VIDEO: TAZAMA MAMA ALIVYOINGIA JIKONI KUWAPIKA MENDE KISHA KUWALA

  Рет қаралды 14,598

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 156
@imanibakili8028
@imanibakili8028 2 жыл бұрын
Asante Ayo kwa kutufahamisha mambo tusiyoyafahamu kwa kina, maana miye niliisikia hihi tetesi kama miaka2 nyuma sikuamini ila baada ya kujionea hapa kwako nimeanza kutambua kuwa nina mengi bado sijajionea hapa duniani🤗
@sharifanyumayo6314
@sharifanyumayo6314 2 жыл бұрын
Daaaah! Hapana aisee labda niambiwe ni dawa vile naugua hakuna njia nyingne. Siwez kwa kweli hata kwa viboko
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
Unaugua nini? Nayachana magonjwa kwa damu ya Yesu kila madhabahu ya magonjwa natuma malaika kuuwa kila ugonjwa ndani yako nayakomesha magonjwa kwa damu ya Yesu
@fridahmgani7691
@fridahmgani7691 2 жыл бұрын
Halafu mmama mwenyewe mzuri tu halafu anachokula huwezi amini. Mende simpendi hata kumwona, na ikinibidi kumwua sometimes huwa natapika. Sasa mpaka kufuga inabidi niwe nimepoteza utimamu wangu na utashi ninyang'anywe. Kweli sasa naamini bado duniani kuna mengi sijayaona maana niliamini katika umri wangu nimeshajionea mengi, najidanganya.
@jescaedwardkurumela4333
@jescaedwardkurumela4333 2 жыл бұрын
Safi mama, ukipendacho sikipendi mie , na nikipendacho ukipendi wewe. Hilo chaguo lako: Wala hakuna shida full shangwe kwako👍
@shadrackjuliuskaboya5239
@shadrackjuliuskaboya5239 2 жыл бұрын
*bila shaka huyu mama anakulaga na nyama za binadamu hahhahhahhahhaahaa*
@firdausqutty2067
@firdausqutty2067 2 жыл бұрын
😄😄😄🤣haki A Mungu
@user-sq7pz9ex5g
@user-sq7pz9ex5g 2 жыл бұрын
😢mama sio MTU mzuri...mazingira Tu ya nyumba yake NI machafu😢😢
@jenipherj2456
@jenipherj2456 2 жыл бұрын
aki umesema ukweli mimi amenichosha kwakweli
@rahmaabdulla4949
@rahmaabdulla4949 2 жыл бұрын
Yaani Huyu bibi anataka kutuketea balaa jengine la maradhi 🤮🤮🤮uchafu tu
@salehekisebengo8554
@salehekisebengo8554 5 ай бұрын
Ww mende mboga tamu sana ,yan kama tu kumbikumbi na senene
@ednaedward3512
@ednaedward3512 2 жыл бұрын
Mende shughuli wanayo huko kabatini🙌🤣🤣🤣bado pishi la mbu na nzi tu🤭
@farajasaid9209
@farajasaid9209 2 жыл бұрын
😂😂
@marryg4235
@marryg4235 2 жыл бұрын
Haaa mungu wangu,Bado kidogo 2takula mavi 2liyokunya wenyewe...
