Kinanda Abdul Salvador (mzee kidevu) what a song!!! Mtunzi ni Benno Villa Antoni! Salute guy!
@TamuzaKale4 жыл бұрын
Nafikiri kinanda kapiga Hassan Shaw!
@patricia51373 жыл бұрын
My favorite song I love it so much
@allymuhammad3256 жыл бұрын
Kumbukumbu adhwim sana! Hadi nakosa lakuandika, amahakika music inakumbusha mengi!
@draculaone110 жыл бұрын
Shaabana yohana,WANTED katika gitaa kiongozi.
@Laurapettie7 жыл бұрын
Nakuonaaaa 😂😂😂
@TamuzaKale4 жыл бұрын
RIP Shaban Yohana WANTED!
@saidimnyani67955 жыл бұрын
Wa ukae huyo Rashid pembe sijui Kama kutatokea mpiga saxaphone Kama huyo Tena Tz.
@hamisikaisi4614 жыл бұрын
Kulikua pia na marehem baba diana ktk drum ..manitu musa baba watoto na wengine..
@sangomamourice35392 жыл бұрын
Nasikia Raha na huzuni hakika music ni fundisho huzuni inasababishwa na wakat na huu music unaitwa wa kileo tukiacha music hasa
@mauricesangoma7084 жыл бұрын
Machozi yananitoka hakika zamani raha daah
@Sufa0710 жыл бұрын
"U shoga wetu ulianza tangu utoto tulichezea vifuu na sasa tunawajukuu..."good old 90s when ushoga means close friendship among female.
@omarymatandika88447 жыл бұрын
Hii aitatokea tena mpk mwisho wa dunia maana kizazi kila kinachozaliwa sasa kinapenda nyimbo za wakaa uchi zisizo na mafundisho big up Nashon
@mdoekiligo96919 жыл бұрын
Sauti adimu za Jerry Nashon "Dudumizi", Mohammed Gotagota, Benno Villa. Hii ilikuwa Vijana Jazz baada ya kifo cha Hemed Maneti Ulaya. Bendi hii ilikuwa tishio sana. Nikiitazama sasa natamani kulia...! Nasikia Shaban Yohana "Wanted" alikimbilia Botswana.
@evaristomajaribu27255 жыл бұрын
Redio memory cassette
@allynayomo48511 ай бұрын
Solo ,shabani yohana wanted, min solo ,shomari ally,rythim, manitu mussa,bass bakari semhando,drum abu semhando ,kinanda albano mahalu tumba jamwaka