VIDEO:NYUMBA ILIYOKUWA IKIJENGWA NA MFANYAKAZI WA GGML ALIYEUAWA KIKATILI GEITA, JIRANI AMUELEZEA

  Рет қаралды 220,587

Millard Ayo

Millard Ayo

Жыл бұрын

Пікірлер: 209
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
Duh kweli ukipanga ma Mungu anapanga...tumtangulize Mungu katika kila jambo.. Eeh Mwenyezi Mungu tulinde na tuepushe na matukio hatarishi, tujalie afya njema,usalama na maisha yetu,na kubwa kuliko yote tujalie pumzi ili tufaidi matunda ya jasho letu tukiwa na afya njema.. Amen
@sistertrashid2488
@sistertrashid2488 Жыл бұрын
Amiin
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 Жыл бұрын
Ameen
@rahmahusseyn6555
@rahmahusseyn6555 Жыл бұрын
Aaamiin yarabb
@khadijakheir9323
@khadijakheir9323 Жыл бұрын
Amiin
@agnessvicent6591
@agnessvicent6591 Жыл бұрын
Amen
@omanmct135
@omanmct135 Жыл бұрын
Aaaalllah ndo anampanga kilakitu chabinadamu❤❤aaallah anajuwa zaidi
@mamasia9741
@mamasia9741 Ай бұрын
Hakuna binadamu mkamilifu ata kama alikua na mapungufu hakustahili azabu hii mwacheni mungu mwenyewe ahukumu. Msihukumu mkaja kuhukumiwa apumzike kwa amani
@yusuphibrahim-yq9mv
@yusuphibrahim-yq9mv Жыл бұрын
Mungu anajua zaidi wanadamu wapo zaidi yawanyama
@vickydan2869
@vickydan2869 Жыл бұрын
Pamoja nayote mwenye kuhukumu ni mungu wamemkatili sana
@floraluzabiko7679
@floraluzabiko7679 Жыл бұрын
Aisee kapambana mwenyewe lkn wamemkatisha mbaya sana pole kwa familia yake na jamaa zake
@officialkamdudu
@officialkamdudu Жыл бұрын
mjinga huyu acha asepeshwe ametutesa sana kwa kulamba lba mademu zetu mbwa huyo kzbin.info/www/bejne/aJSynYlpo6yJnck
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 Жыл бұрын
huu ukatili uliopitiliza, Mungu atupe mwisho. mwema, km binaadam uwezi muondoa binaadam mwenzio uhai namna hii, hata km alikua na kosa ww pia uliyemua.kinyama unakosa zaidi.sijui utajibu nini kwa Mungu🙏
@ElygloryKilango-qu1kj
@ElygloryKilango-qu1kj Жыл бұрын
Yeye mwanamke anaoaje? Anaeneza mapenzi ya jinsia moja watu wamechoka tabia zake
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 Жыл бұрын
@@ElygloryKilango-qu1kj hata ww unamapungufu hakuna mkamilifu, na wala hiyo sio dawa wapo na wataendelea kuwepo pengine hata ww.huna kijana wako gay , wanaume wenyewe. kwa sasa hawapo wote mpo wazi
@zakhiamsuya4922
@zakhiamsuya4922 Жыл бұрын
Mungu atujaalie mwisho ulio mwema kwan hapa duniani tutaondoka na amali zetu na kijisehem kidgo sana cha Ardhi😥
@nesielias9493
@nesielias9493 Жыл бұрын
Walaaniwe milele yote wote waliofanya mauaji haya watangetange Siku zote za maisha Yao wasipate msaada na yeyote
@magrethminja1309
@magrethminja1309 Жыл бұрын
Amen ikawe ivo na kizaz chao kisbakie hata Cha kukumbukwa
@merckmdamu2942
@merckmdamu2942 Жыл бұрын
Mhh,Weni nani wakuraani?
@khadjamhozya
@khadjamhozya Жыл бұрын
Kwaniunaona wamefanya mzuri 😞waraaniwe tu😭
@abdulrahmankafuku3449
@abdulrahmankafuku3449 Жыл бұрын
Duniani tunapita tuu, sisi ni m/mungu na kwake tutarejea , kama vile umeme wa LUKU unavyokatika ndiyo sawa na kifo , kinakukuta sehemu yoyote sote tujiandae na hii safar
@suhailaabdul2579
@suhailaabdul2579 Жыл бұрын
Leo Ni yako Ila kesho ni yake #M/Mungu
@jamessakaya1890
@jamessakaya1890 Жыл бұрын
Uwenda ni wivu wa maendeleo...maana si wote wanapenda manendeleo yako.