@magdalenapeter419
@magdalenapeter419 2 жыл бұрын
Watakula au tutakula? Km kufa na nife
@doramkolo1745
@doramkolo1745 2 жыл бұрын
Nikiona kimguu cha Mende hata kwenye kikombe na kiosha mara tano tano khaaaaaa
@estherokombo1086
@estherokombo1086 2 жыл бұрын
Mungu wangu waaah😭😭😭sijawai kuona jamani🇰🇪
@zuberinyenzi1982
@zuberinyenzi1982 2 жыл бұрын
Huyu ana damu ya kichina siyo bure
@mdzainb3722
@mdzainb3722 2 жыл бұрын
Ata ukimwanfalia tu unajua hana akili 🤣🤣🤣🤣 mama wa mtu huyu
@simbamwinyi
@simbamwinyi 2 жыл бұрын
Mende wa kukaanga na ndizi 😅
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 2 жыл бұрын
Tanzania nduguzagu aibutupu mama Rais anatulisha mende
@himidijenga535
@himidijenga535 2 жыл бұрын
Sasa Bado kula chawa na inzi tu😄😅
@nurasam5475
@nurasam5475 9 ай бұрын
Naota au Niko macho
@mozanamata4628
@mozanamata4628 2 жыл бұрын
Uyo mama sio mzima 😰
@pellahmdee9189
@pellahmdee9189 2 жыл бұрын
😂😂😂manakeee apoo kwanza ncheqeee
@emanueljohn5643
@emanueljohn5643 2 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😀
@TheSalma1999
@TheSalma1999 2 жыл бұрын
Whaaat ?umesema nini mende chakula omg
@hassanisaidi9860
@hassanisaidi9860 2 жыл бұрын
Duh🙄huyu mama noma nyama zimeisha mabuchani au mende mimi kwanza huyo mende akiingia kwenye chakula namwanga chote ntalala hata njaa
@bahatibakari5627
@bahatibakari5627 2 жыл бұрын
Kurukaruka kwake pekee Mimi nakufa 🤣🤣🤣.....sembuse ku.......
@rosejoely4518
@rosejoely4518 2 жыл бұрын
Mama mwaga huyu😳😳
@sophiamussa4319
@sophiamussa4319 2 жыл бұрын
Mm nataka kujua km mfereji wa akili upo sawa, au kipa katoka alafu beki azikabi😅
@joycehaule9717
@joycehaule9717 2 жыл бұрын
Sio mbaya nahivi wanalalamika Pesa hawaioni watakula Hadi minyoo safari hii hahahhaahhaahaa
@angelmumy1178
@angelmumy1178 2 жыл бұрын
Pwaaaaaaaaaa
@liesharehema5193
@liesharehema5193 2 жыл бұрын
Mungu atusaidie jamaniii
@happyelias9465
@happyelias9465 2 жыл бұрын
Hawa Mende wanapenda kukaa chooni😏
@gililwise
@gililwise 2 жыл бұрын
Jamani mimi nimetaapika sana ile kuona tu.duu yahitaji moyo kweli
@mathiasmwingira6951
@mathiasmwingira6951 2 жыл бұрын
yaani anavyokula anaonesha kabisa anatia huruma
@nellydady7613
@nellydady7613 2 жыл бұрын
mahali milioni10 alafu unapikiwa mende
@joycekalago532
@joycekalago532 2 жыл бұрын
Huyu mama atakua sio timam kabisa
@beatricemrosso2943
@beatricemrosso2943 2 жыл бұрын
Mama mkwe wa mtu huyu🤔 Dah hivi ni hali ya maisha inamfanya mtu anakuwa hivi au???
@saraphinachristomus1294
@saraphinachristomus1294 2 жыл бұрын
Mhuuuuuu
@dicksondidas8154
@dicksondidas8154 2 жыл бұрын
Mende ni dawa nzurii sana kwa walee Wenye matatizo ya Upungufu wa nguvu za Kiumeee!!💪
@esthermoraa6648
@esthermoraa6648 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂Maisha magumu na mende zimejaa kwa nyumba 😂😂😂wacha mama akule
@isabellamichael1025
@isabellamichael1025 2 жыл бұрын
😀😀😀😀😀
@rabekaamani5361
@rabekaamani5361 2 жыл бұрын
Anawafuga
@shinipapaya846
@shinipapaya846 2 жыл бұрын
Nilishawahi ya kwamba hii Ayo Tv 📺 naichukia haijawahi kutokea hapa duniani yaani mtu mpaka unashindwa kuelewa kama kweli ni binaadamu au laa yaani MUNGU atusamehe makosa yetu kwa kweli
@richardlucas9612
@richardlucas9612 2 жыл бұрын
