Uwezi Amini DIAMOND Alinionesha Irizi Nakuniambia Nipe Mkono Tushindane

  Рет қаралды 189,278

Mpalla Updates

Mpalla Updates

Күн бұрын

Пікірлер: 233
@innocentjoram4154
@innocentjoram4154 2 жыл бұрын
Aisee konde una moyo kwa mapito ulio pitia Ila usihofu Mungu asimame nawe 🙏🙏🙏
@hadija846
@hadija846 2 жыл бұрын
Pamoja sana Konde wangu kwa kweli unanitowa machozi Yaani unapata mitihani migumu pole sana lakini M/Mungu yupo nawe wakati wote. Aamiin🙏🏼😍
@mohammedathman5816
@mohammedathman5816 2 жыл бұрын
Oe Hamo...big up brother yaani mzee baba wee ni mjeshi kweli n wala sio longo longo i pray for you pambanaaaa don't worry Mungu yupo nasi🔥🔥🔥🔥🔥🔥👊
@cheupestefano5424
@cheupestefano5424 2 жыл бұрын
Hiyo hirizi imeisha oza ndiyo maana jeshi kapata courage ya kutapika ukweli wote
@MCKYEKALOU254
@MCKYEKALOU254 2 жыл бұрын
I feel your pain brother 😥😥nishaawai fanya contract na studio moja apa kenya, now is 6 years since that contract was signed bt hio project bado haijawai kuarelease... Mateso tu na kunyimwa haki, bt now am doing my own thing ...... Ata kama ni kuende kwa choo na kichukua video nieke KZbin I will do Bora sita kazi na studio anymore
@tonystonekimutai7899
@tonystonekimutai7899 2 жыл бұрын
Love you harmonize from the start
@alfabraxton
@alfabraxton 2 жыл бұрын
*Waaah!! Kumbe Diamond Ako na roho mbaya hivo*
@wangash6144
@wangash6144 2 жыл бұрын
nilijua time waligeuka mzee abdul, na kutoka hiyo time havumi sana
@eshyndibalema1529
@eshyndibalema1529 2 жыл бұрын
Sana mjinga sana Diamond ana roho mbaya ndio maana alimdhalilisha mzee Abdul na alimllea
@janekavere
@janekavere 2 жыл бұрын
Mzee Abdul alimlani kitambo huyo
@annastaziamichael6344
@annastaziamichael6344 2 жыл бұрын
@@janekavere 😂😂😂
@joshuakusaga9407
@joshuakusaga9407 2 жыл бұрын
Noma Sana naitwa japhetizo toka njombe kusin nafanya mziki ingia youtube searchi japhetizo utapata ngoma Kali zote Asante
@naftalynaff7811
@naftalynaff7811 2 жыл бұрын
If whatever Harmonize has said is true then Diamond is not a human
@betsyakoko6810
@betsyakoko6810 2 жыл бұрын
His dybolic
@lucykiddo225
@lucykiddo225 2 жыл бұрын
Kabisa. I’m disappointed with Diamond sio mtu mzuri
@NaomyNyanyuki
@NaomyNyanyuki 2 жыл бұрын
The same thing Diamond did to Rich Mavoko
@kadzopurity7944
@kadzopurity7944 2 жыл бұрын
So painful 😥😥, Don't give up #Harmonize May God protect you and may your wishes and dreams come true 🤲🤲🙏🙏Just believe in God Everything will ouky Because God's time is always the best
@NduwimanaSammy
@NduwimanaSammy 2 жыл бұрын
Kumbe ndio maana unaitwa jeshiiiiiiiiii acha na Mimi nipambane umenifanya nilie
@NaomyNyanyuki
@NaomyNyanyuki 2 жыл бұрын
This the same thing Diamond did to Rich Mavoko.....
@brendamercy4508
@brendamercy4508 2 жыл бұрын
We gat you bro Kenya 🥰
@mwajitajunior7633
@mwajitajunior7633 2 жыл бұрын
Whatever harmonize is telling people it's very true and you can just tell from his face
@georgenjeri8547
@georgenjeri8547 11 ай бұрын
True Bro 4 Sure This Is Coming From His Heart
@hawagkalume9016
@hawagkalume9016 Жыл бұрын
Pole sana konde gang pambana sana brother
@fizzyblinkboy
@fizzyblinkboy Жыл бұрын
I appreciate you harmonize
@mariamzara5498
@mariamzara5498 2 жыл бұрын
Harmonize kuja mombasaaaa kenya 🇰🇪🇰🇪 usha tengeneza jeshi huku kuja kamanda respect
@andrewodionyi4563
@andrewodionyi4563 2 жыл бұрын
Very painful😭😭but continue working smart hermonise
@uyangasaidi785
@uyangasaidi785 2 жыл бұрын
Polesana nduguyangu usifatene namanenoyawatu muombe mungu utashindatui iyilonijaribu itapitatuuuu
@sir.opondojunior9989
@sir.opondojunior9989 2 жыл бұрын
Much love and respect Bro i think it's always good and right to put things on light at least now we know. Much much love Brother respect
@bernardngaiza5444
@bernardngaiza5444 2 жыл бұрын
Pppppppp
@bernardngaiza5444
@bernardngaiza5444 2 жыл бұрын
P
@betsyakoko6810
@betsyakoko6810 2 жыл бұрын
Very true
@lyontheblessed8200
@lyontheblessed8200 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hmrSqn-Hq5J7e9U
@lyontheblessed8200
@lyontheblessed8200 2 жыл бұрын
@@betsyakoko6810 kzbin.info/www/bejne/hmrSqn-Hq5J7e9U
@kabuenakorodmusic5457
@kabuenakorodmusic5457 2 жыл бұрын
Your no # 1fun Harmonize keep it up.I feel your pain
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 2 жыл бұрын
Duuuu pole sana kijana daaaa. M m m. Kweri TULICHUKIA KUMBEEEE NDIO HIVIIII DAAAA POLEEE KIJANA
@malakimoses6115
@malakimoses6115 2 жыл бұрын
Diamond ni mswahili japo kuwa ametoboa
@saraha618
@saraha618 2 жыл бұрын
Hapo umesema
@skydaddy6832
@skydaddy6832 2 жыл бұрын
TULIHAMA wasafi kwa UJINGAH Wao, Wapuuzi sanah
@lyontheblessed8200
@lyontheblessed8200 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hmrSqn-Hq5J7e9U
@richardmweri7918
@richardmweri7918 2 жыл бұрын
🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
@waitheranderitu4297
@waitheranderitu4297 2 жыл бұрын
I love Tanzania bongo music I mean their music is on another lever but my favorite is harmonize
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 2 ай бұрын
Daah usilolijua ni kama usiku wa giza jmn pole🎉🎉🎉🎉
@christineonyango5903
@christineonyango5903 2 жыл бұрын
Harmonize wachana na wenye uwivu. This message is from Kenya 🇰🇪
@elizaberthpius4511
@elizaberthpius4511 2 жыл бұрын
Harmonize is de Best 🔥🔥🔥
@stsg2769
@stsg2769 2 жыл бұрын
Mungu akupe kila la heri Tembo muti uliyo pandwa na mungu hakuna mwana damu wa kuwongowaa
@natashaamanda6234
@natashaamanda6234 2 жыл бұрын
Harmonize uko sawa broo
@aminamsimbe4034
@aminamsimbe4034 2 жыл бұрын
Kaza buti mwanangu mungu amekupa kipaji kitumie utaulizwa na mungu siku ya mwisho juu ya talanta ulizopewa achana na waswahili huyo ni Kama mo wa Simba
@saidimwandoro7455
@saidimwandoro7455 2 жыл бұрын
Diamond anawivu Sana mkundu wake pamoja na hiyo wasafi yake Kuma yeye
@malkoabdi
@malkoabdi 2 жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏 DIAMOND IS DEAD MAN WORKING BAD MAN
@dorcasshish5359
@dorcasshish5359 2 жыл бұрын
Diamond issa witch for real .Who does this??
@nellyatsango1399
@nellyatsango1399 2 жыл бұрын
Mob love 😍😍😍 to Konde boy from 🇰🇪
@thomasphilimonmolel8855
@thomasphilimonmolel8855 2 жыл бұрын
Harmonize jembe 💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💯☑️
@VanderbickDiderick
@VanderbickDiderick 11 ай бұрын
Shetani alipokuwa anataka kuwa mungu mungu alimfukuza mbinguni kinachomuuma harmonize nihaelewi nafac ake na alipo
@Mamatonny2065
@Mamatonny2065 2 жыл бұрын
Siri ya mtungi aijuae ukata. Leo mtungi umevunjika Siri nje.🤭😁😁😁
@winniemwesh5557
@winniemwesh5557 2 жыл бұрын
Mwaga yote baba hawatutishiiii kondegang for everybody jeshiiiiiii mwaga yote
@samiridicksoni9067
@samiridicksoni9067 2 жыл бұрын
Harmonize pambana ii Dunia ni yamungu wote tunapita
@mercywagaki4154
@mercywagaki4154 2 жыл бұрын
Wagapi tutamsupport na kumfollow harmo ...
@frdmedia6235
@frdmedia6235 2 жыл бұрын
Wewe mambo yamechacha ndio unamwaga mabaya iyo kawaida katikamaisha utakuw unahadisia kilasiku ndio dunia iyo
@qatarmobaile2153
@qatarmobaile2153 2 жыл бұрын
Pole sana konde
@mafedhakhalfani3275
@mafedhakhalfani3275 2 жыл бұрын
Wow wale watu wanyama🙄🙄 diamond clean your heart uende mbinguni huo sio uislam
@maximemaxime-rf1jb
@maximemaxime-rf1jb 3 ай бұрын
All in all unapambana xana bro
@harrietmurugi4345
@harrietmurugi4345 2 жыл бұрын
Waah I knew from the start that diamond was not a good person at all... Sitwahi Tena kuskiza muziki wako nguruwe ww
@sifamushi1747
@sifamushi1747 2 жыл бұрын
Uyu dogo tulimheshim sana. Lakin kwa UONGEAJI HUU kama bint wa uswahilini, imemshusha sana sana sana... Yani angekua tu cool afanye yake watu waone vitendo.. kwa mdomo huo daah Amejirudisha nyuma sana kwa watu wente class zao kumheshimu..
@happynessbenard1319
@happynessbenard1319 2 жыл бұрын
Hawezi kurudi nyuma cos kwenye label yalotoka wanamsema Sana vibaya wanamuundia mpka machawa ili wamshushe kimziki lkn mungu yupo na yeye ameshajishusha Sana kila siku wanamsema akitoa nyimbo machawa wanaanza nyimbo mbovu ndo nn hicho
@richardmweri7918
@richardmweri7918 2 жыл бұрын
Wewe ndo unafeli
@andrewmethors5837
@andrewmethors5837 2 жыл бұрын
Pumbafu we ...hujui kupambana mtoto wa mama
@GkMbichwa
@GkMbichwa 4 ай бұрын
Jeshi inakufaa sana bro
@caretakerwajela4194
@caretakerwajela4194 2 жыл бұрын
We banae, makubwa, siri ulikuwa nayo kweli, wakuache bwana, umewazidi wote bro
@issamasoud4756
@issamasoud4756 2 жыл бұрын
Kumbe anaroho mbaya sana hivo huyo jamaa diamond
@shabaniguma8696
@shabaniguma8696 2 жыл бұрын
Kila siku watu wakisema simba mchawi na kamkataa baba yake sio mtu mzuri ni mchawi sasa wata amini🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️
@aluwiakatana1020
@aluwiakatana1020 2 жыл бұрын
Mm naswali bro natoka Kenya .kunaonyesha Kuna kitu mlishea sasa anaona akikubali anajua ww utazidi kuvuka. Sasa ww Eka mungu mbele. Alafu dawa za mwisho
@bebisheni4380
@bebisheni4380 2 жыл бұрын
Mmm sipendi kumsema nassib hafu wewe napenda unavyo imba lakini makelele unayo fanya sipendi
@johncharles9439
@johncharles9439 2 жыл бұрын
Achana na mjinga km mashabiki tupo kwa Sana tambua yakua yeye sio mungu hawezi kukuzibia liziki liziki hutoka mungu na si binadam Ila pole na misuko suko ipo siku mungu atakulipia ,
@lyontheblessed8200
@lyontheblessed8200 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hmrSqn-Hq5J7e9U
@omarbachu1074
@omarbachu1074 2 жыл бұрын
Diamond Nimchawi wa kawaida
@sharrifidris3422
@sharrifidris3422 2 жыл бұрын
Sasa umetuambia yote hayo,, unataka tufanyeje? Ama umemumiss bossi wako wa awali tukuombee msamaha..Wewe ni mzuri haukosei MashaAllah.. Lakini ungetutajia mapungufu yako japo kidogo..
@madaiincubationcenter4947
@madaiincubationcenter4947 2 жыл бұрын
Inasikitisha sana sasa Watanzania wengi wamejua ukweli Diamond atakosa thamani yake itashuka sana
@jamesmwandepu9613
@jamesmwandepu9613 2 жыл бұрын
Irizi ni nini?? Hata kiswahili hamjui??
