Daaah jmn wanawake tunamatatizo sana baadhi yetu wallah😢😢 Mungu awape wanawake sahihi wanaume wenye moyo mzuri Amiin Yarrab 🤲
@abedysteven4930 Жыл бұрын
Ubarikiwe dada!
@helenakay2839 Жыл бұрын
Kabisaa yaani
@zayumar2955 Жыл бұрын
@@abedysteven4930 amiin yarrab Kwa sote pia 🤲
@zayumar2955 Жыл бұрын
@@helenakay2839 inasikitisha kwakweli
@kudraabdallah Жыл бұрын
Zey umar nmekupendaje aisee
@shabanisaleeh4541 Жыл бұрын
Makofi kaka kwako mm mwanaume mwenzako kaka ww jasili upewe ubarozi wa uvumilivu kama wanaume wengine sahizi uyo yupo kabulini yani anabahati sana uyo najua umelia sana sana sema mtangulize mungu kaka ww ni mtu wa ajabu wangapi wana kubaliana na mm bila chuki
@hamiduhamisi2371 Жыл бұрын
good comment
@khamisrashid9645 Жыл бұрын
Hapo sasa ndio umuhimu wa kurisisha mali kwa mama🥰🥰🥰
@tato8979 Жыл бұрын
😂😂
@lulually5209 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 kiboko yao mama hakimi peke yake
@kandiboy2777 Жыл бұрын
Mama nae ni mke wa baba..anamatatizo pia kwa baba
@rashidyally8715 Жыл бұрын
Huyo angekua mke wangu nyumba sivunji na hao wanaopiga cm ningewaambia mkamateni mliomkopesha mpumbavu huyo
@KautharMohamed-kj5zc Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣hatar sana
@mariasafari1004 Жыл бұрын
Ningeshamfukuza mm bila huruma yaani
@happynesbaemuhappynes8813 Жыл бұрын
Huyu kaka kavunja nyumba kwa kuhofia usalama wake. No ukweli mwanamke mwenzetu kakosea sana
@teedullah5708 Жыл бұрын
Kabisa hasara kweli sisi wanawake
@melchiadmbeho8040 Жыл бұрын
Tuishi nao kwa akili.
@asalkhan9168 Жыл бұрын
Pole brother Yaani muda wote na marukio yote ayo analala nje bado mke unae tu ndani 😢😢😭😭
@onespour7189 Жыл бұрын
Sungura kamchola sungura🤣
@daudimauya874 Жыл бұрын
Kazi nzuri mwamba 😝😝 rafiki wa kweri ni wazazi tu na sio mwanamke 🤝🤝 kazi nzuri kaka. Na ndio mana wanaaake saivi tunawaogopa
@shameemrashid5219 Жыл бұрын
Dahhh wanawake tuna nini lakini😢😢😢😢😢
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
Umefanya maamuzi ya busara sana. Ungeuzwa ndani ya nyumba kaka.
@rashidyally8715 Жыл бұрын
Mzee hapo huna mke Hilo ni kahaba madeni ndio yanafanya ajiuze Hilo sio jitu la kuishi nalo achana nalo kabisa hilo
@daudmadaha4168 Жыл бұрын
Maamuzi mazuri sana tofauti na wanaochukua maamuzi ya kuua
@jofreymsigwa85 Жыл бұрын
Kweli ndugu
@AshaMakame-zg9xi Жыл бұрын
Swadakta
@ameirzapy1318 Жыл бұрын
Kumuelewa huyuuu unahitajika uwe na akili kidg, safi maisha kuanza sio hasara ila usalama muhimu zaidi
@joycesanga4378 Жыл бұрын
Bora uliyebomoa nyumba kuliko wanaofanya matukio ya kuuwa
@farajasallah2338 Жыл бұрын
ila Kuna wanaume wanaonewa dunia hii acha kabisa Mungu avisaidie vizazi vyetu
@magrethmbuma304511 ай бұрын
Baba wa watu moyo unamuuma ila ndio hivyo tena hana namna😢
@asteriashios1852 Жыл бұрын
Usingebomoa ungewaambia wamkamate mwenyewe yaani huyo dada kichaa kabisa pole sana
@omnsultan383 Жыл бұрын
Wanaume wana pitia changa moto nyingi sana
@jofreymsigwa85 Жыл бұрын
Sana tu
@larryking623 Жыл бұрын
Sometimes word's can't say it all.... Man has been through alot.....