😋😋 bonge la msos
@rosehaule6765
@rosehaule6765 2 жыл бұрын
Kichwa ya mama ina shida
@rozzymossesshayo6844
@rozzymossesshayo6844 2 жыл бұрын
Mmh siwez hata iweje
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 2 жыл бұрын
Mbona kandaa kdg na ss watazamaji je 😁😁😁
@patriciakwidika3366
@patriciakwidika3366 2 жыл бұрын
Duh
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣😂💦Really or 🤷‍♀️🤷‍♀️
@omanmct135
@omanmct135 2 жыл бұрын
Atawaniuwe sili mende wachafu
@nawaladan5730
@nawaladan5730 2 жыл бұрын
mungu wangu tusamehe
@tiktoktanzania2832
@tiktoktanzania2832 2 жыл бұрын
Mama umewahi harisha wewe,,mpka mk'nd unawaka moto,,ndo kitakacho kutokea,,haya ufafuge vip,,mende hasiri yao ni vyooni huku,kweny mashimo ya vyoo ndo nyumba zao
@mdzainb3722
@mdzainb3722 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🚶‍♀️
@mdta8161
@mdta8161 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@dannyelias382
@dannyelias382 2 жыл бұрын
Sasa bro mbona hujaonja🤣🤣🤣🤣
@mrs2899
@mrs2899 2 жыл бұрын
Ndio maana anafanana nao kichwa km cha mende mchafu tu kwan hamna chakula hadi mende bora panzi kuliko mende 🤬
@mohamnedsalum2150
@mohamnedsalum2150 2 жыл бұрын
Kabisa
@jay-nyeye1900
@jay-nyeye1900 2 жыл бұрын
Huu ndiyo ulafi ambao Biblia imeukataa/ Ni dhambi kubwa Sana kuwa mlafi 🙌
@lucylucy3678
@lucylucy3678 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 hii video nimeangalia nilikuwa nakula ugali na dagaa nashangaa natapika vyoy nikahisi wale dagaa ndo mende😏
@maggiekaaya8403
@maggiekaaya8403 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂naogopa tho
@lucylucy3678
@lucylucy3678 2 жыл бұрын
@@maggiekaaya8403 khaa siwez nachukia mende san kwnz aluf yak www
@maggiekaaya8403
@maggiekaaya8403 2 жыл бұрын
Pole mwaya 😒🙁
@antonnadenade4597
@antonnadenade4597 2 жыл бұрын
Mm ninao wingi chooni vp nikuuzie Mia 500 moja
@emmyjosephat1265
@emmyjosephat1265 2 жыл бұрын
Mende wanatumiwa pia katika matibabu. Wanasayansi kwa miaka mingi wamekuwa wakishangazwa na uwezo wa mende kukaa muda mrefu maeneo yenye sumu na uchafu bila kudhurika. Wamegundua kwamba huwa wanatoa kemikali za kupigana na sumu. Wanaweza kusaidia katika kutengeneza dawa za kusaidia binadamu kukabiliana na bakteria zinazohangaisha sana watu kwa mfano E. Coli na MRSA ambazo zimekuwa hazisikii dawa.
@emmyjosephat1265
@emmyjosephat1265 2 жыл бұрын
Mungu atusaidie
@aminahassan4642
@aminahassan4642 2 жыл бұрын
Mm jamani vitoweo vilivyojaa tele bado mende
@nyamwinukankwera3749
@nyamwinukankwera3749 2 жыл бұрын
Wanasumbuliwa na ulafi😏😏sio bule
@lawrencegwerino1656
@lawrencegwerino1656 2 жыл бұрын
Wow dunia kubwa.ila kunawakati tutafika chakula itakuwa hakuna duniani na mende ndo itakuwa ndo chakula pekee tutakachoo tegemea
@fridahmgani7691
@fridahmgani7691 2 жыл бұрын
Hapana my sintakubali. Nafikiri nitakuwa wa kwanza kufa kwa njaa ila siyo kula mende jamani🤑
@lilianwaflotina1288
@lilianwaflotina1288 2 жыл бұрын
ni ngumu mno kwangu kula
@mwajunassibu4192
@mwajunassibu4192 2 жыл бұрын
Hio kara ya lupikia mtihani
@hamidauhuru813
@hamidauhuru813 2 жыл бұрын
hajawatoa hata kinyesi, huwa kinanuka
@saleemass9690
@saleemass9690 2 жыл бұрын
Daa watu wachafu sijapata kuona
@lovenessmushendwa1230
