JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@aminashayo926310 ай бұрын
Baba katika jina la Yesu Kristo anayeishi na kutawala peke yetu watanzania hatuwezi chochote bila wewe, mambo ni mengi, matatizo ni mengi, kuoneana ni kwingi, kukoseshana amani yaani ni tafrani Bwana Yesu tusaidie na kutusimamie, hakuna mwingine ila wewe, ameeeen😴
@mossyfimbo357710 ай бұрын
Amen Amen and Amen
@rosetreffert417910 ай бұрын
Yaani nchi imeharibika Mungu awatangulie katika kazi zako MAKONDA ❤❤
@angelanaftael796510 ай бұрын
Mungu tuhurumie kuna dhambi kuna maudhi mengi Yesu tusaidie
@faharikhamisi309110 ай бұрын
Mama angu mpe nguvu makonda aweze kutoa maamuzi anafaa sana please
@shanimbaruku207110 ай бұрын
Makonda natamani dunia nzima tukuombee ubaki salama yaraby🤲❤🎉
@MiriamAbdallah10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂dunia nzima😂😂😂😂😂😂😂
@JuliusMhina10 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@fbr511310 ай бұрын
MUNGU KESHASIKIA MAOMBI YA DUNIA NZIMA NDIOMAANA KAMRUDISHA MADARAKANI, MAKONDA AISHI MIAKA 800 AKIWA TIMAMU NA MZIMA WA AFYA NA APEWE NA URAIS ILI AKIPIGANIA WANYOMGE NA KUIJENGA ZAIDI TANZANIA. AMEN.
@PamelaJonas-dh6lg10 ай бұрын
Kwel kabisa
@georgedamas709710 ай бұрын
Kwakweli Mama Samia ana mtihani mkubwa sana
@amisamaurid188210 ай бұрын
Kweli kabisa nipo Tunduma watu wengine ni Makada wa ccm wanavyeo vikubwa xana ndo wasafirishaji wakubwa wa wakimbizi wametajirika kupitia mambo kama hayo,kazi Yao ni kusafirisha wasomali😭😭😭😭😭
@jacksonjamesndyabawe47110 ай бұрын
Tanzania noma sana.. Hila makonda unakazi ngumu sana.. Kupambana na kutatua shida za watanzania
@KasimuMpina9 ай бұрын
Makonda mungu akubariki sana nakuombea uje kuwa rais awamu ya 7 maana ww ni mtetez wa wanyonge
@fednandnews224010 ай бұрын
Dah inaumiza sana roho za watu😢😢
@neemanziku540310 ай бұрын
Mama Samia Kuna madudu Tanzania hii 😥😥😥😥😥
@epifaniamilinga28486 ай бұрын
Anawasikiliza wanaomdaganya
@alsam488110 ай бұрын
Huo ni uonevu, dhulma na unyanyasaji mkubwa kwa raia, Mnyeezi Mungu awaalaani na awaangamize watu wote wanaofanya dhulma hiyo InshaAllah 🙏
@ValentinLuísMualabo10 ай бұрын
Namshukuru Mungu kwa kufichuka madudu aya
@mariakajigili428010 ай бұрын
Mungu tulindie Makonda jamn mpe afya njema mpe uzima
@chalespamagila478310 ай бұрын
Makonda fanya kazi yako mungu atakusaidia
@HanifaOman-oo4pl10 ай бұрын
Mungu akulinde Baba. Yangu.umesema.kweri......Omba.Mungu.wasikuzuru. tuhao wabaya
Mfukuzeni jamani huyoo mudi hafai atawajibika siku yahukum huyo
@shangwefisima399310 ай бұрын
Ee Magufuli kumbe uliacha roho nyuma zinafanya kazi Asante
@MiriamAbdallah10 ай бұрын
😂😂😂😂aliacha roho nyuma😂😂😂😂😂
@LeahKazeni5 ай бұрын
Mungu mlinde Makonda ni mtumishi wa Mungu nakupenda sana Makonda Mungu akutunze
@RaphaelMbughi-n1g10 ай бұрын
Hongela mzee semaaaa
@Magreth-f2j10 ай бұрын
Haya mambo mbona mazito jamani
@mugemainyas524110 ай бұрын
KUNA WATU WANATETEA KULIKO WABUNGE WETU. HAYA KWELI HAYAJULIKANI ? NCHI IMEKUWAJE . KWA NINI HUYU MZEE MWENYE TAALIDA NZURI HIZI ASIPEWE CHEO NA KUMPA KAZI KULIKO WATU WAPUMBAVU WALOSOMA .
