VIDEO: TAZAMA MAKONDA AMKABIDHI PROF. JAY MILIONI 20, AAHIDI KUMTAFUTIA NYUMBA MASAKI

  Рет қаралды 67,588

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 140
@ramseyngwejela499
@ramseyngwejela499 10 ай бұрын
Profesa J jaribu kwenda kwenye huduma za maombezi Mungu anaweza kukuponya tatizo lako ikiwa utamwamini. Jaribu jambo hilo brother. God is real.
@mauleenkiwia6022
@mauleenkiwia6022 10 ай бұрын
Na hapo sio kujaribu Bali ni kuchukua hatua na kwenda hakika Mungu ni mtaalamu wa yasiyowezekana anaweza kutenda jambo jipya Kwa mpendwa wetu huyu
@josephlorri431
@josephlorri431 10 ай бұрын
Huko maombezi utapeli tu.. hali aliyonayo Prof J ni alimtegemea Mungu, ni kwa uwezo wake muumba tunamwona anaendelea kupata nafuu..
@salimbasho8126
@salimbasho8126 10 ай бұрын
Maombi sio lazima uombewe kila mja mungu anamsikia yeye pia yuaomba mungu aweze kutembea na hata ww pia unaweza muombea pia mungu atakuskia ukimuombea
@simonsadala2386
@simonsadala2386 10 ай бұрын
Hongera sanaaaa ndg Mwenezi Kwa kutimiza ahadi yako pole sanaaa mh Prof Jay kwa changamoto ya afya Utakaa sawa
@IssackMaingu-ng5lk
@IssackMaingu-ng5lk 10 ай бұрын
Mwenenzi na Itikadi Taifa hongera kwa upendo wako kwa kumujali mbunge msataafu wa mikumi ndg Professor J. Nimeduwazwa kwa kiongozi wa ngazi ya juu kuchukua hatua yakuthubutu kwa vitendo tena mbushara na kumfikia mgonjwa, tumeshundia viongozi wanaahidi tu na siyo kutekeleza ila kupitia wewe Makonda nimeona kitu cha tofauti sanasana kutoka kwako na Mungu akubariki
@enezermwafrica7443
@enezermwafrica7443 10 ай бұрын
Hongera Kaka wa Taifa Mh Makonda, Mimi ni mtanzania niliyefikia mwisho wa kufikiri juu ya maisha yangu, maana sina kazi na mtaji wa biashara pia sina na nina familia hali ni mbaya mno! Naomba unisaidie mtaji nifanye biashara, nimefikia mahali sioni faida ya kuishi duniani angali familia inanililia, naomba msaada wako Mh Makonda
@ZawadiMgeni-l6r
@ZawadiMgeni-l6r 9 ай бұрын
Makonda mungu akulinde na akuzidishie miaka mingi kwa kujali wenye shida proffessee jay tunakuombea kwa mungu upone haraka
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 10 ай бұрын
Hongera sana makonda.Mungu atalipa zaidi ulipotoa.
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 10 ай бұрын
Dah aisee mpk huruma huyu kaka aisee ujafa ujaumbika mungu wetu n mkali mno. Hongera makonda,,,pole prf.najua unamaumivu mno.
@servantofalmightygoddranth2511
@servantofalmightygoddranth2511 10 ай бұрын
Mwenyezi MUNGU Akubariki Paul Makonda na Joseph Haule nakushuhudia habari za YESU ALIE HAI Anaponya anaokoa, Okoka leo YESU ALIE HAI Anaweza kuyaondoa hayo yote
@EdiphonceNdibarema
@EdiphonceNdibarema 10 ай бұрын
Makonda ni mtu na makonda ni kiongozi na makonda sio mnafiki Kama wanao mnafiki yeye mungu hipo siku mungu atamtimizia Nia yake njema ya kuwatumikia watanzania wote ana Nia njema na ni mzarendo Amini makonda
@onewize14
@onewize14 23 күн бұрын
Pele sana frofesa j mungu atakusimamia mungu yupo pamoja nawewe kuwa naiman utapona mwamin mungu japo sina chakukusaidia ila nachangia coment mwamin mungu utasimama tena pia niwaombee afya njema kwaote wanao simama nawewe juu yakujali afya yako mungu yupo utasimama tena kuwa naimani wanao kuuguza mungu awazidishie uzima naafya
@Waytozanzibar
@Waytozanzibar 10 ай бұрын
Mbona kama baazi ya wasanii kama wamemtenga Professor J. Wasanii hawana umoja. Pole sana professor J.