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Subhannallah, mimi sithubutu ningempata talaka tu
@pendo8082 Жыл бұрын
Kuna wanawake wanajiamulia maamuzi wenyewe bila kumshirikisha waume zao kwanza hii mikopo na vikoba wakati mwingine hurudisha maendeleo nyuma
@DainesMwapela-mr4wc Жыл бұрын
Duh hao ndo wavamiaji kwenye ndoa Sasa mke jaman Bado wamgeuka mume je ungekua mchepuko nahisi ungemuweka rehani huyo baba😅😅😅
@sophiamirambo9656 Жыл бұрын
Duh,, pole sana kaka ila usingebomoa ungesaka ushauri na kutuliza akili halafu ungepauza hapo uhame zako abaki na maisha yake unabomoa na kiwanja kimebaki ndio nini ungepauza tu hapo ungehamia kwengine duh,,!! Pole sana mshkaji unapita
@achouraachoura5763 Жыл бұрын
Uyo mwanamke kamkosea Sana uyu Kaka wa watu
@magrethmbuma304511 ай бұрын
Kwa maelezo ya huyu baba anakagubu fulani hiivii😅😅😅😅ila pole yake kwa kupata mke kizaazaa
@rukiauwonde7062 Жыл бұрын
Bora ulivyovunja hiyo nyumba kuliko kuuwa
@hamiduhamisi2371 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mana mh😳😳😳😳😳
@jumasaidseif2924 Жыл бұрын
Nilitaka nijue hii nchi kuna haki za wanawaketu hamnaga haki za wanaume
@marychris8224 Жыл бұрын
Safi Sana sisi wanawake tumezidi😎
@نجمةموبيبي Жыл бұрын
Mimi ningekuwa huyu kaka ningeuza hiyo nyumba Na ningeenda kupanga Na mwanangu nimtozame atakavyohaha , yaan wanawake wengine , anapata mume anajielewa unajitoa ufahamu , yaan huyu dada akili hana , pole sana kaka lakin najua serekali ifanye maamuzi hapo
@ElizabethFesto-fv2ku Жыл бұрын
Mungu atusaidie wanawake
@elidiustudoy2640 Жыл бұрын
☹️☹️ Hakimi njo uku uone😭😭😭
@mwajumasaidi2041 Жыл бұрын
😂😂😂
@asianassoro2567 Жыл бұрын
Hakim hana baya
@hussenhemed1050 Жыл бұрын
Bora alivyobomoa kuliko mtu kuja kuchukua nyumba
@lulually5209 Жыл бұрын
Wapi mama hakimi 😂😂😂😂
@felisterandrew8741 Жыл бұрын
Mungu atusaidie
@alimohammedomar3412 Жыл бұрын
Huyo dada hadaiwi chochote lakini aliamua kupanga njama za kutaka kudhulumu hiyo nyumba kwa kushirikiana na hao waliosema wanamdai.
@justnjustn6168 Жыл бұрын
Uyo polisi sio pwhh mashaalah
@musampanda3643 Жыл бұрын
Weeeee!
@TeophilBuilding Жыл бұрын
Kwa wenye upeo mdog watabwata ila kwa sis tuloyapitia yanayofanania kabisa na haya kwaamri yangu natamani wanawake wote dunian wauwawe jamani hawa Ni mashetani wakubwa hawanaga akili wanaum tujali watot wetu ila hizi mbwa natamani kuchinja kbs nigawanye viungo
@musaogira8375 Жыл бұрын
jamaa yupo sawa sana
@japhetizo4613 Жыл бұрын
Da polee xana
@giftibrahim Жыл бұрын
Umeboa Watauza ardhi bora ungeuza hela ukaweka benk but pole
@sistertrashid2488 Жыл бұрын
Bora tu ulivyobomoa mwaya ndio maana wanaume wanakufa mapema maumivu mengi Sana katika mioyo yenu mungu awanusuru wanaume wote japo mnatupigaga matukio lakini poleni sana
@detlantamarooned1809 Жыл бұрын
Asante sana Sister T,mnatuumiza sana sometimes.
