Mwanafunzi ‘AMKUNA’ MAGUFULI, ATOA MILL 5, Ampandisha Kwenye GARI!

  Рет қаралды 930,621

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Mwanafunzi ‘AMKUNA’ MAGUFULI, ATOA MILL 5, Ampandisha Kwenye GARI!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli aweka jiwe la msingi Ujenzi wa Daraja la Kigongo - Busisi lenye urefu wa 3.2 kilometa katika Ziwa Vitoria litakalounganisha Mkoa wa Mwanza na Geita
#RAISMAGUFULI
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY:
kzbin.info?list...
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
kzbin.info?list...
GLOBAL RADIO TV:
kzbin.info?list...
EXCLUSIVE INTERVIEW:
kzbin.info?li

Пікірлер: 355
@maikovineventscompany1180
@maikovineventscompany1180 4 жыл бұрын
BINTI KASHAKUWA MWANASIASA TAYARI. Tunao kubaliana na haya Like tujue tupowangapi 👍🏼
@AymanKhatib-uu4mc
@AymanKhatib-uu4mc 4 ай бұрын
3😊
@mackbrand2010
@mackbrand2010 2 ай бұрын
/kikjijm😢. ;
@evawayesu5865
@evawayesu5865 4 жыл бұрын
Mungu akubaliki sana Raisi Magufuri Asante sana wewe ni Baba ya taifa ra Tanzania 🇹🇿 Mimi ni mu Congo but na shukuru kwa kazi nzuri sana 🙏🙏🙏🙏🥰🥰👍👍👍👍
@xaviournyongesa8896
@xaviournyongesa8896 3 ай бұрын
In east Africa Magufuli hamna wa kushindana naye lala salama baba Pombe Joseph Magufuli.❤🎉
@ashurabakiri8427
@ashurabakiri8427 4 жыл бұрын
Huyu mtoto namuona mbali sana miaka kumi ijayo,huyu ndio mzee wa kazi kazi👏Mungu 🙏 azidi kukupa nguvu za kufanya makubwa kila kukicha Mh...Dk Magufuli
@selejux2907
@selejux2907 4 жыл бұрын
Mambo VIP sele. Jux
@EliycSalum
@EliycSalum Ай бұрын
Magufuli
@salamashabani7922
@salamashabani7922 4 жыл бұрын
MAISHA NIMAGUMU SAANA KWA UTAWALA HUU, LAKINI MAENDELEO YANAYOFANYIKA KIUKWELI TUNAYAONA NA TUNAYAFURAHIA SANA HIVYO BASI SINA BUDI KUSEMA MAGHUFURI OYEEE NA C.C.M OYEEEE💪 WACHA TANZANIA YETU IBADILIKE
@kalumunabarton3661
@kalumunabarton3661 4 жыл бұрын
Yes
@salomemukani1627
@salomemukani1627 4 жыл бұрын
hongera sana Rais wa tz na pia mtoto mzuri kila laheri maishani
@halimaramadhanimwevi2472
@halimaramadhanimwevi2472 4 жыл бұрын
Wewe huna unaefanana nae ktk dunia hii , m mungu aendelee kukulinda na kukulinda mh. Rais JPM . Hapa kazi tu 💪💪💪💯💯💯
@simonkasato7617
@simonkasato7617 4 жыл бұрын
Huyu mtoto anakipaji cha hali juu mungu ampe maisha malefu
@gloriamichael3698
@gloriamichael3698 4 жыл бұрын
I wish angekuwepo Baba Wa taifa aka Nyerere angesemaje kwani haya ndo alikuwa anayataka sana kuyafanya .asante nyerere ulitoka kwanza kipau mbele cha elimu na hayo ndo matokeo yake barikiwa sana huko uliko
@arodiabernad5543
@arodiabernad5543 4 жыл бұрын
Harmonize
@sajombish2897
@sajombish2897 3 жыл бұрын
@@arodiabernad5543 Mambo hamo Juma kikaniki apa
@sajombish2897
@sajombish2897 3 жыл бұрын
@@arodiabernad5543 Mambo hamo Juma kikaniki apa