@edgaphabian407
@edgaphabian407 Жыл бұрын
Wivu tumzee kabsa
@rosemery3017
@rosemery3017 Жыл бұрын
Exactly 🙏
@idrisamngagi284
@idrisamngagi284 Жыл бұрын
Hivi huyu ndo yule dada alie muoa mwanamke mwenzie si ndio?
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Жыл бұрын
Kaongea vzr Mzee pia anawivu kabisa babu wawatu 👍
@lameckmnanka9330
@lameckmnanka9330 Жыл бұрын
Pole sanaa mdogo wetu akupuzishe kwaaman
@nassorsalumkambas4181
@nassorsalumkambas4181 Жыл бұрын
Atamweleza vzr mungu na huo usagaji wake alio kuwa anaufanya duniani
@ElygloryKilango-qu1kj
@ElygloryKilango-qu1kj Жыл бұрын
Kabisa
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Жыл бұрын
Mungu sio bunadamu ni mwingi wa rehema.. huezi amini alipokuwa anateseka kukikabili kifo alimuomba Mungu msamaha wa moyoni mwake.. Mungu huhitaji unyenyekevu wa moyo tu..
@simonchristian6319
@simonchristian6319 2 ай бұрын
We una uhakika gani kama akifika huko,atahukumiwa
@mariamwacha6579
@mariamwacha6579 Жыл бұрын
kila mtu ana haki ya kuishi,,, na mwenye kuhumu ni Mungu mwenyewe wala si binadamu,,, mnajuaje ck za mwisho angerudi kutubu kwa Mungu wake? very sad,, rest in peace Milembile😭😏😣
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 11 ай бұрын
Subhannallah, mtihani kwakweli
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 Жыл бұрын
Asante Yesu
@nyambuli.mmanyasi6859
@nyambuli.mmanyasi6859 Жыл бұрын
Nilikuw nackitik baada ya kuckia hili ,baada yakuona clip anamvisha Pete mwanamke mwenzie na deep kiss hadharan daah maumivu yakapungua kwakweli,apumzike kwa aman sote njia moja
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 Жыл бұрын
KWA KWELI NI HATARI SANA
@ElygloryKilango-qu1kj
@ElygloryKilango-qu1kj Жыл бұрын
Anajiweka kiume kabisa wamechoka matabia yake
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Жыл бұрын
Life is unpredictable😢😢. Live your life and be happy everyday as tomorrow is not guaranteed
@chifuthedoni8889
@chifuthedoni8889 Жыл бұрын
Lazima kuna sababu hapo, Watu hawawezi kuamua tu kukuua tu bure bure! Wangeuawa wengi mno! Tuwe tu wastarabu hasa sisi watafutaji! Kila uingiapo na utokapo nenda kwa haki yako tu! Mara nyingi mauaji kama haya hutokana na dhuruma na dharau kupita kiasi! Unajikuta umemchosha mwenzio bila we kujua! Matokeo yake sasa! Wanakuondoa duniani unaacha vyote!
@khadijamwenda1851
@khadijamwenda1851 Жыл бұрын
Hii comment kama umeniandikia ndugu Kuna mtu namuwazia ubaya kaniumiza mfano hakuna maisha YANGU yamekosa muelekeo
@happymvula
@happymvula Жыл бұрын
@@khadijamwenda1851 kila nafasi ya kuishi ni mwanzo mpya, achana naye anza upya!
@fatumajumanne5961
@fatumajumanne5961 Жыл бұрын
Yaan huyu ukiacha huo utopolo wake Kuna la Nyuma ya pazia wivu au wafanyabiashara wenzake.
