Hatari sana utajiri gani jamani M/mungu katupa utajiri wa mikono miguu mdomo macho na masikio ni utajiri tosha🙏🏼Asante sana M/mungu🙏🏼
@amaninaupendo.35392 жыл бұрын
Ni janga kubwa. Pesa hizi zitupeleka wapi?. Mbona siku moja tunaziacha. MUNGU MKUU atusaidie. AMEN.
@achouraachoura57632 жыл бұрын
Safi akafungwe Maisha duh😭😭kakukosea nini Malaika wa mungu watu akuna hofu ya mungu siku hizi pole mtoto mngu akulinde 🤲
@meshackthomas13413 ай бұрын
Mungu kusema katika kitabu chake kitakatifu watu wataangamia Kwa kukoswa maalifa. Mungu tusamehe. nautupatie. Akiri na moyo wa huruma daima 🙏🙏
@lucyjeremia13812 жыл бұрын
Masikin ya Mungu mtoto hajui chochote jmn😭😭😭😭😭Ee Mungu tusaidie hawa wanaume jmn Mara malisasi Mara kutoa kafara watoto Mungu tuokoe😢😢😢😢😢😢
@asteriashios1852 Жыл бұрын
Mngemchinja yeye mwenyewe mngeleta kisu mnamkamata hiyo shingo mngeona vioja
@fatmaqhta85282 жыл бұрын
Ya Allah Tunaelekea wapi waja wako 😭😭😭😭🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@alikhamis63262 жыл бұрын
Allah ni mkubwa ameokoa maisha ya mtoto hatari kwa kweli Allah ndo kila kitu katika maisha yetu tuwache kutaka utajiri kwa kutoa kafara watoto wetu utajiri utakuja tu endapo utamtegemea Allah
@awadhally10522 жыл бұрын
Kwel kabisa
@ayshamahariq66652 жыл бұрын
@@awadhally1052 kwa kwel🤗🤗
@brenda10832 жыл бұрын
Huyu mtoto Ana malaika wakali sana
@asaadalbusaidi18702 жыл бұрын
Dah mtihani kwakweli ,siangeenda kuuza vidole vyake tu akatajirika
@HusnaSilaj3 ай бұрын
Daah mungu mkubwa jamani kaponea kwa uwezo wa allha😭😭😭😭
@Nikita_80172 жыл бұрын
The reason why I like Harmonize song DUNIA
@mohameeddoaan22962 жыл бұрын
Me to
@happinnesspius98542 жыл бұрын
Mungu n nwema hakika ametenda miujiza
@jareengeorge54782 жыл бұрын
Mganga Mungu akuinue update kazi nzuri.hiyo waachie waganga wa Tanzania.
@imusultan99182 жыл бұрын
Ww koma ww watanzania ndo waganga wauwajo
@mariamhamisi5982 жыл бұрын
Huyo mganga mzr san asukuriwe mungu amuongoze hivyo hivyo yuko vzr😭😭 jaman mtoto mzr hivyo :
@ibrahimshilinde61292 жыл бұрын
Hata mganga analo lakujibu
@fadhilamaulid98432 жыл бұрын
@@ibrahimshilinde6129 ajibu nn wakati ndie alietoa taarifa na kufanikisha zoezi lote
@ibrahimshilinde61292 жыл бұрын
@@fadhilamaulid9843 kitendo Cha kumwambia ampeleke mwanae kwake ili amtengenezee dawa tayari ni kosa
@hadijamandanje61892 жыл бұрын
@@ibrahimshilinde6129 inawezekana angemkatalia angeenda kwa mwingine mwenye Tabia hiyo Naye anajua ndo maana akaona ajifanye ni mmoja wao
Allhamdulillah Mungu mganga wewe Allah atakulipa uwe hivyohivyo usiuwewatu
@ARAFATSALUMABDULLAАй бұрын
Dahhh. Jamaniii kweli binadamu hatuwezi kuwa mungu Mana mungunimungutu. Najiuliza ningekuwa mungu kwanza mungu anisamehe kutamka manenohayo. Ningekuwamungu wauwaji kamahawa ningewatengea Moto live hapahapa duniani ikawa nimaoneshotu. Inaumasana. Kitoto hakielewi chochote kafuatana nababa. Ivi njiani kumbe analengo lange😢😢😢
@fatmaally72522 жыл бұрын
Astafilullah astafilullah astafilullah mwenyezi mungu atunusuru
@yolo52612 жыл бұрын
Ameen
@stevemwakisimba59862 жыл бұрын
Huyo mtoto ana malaika wa Mungu wamemzunguka na achululiwe na serikali atunzwe bila hivyo mtoto atadhirika kisaikolojia
@hadijamandanje61892 жыл бұрын
Mungu wangu,du mtoto akiumwa najihisi wazimu,ohh ya Rabii
@heritier51192 жыл бұрын
We Acha watoto ni faraja nikitoka kazini mbio mbio nawahi watoto.