@lovenessmushendwa1230 2 жыл бұрын
Hahaha mbona mishikaki jaman uwiii
@lucymwalimo842
@lucymwalimo842 2 жыл бұрын
I rather be a vegetarian Oooh my God WTF
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 2 жыл бұрын
Na baadaye akitoa kijasho cha kwapa jasho litavyonuka hata ukitia manukato harufu ya kwapa ipo mana hao mende wana kikupuu cha ajabu
@rahmaabdulla4949
@rahmaabdulla4949 2 жыл бұрын
Acha jasho kupumua sasa ah🤮🤮 yaani huyu mama mchafu kweli
@karibunyumbani3824
@karibunyumbani3824 2 жыл бұрын
Uuuuuuuwi kerrreuuuwi hata nyama ifike laki sili mende uuuuwi
@righton19
@righton19 2 жыл бұрын
Mmama mzuri lkn akili hana
@yunyun799
@yunyun799 2 жыл бұрын
😂😂😂
@nathalieswedy3653
@nathalieswedy3653 2 жыл бұрын
Co mzima kichwan
@josephinemosha4618
@josephinemosha4618 2 жыл бұрын
Mi nimetamani huwezi amini
@maggiekaaya8403
@maggiekaaya8403 2 жыл бұрын
😳 weeeeh kemea pepo hilo
@fikranyalusi3690
@fikranyalusi3690 2 жыл бұрын
Kabila gani Huyu mama jamani mdudu mchafu anaeishi chooni kwakweli mhh h!!!!
@rosejeanne9373
@rosejeanne9373 2 жыл бұрын
mwandishi awuli🤭🤭🤭🤭😃😅🙈
@shamimhayat7637
@shamimhayat7637 2 жыл бұрын
Kwangu ziko kwenye makaro aje achukue bure
@yunyun799
@yunyun799 2 жыл бұрын
😂😂😂
@dannyelias382
@dannyelias382 2 жыл бұрын
Sio bure🤣🤣🤣🤣
@wistononyesha9393
@wistononyesha9393 2 жыл бұрын
Aaaah hapana siwezi🤧🤧
@mwatanomotee6516
@mwatanomotee6516 2 жыл бұрын
Wataalamu wetu wanao tuelimisha kuhusu wadudu wanaotambaa wanadai kwamba ni mtamu kama kumbikumbi au senene na pia ana mafuta sana, kwa hiyo muacheni mama atafune
@asha.mwambamwamba1774
@asha.mwambamwamba1774 2 жыл бұрын
Mbona chakula
@mimahally8025
@mimahally8025 2 жыл бұрын
Yani mnafaninisha mende na senene looo
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc 2 жыл бұрын
da hatari sana
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 2 жыл бұрын
Khaaaaa afazali nile sombe azibamafuta
@johnkyara8061
@johnkyara8061 2 жыл бұрын
Tanzania 🇹🇿 maisha ni magumu chakula hakuna
@mrs2899
@mrs2899 2 жыл бұрын
🧐🧐🧐🤨🤨🤨🤨
@jofreyzacharia8965
@jofreyzacharia8965 2 жыл бұрын
Tafuta hela maisha sio magumu funga mende🤣🤣🤣
@stevejeremiah4497
@stevejeremiah4497 2 жыл бұрын
Mende? Du. Mende hawa hawa ninaowafahamu Wakati mwingine wanakaa chooni? Au mende aina mpya toka Ukraine?
@zainabwage4658
@zainabwage4658 2 жыл бұрын
Hao wa putin wazur km kuish russia😂😂
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 2 жыл бұрын
Haha😃
@mwajabualhaji9773
@mwajabualhaji9773 2 жыл бұрын
jaman binadam mmekosa vyakula mpaka mende😏
@athmankiama1133
@athmankiama1133 2 жыл бұрын
Hata kumshika sisubutu sembuse kumla weee !!!subutuuu sitaki
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 2 жыл бұрын
Jikoni kuchafuuuuuuu
@user-lg3vf7mf6r
@user-lg3vf7mf6r 2 жыл бұрын
Asinishike kabisa uyu mamaaaa..🤮🤮🤮
@maggiekaaya8403
@maggiekaaya8403 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂🙌
@binthkhamisi1097
@binthkhamisi1097 2 жыл бұрын
Duuh wamekuwa wengi wanao uza hz bidhaaa na kuwalaa
@user-le9lb8oc8d
@user-le9lb8oc8d 2 жыл бұрын
Hii cjui mama ya nani 🪳🪳🪳🤮🤮🤮🤮🤮🤮
@jumashukani8472
@jumashukani8472 2 жыл бұрын
Uyo mama atakuwa ni mchafu tu
@stellaalphonce8022
@stellaalphonce8022 2 жыл бұрын
Mie hapo siwezi.