@alphoncewilliam432510 ай бұрын
Hatari sana
@AhmadAhmad-vb2tz10 ай бұрын
Nchi imechafuka hii yani sijui tu
@HenryHabeli-iy5dv6 ай бұрын
Hongela mh mungu akupiganie juhudi zako zinaonekana
@AMANIISSA-b5c7 ай бұрын
Daaaa!!! Hii nchi Atamarehemu jhoni pombe magufuri Alisema mimi na jua megi miaka mitano5 Niyamaumivu makubwa leo hii binadamu Awana-uruma juu ya binadamu wenzeo hii ni zuruma isiyo kisiri kwanini Awa-watu wanakuaivo tena sasa kibaya viongozi Akika zuruma Nimbaya sana Eeeee mwenyenzi mungu tia faraja juu ya ilitaifa
@thomastemu333210 ай бұрын
Inauma Sana
@LeahKazeni5 ай бұрын
Makonda wewe ni Rais wa miaka ijayo uko vzr nilikua naichukia sana CCM lkn sasa naanza kuipinda kupitia kwako
@WilliamKaunda-nn2ld6 ай бұрын
Nikweli wengi wafanyahivyo
@awadhsalim268010 ай бұрын
WALIZANI HAWATAJULIKANA. SASA WANAUMBUKA. WANAMPIGA VITA RAIS WAKINA WAKIMZULIA MABAYA KUMBE MAJAMBAZI NI WENYEWE. TULIO NA AKILI TULISHA LIJUA ZAMAN HIO NDIO MAANA MAMA HAWAJIBU.
@rosetreffert417910 ай бұрын
Ina Maana mama ni muhusika
@MiriamAbdallah10 ай бұрын
@@rosetreffert4179ndo maana majibu tupewa
@awadhsalim268010 ай бұрын
@@rosetreffert4179 mama Rais kipenzi ni muislam na ni mzanzibar,,,,sasa chuki binafsi watu zinawasumbua lkn mama n mtu mzuri sana. Wananjama aonekane mbaya. Mungu akisha kupandisha hakuna wa kujushusha. Mama mpk 2045. Mama la kizanzibar wacha wenye wivu wajinyone. Wanapo tawala vingozi waislam mara zote mambo huwa mazuri. Wasioutaka ukweli wajinyongeeee. Alipo tawala mwinyi kwa kushindwa mzee nyerere mambo yakawa supa. Kikwete mambo yalikuwa supa.
@alizanzibar158610 ай бұрын
Bro vp hili la huyu Mzee mbona unakigugumizi,
@MiriamAziz-z5t10 ай бұрын
OOOH MAMA TANZANIA....SERIKALI IMEJAA MAFISADI WA KUTISHA....VIKO WAPI VYOMBO VYETU VYA USALAMA WA TAIFA...NI WAZI KABISA NCHI IMEOZA!
@MiriamAbdallah10 ай бұрын
Madudu matupu
@CKMO10 ай бұрын
Yanasitisha sana kusikia mambo mengi sana yanayo fanyika Tanzania lakini tunarudi papale wakulaumiwa nani uwongozi mbaya huwezi kuongoza nchi chama kimoja muda wa miaka 70 lazima utafuja wapisheni wezenu mushachoka musinganganie looooh 😢
@user1337510 ай бұрын
Viongoz wako pale,mambo mengine ni nyeti sana kwa usalama wa inchi ,lakini hadi afike Makonda
@pirminmatumizi546410 ай бұрын
System failure
@yahkiwera361110 ай бұрын
Duhhh hatari
@hawakiza606710 ай бұрын
Kwakweli ni mtihan mkubwa
@ManoOsvaldo5 ай бұрын
Tanzânia hayipende watu wageni watanzania wana logo mbaya sana Police hasa
@BoazimakolobelaMakolobela12 күн бұрын
Mungu akutunzee makonda
@salumsimai64210 ай бұрын
Ni shida tumekua na midomo kumlaumu rais kumbe shida ipo kwa baadhi ya wasaidizi hakuna uadilifu
@jackiefredrick58610 ай бұрын
Kila mtu akae nchini kwake. Akija tz aingie kisheria
@natual757210 ай бұрын
Yaseme hayo kwasabab upo kwako kwa aman sawa ww kenua maneno unayotaka siku ikiwa kwako au kwa ndugu yako utayajua haya
@valenakomba768610 ай бұрын
WAKIMBIZI SIYO WAHARIFI KABISA HAWAPASHWI KUFUNGUNGWA KABISA. AU WARUDISHENI MAKWAO , AU WAPELEKENI KWENYE AZILI.