@michaelsamson9663 Жыл бұрын
Minkiona mtu ajielewi namwachia Mali nasepa
@jay-nyeye1900 Жыл бұрын
Safi Sana mwamba umefanya maamuzi mazuri Sana hata ningekuwa Mimi ningefanya hivyo 🙌🏽
@heavenlymusicproduction4360 Жыл бұрын
Hahahaa
@malila4582 Жыл бұрын
Mh! Pole sana kaka
@michaelsamson9663 Жыл бұрын
Msipo olewa ooh atuolewi mkiolewa mnanza usumbufu na umalaya
@agnerapius7244 Жыл бұрын
Ukiona jina said tu ni majanga sasa ndo nini😮
@twilumbakabelege3426 Жыл бұрын
Huyu mwanamke anajielewa kwelii
@salimkassim6020 Жыл бұрын
Apo kwenye kuishi na mwanamke bila ndoa,,,, ndo shida ilipoanzia.
@krizofrancisco5310 Жыл бұрын
Ndo maana mm principle yangu ni Moja tu mke Kaa nyumbani cheza nyumbani me nicheze kitaani hutaki tembea nichukue anayetaka kukaa nyumbani masuala ya oOoOO, Sasa ukiumwa itakuwaje me Kwa macho yangu nimeona mshikaji anaumwa na mke wake ni mjasiliamali ila mpaka Hela ya kula jamaa ndo anatoa na yupo hospital Sasa Kuna haja Gani ya mke kutoka nyumbani kwenda kutafuta halafu Hela haijulikani inaenda wapi.
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Eeh nyumban zuri jamn 🙄🙄😳
@tato8979 Жыл бұрын
Pole sana kaka 😢
@vero57 Жыл бұрын
Sasa hizo pesa kafanyia nini huyo mama, mbona hatare!! Pole sana kaka
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Kuna wanawke wanapt bahat ila hawajitambui angekuw mwanaume mwingine tungesikia mengine ila huy wala
@stevenlugojeremia2323 Жыл бұрын
Asilimia Kubwa ya wanawake wa kitanzania ndio huwa ni chanzo cha kurudisha maendeleo nyuma kwa waume zao na Kizazi chake...Na huwa wanapenda kukurupuka kwa Tamaa ya pesa
@Mpakauseme Жыл бұрын
Mimi nawaogopa sana aisee bora nioe baniani mweusi kuliko mbongo
@CarolneJohn-nr2nj Жыл бұрын
Mimi ni mwanamke lakin sjawah kuona mwanamke mjinga kama huyu alipe kama hawez kulipa afungwe tyu
@hamidmweusiii35 Жыл бұрын
Hawa wanawake wengne kenge kwel hawafai ata kuolewa kbsa some time Bora ata usioe kbsa Bora ununue Malaya tu ulale nae ili upunguze upwiru kulikon kuoa
@rashidyally8715 Жыл бұрын
😄😄😄😄
@pendo8082 Жыл бұрын
Upwiru😂😂
@firdausqutty2067 Жыл бұрын
Upwiru wa king kiba au🙄
@stellahlinusi8215Ай бұрын
Heee jamani
@manilabonalumanula9210 Жыл бұрын
Huyo mama ni "mchepuo" hajakupenda kaka yangu.. Hata vikao suluhisho visikushawishi kurudiana naye, atakuuwa kwa kushirikiana na hao " michepuko" yake
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
pole kakaangu 😭😭😭😭
@صالحالصوافي-غ5و Жыл бұрын
Jamani pole sana bro
@ayoublupande3007 Жыл бұрын
Hahaha 😂 nimempenda said hahaha 😂
@philemornmutta1597 Жыл бұрын
Pole sana ndg yangu hakuna mwanamke hapo kaka isitoshe ww ni mvumilivu sana
@asalkhan9168 Жыл бұрын
Jamaa Sasa amepata faida gani 😢😢
@ashuuuaisha9122 Жыл бұрын
Sasa bora angeona inauzwa kwa madeni ya mkewe??yaaaani hujui kakopa pesa kapeleka wapi halafu jasho lako liende tu
@asalkhan9168 Жыл бұрын
@@ashuuuaisha9122 Cha msingi ni kifuata sheria tu je nyumba ni ya nani, jambo jengine pengine ingeuzwa angebaki japo na pesa nyengine za kufanya mambo mengine na mke kumwacha aende zake
@رقيهالخصيبي Жыл бұрын
Mimi binafsi naona alichokifanya kipo sasa kwa sababu huwezi kukaa kuona nyumba uliyojenga inakuja kuchuluwa kizembe kwanza mwanamke jeuri madeni yake yalipwe na nyumba ambayo ameijenga anamuuliza ana majibu ya shombo ni bora alivyo bomoa nyumba kuliko angechukuwa maamuzi ya kumuua hasira zake ndivyo zilivyomtuma abomoe chake Mwenyeez Mungu atamsimamia atajenga nyingine kwa uwezo wa Allah