@daimavlog
@daimavlog Жыл бұрын
Hata kama siyo umuue mtu hivi
@daimavlog
@daimavlog Жыл бұрын
Lakini umesahau, wivu ni kitu kibaya kuliko dhuruma. Watu wanawivu wanakuua kisa wivu tu, inaweza kuwa wivu na wala siyo dhuruma . Kaangalie huko kenya, mwanamke na mumewe wameishi Marekani miaka Mungu, wakajenga ghorofa kenya, kufika tu Kenya Watu wakaja wakawaua vibaya. Hasidi hanaga sababu ndugu tafute ela upate maadui, kama hujawapata basi ujue wee bado maskini
@kalemberehema1205
@kalemberehema1205 Жыл бұрын
Daaa alikua anapambana mweee pole ndugu yetu kapata maumivu makali san
@halimaiddy8691
@halimaiddy8691 Жыл бұрын
Daa binadam wabaya san jamani 😢😢😢❤❤❤
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Жыл бұрын
Daaaa kifo😢mhhh🙌 Nikifikilia sio siri Naumia😭😭😭😭😭yani meri zoteeeee Ulizozupambania kwamda mlefuuuu Uku Ukitoka jaso,machoz yalichanganyika nakamasi ,Mwisho wasiku Unatoka wewe km Wewe 😢zaid zaid ndg wakufuiiliye pesa yako wakununuliye Lisanduku lagharama😢nakaburi lakufunika😢 Mweeee🙆🙆🙆Pumzika kwa Amani ndg yetu😭
@africa7479
@africa7479 Жыл бұрын
kweli ukifikiria kuhusu kifo unaweza hata usioge
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Жыл бұрын
@@africa7479 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nacheka km Mazuri,
@aminaamina9568
@aminaamina9568 Жыл бұрын
Innalilah wainnalilah rajiun 😭😭
@mishikikoti2948
@mishikikoti2948 Жыл бұрын
Awalipe wote fundi mkuu aambiwa hela hamna, kuna nn hapa
@madirishasimon9692
@madirishasimon9692 Жыл бұрын
Hizi takataka zilizomkatisha maisha huyu dada wanyongwe
@anethteodos6208
@anethteodos6208 Жыл бұрын
Mungu ndiye hakimu wa haki,tuache kuhukumu
@mwitamalwa2773
@mwitamalwa2773 Жыл бұрын
Duuuuh binadam bwana shida tupu mtukajijenga vzr lakn kakatiswa ndoto zake jaman
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Baba anabana ila marehemu inaonekana alikuwa hataki masihara huna kazi ndani hamukuhusu ndo dunia mbele yake nyuma yetu tuombe hatima njema inshallah
@hamiduhamisi2371
@hamiduhamisi2371 Жыл бұрын
kweli kabisa inaonekana huyu marehemu alikuwa siliasi sana kwenye mambo yake tu kiasi kwamba hata majirani walikuwa hawana uhuru nae na yawezekana hata wafanyakazi wa mtaa wake hakuna aliepewa hata kubaruwa katika hiyo kazi, sasa hiyonayo ya kutojichanganya huwa ni mbaya sana unajitengenezea ubaya na majirani zako wao ndo wa kwanza kukurinda na haohao ndo wa kukuwekea chuki na nirahisi sana kukumaliza hayo ni mawazo yangu tu ila yote yanawezekana hapa kilichobaki ni selikali ifanye kazi yake juu ya hili ili iwe fundisho kwa wengine mbele yake nyuma yetu poleni sana family yote kwa ujumla na wanageita wenzake na jamaa zake wote wa karibu pumzika kwa amani dada yetu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
@@hamiduhamisi2371 Watanzania ni wanyama wana roho mbaya sana ya kichawi watanzania huwa hawapendi mtu afanikiwe maishani watakutafutia sababu kukumaliza, ndio maana nchi iko nyuma kimaendeleo
@hamiduhamisi2371
@hamiduhamisi2371 Жыл бұрын