@JilbertDanifordMathayo-sn2gy10 ай бұрын
MUNGU AKUINUE KUTUTUMIKIA WATANZANIA. AMEN
@fratelltutiilaudatosi415310 ай бұрын
Sasa eabunge wanakazi mbona madudu kila kona ya nchi
@lubungaetienealmasi10599 ай бұрын
Nikweli mm ni mkongo Nipo Canada niliwai kuhogea na police kigoma na nikatuma milioni 5 ili ndungu yangu atoke
@saudangalleni38810 ай бұрын
Mungu akupe nguvu muheshimiwa utatue matatizo ya watu nakupendaga sana vuchapa kaz wako
@stanimpangala363310 ай бұрын
Unakuta Katibu mkuu wa Chama hajawah hata kuita press ya maana kutatua changamoto. Mawatu mazito kama mawe wanayapa mamlaka
@bernadettelumona60246 ай бұрын
Ni kweli ata kakonko Mkowa wa Kigoma
@SmilingCityMap-xb9md23 күн бұрын
Oo maskini nchi yangu mtenda mema anauliwa waovu wanakula bata mwenye haki anawindwa apotezwe wadhalimu wanachanua pasina hofu
@epifaniamilinga28486 ай бұрын
Chama,kimempunguzia makali Makonda.Aongee.nn?.wanaohusika wameisha.msemelea kwa Rais
@ZaitunKilalamasaga4 күн бұрын
Makonda tunakuomba uje mwannza uqombee ubunge tunakuhitaji sanaaa kipenzi cha watu munqu akulinde
@Monica-vq2iy10 ай бұрын
Kweli mmasema ukweli vip usalama wenu jamani makonda kuwa makini umejitoa muanga baba yuko wap wakubwa watakumaliza watanzania tufunge wote tumwombee makonda ata awe rais tutatobo
@AsiveMekile10 ай бұрын
Baba umeongea ukwelii ila hiyo biashara hata serikali inajua umeona makonda amemwita huyo afisa amuulize ukatili huo unafanyika katika tanzania duuuh mungu mwenyewe
@bugybuster57889 ай бұрын
Kiukweli hii serikali viongozi wa nchi hii si waadilifu wanajali masrah yao kuliko ya wana nch
@GoodDerick8 ай бұрын
Mama muache makonda afanye kaz yake tunaomb
@Entertainmen_tv202410 ай бұрын
Bira ww uwe rahis akitoka mama
@MiriamAbdallah10 ай бұрын
😂😂😂😂😂raisi 😂😂😂😂😂😂
@mossyfimbo357710 ай бұрын
Tatizo hata Makonda anatupa nguvu zake maana mikoani kuanzia chini mpaka juu baadhi ya maofisi watendaji ndio wanafanya hayo kwa hiyo Makonda atasema lakini akiondoka hawafanyi lolote wote maharamia ni sawa na kumpigia mbuzi gita
@godwineliya468610 ай бұрын
Immigration Jitafakarini Kwa nn Mnanyanyasa watu Kiasi Hicho ?
@BupeMwakasege5 ай бұрын
Mungu tusaidia mwatamia mkonda kama kuku atamiyavo vifaraga vweke
@esuphatalfred18389 ай бұрын
Bwana Yesu asimame peke yake
@innocentmtondo965610 ай бұрын
Io changamoto ya uhamiaji ipo pote tz
@bushirially207710 ай бұрын
Aisee
@dativajoachimwai119410 ай бұрын
Tz jamani... Wakimbizi maanake nini kwani. mkimbozi ni mtu aliye kimbia kwao kwa sababu za kukosa amani nakwenda mahali pa salama zaidi. sasa wa Tz wanafikiri wakimbizi ni wahalifu. mtu anakimbizwa na muuaji anaingia kwenye nyumba yako nawe unageuka kua adui yake tena. wakimbizi wakikamatwa wanapelekwa ofisi inahusiana na wakimbizi huko wanawasaidia sio kuwafunga. mkimbizi maranyingi hawawagi na vibali. wapokeeni wakimbizi muwasaidie lama hamtaki kuwasaidia muwarudishe kwao.