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 4 жыл бұрын
Swali langu ni hili hivi utapata wapi Raisi anayekumalizia shida yako papo hapo? Oho oh mpeni Mungu utukufu na nguvu kwa kutupatia jpm
@kalumunabarton3661
@kalumunabarton3661 4 жыл бұрын
Fact
@idrisasalum8013
@idrisasalum8013 4 жыл бұрын
Hakumaliza shida ndugu
@abdallahmawiku1567
@abdallahmawiku1567 4 жыл бұрын
jeny yusuph
@johnsaitoti1416
@johnsaitoti1416 4 жыл бұрын
Pamojasana james hanja
@benziygie001blixen7
@benziygie001blixen7 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏😥😢😪😭
@simonkasato7617
@simonkasato7617 4 жыл бұрын
Kuongea kwa watu wengi na ukiwa mtoto ni kazi mweshimiwa hongera rais
@benbuyabo7710
@benbuyabo7710 2 жыл бұрын
Iam a Kenyan ive never seen suchlike a leader on the continent of Africa who loved his country and entire people
@lukasochola576
@lukasochola576 4 жыл бұрын
Nampenda huyu rais ata ingawa mi ni mkenya.Huwa sichoki kuangalia hizi clips zake.
@joakimmasawe1657
@joakimmasawe1657 4 жыл бұрын
Mweshimiwa rais kwakeli kazi yako mimi naiona na ingewezekana kuendelea hata miaka 50 zaidi ingekuwa siombaya maana tulikua ni haibu sana na tuliachwa mbali na mwenzetu kimaendeleo ila wazo langu ulio wateua mawaziri na wakuu Wa mikoa na wilaya waongeze kasi maana bado kidogo kasi hazijafanana vizuri asante mweshimiwa rais wetu Mungu akusaidie kuibadilisha zaidi na kuiletea maendeleo nchiyetu.
@ahmadkibamba6008
@ahmadkibamba6008 4 жыл бұрын
Mi binafsi sina la kusema zaidi ya kumuombea uzima mhe Rais
@mashakakisungu2538
@mashakakisungu2538 4 жыл бұрын
Hakika mungu ametupatia kiongozi jpm mungu akubariki sana
@afandehassan1
@afandehassan1 4 жыл бұрын
Ningeshukuru awe rais wa Kenya wallahi...unganisha East Africa uwe rais wetu
@kudrakaunda9412
@kudrakaunda9412 4 жыл бұрын
Sijawai ona rais mwenye kujua utu,thamani na upendo km huyu.Eeée mwenyezi mngu ulie mkuu muumba mbingu na ardhi nakuomba umlinde mja wako huyu daima kaa upande wake na kamwe usimuache,Mpe nguvu,ulinzi na uvumilivu.
@juliethhope7281
@juliethhope7281 3 жыл бұрын
Hii sms imeniuma sana.ndo basi tena.MUNGU kamchukuaa
@juliethhope7281
@juliethhope7281 3 жыл бұрын
Tumebaki tunalia tuu jmn😭😭😭😷
@eliathomas8446
@eliathomas8446 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@fadhilimfuru768
@fadhilimfuru768 3 жыл бұрын
Co
@christinawallasch1252
@christinawallasch1252 4 жыл бұрын
We ni Rais na Mzazi pia, Hongera sana Muheshimiwa Raisi.
@hancejr5712
@hancejr5712 2 жыл бұрын
Uswege
@emmanueljohn8970
@emmanueljohn8970 4 жыл бұрын
Huyo Mtoto yupo Vizuri mno, Leaders are Born, not Created they are Born with that gift. 🔥 Huyo mtoto lazima awe kiongozi nimependa Confidence yake.
@lucydamian6870
@lucydamian6870 3 жыл бұрын
I'm..