@ruthouma17852 жыл бұрын
Asante yesu
@salamanauthar4802 жыл бұрын
Subhannallah,😭😭😭
@fatumakingwaba73212 жыл бұрын
Asante kwa mganga kuwa muaminifu ,Mungu atakulipa kwa wema huu kwa hili, mtoto mzuri jamanii
@hafazstanzania55772 жыл бұрын
Masikini mtoto mzur
@nyamwinukankwera37492 жыл бұрын
Sana kaah jamani
@LinnaJohn10 ай бұрын
Duhu jmn ashindwe kwa jina la yesu
@aishasaidaishasaidaishasai23192 жыл бұрын
Innahlillahy wainnah elehy rajiuun mungu wamemsahau
@SalmanMughal-lq5lt4 ай бұрын
SubhanaAllah.makubwa.utajiri.gani.wakuuamtu
@jayjay43132 ай бұрын
This must be a movie man. Si kwa drama hii, imelenga.
@esteromary21022 жыл бұрын
Mungu wangu,tunaelekea wapi🙆🙆🙆
@ZaituniSaningo-ez1sd5 ай бұрын
Ama kweli kwa mungu kesho tunayo ya kujibu
@stevemwakisimba59862 жыл бұрын
Why how?this man must to go in prison 50years
@merckmdamu29422 жыл бұрын
Sikuzote huwa nasema Usione mtu anamajumba magari ukasema niharali hakunakitukamahicho. Huwa wanasiri ngumusana hawa matajir😭😭😭😭😭😭😭
@mushimiyimanaclementine81092 жыл бұрын
Kbx Ni uweri tustamni Mali zao
@GatekaFatma8 ай бұрын
Jamani mtoto mzuri maskini Allah akulinde mtt wetu
@omanmwajabumbeguoman86422 жыл бұрын
Duh afungwe kifungo cha maisha uyu muuwaji kabisaa🤔🙄🙄
@ayshasaid15472 ай бұрын
Mungu wangu tuhurumie nipe moyo wa kuridhika nitakacho kipata
@mariamjuma75912 жыл бұрын
It's so sad and painful o my God
@happyjustin26462 жыл бұрын
Mungu ni mwemA
@HannanSomaiyah-wp7ny8 ай бұрын
Laana tu llah Bora ya huyo mganga mungu kampa iman, Alhamduli'llah kuna watu wana rohoo ya kushetani
@festokivuyo71219 ай бұрын
Asante MUNGU
@yasodishonest97922 жыл бұрын
😭😭😭😭😭dunia simama nishuke😭😭😭
@awadhrajabu14032 жыл бұрын
Yani Mtoto Katokea Kwenye Tundu La Shindano Kabisa Mchawi Uyo Kutoka Marekani Kuja Kufanya Ukatili Apigwe Mpaka Anye
@prettyh75092 жыл бұрын
siyo auwewe yey
@AishaOman-k6f5 ай бұрын
Sasa uyo mtt mama yake yuko wapi?
