 3 жыл бұрын
Lovely family 💕💕💕💕 true love God bless u
@momfive8847
@momfive8847 5 жыл бұрын
How comes this Oscar can speak nice swahili than his dad, this crazy .
@joywagofya7886
@joywagofya7886 5 жыл бұрын
Jane Mburu it’s not his real father he is too ligh akin
@joywagofya7886
@joywagofya7886 5 жыл бұрын
Skinned*
@janetnkila6179
@janetnkila6179 5 жыл бұрын
Nice swedenish and nice masai at his age
@qatarqaat1601
@qatarqaat1601 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@sarunisammy9390
@sarunisammy9390 3 жыл бұрын
Perfect
@jogoishamba2746
@jogoishamba2746 5 жыл бұрын
Kwa utangazaji huu anyone anaweza kuwa mtangazaji. Sijui ni vigezo gani Global wanatumia kupata hawa watangazaji. Kuna yule dada wa Dr shika alikuwa na mapungufu ya msingi sana. Kwenye L anatumia R , yule jamaa wa kusurprise mastaa majumbani mwao alikuwa ana kigugumizi ki kali na hakuwa namna ya kudeal nayo. Pia makosa ya kimatamshi mengi.
@fatmarefai9209
@fatmarefai9209 4 жыл бұрын
Wow that's amazing
@fatmarefai9209
@fatmarefai9209 4 жыл бұрын
Mtangazaji uko juu mamaa keep it up
@fatmarefai9209
@fatmarefai9209 4 жыл бұрын
Osker amekuwa mmasaai kweli duh☀
@fatmarefai9209
@fatmarefai9209 4 жыл бұрын
Icho kidogo nigani
@regneralex819
@regneralex819 5 жыл бұрын
Mtt yupo vzr
@amanimollel7086
@amanimollel7086 5 жыл бұрын
Hahaha kama umeona mzungu kavaa dera dondosha Like hapo chini
@glorysimon775
@glorysimon775 5 жыл бұрын
Kama nyie mnajua kuuliza maswali nendeni mkamuulize mimi naona mtangazaji yuko vizuri hakuna aliyezaliwa anajua kila kitu fyuuu
@gadafisalum492
@gadafisalum492 5 жыл бұрын
Wanapenda kuolewa sana wa masai
@fevachris6953
@fevachris6953 5 жыл бұрын
Wow ,this is great.
@utelezitv
@utelezitv 5 жыл бұрын
Nani amegundua kuwa kiingereza kilikuja na meli.... maana baada ya mama kusema ngoja nikujibu kwa kiingereza hakuna tena swali....😂😂😂😂😂
@sadadololi4545
@sadadololi4545 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@sophiemwanina5979
@sophiemwanina5979 5 жыл бұрын
😂😂we mchawi
@utelezitv
@utelezitv 5 жыл бұрын
@@sophiemwanina5979 😂😂😂😂😂😂
@lilyrose4066
@lilyrose4066 5 жыл бұрын
@@sophiemwanina5979 Ha ha haaa
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 4 ай бұрын
Nami nimeona hilo
@hadijayusuf3888
@hadijayusuf3888 2 жыл бұрын
Nimeipenda
@sarafinamakilkka5678
@sarafinamakilkka5678 5 жыл бұрын
Kiruuu hki siyo kiingereza jomon... Mama Osca kanitoa nduki
@judieeissinika9365
@judieeissinika9365 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@dorothyannan8184
@dorothyannan8184 5 жыл бұрын
Wow!! Very encouraging...Follow your heart..
@barakacosta6474
@barakacosta6474 5 жыл бұрын
Mtoto ndiyo anaongea kiswahili vizuri kushinda babaake 😂😂😂
@philomenadickson688
@philomenadickson688 3 жыл бұрын
Juu Oscar anaenda shule , You got to remember most of Masai still don't go to school
@aminaabdiabdi7112
@aminaabdiabdi7112 5 жыл бұрын
Woow absolutely Oska n mother
@princessfa9048
@princessfa9048 5 жыл бұрын
ANAPENDA SANA 😂😂😂😂😂😂 kashikilia hapo tu baba oscar
@qatarqaat1601
@qatarqaat1601 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@samwelloishiye2017
@samwelloishiye2017 3 жыл бұрын
Very good,
OSCAR: MZUNGU MASAI ALIVYOSHEREHEKEA BIRTHDAY YAKE / WANANIITA BOYA
9:19
Global TV Online
Рет қаралды 554 М.
AMEKIMBIA ULAYA KAJA AFRICA KUOA MMASAI _AMEWASHANGAZA WENGI
14:02
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
Maasai Warriors: The Art of Jumping Dance
5:01
Just Wild Life
Рет қаралды 25 М.
Mchawi muuwaji aanguka na kujisalimisha mbele za Yesu Kristo
27:38
UKOMBOZI TV
Рет қаралды 1,3 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН