THE GENERAL ''U GOT TOO MUCH MADINI'' UR POLITICS KNOWLEDGE IS ON TOP.
@RonnieMchatta-pr5bd Жыл бұрын
Kwa kweli sàlim alikuwa one of the best diplomats iñgawa nilikuwa mdogo lakini nilikuwa namsoma Sana to me he is an excellent añd exceptional diplomat
@karimmveyange2558 Жыл бұрын
Hakuna Kiongozi yeyote anaye jifunza chochote sikutoka kwa J K Nyerere wala kwa Salim Ahmad Salim.. Hawa walikuwa na uzalendo na kuipandisha Nchi juu. Wakati kila Kiongozi wa SASA ni kuwaza na kuutimiza UFISADI TU,HATA KUTHUBUTU KUIGAWA NCHI KWA WAGENI
@AkhanThomson Жыл бұрын
Mzee ulimwengu umeongea mambo muhimu sana.
@mawazoaliselemani Жыл бұрын
Nyerere kamteua mpemba akiwa na umri wa miaka 29 kuna baadhi wanamwaona mbaguzi Nyerere alijali uwezo wa mtu na ni mzalendo wa taifa la Tanzania,kama ilivyo magufuli.
@DamasNakei-bb7le9 ай бұрын
Viongozi kama mwl Nyerere, Salim Ahmed Salim Sasa ni vigumu kuwapata tena na hata watu mahiri kama Jenerali pia ni kazi kuwapata, ni wazalendo ajabu!
@stephenndagalla8183 Жыл бұрын
"....uwezo wa kusikia, unakufanya kisikia yasiyo tamkwa..." Sifa mojawapo ya Mhe. Dr. Salim A. Salim. Je, Viongozi wetu nchi wana difa hiyo??
@eliaskangabo779 Жыл бұрын
Ni kiongozi wa pekee sana ambaye tulishindwa kumtumia kwa maslahi mapana yaTaifa tuliendekeza sana Ubinafsi
@abdallahkihanza482 Жыл бұрын
Imekuwa mkweli sana, kuliko yule jamaa aliemchafua Kwa kutunga uchafu kwa tamaa ya yacheo na mali, mwenyewe kaona aibu maana walimchana bila kupepesa machi
@khalfanmgeituff781 Жыл бұрын
Mahojiano mazuri lakini kashati kasumba nyingine kwa ndugu zetu waarabu na wahindi kuwa wanatumia fedha (badala ya uwezo wa kiungozi) jambo ambalo sio sahihi na ikiwa lipo kwa baadhi yao ni hivyo hivyo lipo kwa vyama vya siasa, wagombea wa makabila na rangi zote...Suala la kutumia fedha sio la rangi ya mtu bali ni utashi wa mtu mwenyewe!
@abdallahkihanza482 Жыл бұрын
Huyo ndio mzalendo ktk waliobaki, ambao ni DrSalim, mzee Butiku, mzee warioba mm Maria, mzee Mwinyi
@eliasnganira7661 Жыл бұрын
Jenerali mi ni mfuatiliaji wako na nakubakiana na ww kuwa exorcisim kuitoa kwa kuliongea
@kassimmohamed9126 Жыл бұрын
Dr. SALIM AHMED SALIM, THE PRESIDENT. THAT. NEVER. WAS, RECOGNIZED WORLD LEADER, GOD BLESS ZANZIBAR 🙏
@eliasnganira7661 Жыл бұрын
Ninawafuatilia vyema
@OmmyJames-xn7ji Жыл бұрын
Tumejifunza mengi kuanzia upole HEKIMA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿SIO KINA CHADEMA NA DK SLAA MATUSI NA KEJELI 🥳🥳🥳🥳DK SALIMU AMEACHA LEGACY 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
THE LEGACY OF EXORCISIM AND NYEREREISM IN TANZANIA