Allah akujaalie afya njema na maisha marefu jenerali ulimwengu. Hakika busara na usimamizi wako wa haki imekuwa dira kubwa sana kwetu sisi vijana. Asante jenerali
@menasalekwa3137 Жыл бұрын
Uishi sana mwamba.. mimi ni life long follower wa huyu mzee!!
@emmanuelkaswaka7422 Жыл бұрын
Hongera Sana,namkumbuka na Mbwambo ,Raia mwema yenu ilikuwa ni zaidi ya Chuo,Mungu akubariki sana
@Joe-tr2vk Жыл бұрын
Jenerali hongera kwa kufika 75 ukiwa na kichwa timamu sana. Mungu aendelee kukuweka kwa kadiri ya mapenzi yake,tuendelee kufaidi busara zako.
@DamasiusPetro6 ай бұрын
Dah! Napenda sana Tafakuri yako Mzee,the Senior citizen! Dah!
@jonaleemanson Жыл бұрын
Hakika Jenerali kwangu ni hazina kubwa sana katika Taifa letu. Bahati mbaya sana hawezi kutumika katika kuwafanya vijana wawe Thinktanker ya Taifa. Always unasimamia HAKI NA USAWA.
@osodowilberforce2321 Жыл бұрын
Generali Ulimwengu,always an amazing person who stands for nothing but the truth.Never says lies.
@clausemsemwa297 Жыл бұрын
Ahsante unaehoji unaehoji vizuri unaonekana una upeo
@moruoking Жыл бұрын
Jenerali Jabali 🙏🏿
@omarykitenge8283 Жыл бұрын
Ulimwengu hajawah badili misimamo yake, bila shaka uandishi wake umetukuka kuliko waandishi wa sasa ambao wanaandika na kupika habari kwa ajili ya matumbo yao. Pia, Kijana huyo mpemba ni mtulivu sana na very very smart katika mahojiano, anauliza maswali ya msingi mno. Kwa hakika hiyo ni asset ambayo bado watu hawajaiyona thamani yake. "Kama kuna anayeweza mpa ujumbe huu naomba amwambie kua *Value always pay*" So, aendelee ktk kujijenga atafika mbali.
@Jefa_Adili Жыл бұрын
natamani kuanzia hapa @45:43 CCM, Rais Samia na wote wenyekuchukulia mambo kikawaida na kimazoea wasikilize hapa!
@charlesnicholaus4805 Жыл бұрын
Kabla ya Mapalala James wa Kwanza alikuwa kasanga tumbo yeye alikataa chama kimoja @Jenerali
@rwekazamugasha6448 Жыл бұрын
Ni nadra siku hizi kupata rahi za Ulimwengu. Nyakati zake akiwa na rafiki yake Phillip Ochieg hapo daily news, kusoma articles zao ilihitaji kuwa dictionary karibu. Kila kheri kaka yetu.
@amourmtungo623 Жыл бұрын
🤔Asanteni sana kwa maelezo, udadisi na mchango wenu wa mawazo tumejifunza kitu.
@dassustephen731 Жыл бұрын
Jenerali kwenye mahojiajo haya ameongea mambo mazuri Kwa hekima, utulivu mkubwa sanai bila JAZIBA na wala kutukana mtu Nakuunga mkono