@@kabwelasutiviraka4765 mhhh😳😳😳😳🙆🙆🙆🙆 mie ni mtanzania ila siwezi changia kwa hii kauli yako sipo razi, isipokuwa kila mtu anafahamu uhalisia wa maisha yake anayoishi yeye na jamii inayomzunguka kwa ujumla, kumbe vingine vinaepukika ukiligunduwa hilo sizani kama litakusumbuwa sana japo mwenyezi mungu ndie anaejuwa kuishi kwa binadamu ila hata sisi inatakiwa tujuwe kwamba tuko wapi, tunafanya nini, na tumezungukwa na watu gani hivo tu. ila ck ikifika halina mpinzani hata kama wote tungehamia ikuru tukaishi kwa ulinzi wa kutosha bado tutakufa tu 🙋🙋🙋🚶🚶🚶🚶🚶
@zuhuzuli.5150
@zuhuzuli.5150 Жыл бұрын
Pumzika kwa amani kweli binadamu hatujui kesho yetu inauma sana kukatisha maisha ya mtu hata kama unamdai au vip sio sahihi😭😭😭
@neemadickson9526
@neemadickson9526 Жыл бұрын
Rest in peace mama g 🙏🙏🙏🙏🙏🙏😔
@Jonas-kk4bh
@Jonas-kk4bh Жыл бұрын
NIMEAMINI KWELI KUMBE HII TV WASENGE NA MMILIKI WAKE WOTE MASHOGA
@furahinimbise3382
@furahinimbise3382 Жыл бұрын
Wasagaji na mashoga wanalipi la kujifunza hapoo? Ila hali ni mbaya sana savi
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 Жыл бұрын
Yesu wa msalaba. Km ni mtu basi afanywe km alivyofanya na tunakuomba mfalme tujibu tushuhudia kwa macho. Ya sirini unayajua wewe Mungu wetu fanya km ni mtu/watu basi wawekwe hadharani
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Жыл бұрын
Ndio yule ambae media zingine waliripoti kuwa aliachanisha ndoa za watu Kwa kufanya MAPENZI ya jinsia moja au huyu ni mwingine????Sasa kama ni kweli alikuwa anajihusisha na mahaba ya jinsia moja na ameharibu ndoa za watu ,bisi waandishi kemeeni kitendo alichokuwa anakifanya yeye ,Kisha mkemee na kitendo alichofanyiwa yeye ili jamii ijifunze Kuwa makosa yote mawili hayafai.
@jasminyabdully499
@jasminyabdully499 Жыл бұрын
Ndo huyo
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Ndiyo alikuwa msagaji
@zulfasaeed7445
@zulfasaeed7445 Жыл бұрын
Ni yeye
@lizzybahati3739
@lizzybahati3739 Жыл бұрын
😢😢😢
@farajikitihu4558
@farajikitihu4558 Жыл бұрын
Dunia inaenda wapi kuuwana kinyama hivyo.
@daimavlog
@daimavlog Жыл бұрын
Dah kweli binadamu wabaya jamani😢😢😢😢
@happinessmillanga982
@happinessmillanga982 Жыл бұрын
Kuna misiba mingine ukisikia ata hushituki Kuna dhambi ukiwa unafanya Kwa kumkosea adi Mungu uumbaji wake mwisho uwa mbaya tu
@jacquelineadrian6436
@jacquelineadrian6436 Жыл бұрын
Duuh maskin ingeisha hiyo ingekuwa boonge la sehemu
@omarmwapanahd4819
@omarmwapanahd4819 Жыл бұрын
Mshenzi baladhuli huyo mungu amchome vzr maluuni huyo
@oliverjason4335
@oliverjason4335 Жыл бұрын
Mmmh uyo fundi atoe maelezo
@pelusiemanueli6926
@pelusiemanueli6926 Жыл бұрын
😭😭
@AnglLedman-gy6jc
@AnglLedman-gy6jc Жыл бұрын
Kama nikweli wanasema alikuwa akisagana na walikuwa wanajua kwanini hawakuenda kutoa taarifa pahala usika achukuliwe Sheria mnasubili kafa ndoumna sema
@ishipalemypasco2567
@ishipalemypasco2567 Жыл бұрын
INgawaje marehem hasemwi ila kwa hili hata kama awe ameuawa sio kwa ajili ya hayo mambo yake ya kishenzi ila mi nasema amestahili kufa kwa sbb hayo aliyo kua anafanya ni mabaya hayafai na alikua anazidi kueneza mbegu ya ufuska mbaya kwa mabinti
@khairatsuleiman4606
@khairatsuleiman4606 Жыл бұрын
Sahihi Hawa viumbe wauliwe tu
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Жыл бұрын
Hii na ukahaba wa kujiuza Haina tofauti lakini mbona la wale wanaojiuza hamuwasemi?
@judyngowi391
@judyngowi391 Жыл бұрын
Mimi sijaelewa, mnasema alikuwa MSAGAJi? Alikuwa anasaga nini? Mahindi au nini?
