Рет қаралды 2,249,391
Dunia ina mengi ya kuumiza na kuvunja moyo, na hakuna awezaye kuganga mioyo iliyovunjika isipokuwa YESU, wimbo huu ni maalumu kumsihi YESU agange mioyo ilivunjika na kwa hakika mioyo iliyovunjika inakwenda kugangwa.#VailethMwaisumo#Moyoumechoka#Nigange#MusicVideo