Napenda sana nyimbo zako zimejaa neno la MUNGU lenyewe
@elimuelias4094 жыл бұрын
MUMEBARIKIWA SANA NDUGU ZAANGU.....NATAMANI SANA KUFANYA INJILI NA NINYI WATU.. HII BAND YENU SIO YA KAWAIDA INA UPAKO WA AJABU SANA
@aggybona7658 Жыл бұрын
AMEN nataka nikuone kwenye maisha yangu YESU
@maulusmgala925 жыл бұрын
Hakika Bwana aendelee kuwaonekania Mtashinda na zaidi ya kushinda Msimtumainie mwanadamu maana hana mbingu ya kuwapeleka
@edrayayoub16007 жыл бұрын
Huu wimbo siwezi kulala bila kuusikiliza kwani unanibarika sana nikiusikiliza huku nautafakari na kutafakari makuu Mwenyezi Mungu atendayo, Mungu awabariki ktk utungaji wenu na uimbaji wenu
@bahatadof5543 Жыл бұрын
Nyimbo nzuri Sana, mpo wapi jamani toeni nyimbo Basi toahata kolabo na Mama Amani vaileth Mwaisumo it's hit sana
@vicentngobile40875 жыл бұрын
Amina...! nyimbo nzuri saana.... mbarikiwe saana watumishi wa jehova....
@mosessichela99155 жыл бұрын
Huu wimbo unanitoa machozi kila nikiusikia unanikumbusha mbali sana nawependa sana sayuni bend mungu awabariki kwa kazi nzuli
@frankmahalanha9527 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni azidi kuwaonesha yote yawe mema kwa kwel. nawapenda saana kama Mtumishi wa Bwana
@nazaeljohn89437 жыл бұрын
Mungu hashindwi na jambo lolote lile msikate tamaa endeleeni kupambana
@johnpesambili48067 жыл бұрын
ukweli nawapenda sana saying bendi Ila mgogo ariharibu kukimbilia dar. turibarikiwa sana na album ya Kwanza. mungu awatie moyo sana.
@joshuaisaya87214 жыл бұрын
Mungu akubariki dada akuongezee uwezo unaimbia vizur
@rhinaregina58067 жыл бұрын
Napenda sayuni choir. Mgogo ameowa ametoka kwa hii band poleni sana muta muona Yesu sayuni band don't give up
@ashajafari65835 жыл бұрын
sayuni band mungu awabariki san
@gideonimathew64917 жыл бұрын
Nnawaelewa sana sana. Huyuu Yesu anastahili sifa
@nyassaalbertina40517 жыл бұрын
hingereni sana kwa nyimbo zenu zinanibariki sana,Mungu awazidishie vipaji zaidi Amina
@lilianjosephat92427 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na ujumbe mzito ulimo ndani ya wimbo, Mungu awabariki sana.
@fredymaluda94917 жыл бұрын
MUNGU awabarki sana sayun band jaman nambarkiwe sana nafatiria sana kz zenu nawapenda sana naona dadang umezba pengo La mgogo ubarkiwe sana dada na wote kwaujumla jaman mbeya mnapatkan sehem gan cku nikija niweze kushrk japo hata ibada moja na nyinyi
@AchillesMovieRecaps4 жыл бұрын
Muuinuliwe juu yesu atatenda kwenu
@karoltunduli1077 жыл бұрын
Kazi Nzuri, Mungu azidi kuwabariki na kuwatumia kwa ajili ya utukufu wake
@favouredblessed16427 жыл бұрын
wow, nataka nikuone Bwana. God bless you watumishi.
@sinzasoundbandtanzania62007 жыл бұрын
Nawakubali sana kwa kazin zenu nzuri za Kiroho. Mungu aendelee kuwabariki Sayuni band.
@mathiasglyotogeorge89896 жыл бұрын
Mtanzania Junior mungu wabariki watumishi wabwana
@happyamos26366 жыл бұрын
Mungu azidi kuwapigania watumish wa mungu
@simonbilumbago13597 жыл бұрын
pole watumwa wa bwana mungu azidi kuwabariki
@comingsoon83537 жыл бұрын
Be blessed servant of God
@sekerasakad23417 жыл бұрын
barikiwa na mungu wetu.mtangaze wema wake.
@elizawilfred71076 жыл бұрын
mungu hatawaacha kamwe katika kutumika kwenu,mwanibariki ,amina
@kelvinkibassa43207 жыл бұрын
Barikiwa watumishi wa Mungu,mnahubiri kwa njia ya uimbaji.Yesu awatunze.by Pearl
@victorianazah7 жыл бұрын
+kelvin kibassa Ubarikiwe enderea kubarikiwa
@maidafrancis456 жыл бұрын
Huu wimbo umenipa feelings za mbali sana mbarikiwe sana waimbaji
@stephanomwinyi22 жыл бұрын
Emeni my sister
@pendomwambogolo61796 жыл бұрын
mbarikiwe kwa wimbo mzr
@pendomwambogolo61796 жыл бұрын
nawapenda sana jaman dah wimbo huu unanifariji sana kwa mengi mbarikiwe sana na mungu wa mbingun
@boniphace12 жыл бұрын
Nikipata pesa hii Band ni ya kuishika mkono
@shukurumsite11066 жыл бұрын
Mungu awabariki sana
@scholastikakayanda79326 жыл бұрын
Safi sn nawapenda sn jamani
@eunicekimbio91587 жыл бұрын
Amen mbarikiwe zaidi
@ayubumwakasole49926 жыл бұрын
Nataka nikuone bwana
@yohanacharles45996 жыл бұрын
Nawaombea mfikie makusudio yenu !!
@hellenstanley54073 жыл бұрын
God bless u
@jonasmusa43253 жыл бұрын
Libalikiwe
@gracechacha66516 жыл бұрын
Ubarikiwe xn
@yohanamichael54626 жыл бұрын
2019 nataka nikuona Yesu
@andreajeremia4366 жыл бұрын
Emmanuel Mgogo,yuko wapi.?
@omarymwanaidi80646 жыл бұрын
mbarikiwe
@marclynesidi55103 жыл бұрын
Amen
@geofbeka16697 жыл бұрын
Amen, nice song
@devotharamadhan65747 жыл бұрын
mungu awabariki sana
@fredymaluda94917 жыл бұрын
cna chakuwapa lkn naombea mpate kuifanya kz zaid namfanikiwe zaid yan mpo vzr sana kwa kila kitu producer wenu yupo vizr video zenu zinaonyesha uhalisia wa mkoa wetu wa mbeya mbalikiwe sana
@thomjonh52316 жыл бұрын
K
@leonardprotas59777 жыл бұрын
Nautafuta ule wimbo unaosema "NYAMAZA ACHA KULIA" nitaupataje?, otherwise mnafanyiaka baraka sana kwangu!
@bonifasadamu5636 жыл бұрын
leonard protas andika festina mwadwanga
@agnesssanga31336 жыл бұрын
Hv ety album yao ya Kwanzaa inaitwaje
@victorianazah5 жыл бұрын
Iko wap njia
@geofbeka16697 жыл бұрын
amen
@neemajoseph81557 жыл бұрын
kazi njema sana watumishi
@innocentnyanza37986 жыл бұрын
Thank your
@nininahazwemireille40627 жыл бұрын
mme nibaliki sana Mungu awabaliki sana. mnaweza kuongea na mimi hapa aa2951140@gmail.com naomba