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 11 ай бұрын
Subhannallah
@rosemaryrwabibi5908
@rosemaryrwabibi5908 Жыл бұрын
Kumbe alikua anafanya Kaz GGM
@jacquelineadrian6436
@jacquelineadrian6436 Жыл бұрын
Alafu kaz ya kuhukumu sio yetu....
@pauloropian2367
@pauloropian2367 Жыл бұрын
Mwehu huyo anaonekana kama msagaji bora apunguze ili tuinusuru maangamizi ya taifa juu ya hasira ya Mungu.
@officialkamdudu
@officialkamdudu Жыл бұрын
hana maana mjinga huyu kzbin.info/www/bejne/aJSynYlpo6yJnck
@AnglLedman-gy6jc
@AnglLedman-gy6jc Жыл бұрын
Mwonekano usikuchanganye mungu pekee ndoajuaa
@officialkamdudu
@officialkamdudu Жыл бұрын
@@AnglLedman-gy6jc hata sisi tunajua muangalie huyu hapa 👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/aJSynYlpo6yJnck
@aminaamina9568
@aminaamina9568 Жыл бұрын
Kama ni kweli alikua na vitendo kama ivyo vya usagaji Alistair tu kuuwawa maana ili janga ni hatar sana kwa dunia hii kwa ujumla ikiwezekana kwa yeyote atakae bainika kua ni shoga ,msagaji,wanao walawiti watoto,na vitendo vyote bya ivyo wapewe adhabu ya namna hii nadhani baada ya miaka kadhaa dunia itabadirika kwa uwezo wa Allah
@obadiajohn668
@obadiajohn668 Жыл бұрын
sapoort
@jovanafidelis2802
@jovanafidelis2802 Жыл бұрын
Jamani jamani,Kwann tunakuwa kama hukumu ni juu yetu? Sisi ni wasafi?
@aminaamina9568
@aminaamina9568 Жыл бұрын
@@jovanafidelis2802 kama ni kweli unataka Aya mambo yaendelee au maana tuna janga la kitaifa linekisir Kila kukicha au wewe upo dunia gani
@mohdali2408
@mohdali2408 Жыл бұрын
​@@jovanafidelis2802 alicho sema dada ni sahihi siku akilawitiwa mwanao ndio utajua ukweli na ubaya wa huruma yako
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 Жыл бұрын
Huu utakuwa ni wivu wa maendeleo tu hakuna chochote.hayo mengine fit ina tu.
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
💔
@RuthSarakikya-nf7lh
@RuthSarakikya-nf7lh Жыл бұрын
😥😥
@frankmushi8892
@frankmushi8892 Жыл бұрын
Atariii
@RickshabyVlogs
@RickshabyVlogs Жыл бұрын
Unakuta kapiga madini ya watu cheza na waponcher
@amourmohamedfaki4506
@amourmohamedfaki4506 Жыл бұрын
Kikatili sana
@rebekakalondji2576
@rebekakalondji2576 Жыл бұрын
😢😢
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Жыл бұрын
Hahahaha wangemwacha kidogo apambane na ujenzi uishe nyumba zipate na wapangaji ndiyo kazi iendelee lazima tuwatokomeze nimeona zile video za kuvalisha mwanamke Pete nikapata hasira zaidi nlijua wanamsingizia kumbe Kweli
@masatumgeta196
@masatumgeta196 Жыл бұрын
Pesa ni nzr lkn uangalie na hizo pesa umezipataje
@ericahrey-hj8wh
@ericahrey-hj8wh Жыл бұрын
😢😢😢😢
@josephlucas2786
@josephlucas2786 Жыл бұрын
Dunia Ina Siri sana msione watu Wana mafanikio ujui nyuma yake Sizan kama nimeeleweka UNAYO YAONA MACHON MWAKO NI ROBO YA YAONEKANAYO NYUMA YA MACHO YAKO
@rahamamohd3075
@rahamamohd3075 Жыл бұрын
Upo sahihi
@lilianmsofe1339
@lilianmsofe1339 Жыл бұрын
Dah
@billgussy6099
@billgussy6099 Жыл бұрын
Atakua kauwawa na wanao mdai au majambazi walio dhani ana pesa nyingi za kuwalipa wafanyakazi
@eyabdimaha3698
@eyabdimaha3698 Жыл бұрын
Bora wangemuita kwanza wakamkanya kwa kumuelekeza pengine kama hayo alokua nayo angewacha bila ya kumdhulumu nafsi yake
@laurenciazacharia9197
@laurenciazacharia9197 Жыл бұрын
Duh kauwawa kinyama lakini
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
So who is she.Acha serikali ichunguze
@reginamanyangu7258
@reginamanyangu7258 Жыл бұрын
Inauma sana 😢😢😢😢
@wiseman-or8xv
@wiseman-or8xv Жыл бұрын
Huyu dada week iliopita yule mangekimambi ilikua na mpost Kila mda
@peninacharles9757
@peninacharles9757 Жыл бұрын
Eti Nasikia alikuwa MSAGAJI 🤧🤧🤧
@ElygloryKilango-qu1kj
@ElygloryKilango-qu1kj Жыл бұрын
Ndio na anamwanamke amemuoa kabisa
@mafurumatijo8803
@mafurumatijo8803 Жыл бұрын
Msagaji wa mahindi au mtama?