@donprinceabselhalims7421
@donprinceabselhalims7421 2 жыл бұрын
Maneno ni Mengi Ila kuna haja ya hawa wasanii wetu kujiridhisha na Aina ya mikataba wanayoingia na lebo/makampuni vile wakifanikiwa ndio wanagundua kuwa walifanya Makosa kwenye mikataba Yao halafu wanategemea huruma ya wananchi kupitia media
@aminatanditse4987
@aminatanditse4987 2 жыл бұрын
Ni kweli tena pole jeshi huyo asikutishe
@gugahmediaafrica9405
@gugahmediaafrica9405 2 жыл бұрын
Roho za kiafrika ziko ivo bro mtu atakusaidia ili watu wamsifie ila sio wewe unufaike kumliko
@AfroMedic
@AfroMedic 2 жыл бұрын
Harmonize ana ushoga sana , sasa unarekodi watu iweje. Mambo ya kinadada hayo. Apo Ndio umekosea.
@saraphinajoely7047
@saraphinajoely7047 2 жыл бұрын
Pole piga kazi konde tupopamoja
@sifamushi1747
@sifamushi1747 2 жыл бұрын
Airport security wangemtoa apo akafanyie media zake uswahilin uko
@mcrago8805
@mcrago8805 2 жыл бұрын
Najua ni namna ya kubust album yako
@krifodysharifu291
@krifodysharifu291 2 жыл бұрын
Uko juu sana mshit chib
@fintaniferx9535
@fintaniferx9535 2 жыл бұрын
Umenifulaisha kwa kujali ndugu zako nyuma wote ubalikiwe
@clementgabriel1708
@clementgabriel1708 2 жыл бұрын
Ukinizingua tunazinguana je ulifanya kosa gani mpaka akakwambia hvo without any problem akwambie tu hvo sema na mazuri aliyokufanyia sasa
@mariamrio8236
@mariamrio8236 2 жыл бұрын
Mambo ya umasini ama utajili kawaida sema uki tubu zambi uta kuwa ume fa nikiwa
@mtsifabregascongo5654
@mtsifabregascongo5654 2 жыл бұрын
Pole sana bro diamond ni ndoki
@habimanaseraphin8124
@habimanaseraphin8124 2 жыл бұрын
Mnafiki asira yakuto sapotiwa marekani
@jcrackcrack1669
@jcrackcrack1669 2 жыл бұрын
Msema pekee siku zote hubakia kua mkweli,bt subiri wajibu pigo lako mjomba
@samiridicksoni9067
@samiridicksoni9067 2 жыл бұрын
Mwanaume.ckuzote ni yule anae sema ukweli
@missmwayway4704
@missmwayway4704 2 жыл бұрын
@@samiridicksoni9067 Umeonaeee 💪
@saidomary3645
@saidomary3645 2 жыл бұрын
wajibu pigo gani sasa kwa mfano ukweli wote umeongelewa eti maana ukweli ushaongelewa na tunahama wcb kuanzia kuda huu
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 2 жыл бұрын
Wengine nawashangaa ushabiki maandazi pakulala kwako Shida kula matatizo eti wajibu pigo nani asiowajua kwenda Aaaa hata wakijibu hatuwaogopi wala wlhawatutishi wachawi wakubwa
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 2 жыл бұрын
@@missmwayway4704 umeona nini acheni uchwa washamba nyinyi
@frankkihomboh9756
@frankkihomboh9756 2 жыл бұрын
😥😥😥😥😥mond is bad man hafai kwenye music support anataka aonekane anajua kuliko wenzie,,,,Big up konde boy
@ocholarose4654
@ocholarose4654 2 жыл бұрын
Diamond is not God keep on the world is waiting for you .. Kenyans are happy about you..
@shirfadigubike7920
@shirfadigubike7920 2 жыл бұрын
Maneno yapo hata kwenye familia .itakuwa hapo sio familia moja.
@asiakheir8684
@asiakheir8684 2 жыл бұрын
Wakumtegemea Allah pekee
@lyontheblessed8200
@lyontheblessed8200 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hmrSqn-Hq5J7e9U
@zephanialukumay3036
@zephanialukumay3036 2 жыл бұрын
Hakika diamond ni moja kati ya viumbe hatari sana,haifai hata kuishi,yaani amsaidie MTU halafu amfanyie mabaya yote hayo?! Kweli domo ni mbaya sana!!