@kudraayuob8934
@kudraayuob8934 3 жыл бұрын
Dah rais wangu ni kweli ume tuacha 😭😭😭 ni kweli tuta ku kumbuka
@josboy5384
@josboy5384 4 жыл бұрын
Ee mwenyezi Mungu wasaidie wadogo zetu waifate elimu na wawe na hexhima pia dunia ya sasa imexhaharibika kwakweli vixhawixhi vimekuwa vingi sasa
@chipagafashion
@chipagafashion 4 жыл бұрын
jose boy Point s
@abedichande2497
@abedichande2497 4 жыл бұрын
Aimeen
@josephsule6648
@josephsule6648 4 жыл бұрын
@@chipagafashion l Y
@bigowillythomaskayanda7763
@bigowillythomaskayanda7763 4 жыл бұрын
Kama umesikia Mtoto amesema "VYOO VYA CHOONI'' gonga like jamani...!!
@aminasalum1954
@aminasalum1954 4 жыл бұрын
Hahahahahaaaaaa
@emmangaria6947
@emmangaria6947 4 жыл бұрын
kiukweri tumepata raisi
@elizabethminja5576
@elizabethminja5576 4 жыл бұрын
Sirahisi kuongea mbele ya raisi
@danielmakanya8092
@danielmakanya8092 4 жыл бұрын
I
@dottoubuguyu3960
@dottoubuguyu3960 4 жыл бұрын
Bigo Willy Thomas Kayanda hahahahahahahahahaaa
@eventelias3566
@eventelias3566 4 жыл бұрын
Hata usipokuwa rais wa nchi utakuwa hata rais wa wanafunzi chuoni mdogo wng usiogope.
@simonkiula4041
@simonkiula4041 4 жыл бұрын
Iyo ni atar mtt upo vzr sana
@monicasamwel6829
@monicasamwel6829 4 жыл бұрын
Ama Kweli Wateule wa Mungu wanaoongoza kwa hekima Ni Kama huyu Rais wetu Magufuli. Mungu akulinde!
@juliethhope7281
@juliethhope7281 3 жыл бұрын
Ndo basi tena
@juliethhope7281
@juliethhope7281 3 жыл бұрын
Tunalia tuuu😭
@najmarushda4390
@najmarushda4390 4 жыл бұрын
Huyu MTT mh amemkumbuka bint yake wa mwisho
@hassanmpwepwe3826
@hassanmpwepwe3826 4 жыл бұрын
Safi sana rais wangu piga kazi invur Sana jpm hapa kazi 2
@zachmaselle6635
@zachmaselle6635 4 жыл бұрын
Anaanza ujenzi kesho; kesho ni jumapili, Jumatatatu ni sherehe ya uhuru. Mbona hawakuanza jana kabula ya raisi kuja? Wanafunzi 1300 ni wengi sana. Wawakilishi wa mkoa wa mwanza wengi hatuwasikkii utafikiri kila kitu kiko sawa, mpaka watoto wanawasemea. Kwe kweli inasikitisha. Ansingesomama raisi, hakuna kitu kingefanyika.
@angelinakishunda1657
@angelinakishunda1657 4 жыл бұрын
Kama rais tunae mungu azidi kukuongoza ktk maisha yako
@mamymdogomamy3670
@mamymdogomamy3670 4 жыл бұрын
Wa Tanzania mchaguweni tena kwa mara nyengine huyo ndio kiongozi wa ukweli
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 4 жыл бұрын
Yani mie najuta kuwa mbali jmn kura yangu ningempa tena ili jembe
@barkembarak9270
@barkembarak9270 4 жыл бұрын
+254 nakukubali Sana makufuli utabaki kuwajuu
@afandehassan1
@afandehassan1 4 жыл бұрын
Barke hoyeeeeeee
@duniagochi5145
@duniagochi5145 3 жыл бұрын
D
@benjaminniyonkuru3357
@benjaminniyonkuru3357 2 жыл бұрын
Tanzania hakutaku tena mwengine raisi kama magufuli Mungu asaidie inchi hii.