@MsNajma-j7e2 ай бұрын
Shetan kawaingia waja kwa kasi aisee 😢😢😢msiba mzito huu dunian unauwa mtto wako kwa jiri ya pesa
@stellaMwakatulie4 ай бұрын
Mungu simama mwenyewe bila wewe atuwezi 😭😭😭
@maimonamaimona11772 жыл бұрын
Jamani mungu tusaidie😭😭😭
@edinahmaganga35282 жыл бұрын
Mungu tuokoe jamani kwa nini tutoe kafara watoto wetu kisa pesa tunazipeleka wapi? Sisi hapa duniani tu wapitaji tu mkao yetu ni mbinguni wapendwa, tuwe na hofu ya Mungu aliye tuumba😢
@emanuelmaraki97585 ай бұрын
Mungu ni mwema kila wakati kamata pigaa kabisaa
@FathaNasoro3 күн бұрын
😭😭😭😭daaah inauma
@reyopub7362 жыл бұрын
jamani ivi nani katuloga inawezekana ameshawatoa wengi
@FekiHappy6 ай бұрын
Mmmh hatujui mkweli nani hapo ila Mungu ni khakimu,,huenda kaliwa hela zake mda mrefu na hkn matokeo kadaia hela zake kaambiwa njoo na mtoto hii itakuwa babu kubwa kisha jamaa kageuza meza hii dunia hii sio kila rangi unayoiona ni halisia yani yy akurupuke tu alete mtoto,? Ni maswali yangu tu najiuliza
@laylayl51665 ай бұрын
Huyo mganga anaimaani ya mungu bilaya hivoo mtoto angepoteza Maisha halafu wangesingizia kitu mungu ndio mwenye mamlaka juu yahuyo mtoto kwakweli
@eshasozy692 жыл бұрын
Duuu ad nmeishiwa doz jmn mmhh mngu azid kukusimamia mtoto iyo ni nguvu ya Allah ndo mlinz ytu ila mganga ni mtu mzur yy sio wale pesa mbele kuliko uhai wa binadam
@mwanyongamama4407 Жыл бұрын
OooGod we need You LORD
@majutoeliasi Жыл бұрын
Mimi ni mwanaume bora nife maskini kuriko kumtoa mwanagu daa nawapenda sana wanagu
@halima72552 жыл бұрын
Dunia imeisha jamani umu uwe mwanao kwautajiri kama waganga wote wangu kuwa kama uyu inge kuwa safi sana sheziuyo anyongwe tu
@MaishaBabu-m2g5 ай бұрын
Sio mara ya kwanza huyo mganga ameshaua
@mpundu44502 жыл бұрын
Heh jamani mtoto mzurri
@gres11822 жыл бұрын
Huyo afugwe maisha yake yote ubwa hii
@zikenims61672 жыл бұрын
Tamaa mbaya pesa za sheitwan
@AnnaUrio-x1b3 ай бұрын
Duuuh jmn Mungu mkubwa
@jumapiliissa48352 жыл бұрын
Mwisho wadunia hatari sana aisee
@mnikomaryam30372 жыл бұрын
mwenyezi.mungu.tupiganie
@KhalidKhan-ud9cz7 ай бұрын
Kamate kweli
@aishaamwalimu28872 жыл бұрын
Mimi naona huyu baba kapangiwa njama, haiwekekani mganga agize mteja alete mtoto ili atoe kafara, alafu mganga huyo huyo atoe taarifa polic ili kumnusuru mtoto, ichunguzwe vizuri hii.
@bugabyarugaba37712 жыл бұрын
Angekwenda Zimbabwe akauza vidole vyake mtoto tena
@zuwenaalamin89852 жыл бұрын
😭😭😭😭😭 me nalia tu
@ndohoriomsacky4452 жыл бұрын
Waganga wote wawe Kama huyu
@laylayl51665 ай бұрын
Heeeee dunia simama nishuke kwani siange chinja mbuzi Tu au angejikata kidole akauzee lakini siyo huyomtotp
@zuwenahamad28872 жыл бұрын
Duuhh bila hata kisisi kwenye nafsi yake
@bobg6112 жыл бұрын
Kaa n TZ angefaulu mara moja....