@jumajumanne4997
@jumajumanne4997 2 жыл бұрын
duh ad nasisimka mi ata miki.mwona ndani lazima ni muue
@mwalongojulius1755
@mwalongojulius1755 2 жыл бұрын
Kuna faida kubwa ndani ya huyo mdudu wasijua anae kula panzi au kumbikumbi na senene ni cha mtoto kwa mende ana virutubisho vingi kwenye dawa baadhi lazima awekwe kwasababu hatuoni tunatumia mama amegundua siri mwacheni msimuhukumu.
@maryamalhabsi4364
@maryamalhabsi4364 2 жыл бұрын
Mmmmmmhh 🤦‍♀️🙄 mtihani huuu jmniiii
@bettynkunga2321
@bettynkunga2321 2 жыл бұрын
Huyu mama atakuwa mchawi, sio bure
@ireneimbuhira7759
@ireneimbuhira7759 2 жыл бұрын
is she OK?
@neemasabun385
@neemasabun385 2 жыл бұрын
Anatafuta Kiki tu huyo siyo kweli
@ireneimbuhira7759
@ireneimbuhira7759 2 жыл бұрын
@@neemasabun385 ohh its Crazy then
@janethmichael4690
@janethmichael4690 2 жыл бұрын
Big fat noooo😫
@farajasaid9209
@farajasaid9209 2 жыл бұрын
Aende choon wapowengi
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 2 жыл бұрын
😹😹😹😹😹😹😹😹😹
@irankundaanitha585
@irankundaanitha585 2 жыл бұрын
Kwanza anapo pikia penyewe pachafu🤮🤮
@shakiraally2821
@shakiraally2821 2 жыл бұрын
Mtume
@zainazaina9301
@zainazaina9301 2 жыл бұрын
Hata nyumbani kwako siji siyo kwa uchafy huo
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc 2 жыл бұрын
hii ndiyo TANZANIA ukisema wewe utaki nyama basi wenzako Wala mende
@amasiadastani4823
@amasiadastani4823 2 жыл бұрын
🤔🤔🤔🤔
@sknapoleonshoo3145
@sknapoleonshoo3145 2 жыл бұрын
Disgusting 🤮🤢😠
@walinaziontime7300
@walinaziontime7300 2 жыл бұрын
Pesa zitawatoa ROHO hilo ni dill la wafuga mende ila bongo mmefeli
@rahmasalim1989
@rahmasalim1989 2 жыл бұрын
Dah! siwezi kula hata kwa fimbo. loh! huu ni uchafu.
@hadijamatola5230
@hadijamatola5230 2 жыл бұрын
Picha Linaaza jikoni ni Kuchafu ndio maana ht na yy anakula uchafu eehhh hata km nina njaa ya kufa hapanaaaa
MWANAFUNZI MTUKUTU NA MAPENZI SHULE (muendelezo)
9:43
BabaJoan
Рет қаралды 1,4 МЛН
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 6 МЛН
Nurse's Mission: Bringing Joy to Young Lives #shorts
00:17
Fabiosa Stories
Рет қаралды 15 МЛН
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 21 МЛН
MAMA WA WATOTO NANE AONA MAAJABU MCHANA
6:43
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 31 М.
Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji - Muongozo kwa Wanaoanza Ufugaji
14:05
Changamkia Fursa
Рет қаралды 141 М.
The Amazing MYSTERIES of CATS in Islam
13:33
Virtuous Islam
Рет қаралды 465 М.
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 6 МЛН