@jamesnziku7638
@jamesnziku7638 4 жыл бұрын
safi nimeipenda
@mussataliye7815
@mussataliye7815 4 жыл бұрын
Mungu kaamua kutupa wewe rais wetu tunakutakia maisha marefu
@lawyerjunior8702
@lawyerjunior8702 3 жыл бұрын
Mungu aulaze moyo wako mahali pema peponi magufuli
@jamessitati7396
@jamessitati7396 4 жыл бұрын
Haya kenya tuko hapa, kweli Bongo mume barikiwa.
@mozasaid3869
@mozasaid3869 4 жыл бұрын
Mashaallah binti kachangamka vizuri!
@kulwamigo9127
@kulwamigo9127 4 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu mh. Rais.!
@King-Jack-ryan
@King-Jack-ryan 4 жыл бұрын
Am akenyani but love you sir
@kiswahilikitukuzwe2547
@kiswahilikitukuzwe2547 4 жыл бұрын
+254 Kwa kweli Rais Magufuli ndiye rais wa kwanza wa Afrika! JPM nakuombea mafanikio ya zako za kuwasshauri sana marais wa nchi jirani kama vile wa Kenya, Burundi, DRC na South Sudan, Rwanda, Uganda, na Somalia ili tufuate mtindo huu wa kujitegemea sisi wananchi wa Afrika Mashariki. Tuimarishe Jumuiya yetu, kwani siyo Tanzania tu bali nchi zetu zote za Afrika Mashariki hatuna baba wala mama atakayekuja kutusaidia. Wengine watamsema mwishowe watachoka lakini kwa JPM ni kazi tu!
@mwanaidyibrahimu3207
@mwanaidyibrahimu3207 4 жыл бұрын
👏👏
@duniagochi5145
@duniagochi5145 3 жыл бұрын
Nikwer san
@omurwasolomon5131
@omurwasolomon5131 4 жыл бұрын
Mimi mkenya..kweli Tanzania mmebarikiwa na raisi..wetu hapa kenya ni wakuvuta bangi na kulewa tu
@rashidjames8968
@rashidjames8968 4 жыл бұрын
Lkn Kuna wapuuzi wachache wanazingua
@deoshangule3888
@deoshangule3888 4 жыл бұрын
Hahahaha🤣😂
@mapenzi_tz1511
@mapenzi_tz1511 4 жыл бұрын
Inafaa wanao mpinga Jpm wapate Rais km huyo.wakwenu Anae vuta Bangi
@mwanaidyibrahimu3207
@mwanaidyibrahimu3207 4 жыл бұрын
🤣🤣🤔
@dazuujuma1211
@dazuujuma1211 4 жыл бұрын
Nimecheka bure mambo ya bange tena
@robertterry8909
@robertterry8909 4 жыл бұрын
pamoja sana raisi wetu mpendwa
@amockkalinga1520
@amockkalinga1520 3 жыл бұрын
Pumzika kwa amani baba kila ninapongalia video zako naishia kulia sana
@omarylukindo5306
@omarylukindo5306 4 жыл бұрын
Nahisi diwan wa hapo ni mpizani,maana nimesikia dongo kutoka kw mbunge mabula kuwa diwani anakimbia maendeleo.
@danrevelian
@danrevelian 4 жыл бұрын
Ndio ni mpinzani yupo CHADEMA
@kevinomoll3642
@kevinomoll3642 4 жыл бұрын
@@danrevelian Lisette
@maidamwaipopo7645
@maidamwaipopo7645 4 жыл бұрын
Katoto kana akili hako pia kazuri hataree
@bigowillythomaskayanda7763
@bigowillythomaskayanda7763 4 жыл бұрын
Kamesema vyoo vya chooni.