@mashakandalahwa8245
@mashakandalahwa8245 10 ай бұрын
Hongera Sana mh makonda unafanya Jambo la kumpendeza mungu , natamani hata kukutana na wewe
@JPTHESWAGGERBOY
@JPTHESWAGGERBOY 10 ай бұрын
Munguu akupee nguvuu na akuzidishiee makondaa upatee zaidii ya hichoo urichoo kitoa by jp the swagger boy from mbeya msanii chipukizii niaee kuja sunii
@IsackMkalimoto
@IsackMkalimoto 9 ай бұрын
Makonda mbabesana hatiagi huruma means
@EboMagai
@EboMagai 10 ай бұрын
Mwenyezi mungu akulinde makonda bi ap
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 10 ай бұрын
Huo ndiyo uungwana Mr.Makonda vyama ni njia za kupata viongozi siyo uadui
@ngazidickson9051
@ngazidickson9051 10 ай бұрын
Pole bro....ila makonda ni mfano wa kuigwa kweli una falsafa za hayati Magufuli brooo......live longer my braza.
@Alan-g2t
@Alan-g2t 10 ай бұрын
Ni kweli kabisa nami naunga mkono nenda kwenye maombi Yesu anatutendea mengi sana naamini utapona kabisa.
@neemanziku5403
@neemanziku5403 10 ай бұрын
Safi Sana makonda wetu Mungu Mungu akuongezee akupe afya njema maisha marefu Kwako making tunakupenda sana
@emmanuelywilibert2198
@emmanuelywilibert2198 10 ай бұрын
Hongera makonda kwa kumjali ndungu yetu profesa j ...arudi katika haliyake yakawaida ..
@Mdendemi.....
@Mdendemi..... 10 ай бұрын
Big up makonda unanikumbusha hayati Ubarikiwe sana
@Mganga-t5o
@Mganga-t5o 10 ай бұрын
Ongera brother makonda mungu akupe maisha marefu enderea na moyo huo,,,
@davidchanyeghea1910
@davidchanyeghea1910 10 ай бұрын
Mungu ni mwema. Hongera sana Mh. Makonda
@MsamiSwalehe
@MsamiSwalehe 10 ай бұрын
Makonda hongera sana mungu akubariki uwe na moyo huo huo pia nampa pole profesa jay
@PraygodMtena
@PraygodMtena 7 ай бұрын
hongeraaa sana makonda Kwa kumjulia Hali binadamu mwenzako
@edsonmunuo7112
@edsonmunuo7112 10 ай бұрын
makonda comrade,.hakika you are a real good person and good leader asante saana kiongozi 🤝🤝🤝
@EmmaWakesho-hs3jb
@EmmaWakesho-hs3jb 4 ай бұрын
Pole sana msanii wangu wa nguvu, naamini MUNGU atakuponya
@Satwant-c1p
@Satwant-c1p 10 ай бұрын
Masikini,professor jay!😢 mungu amjaalie apone haraka!🙏🏻
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 10 ай бұрын
Mungu Amsaidie Amponye na kumwokoa na yote Ubarikiwe Makonda kwa kumtia Moyo na faraja
@michaeljacobo269
@michaeljacobo269 10 ай бұрын
Bro, pole sana...tena sana...ila ushauri wangu Okoka achana na mziki shetani siyo mzuri wala hakutakii mema...
@jacklinedeus6068
@jacklinedeus6068 28 күн бұрын
Anatakiwa kuokoka tu
@swahilitheafricantongue7041
@swahilitheafricantongue7041 10 ай бұрын
Pole sana J. Mungu Bado anakuwazia mazuri, usikate tamaa
@christopherjoseph8330
@christopherjoseph8330 10 ай бұрын
Hongera makonda, baada Samia kumaliza 2030 uwe rais, nakuombea uzima.