@joycekalago532
@joycekalago532 Жыл бұрын
Hata kama alikua mkoboaji lakn alikua na akili za kujitenvenezea mqisha duh
@r14kgroup68
@r14kgroup68 Жыл бұрын
Pumzika salama
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 Жыл бұрын
Uyo mwanamke alikuwa anajiweza kitu kingine matajili waki Africa walio wengi Wana zulum awajali maskin tajil
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Ameuliwa kwa sababu alikuwa lesbian Watanzania wana roho mbaya sana ila mafisadi wanaowaibia mabillioni mnawachekea na kuwakumbatia mtabakia mavi kunuka milele !
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 Жыл бұрын
@@kabwelasutiviraka4765 aaah kweli wanasiasa wanaiba mabi wanachwa awachkuliwi hatua zozote wana chekelewa ila kwa uyu wameona anamakosa zaidi
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 Жыл бұрын
@@kabwelasutiviraka4765 tumia akili wewe mwizi hufa na wizi wake wala hashawishi wala kuambukiza jamii wizi lakini lebisian ni sumu inayo haribu jamii kubwa hata wewe inaweza ikakutembelea kwa hiyo mtu mmoja anaeta uharibifu mkubwa katika vizazi kama unaakili nzuri utagundua kwanini Mungu aliwateketeza wote wakati wa Luti
@HadijaMzuzuri-ls3wf
@HadijaMzuzuri-ls3wf Жыл бұрын
Nasra said kambangwa
@ustawiwetu
@ustawiwetu Жыл бұрын
Watanzania wengi wana roho mbaya hawataki mtu afanikiwe
@maryamtan682
@maryamtan682 Жыл бұрын
Dunia mzima iko hivyo sio watanzania tu, hiyo yote ni kukosa hofu ya mungu.
@kichongetogoro1621
@kichongetogoro1621 Жыл бұрын
Sio kweli asee ingekuwa hivo kusingekuwa na matajir Tanzania hapo ukichunguza vzr Kuna maslah binafsi na ubinafsi huko kazn kwake ndo sababu za mauaji ya hivo ila Ni mtazamo na maoni yangu.
@BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT
@BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT Жыл бұрын
Rip
@ezekiellameck3559
@ezekiellameck3559 Жыл бұрын
R.I.P MAMA 😥😥😥
@roswitaexavery3378
@roswitaexavery3378 Жыл бұрын
Kuuliza alijenga mwaka Gabi inakuhusu Nini
@yohanapaul652
@yohanapaul652 Жыл бұрын
Muwe munawasogezea maiki tusikie we ukiongea unasikika..!
