Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@aristideskilawe50247 ай бұрын
This is good. Waacheni watoto wadogo waje kwangu❤ MANENO ya YESU.
@SaliminiMtey-nh9wj7 ай бұрын
Watoto wa watumishi wa ikulu
@jedidahbintidaudi82417 ай бұрын
Bibi na wajukuu zake. Bi Samia anapendeza mno na watoto she is just natural with kids!!!!
@rukiyyarukiyya63177 ай бұрын
Mashaa llaah❤❤❤❤
@japharabbysana7 ай бұрын
Allah akuhifadh rais Wangu nadada yng aaamin
@khadejarajab80077 ай бұрын
Waacheni watoto waje kwangu kwa bibi yao🎉🎉🎉🎉
@abuayman81847 ай бұрын
Allaah akuhifadhi mama Akuchunge na akuongoe Shari akuepushie
@exaverysimon10647 ай бұрын
NAN KAMA MAMA❤❤❤❤
@monikamasasi75827 ай бұрын
Watoto hao wa kina nani? Usikute ni watoto wa watu wenye pesa zao
@Gml-wi5nv7 ай бұрын
😂😂😂mashallh
@LenaHolland-y2f3 ай бұрын
Raha ilioje
@BrianMkamaАй бұрын
Mama watoto!😂😊😅
@smartonlinetv51447 ай бұрын
Jamani watoto na bibi yao
@evelina96217 ай бұрын
Kweli
@adamhashim33527 ай бұрын
Hamna mtoto wa pangu pakavu hapo
@seemanishekiao7 ай бұрын
Samahani niwie radhi. Ashakum sio matusi. Hakuna mkamilifu ila Allah. Ile rangi inayotenganisha kijana nyeusi na bluu ni rangi ya dhahabu