@bushbabytz
@bushbabytz 10 ай бұрын
matako yako na ya kwake, rais my foot nyoko
@IshipalemyPasko
@IshipalemyPasko 10 ай бұрын
​@@bushbabytzmkundu wako pumbu za babu yako mzaa mamaako wa kambo
@bushbabytz
@bushbabytz 10 ай бұрын
@@IshipalemyPasko hahaha sibishani na watoto yatima mimo
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 10 ай бұрын
Mh mkonda umeweza ❤❤mungu akubariki sana
@othinielkamyola3697
@othinielkamyola3697 10 ай бұрын
MAKONDA UTAENDELEA KUWA MTU BORA HATA WAKUSEME VIBAYA😂😂❤❤
@hamidaawadhi835
@hamidaawadhi835 10 ай бұрын
Hongera sana Makonda,unajali
@HasnatMustafa-n1q
@HasnatMustafa-n1q 20 күн бұрын
Pole sana allah akufanyie wepes 🙏🙏🙏🙏
@BashProduction-w9b
@BashProduction-w9b 10 ай бұрын
Ndio maana nakukubali sana makonda forever I will be on your side
@AlliChibwana-xp3xw
@AlliChibwana-xp3xw 10 ай бұрын
Br. Makonda hauna mbambamba 👏👏👏
@JoelinaPareso
@JoelinaPareso 10 ай бұрын
Mungu akubariki sana makonda, E mwenezi mungu umponye professor J.
@meresoolesiata6952
@meresoolesiata6952 10 ай бұрын
Hongera sana hiyo ni moyo waupendo
@SeifRupatu
@SeifRupatu 10 ай бұрын
Inaumaa Sanaa sisi wananchi twaumiaa viongozi kilasiku wanamwaga hela kwa watu Wenye helaa😊😊😊😊
@neemanziku5403
@neemanziku5403 10 ай бұрын
Wew kumbuka kuwa huyu Ni mgonjwa huna haha ya kuongea maneno machafu
@RehemaKasenya
@RehemaKasenya 9 ай бұрын
Hongera sana
@mhozyamkungu3408
@mhozyamkungu3408 10 ай бұрын
Hongera sana brother makonda
@AderinGervaz-po1wn
@AderinGervaz-po1wn 10 ай бұрын
Kaka mungu akujaria makonda
@dallynmusmoegi
@dallynmusmoegi 9 ай бұрын
siamini this is the big artist jay but i thank GOD for this
@mariamrema6112
@mariamrema6112 10 ай бұрын
Pole sana baba mungu akupe nguvu bado tunakuitaji kwenye Sanaa ya mziki😢😢
@Zaburi-
@Zaburi- 10 ай бұрын
Mungu/MUNGU sio mungu
@RobbyMukonjero-rp5gt
@RobbyMukonjero-rp5gt 8 ай бұрын
Uyu ndio Makufuli WA Tanzania.