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 Жыл бұрын
Nyumba 4 kwa Wakati Moja? Mmmmmmmh
@mophatsamwel6587
@mophatsamwel6587 Жыл бұрын
Mshenzi uyo alikuwa anaharibu wake za watu Kwa kusagana. Mwanamke aliye zoea kusagana hatamani mwanaume kabisa. Sasa inasemakana alikuwa akiwa rubuni wake za watu Kwa kutumia pesa Kisha kuwafanyia usagaji
@asiamwarabu440
@asiamwarabu440 Жыл бұрын
Uliwah mshka akisaga mtu
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Kafa kiukatili
@mwalimukhamisi1680
@mwalimukhamisi1680 Жыл бұрын
Hamna ushahidi wala uthibitisho kwamba kauwawa kwa sababu ya huo ubaradhuli, hizo ni comments za watu tu baada ya kifo chake. Mbona wakati yu hai hakukuwa na tuhuma zozote , Kwa msingi huo inawezekana pia kauliwa na barazuri wenzake ili kuipaka matope serikali. Suala uchunguzi nani kahusika sio jambo la haraka, hamna mwenye ushahidi wa moja kwa moja , tuwaache wenye mamlaka wafanye kazi yako. Lkn pia pia ikumbukwe ya kuwa tayari sheria zinazowahusu hao mabarazuri zilishatungwa kitambo , na hukumu yao sio sio kupelekwa ulaya kula Bata. Labda tu utekelezaji ndio ulikuwa umesinzia. Wabunge wao wameonesha hisia zao namna walivyoguswa na kukerwa na jambo hili. Sio Qur an wala biblia inaruhusu ushoga. Hivi mnavyodhania ilija adhabu ya Mungu kuna nchi yeyote inaweza kuzuia ? Kama ipo ikaamze kule sodoma na gomora . waende wakawafukue waliokandamizwa ili kutetea haki zao.
@zayneryassin6054
@zayneryassin6054 Жыл бұрын
Fact
@AnglLedman-gy6jc
@AnglLedman-gy6jc Жыл бұрын
Kwel kabs
@winyfireehammy2335
@winyfireehammy2335 Жыл бұрын
😊
@kilimohub580
@kilimohub580 Жыл бұрын
Wats the point ? Showing her house
@jimmylema8830
@jimmylema8830 Жыл бұрын
Is the place where they found her body
@HelenahSian-hl5ue
@HelenahSian-hl5ue Жыл бұрын
Mdada tapeli
@michaelkipara8205
@michaelkipara8205 Жыл бұрын
huyo dada alikua msagaji mashughuri geita,alikua ameoa wanawake kibao
@reganmartin5485
@reganmartin5485 Жыл бұрын
Nawe alikusaga?
@ivonaalex2549
@ivonaalex2549 Жыл бұрын
Huyu namjua maskin😭😭😭
@MtuSafi
@MtuSafi Жыл бұрын
na dem wake ndo nini?..Kwani ni mwanaume huyo?
@ivonaalex2549
@ivonaalex2549 Жыл бұрын
@@MtuSafi n mwanamke ila alikuwa na demu
@MtuSafi
@MtuSafi Жыл бұрын
@@ivonaalex2549 😀😀Alimfungulia duka?..Sasa mlijuaje kama ni demu wake je, kama alikuwa mfanyakazi wake mlitambuaje hilo?.
@bensonlucas7607
@bensonlucas7607 Жыл бұрын
Ndo Ramani gani hiyo
@zamzamhassan4159
@zamzamhassan4159 Жыл бұрын
😂😂🤣🤣nilijua Peke yngu nimeona kumbe nawewe
@iwishtv7907
@iwishtv7907 Жыл бұрын
Nimeona Video za Afisa manunuzi wa GGM aliyeuawa, Alikuwa analitia laana na unajisi Taifa letu, Alikuwa anatuchafua kama Taifa, Wakati mwingine ni heri kupoteza mmoja ili wengi wawe salama. Nawaomba Watanzania na Waafrika wote tuoneshe hasira kali dhidi ya Ufuska na Uchafu wa Ushoga na Usagaji.
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Yaaan Mungu atusamehe sana maana ni hatari sn
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Жыл бұрын
Mhm anajenga nyumba kubwa hivi na hana gari?? Na aliye muita site ni nani? Na also walipa waliondoka? Na je walimuacha na nani? Ukweli utajulikana bana hao kwanza
@priscamlyuka5531
@priscamlyuka5531 Жыл бұрын
Naskia magar anayo meng ty
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Жыл бұрын
@@priscamlyuka5531 Mhm sa bajaj alichukua ya nini? Story zinachanganyikana.