@makongoronyerere156410 ай бұрын
Makonda peke yake hawez, angekuw jpm yupo, ingekuw saf
@Aisha-h1t4e10 ай бұрын
😭😭😭
@barakakazumba797110 ай бұрын
Hiii nchiii jaman duuuu😅😅😅
@YuniceChuma10 ай бұрын
Iih nch inatangazwa nch ya aman ilamambo yanayo endelea mungu anajuwa kwakwel naiz minaona nikampen tu
@ChristopherKashindi6 ай бұрын
Hiyo nikweli
@saimonjohnsumley919810 ай бұрын
Shida ni CCM,hao uhamiaji ni mali ya CCM, acheni drama
@MasudMshema10 ай бұрын
Mungu wetu tusaidie, inatishaaa Kaka angu utafanya mangap??
@danielkanso10 ай бұрын
Kumbe mambo yako hivi viongozi wanafanya haya hii ni laana
@laylayl516610 ай бұрын
Mtihani Sana wajuwe Kuna mungu hasahau
@FranceMtepa10 ай бұрын
Yani weunaoja mbovuuonio Nokosema utakuwa ulinyimwa ela
@ChrispinLeonard9 ай бұрын
😊
@josephjulio611210 ай бұрын
Wanainchi ni majasiri lla CCM wanazarau
@MiriamAbdallah10 ай бұрын
CCM ni majini yaani ni lusifa
@abubakarimussa913110 ай бұрын
Hiyo hiyo ccm ndio chanzo kikubwa chahayo yote
@PennyAloyce5 ай бұрын
Haki nasema Tusipomuombea mweshimiwa Makonda watamuua vilevile
@franklukazula10 ай бұрын
Huyu mzeek siyule ana Restaurant mpakani?!? Au nime mufananisha?
@giftmusa654310 ай бұрын
Yes
@franklukazula10 ай бұрын
@@giftmusa6543 jamani 😭 nimepita pale mpakani 2012 naelekeya Malawi 🇲🇼 mimi na familia yangu, toka congo 🇨🇩, tumekula kwenye mgahawa wake baadaye akatuongeza chakula chabule😭, Yallahbin Mupe umri mlefu mzee wangu, na uzidi mubariki, , ameteteya nduguzetu wananyanyaswa sana mpakani😭, siwez msahau sura yake in my mind,
@elvisoscar991210 ай бұрын
CCM inachelewa Maendeleo ya wananchi watanzania fungukeni
@chalespamagila478310 ай бұрын
Makonda wanyoooshe kuna baadhi ya watu wanaharibu chama
@kakazkanda10 ай бұрын
👁️👁️
@nishaabdula501510 ай бұрын
Inchi inamadudu sn wt wnaumia nanchi yao ukiona mtu anaongea adi analia juwa kuna maubwa mno
@jesus_agency_pro.10 ай бұрын
Ccm imeshindwa kiongoza nchi hiiii
@yonasaimoni130210 ай бұрын
Katiba ni muhimu chandema wamesema makakala na genero wa uhamiaji siyo mtanzania inchi ya manyani
Uwepo wa Mungu ni nguvu ya imani.. huwezi kumiliki imani ya mtu, wewe nani kuwajua wenye Mungu na wasio naye..
@salomekense52510 ай бұрын
Pole makonda upo kujaribiwa.mambo mazito .unahitaji sala Sana
@rosetreffert417910 ай бұрын
Kabisaa
@JuliusMhina10 ай бұрын
Tutaona mengi
@JPMbabonyemk5 ай бұрын
Ki Islam nduguzangu wa tanzania mutakuwa wazalendo waki afrika ??? Ao wazalendo wa kiarabu
@tonyi680710 ай бұрын
🇹🇿🙏🏻🎶
@valenakomba768610 ай бұрын
KWANI HAO WAFANYAKAZI WA UHAMIAJI WALISOMEA WAPI HAO. KWANI HAWAJUI INTERNATIONAL LAW?. MBOBA WENZETU NNCHI ZA NNJE WANEJIPANGA VIZURI. NYINYI HIZO ELIMU ZENU NA SHERIA ZENU ZA WAPI?. MIMI NASHINDWA KUZIJUWA.
@TanziruJambia10 ай бұрын
Duh ukstaajabu ya musa utayaona ya firaun
@ProsperGabriel-k3k28 күн бұрын
Dodoma ndo usiseme
@kamikazineema195710 ай бұрын
Mkoa wa shinyanga Hiyo ipo
@AlouiseNgenDanDumwe10 ай бұрын
Hata makonda anaitajika kwenda gerezani guys
@najmasalim-rg6ow10 ай бұрын
Alie pewa kapew na mtu hujiufunza kutokana na makosa ya Leo sijana Kaa Kwa kutilia jirani