@mymuhnabdallahshaban77634 ай бұрын
Kwanz msilaumu mganga kwa kusema ety yy pia ana makosa yy mganga kumwambia mlete mtot ilikuwa ni kupata ushahid maan angetoa t taarfa kabla mtoto hajaletw sehem ya tukio pasingekuw na ushahid hta mtuhumiwa angejitetea kuwa mganga kanitengenezea kesi kwa chuki zake binafsi lakin hii polis wamemshika sehem ya tukio na mtoto yupo na mtuhumiwa akiwa amejiandaa kufany tukio na chungu kipo pemben mganga kafanya kit kizur so msoelewa kwanin mganga kamwambia njoo na mwanao na akatoa taarfa polis bs hii ndo maan halis ni kumshika mtuhumiwa na ushahid kamili
@ommymmusa29122 жыл бұрын
Pamoja xan
@Sidik-d7eАй бұрын
PEOPLE WHO HARM HER OWN DAUGHTER I THINK SEND HIM IN JAIL FOR 60 YEARS PUNISHED THAT FATHER TOO SAD U WANT TO KILLED UR OWN DAUGHTER SHAMEFUL 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@fetychina32732 жыл бұрын
Hivi hawa waganga hawa mjui Mungu jamani 👀🙄🙄
@africanbeadwork94342 жыл бұрын
Huyo mganga ndo kawaita polisi
@fetychina32732 жыл бұрын
@@africanbeadwork9434 oooh
@makongoronyerere15649 ай бұрын
Mganga mzr hana tamaa,
@olphamoraa66832 жыл бұрын
Mungu wangu 😭😭😭😭😭
@reginakingola17552 жыл бұрын
ashindwe 😢
@loganpoul2 жыл бұрын
Njaa mbaya sana,bado hawa chawa WA kwetu nao tuwaone,
@muzdatsuleiman31862 жыл бұрын
Uyo baba m2 anyongwe nayeye
@grande96572 жыл бұрын
Marekani pia kuna njaa
@EbondoSounds2 жыл бұрын
This World 🤔
@JumaMtoza-f9e10 ай бұрын
Mbwa kabisa anyongwee😮😮😮😮😮
@pendolazaro46862 жыл бұрын
Uwiii jaman
@salummzee97399 ай бұрын
Hii hatar duuuh afie jela huyo
@issazalala49072 жыл бұрын
Daah kwani izo hela mtazikwa nazo mbona Wana dam tuna mambo ya ajabu hivyo daah
@ciaraiddi406711 ай бұрын
Wangemkata mbupu zake hapo hapo
@eliyamtishibi70622 жыл бұрын
Mganga na huyo baba wakafungwe maisha
@arafakiloli7492 жыл бұрын
Innahlillah wainnah illah rajiun
@munarjafu98862 жыл бұрын
Nimejikutatu nalia jaman aaa😭😭
@ruthouma17852 жыл бұрын
Niko na watoto watano kazi ya vibarua wanipee huyu Binti nimlee hakii
@safiaothman5175 Жыл бұрын
Inna Lillahi Wainna Ilayhi Raji'un.
@khadijanjama87212 жыл бұрын
Meanaume huyo alaaniwe mbwa yeye
@rahima9282 жыл бұрын
Waganga wote wangekuwa kama huyu naisi makafara yangeisha mganga endelea kutibu na sio kudhuru watu au kuuwa
@methuselamaliyatabu2543 Жыл бұрын
Chizi huyo baba alafu ukifa
@barakaothumani6421 Жыл бұрын
mbona wazazi Kama hao hataapa Tanzania wapo wanawatoa watotowao ili wapandishwe vyeo nakuwa matajili
@fatmakhanii16762 жыл бұрын
Kwani uko vidole havitakiwi mpaka apeleke mtoto jamani ehhh mungu wetu wadhalilishe madhalim wote duniani😭😭😭
@jeniphajeremiah80086 ай бұрын
Uwiii tupereke wapi watto wetu😭😭😭😭😭
@salehally67972 жыл бұрын
Kamateni na mganga pia
@Zengeni-gz8fe26 күн бұрын
Tobaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..TUNAMUACHIA MUNGU
@heritier51192 жыл бұрын
Waganga na wachawi inatakiwa wauwawe wanaharibu Sana Jamii
@peteryukunda92392 жыл бұрын
Linyongeni au mlichome
@joleal79412 жыл бұрын
Eee mola wangu😭😭😭
@user-xy8kl9wd2i4 ай бұрын
Huyo mganga achunguzwe pengine walielewana kutoa kafara Huyo mtoto wamegeukana