@raheemamkambha6013
@raheemamkambha6013 4 жыл бұрын
Kazuri Mungu amkinge dhidi ya mafataki
@josephgadiely170
@josephgadiely170 4 жыл бұрын
Nimempenda sana huyo mwanafunzi kweli a leader is born not created kila la heri mtoto
@jackilineshija2409
@jackilineshija2409 4 жыл бұрын
Dah! Mungu atupe nini tena jaman kama ni rahisi tumebalikiwa mungu akulinde rais wetu
@halimanasihu1200
@halimanasihu1200 4 жыл бұрын
Mashallah mtoto mdhuri allah amuongoze vyema
@zenaali1279
@zenaali1279 2 жыл бұрын
Rais magufuli was a parent and where he is now may her soul rest in peace amen
@saumabdi6267
@saumabdi6267 4 жыл бұрын
Mtoto mwenye bahati yake hongera rais wangu
@yohanamussa8336
@yohanamussa8336 4 жыл бұрын
Mungu ampiganie Rais wetu anaitengeneza Tz mpya
@leonardemmanuel9249
@leonardemmanuel9249 4 жыл бұрын
Wasoma komenti tujuane hapa
@nicholausmushi44
@nicholausmushi44 4 жыл бұрын
Huyu mtoto ndiyo akina halima mdee wa kesho nimependa kujiamini kwake
@selemanivanmkungu4637
@selemanivanmkungu4637 4 жыл бұрын
Usimfananishe huyu mtoto na vitu vya kipuuuzi broo, huyu level zake ni za juu akina ummy mwalimu
@didakassim8666
@didakassim8666 4 жыл бұрын
@@selemanivanmkungu4637 nikweliii😸😸
@catherineshadrack6656
@catherineshadrack6656 4 жыл бұрын
Huyo ni mama samia wa kesho wewe sio hao wapiga kelele
@abuuhudhaify5195
@abuuhudhaify5195 4 жыл бұрын
hhh
@eliathomas8446
@eliathomas8446 3 жыл бұрын
We unamfananishaje huyo mtoto na vitu vya kijinga hivyo?
@kenethjaphet8130
@kenethjaphet8130 4 жыл бұрын
Hatuna Mama hatuna Baba tuchape kaz bigapu sana president maguful
@vascostanleymbisse4477
@vascostanleymbisse4477 4 жыл бұрын
Shule nyingi za Msingi zimesahaulika... Maboresho yafanyike..
@joetemba4614
@joetemba4614 4 жыл бұрын
Wewe ni raisi wa wanyonge Mungu akutie nguvu zaidi na zaidi penda sn ww
@joetemba4614
@joetemba4614 4 жыл бұрын
Hata sasa Mungu anampigania jina lake lihimidhiwe Amen!!!
@sofiaahmed8880
@sofiaahmed8880 4 жыл бұрын
Hongera Raisi!!
@elkanatimotheo1897
@elkanatimotheo1897 4 жыл бұрын
Naomba mwenyezi akujalie mbaraka tele na ,ulizi wa roho mtakatifu nakpenda pia twakupenda rais wa mapinduzi.
@sharmilarashid5401
@sharmilarashid5401 4 жыл бұрын
Masha Allah, Allah azidi kukubariki kwa afya nauhai rais wt amiina
@aminaussi265
@aminaussi265 4 жыл бұрын
Kama umemuonapeleka maik honga likee nampendaaa yupo active
@kurwpaul1134
@kurwpaul1134 4 жыл бұрын
hongera sana mtoto
@DanielSinavangi
@DanielSinavangi Ай бұрын
Kua vyema ushakua nanembo ya Taifa🇹🇿
@hawasuedi4106
@hawasuedi4106 4 жыл бұрын
Jaman njooni na mtaani watu tunashida jaman milioni tano kweli njoooni jaman na mtaaani
@godfreymajoa4550
@godfreymajoa4550 3 жыл бұрын
Binadamu tuliubwa na makosa magufuli watanzania Sisi ni wanafaki baba tusaheme mungu Aileze Togo yako milele amina
@vonethaleonard172
@vonethaleonard172 3 жыл бұрын
Jmnnn Baba kipenzi Rais wetu John Pombe Joseph Magufuli! Tuombee nchi yetu! Tuchape kazi
@kenncheruiyot8253
@kenncheruiyot8253 3 жыл бұрын
Nashindwa kukubali kwamba umetuwacha rais
@shardalove1159
@shardalove1159 3 жыл бұрын
Eeh mungu akulaze pema magufuli,poleni watanzania
@King-Jack-ryan
@King-Jack-ryan 4 жыл бұрын
Wooow I love you Mr. President your the best president in Africa
@zamamuuhamisi6654
@zamamuuhamisi6654 4 жыл бұрын
Mungu akuongoze mdg wangu kutetea kwako shule yk hatimae mnajengewa madarasa manne!
@humudyhabiby5393
@humudyhabiby5393 4 жыл бұрын
Ime Aandikwaaa ktk Vitambuuu yoyote yuleee Aki Fanyaaa vizuriii upongezwee Nakupongezaa kwa Sifa zako ya 1 huchanguwiii hubanguwiii 2 una jiaminii ya 3 una jitahidiii kufanya hakiii ya 4 una jitahindii kusemaa ukweliii
@enockjuma401
@enockjuma401 Ай бұрын
E mungu wa mbinguni ukumbukea nafasi ya Dr magufuri
@fintanchavala2145
@fintanchavala2145 4 жыл бұрын
Nakuhakikishia haki ya Mungu Hahaaa
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 4 жыл бұрын
Hahahahaha
@muyaburgermasoud5105
@muyaburgermasoud5105 4 жыл бұрын
Kama umeskia vyuo vya chooni gonga like
@mubaiddy1164
@mubaiddy1164 4 жыл бұрын
Mmeipenda wenyewe
@nanzalajuritah6883
@nanzalajuritah6883 4 жыл бұрын
Kiongozi mtarajiwa huyo mtoto. Kama umeiona gonga like
@ikerfrank4375
@ikerfrank4375 4 жыл бұрын
Magufuli Mungu akupe maisha marefu babaangu
@centralboytz4240
@centralboytz4240 4 жыл бұрын
Dogo anajiamin sana kushinda hata wakurugenz😅😅😅
@noelimafwele602
@noelimafwele602 3 жыл бұрын
We miss you our father
@binthassancollection.6308
@binthassancollection.6308 4 жыл бұрын
Masha Allah
@jaisuriapidas9307
@jaisuriapidas9307 4 жыл бұрын
Jamani watanzania fungukeni akili zenu , oneni kwa macho yenu na msikie kwa masikio yenu, watanzania wenzangu tumuachie mzee wetu pombe aongoze mpaka mwisho wa uhai wake , ili aijenge nchi yetu tanzania, raisi mzuri niyule anaeleta maendeleo ndani ya nchi, hamuoni wenzetu uchina ???
@jumaigembemakula3698
@jumaigembemakula3698 4 жыл бұрын
50/50
@jdh5432
@jdh5432 4 жыл бұрын
Kweli kabisa
@fidoslameck4316
@fidoslameck4316 4 жыл бұрын
Wewe ni mpumbavu wa kiwango cha lami. Kama shida zinatatuliwa pale akanyagapo tu, je, Tanzania nzima inazo shule ngapi zenye changamoto hata zaidi ya hizo na no shule ngapi alizokwishatemblea?