@asalkhan9168 Жыл бұрын
@@رقيهالخصيبي 🤣🤣🤣Dahh Yaani jamaa amepata mtihani kweli si ya kucheka
@aishaomarry6996 Жыл бұрын
@@asalkhan9168 Hakuna hata pesa ingebaki watu wanaokopesha wengi wao huuza vitu kwa bei ya hasara ilimradi pesa yao irudi. Mimi nna rafiki yangu walikua wanadaiwa milioni saba wakauziwa nyumba zao mbili zipo Buguruni katikati ya Jiji wakati unaweza kuuza hata milioni mia tano kwa nyumba moja
@zainabubalama8869 Жыл бұрын
Mkopo kausha damu 🤣🤣
@zabibubashiri3034 Жыл бұрын
Msilaum Mke pengine walikubaliana skilizeni na upande wa pili
@komandowainjiliyayesu Жыл бұрын
Pole sana jamn wanawake Hawa
@aisharamadhani1948 Жыл бұрын
Heee,,, subhanallah kuna wanawake hawajitambui hata kidogo ni akili zake au zakushikiwa duhh kaka ungempeleka police kuliko kubomoa nyumba
@jofreymsigwa85 Жыл бұрын
Polis wanawake wanasikilizwa kuliko wanaume tena hatari
Yani wake zetu daah alafu unaweza kuta izo hela ana faidika mchepuko 😂
@nellyreani893 Жыл бұрын
Wanawake wengine chefu kwakweli sa unachukua aje pesa bila kumushirikisha Mmeo jamani kazi ipo apambane alizilipe mwenyewe nyoo tamaa ya pesa na auna kazi za maana unayo fanya uho ni uhuni
@MichaelAmosMzini14 күн бұрын
Yani asingevunja ila kama mimi natulia atakaye kuja kudaii kwangu wanaondoka na mdaiwa
@salimuhassani7030 Жыл бұрын
Nimekukubali bro
@ayoublupande3007 Жыл бұрын
Wanawake wanakera San wakat mwingine Sasa unakopa bila kumwambia mmeo kweli
@rehematawalani733 Жыл бұрын
Pole Sana kakangu
@shedrackshaibu1986 Жыл бұрын
angekutana na mie mhehe nishamnyonga kitambo sana
@Bilioneabichwa331 Жыл бұрын
1.madeni ya mkeo hayakufanyi upokonywe ww Mali zako, 2,hatujasikiliza upande wa pili, 3 kwann ubomoe nyumba ww ndo mwenye matatizo inavyoonekana 4,kwann uishi na mwanamke ambae hujui kazi yake? Anatoka usiku anarudi asubuh
@shabanisaleeh4541 Жыл бұрын
Unaboa kaka Acha kabisa kumkosoa usijifanye unajua sana ange mzuru ungesemaje binadamu mkoje ww na mm atujui chochote ama ww na mm tulisha kaanao wakatuereza matatizo yao tuache kujifanya tunajua uyu jamaa Ana akili nyumba atajenga uhai ww vp bwana
@Bilioneabichwa331 Жыл бұрын
@@shabanisaleeh4541 umesikiliza upande wa pili? Hakuna Sheria popote duniani hakimu ahukumu kesi kwa kusikiliza upande mmoja, nendeni mumuhoji na huyo mama ndo tujue tatizo lipo wapi,
@priscamsuya-xd4tu Жыл бұрын
Hiyo ni kausha damu riba imeongezeka
@udizungwahimalaya5213 Жыл бұрын
Sema uyu jamaa anaongea kama kameza flash 😂😂😂
@mkumbozakaria7266 Жыл бұрын
Hata baba yko anaongeaga hvy hvyo😅😅😅
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂kama mbwai mbai tu
@mariamjames5462 Жыл бұрын
Huyo mwanamke. Mjiga. Acha nae kabisa
@stevenhipolity6198 Жыл бұрын
Daahh bora kuishi na sabuni tyu
@juma2979 Жыл бұрын
Sheikh Said ww ni muislim lkn mkeo mkristo hii imekaaje
@jacksonhaggai6771 Жыл бұрын
dhu pole sana Ina umaa
@sophiamirambo9656 Жыл бұрын
Mahakimu wawe wanatumia busara na hekima sasa hapo wamempendelea mwanamke mpumbavu 😏😏😏
@adammjomba5814 Жыл бұрын
Bora alivyobomoa hiyo nyumba kila mmoja aendezake .hapo jamaa ameondoa mzizi Wa fitina. Dawa ya moto ni moto..sasa huyo jamaa atie nia .ZAIDI ajenge nyumba nyingine aoe mke mpya kabisa .
@jazeerajuma5014 Жыл бұрын
Uza iyo sehemu ukanunue kwingine kaka
@mrsinia3064 Жыл бұрын
Huyo mke mjanja sana....umefany la maana kuibomoa
@jamilfuad6847 Жыл бұрын
Huyo mke anakucheat na anakuchezea we akili kwaio usingebomoa nyumba but ww ungemfukuza tuu sbb ako na mtu mwengine anae mpa maarifa
@salmahoperi9783 Жыл бұрын
Wanawake mkopo hatali pole kaka
@hussenmaseke78213 ай бұрын
Poresana kaka
@Ayuminchasi8 ай бұрын
Huyo mke ni hatariiii kwa afya yako kaka
@fatiajuma4685 Жыл бұрын
Huyo mdada ako na mume mwingine lakin malipo ni hap hapa dunian
@mwajumakweli Жыл бұрын
Jamani pole Sana ! Wana wake tuna feli kweli
@goodlucknjau77 Жыл бұрын
Broo huyo sio mke atakuuwa mkimbize haraka sana
@patrickmunishi2277 Жыл бұрын
wanaume wengi wanateseka jamani!
@gabrielzakaria2810 Жыл бұрын
We ni mpumbavu unabomoa nyumba
@annajohn8597 Жыл бұрын
Vikoba
@mussakimaro5588 Жыл бұрын
NDO MAANA NIKO SINGLE TENA SPEED YAKUENDELEA KUA SINGLE NAIONGEZA
@husna7954 Жыл бұрын
😂😂😂😂nimecheka
@mussakimaro5588 Жыл бұрын
@@husna7954 au sio maana haya mambo ndo yanafanya wanaume tufe mapema kwa stress
@nailaty Жыл бұрын
Kama kufa utakufa tu hata uwe single🤣🤣
@mussakimaro5588 Жыл бұрын
@@nailaty hakuna anaeishi milele
@husna7954 Жыл бұрын
@@mussakimaro5588 ngoja niungane na wewe usingo mwaka wa 2 huu sitaki kwenda jela mimi mana hasira zangu nazijuwa
@chifuthedoni8889 Жыл бұрын
Wanawake wanajifyatuaga na kujifanya miamba ya rusaka! Lazima mwanaume uchukue maamuzi yatakayomfanya ajute! Na maamuzi ndo haya sasa ambayo hakutegemea!
@paultz1731 Жыл бұрын
Safi Sana
@josephinabakhita Жыл бұрын
We nawe kilaza tu,
@mbwanarajab4756 Жыл бұрын
Mtakumbuka tu kauli hii OENI MKE MMOJA , WAWILI, WATATU AU WANNE ILA KM MNAOGOPA HAMTAFANYA UADILIFU BASI OENI MMOJA TU.. Yaani leo wanaume wengi wanakufa na kuteseka kwa ajili ya wake zao na haku chombo chochote cha kuwatetea wanaume hawa.. Wanawake wamepewa fursa ya kukopa na ndio maisha ndan yamezidi vituko
@lama6310 Жыл бұрын
Mke wangu Hawezi Kufanya Kazi Yoyote hata Awe Kasoma Udaktari Atakuwa mama Wa Nyumban Tu atafuga Kuku Mwanaume Nikapambane.
@AishaNasibu-u5u Жыл бұрын
Ndio atakopa mpaka
@lama6310 Жыл бұрын
@@AishaNasibu-u5u siwez Oa Nikiwa Sina Hela Bora Nife Bachela