@LumolaSteven
@LumolaSteven 10 ай бұрын
Ama kweli hujafa hujaumbika. Pole sana kaka Jay
@Chrishenryson-beats
@Chrishenryson-beats 10 ай бұрын
1:52Hapo alipokaa makonda napenda sana kupakaa 😂😂😂😂
@marthashimba46
@marthashimba46 17 күн бұрын
Mungu wa Elia akukumbuke.Tunakuombea
@AnnaNelson-f8x
@AnnaNelson-f8x 10 ай бұрын
Mungu akuponye broo namakonda mungu aendelee kukulinda
@festovenas502
@festovenas502 9 ай бұрын
Mbona huyu p jay mwenyew kama bado mgonjwa au mimi ndo sielew
@abelubamba7409
@abelubamba7409 14 күн бұрын
Hongera sana Makonda,Upendo huo ni Mkubwa
@edithajohn9600
@edithajohn9600 10 ай бұрын
Kweli kabla ujafa,ujaumbika,,tunakuombea Kwa mungu kaka proph J,utapona,,utarudu kama zaman
@TheDonny-e2v
@TheDonny-e2v 15 күн бұрын
Hakika kuna maisha baada ya haya tuishio prf ndo amekuwa hvi jamaniiii aiseee mungu amponyeeeeeeee
@diegogeorge3405
@diegogeorge3405 10 ай бұрын
Huyu mwamba bd hajakaa sawa kbs ila mwenyezi MUNGU ndo kila kitu usichoke kumuomba na kusal kaka
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 10 ай бұрын
Kweli kabisa ndugu yetu bado
@IsackMkalimoto
@IsackMkalimoto 9 ай бұрын
Wakupe majina mkuu😅
@kmotivation1130
@kmotivation1130 10 ай бұрын
Makonda uko vema Mungu akubariki
@SalimhchialaAtilio-qj5cs
@SalimhchialaAtilio-qj5cs 10 ай бұрын
Hongera sana makonda🙏😍
@ukhtyrehemaabdy2830
@ukhtyrehemaabdy2830 10 ай бұрын
Allah atakuponya pr J
@omanoman2044
@omanoman2044 10 ай бұрын
Masiki pole san kabla hujaf hujaumbika mungu atakupa wepes
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 10 ай бұрын
Mhe Makonda Mungu akubariki sanaaaa
@ukhtyrehemaabdy2830
@ukhtyrehemaabdy2830 10 ай бұрын
Allah amlipe Kila hatua makonda
@josephkiwale374
@josephkiwale374 10 ай бұрын
Huyu jamaa prof jay nimiongon mwa watu wachache ambao hata Mungu akiwaita wanazima huku wanatabasamu,he almost achieve every thing
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 10 ай бұрын
Jamani mliohadi tutowe ili kazi iendelee
@omarysalim5951
@omarysalim5951 13 күн бұрын
Amin
@emmanuelywilibert2198
@emmanuelywilibert2198 10 ай бұрын
Pole sana profesa j Allah atakuponya aaaamiiinaaaa 😢😢😢😢
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 7 күн бұрын
Okokeni Yesu yu karibu kuja
@gaudencemhagama7216
@gaudencemhagama7216 10 ай бұрын
sasa umwa mwenzangu na mimi hapa uone kama utapata msaada huo
@binseif2216
@binseif2216 10 ай бұрын
Achana na mziki kaka mrudie muumba wako zama hubadilika
@ZaharaHassan-e8s
@ZaharaHassan-e8s 10 ай бұрын
Kabisa kwa kweli
@binseif2216
@binseif2216 10 ай бұрын
@@ZaharaHassan-e8sZahra hassan
@richardmbugi2746
@richardmbugi2746 10 ай бұрын
kwani alikuambia amemuacha MUNGU
@binseif2216
@binseif2216 10 ай бұрын
@@richardmbugi2746 Nilijua tu kafiri lazma atetee ya dunia
@saumumohammed5630
@saumumohammed5630 10 ай бұрын
makonda ubarikiwe
@STEVENKAJUMBA
@STEVENKAJUMBA 10 ай бұрын
Apa makonda kwa J .nimekupenda bure braza .
@IshipalemyPasko
@IshipalemyPasko 10 ай бұрын
Daaa magonjwa mabaya sana jaman😭😭😭😭😭😭
@Mganga-t5o
@Mganga-t5o 10 ай бұрын
Ongera brother makonda
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 10 ай бұрын
Makonda unaona alivyokaa yupo chini yaani amekaa chini
@kinigarm8239
@kinigarm8239 10 ай бұрын
Mkiutumia huu mradi kisiasa, no positive effects. Bora kumwachia wake wake awe in control na serikali kumonitor.
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 10 ай бұрын
Mzee mbona unaleta unnecessary scrutinity maana meseji kibao wht do u try to achieve out of that mediocrity move?