@edsoniminani7061
@edsoniminani7061 4 жыл бұрын
Hayo maneno uliyoambiwa yazingatie mdogo wangu Wapo wengine tutayakumbuka na pia utatukumbusha alichokutabiria Raid wetu
@MrDoug002
@MrDoug002 4 жыл бұрын
You are a servant sent by God. African leaders to emulate your style of leadership
@udymakame5269
@udymakame5269 4 жыл бұрын
Dah makufuli ni kiongoz kweli Allah akulinde
@samanthaali873
@samanthaali873 4 жыл бұрын
Mutapata watapata wapi raisi kma huyu duh binti hongera
@aminasalum1954
@aminasalum1954 4 жыл бұрын
Hahahahahaaaaaa jamn kuna mtot kacheka mbavu hana
@alexmnyaga6583
@alexmnyaga6583 4 жыл бұрын
Amina Salum OK
@eliathomas8446
@eliathomas8446 3 жыл бұрын
Ninavyozimia moyo kwa Rais wangu kidogo nife
@alicemwankotwa8813
@alicemwankotwa8813 4 жыл бұрын
Mtoto nimekupenda sana
@victorjames3730
@victorjames3730 4 жыл бұрын
Uyo mwanafunzi nyota imemnyookea, njia ni nyepesi
@anisiamedard3775
@anisiamedard3775 4 жыл бұрын
Mtoto upo vizur
@DottRoBroc
@DottRoBroc 3 жыл бұрын
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I discovered and appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. Magufuli will forever remain a political example of integrity for all. I agree about Magulification of Africa!
@huseinmussa5020
@huseinmussa5020 2 жыл бұрын
+
@hadijahmwajombe9588
@hadijahmwajombe9588 4 жыл бұрын
mashaallah
@kilulukilulu902
@kilulukilulu902 3 жыл бұрын
Ok naipenda
@rd-worldtv1500
@rd-worldtv1500 4 ай бұрын
One vizuri sana mtoto
@YusuphAugostine
@YusuphAugostine 2 ай бұрын
Very nice confident student
@VK-il7yk
@VK-il7yk 3 жыл бұрын
RIP the great President. As an East African, I'm honored to have lived during your era.
@kaicy165
@kaicy165 3 жыл бұрын
I say to myself the same thing,I really thank the Almighty GOD for making me live during his era.
@hamisimhina1507
@hamisimhina1507 3 жыл бұрын
Nivizurisana huwezi kuishi bila choo
@jamesmichweya8428
@jamesmichweya8428 4 жыл бұрын
I am a Kenyan.Congratulations Mr President of Tanzania may the Almighty God always keep you blessings
@waithiragichuru768
@waithiragichuru768 3 жыл бұрын
This man loved his job
@MOODRICNguvumal
@MOODRICNguvumal 20 күн бұрын
Nimeipenda
@jacksonluzwiro9374
@jacksonluzwiro9374 4 жыл бұрын
nakuhakikishia kesho haki ya mungu😂😂😂😂😂
@teychriss3248
@teychriss3248 4 жыл бұрын
Vyoo vya chooni! Mweeh!
@EzekieliAnselme
@EzekieliAnselme 2 ай бұрын
Mu❤❤ mungu akwongoze katika ufalme wa mbingu kwakuwa ulekuwa mwema kwetu chuja magufuki
@famitoissanawanda6295
@famitoissanawanda6295 4 жыл бұрын
Viongozi Wanaziangalia kwa hasira pesa za shule
MTOTO Shujaa ALIYEMKUNA MAGUFULI, Akatoa MILIONI 8!
16:46
Global TV Online
Рет қаралды 563 М.
MAMBO YALIYOMCHEFUA MAGUFULI KUPITA KIASI LEO NI HAYA..
25:04
Global TV Online
Рет қаралды 1,2 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 6 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 80 МЛН
WAMEYATIMBA NDARO NA STEVE MWEUSI
14:56
Ndaro Tz
Рет қаралды 1,7 МЛН
TAZAMA OSCAR NYERERE ALIVYOMUACHA HOI RAIS SAMIA, AITWA KUTUNZWA
6:20
DUH! MAGUFULI ASHTUKIA MCHEZO MCHAFU - AMBANA MEYA - "PESA ZIKO WAPI?"....
11:32
KINGWENDU AJARIBU KUWA PATANISHA DAIMONDI NA KONDE BOY UTACHEKA SANA HII
7:44
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 6 МЛН