@udakutv6973
@udakutv6973 2 жыл бұрын
WAMAKONDE WAMJIA JUU HARMONIZE WAMTAKA AOMBE MSAMAHA KWA DIAMOND kzbin.info/www/bejne/iqDPlZirlLuMqsk kzbin.info/www/bejne/iqDPlZirlLuMqsk kzbin.info/www/bejne/iqDPlZirlLuMqsk
@safirisalama6912
@safirisalama6912 2 жыл бұрын
big up
@haditvswahili4045
@haditvswahili4045 2 жыл бұрын
TIBA YA KIISLAMU SEHEMU YA (23) MADA : UCHAFU NI NINI? KWA MTAZAMU WA KIISLAMU MZUNGUMZAJI : SHEIKH HAIDAR MSHELE @
@robertmutasi7546
@robertmutasi7546 2 жыл бұрын
Utungu bana
@methodjulius7489
@methodjulius7489 2 жыл бұрын
jeshi, teembo, konde booooy wacha kulialia fanya kaz bhana majina yako na vilio tofaut hata uyo Diamond hakuamka asbuh akawa pale ilipigwa anapigwa na atapigwa vita bt halii anaforce mpaka anafika so pambana.
@dianasospeter1708
@dianasospeter1708 2 жыл бұрын
Tuko pamoja usijal haya maisha tu!
@lucykiddo225
@lucykiddo225 2 жыл бұрын
Harmoniza anaujasiri sana
@itsjkamolabeatz
@itsjkamolabeatz 2 жыл бұрын
😂😂😂Diamond platnumz ka cheka sana baada yaku ona hii vidéo ebu jionee nawe u cheke😎😂😂 👇👇👇👇👇👇👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/pKurhKeZgJmabck
@daudimwamwaja5128
@daudimwamwaja5128 2 жыл бұрын
Mwizi huyo diamond
@duncangichure6090
@duncangichure6090 2 жыл бұрын
Kondeee boy
@lyontheblessed8200
@lyontheblessed8200 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hmrSqn-Hq5J7e9U
@crescentvscross1132
@crescentvscross1132 2 жыл бұрын
Kimtoshacho binadamu ni mchanga (udogo) tu
@lucykiddo225
@lucykiddo225 2 жыл бұрын
Harmonizeee atafika tuuuu
@hawagkalume9016
@hawagkalume9016 Жыл бұрын
Nami pia nitasajiliwa
@kelvinjuma9646
@kelvinjuma9646 2 жыл бұрын
Jeshiiiii
@patrickmfundiri8669
@patrickmfundiri8669 2 жыл бұрын
Dah? Noma
@suleimanmbarak1260
@suleimanmbarak1260 2 жыл бұрын
Kwendeni zenu. Nyote ni washirikina. Hamuimbi bila ushirikina. Freemason nyie. Wenzenu wangapi wana struggle kuimba na ni wazuri sana lakini bila ya majuju na mahirizi na kutoingia Freemason basi hufiki popote.
@alainebengasaligo7447
@alainebengasaligo7447 2 жыл бұрын
mimi ni mkongo Nipo uvira
@hgcbj635
@hgcbj635 2 жыл бұрын
Kujiita jeshii kunasababu kweli kweli
@sifamushi1747
@sifamushi1747 2 жыл бұрын
Mzee mpaka unakauka koo.. kunywa maji ukapumzuke . Tafuta mda waite media mahali pengine uongee yako..
@skydaddy6832
@skydaddy6832 2 жыл бұрын
WASAFI WAJINGA SANAH, MIKUNDU YAO
@smukelomkhize9775
@smukelomkhize9775 2 жыл бұрын
Machoko Sana Na Kikukuu Mguuni wao
@janeshigami8769
@janeshigami8769 2 жыл бұрын
Jamani acheni kumwaga mtama mbele ya kuku...🙅
@chibamaroofrank9942
@chibamaroofrank9942 2 жыл бұрын
Kwa maneno hayo hamtopatana..
@irenemsamba4763
@irenemsamba4763 2 жыл бұрын
Keke
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2,1 МЛН
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 4,1 МЛН
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 28 МЛН
Family Love #funny #sigma
00:16
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 4,9 МЛН
Rayvanny Ft Diamond Platnumz - Tetema (Behind The Scene Part 2)
16:14
Diamond Platnumz alivyowaacha hoi wanachuo Nairobi kwenye THE TREND
28:08
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2,1 МЛН