@aaa64sa13
@aaa64sa13 10 ай бұрын
🤔
@HusseinKalamba
@HusseinKalamba 10 ай бұрын
Nadaiwa inform huku jaman
@siujisiniorlangu
@siujisiniorlangu 10 ай бұрын
Kuna wangapi tofauti j wenye matatizo.....tukumbuke na wengineo😢😢😢😢
@LameckZakaria-m2b
@LameckZakaria-m2b 10 ай бұрын
Bro Joseph nenda kanisani umetupiwa kitu sio bure mwanetu naona uko gizani uho ugonjwa ni pigo la kiswahili nenda kwa wachungaji kaka
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 10 ай бұрын
Msimuonfeleshe sana anaumia.
@lusajomwakalinga5813
@lusajomwakalinga5813 10 ай бұрын
Asante kaka
@chiefshonelyzbeth5844
@chiefshonelyzbeth5844 10 ай бұрын
Well done
@JajiZakayo-fw9mk
@JajiZakayo-fw9mk 10 ай бұрын
Unasubiri nini kaka J maana yupo Bwana Yesu Kiristo ambaye hashindwi na gonjwa lolote mapema tu anaweza kukuondelea huo mzigo wa kwenda hospital katika matibabu yasiyojulikana utapona lini nakusihi usipuuze ndugu yangu
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 10 ай бұрын
Amem
@awadhsalim2680
@awadhsalim2680 10 ай бұрын
Kwan huko maospital si wanaomuamini yesu wapo wamejaaa wanaumwa ? Au kwq sababu hujaumwa wewe ndio maana ? Jiangalie wewe usiropokwe.
@zawadimpayo3839
@zawadimpayo3839 10 ай бұрын
Makonda analoho kama yamagu
@kazkaz1943
@kazkaz1943 10 ай бұрын
Siasa haina adui wala rafiki
@itNeza
@itNeza 10 ай бұрын
Mwanda zake kafurahi kinoma. 😎
@ahmadamohamed1907
@ahmadamohamed1907 10 ай бұрын
Umeonana nae wapi?tufahamu Kama kweli amefurahi
@emanuelmhagama8193
@emanuelmhagama8193 10 ай бұрын
Daaaaa
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 20 күн бұрын
Makonda ni mkuu wa mkoa izo pesa kazpata wapi?
@MussaRamadhan-v2c
@MussaRamadhan-v2c 10 ай бұрын
Hakika inapendeza sana
@fakihassan9021
@fakihassan9021 10 ай бұрын
Ukitaka kujua kua msanii Hana pesa apate ugonjwa lakin akia mzim utasikia ana miliki bilioni mia kumbe unafikimtu ataombaombatu
@KassimAlly-w4y
@KassimAlly-w4y 10 ай бұрын
Pole broo
@salummussa1139
@salummussa1139 10 ай бұрын
Hicho ki alarm kinacholia ndo kinamsaidia moyo au ?
@richkaja3317
@richkaja3317 10 ай бұрын
Tajiri kwa tajiri maskini hadhaminiki
@zubeiramlanzi2480
@zubeiramlanzi2480 10 ай бұрын
Du mwamba kapinda kichizi yani
@kaburi920
@kaburi920 10 ай бұрын
Uchawa mtupu
@aaa64sa13
@aaa64sa13 10 ай бұрын
❤❤❤❤🇹🇿
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 7 күн бұрын
Ndo uamie ccm sasa
@EmmanuelBoniphace-sz6rc
@EmmanuelBoniphace-sz6rc 10 ай бұрын
Mkonda naomba msada
@JumaAbdalah-d3s
@JumaAbdalah-d3s 10 ай бұрын
👍👍👍👍
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 10 ай бұрын
Yaani wengine tuna shida ht pesa ya kumuona daktari hatuna na wengine wanapewa ml 20 haki Tz iko wapi?!
Prof Jay awapagawisha Wanamorogoro mbele ya JPM
4:24
Azam TV
Рет қаралды 315 М.
Synyptas 4 | Арамызда бір сатқын бар ! | 4 Bolim
17:24
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
Wait for the last one 🤣🤣 #shorts #minecraft
00:28
Cosmo Guy
Рет қаралды 8 МЛН
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 13 МЛН
Synyptas 4 | Арамызда бір сатқын бар ! | 4 Bolim
17:24