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Жыл бұрын
@@priscamlyuka5531 aliye muita kuwa kuna tatizo site akamatwe. Atasema yote
@happymushi1682
@happymushi1682 Жыл бұрын
Gari anazo labda alipanda bajaj kwa maamuzi tu
@merykusekwa7755
@merykusekwa7755 Жыл бұрын
Wamemuonea wivu tu
@officialkamdudu
@officialkamdudu Жыл бұрын
waliomcharanga mapanga nawapongeza sana sana sana Mungu awabariki. mjinga huyu alikua ana pesa za kuchezea mademu zetu vinembe acha akavune alichopanda pimbi huyo. kzbin.info/www/bejne/aJSynYlpo6yJnck
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 Жыл бұрын
We utaishi milele au siooo
@officialkamdudu
@officialkamdudu Жыл бұрын
@@zuleyvendor6577 kila mtu atakufa na atavuna alichopanda. au na wewe alikuzagamua nini ? maana pisi kali kama nyingi ilikua ndio zake kuwalamba mate 👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/aJSynYlpo6yJnck
@edinalihedule7609
@edinalihedule7609 Жыл бұрын
Binaadam jamani 😭 unamtoa uhai mwenzio 😭😭😭
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭 jaman
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Mamae ndio maana nilihama huko Tanzania ya mavi kunuka mko na roho mbaya sana hamna tofauti na wanyama au wachawi , sijui mlitaka mle nyama yake maana mmewauwa ndugu zetu ma albino na wazee sasa mmeimgia kuwauwa hao wasagaji na mashoga , mko na unafiki sana mbwa nyie utafikiri nyie ni watakatifu
@hassanihussein4479
@hassanihussein4479 Жыл бұрын
​@@kabwelasutiviraka4765 bado na wewe kuma wewe mashoga wote ukiwemo na wewe ukijichangaza lazima tukutenganishe kiwiliwili chako na mwili wako chako wewe
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
@@hassanihussein4479 nipe tigo uone kama sijakutoa mavi fala wewe, ngoja siku ndugu yako auwawe ndio utaona faida ya kuwa wauwaji maana mmewauwa ma albino wazee sasa mmeanza kuwauwa hao watu , na msikifirie Tanzania ni kisiwa dunia itawaangalia tu endelea kuuwa hiyo LGTBQ community na muone reaction ya dunia .
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
@@hassanihussein4479 unaona ungeisaidia police vipi ulikula na nyama yake baada ya kumuuwa does it make feel good after you killed her ?
@joyceassey2347
@joyceassey2347 Жыл бұрын
Duuuuuh aise,,tunasema wazungu ndo wanashadadia ndoa za jinsia moja,mbn na tz uyo dada akimvisha mtu Pete watz kabisa ndo wanashangilia,,looooh
@winnifridaashery4449
@winnifridaashery4449 Жыл бұрын
We acha tu ndg yangu ht Tz majanga yamekithiri Kwa kasi Mungu atunusuru tu
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 Жыл бұрын
Tena kitambo eti 2009 jamani mimi nimezaa mtoto yupo fom 3 sasa yeye kaoa mwanamke mwenzie na uongozi upo kimya
@maryamtan682
@maryamtan682 Жыл бұрын
Iyo ndo hatima yk aliyoandikiwa kufa hivyo, ss ngoja akajibu yl aliyoyatenda, kwa maana matendo yk yataamua wapi aelekee.
@joycekaguo8476
@joycekaguo8476 Жыл бұрын
Alizid na yeye
@witnesssabato5457
@witnesssabato5457 Жыл бұрын
Kazidi nn jamni, mtu asifanye maendeleo basi ni mbaya he "
@FreeGod368
@FreeGod368 Жыл бұрын
@@witnesssabato5457 alikuwa msagaji maarufu Tanzania ingawa hakustahili haya
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
@@FreeGod368 sasa kama msagaji si maisha yake wewe mbwa au alimsaga mama yako mzazi , mna roho mbaya sana na wakatili ndio maana Tanzania iko mavi kunuka hamna hata mpango
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 Жыл бұрын
wivu huo, ndo maana hauendelei, unafanya kazi kubwa matunda kidogo,
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
@@sleeprelaxation8431 mbwa hao wana roho mbaya roho za kichawi tu ndio maana mimi niliondoka Tanzania mavi kunuka
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 17 МЛН
Mauaji mtumishi GGM Ushahidi wa alama za vidole wafikishwa mahakamani
3:35
Mwananchi Digital
Рет қаралды 1,4 М.
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН