MAUAJI TENA ARUSHA: ASKARI WATUHUMIWA KUUA MTU KWA KIPIGO, BABA ASHINDWA KUVUMILIA..

  Рет қаралды 57,091

Global TV  Online

Global TV Online

2 жыл бұрын

MAUAJI TENA ARUSHA: ASKARI WATUHUMIWA KUUA MTU KWA KIPIGO, BABA ASHINDWA KUVUMILIA..
Baadhi ya walinzi wa shamba la maua la kampuni ya Kiliflora ambao ni askari wa shirika la uzalishaji Mali la jeshi la kujenga Taifa(SUMA JKT) ,wanadaiwa kusababisha kifo cha mkazi wa Chekereni wilayani Arumeru mkoani Arusha.
Askari hao wanadaiwa kusababisha kifo cha Richard Saibulu anayekadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 23 mpaka 25 wakimtuhumu kuvamia ndani ya shamba hilo na kutaka kuiba mbao aina ya mirunda.
Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Arusha (RPC),Justine Maseju ametafutwa kuthibitisha tukio hilo lakini hajapatikana ofisini kwake na simu yake ya mkononi imeita bila kupokelewa.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 209
@salmaabdulabdul1057
@salmaabdulabdul1057 2 жыл бұрын
Jamani ndugu zangu tuswali Sana tumuombe mungu Sana tutubie zambi zetu Sana hizi ni dalili za mwisho tuombe mwisho mwema
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Nikweri kabisa maana hi Tumachi Tz yetu watu rihozao zimebadilikahivi😭😭
@imamaliridhwa1884
@imamaliridhwa1884 2 жыл бұрын
Kuna haja ya kuanzisha kampeni # SIRRO MUST GO !! GO SIRRO
@marygeorge6985
@marygeorge6985 2 жыл бұрын
😭😭😭😭Ee Mungu wangu yalio tabiliwa yanatimia, Mungu tuhulumie
@makondorshimora5017
@makondorshimora5017 2 жыл бұрын
Mama Tanzania nchi yangu inatakiwa kukombolewa maana damu inayomwagika juu yake ni najisi kubwa 😭😭😭😭, Mungu tupe nguvu ya kuikomboa ardhi ya nchi hii ili ibaki nzuri na ya kupendeza!!!!
@arafakiloli749
@arafakiloli749 2 жыл бұрын
Innahlillah wainnah illah rajiun Allah amrehemu poleni sana ndugu na jamaa Allah awape subira katika kipindi hiki kigumu Allah awaadhibu wote walio mdhulumu nafsi yake.
@peteryukunda9239
@peteryukunda9239 2 жыл бұрын
Sasa alifuata nn kwa office za watu? Nanyi askari mngempeleka police.Jamani majambazi wa bunduki mbona hampambani nao?mnapambana na hao watoto
@neemazee1864
@neemazee1864 2 жыл бұрын
Yn ningekuwa raisi, akiamungu ningeweka shelia kwa yeyote atayethubu kutoa huai wa mwenzie kwa kukusudia, Wallah wangenyongwa na kufa vibaya.. My be watu wangekuwa na hofu ya Mungu but why guys hatuna uluma😭😭😭😭😭😭😭😭😭....!!!!!!
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Maisha yamekuwaje mbona viongozi wapo kimya?
@maryjonh311
@maryjonh311 2 жыл бұрын
Acha tu inaumiza na akuna kiongozi anayezungumza .Tunaenda wapi?
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 2 жыл бұрын
Kwa kweli haya mambo ya mauaji yamezidi, kila kukicha ni matukio ya mauaji. Poleni wafiwa Mungu awape subra kwa kipindi hiki kigumu kwenu, na Mungu akampe kauli thabit marehemu, iina Lilah Wainnailah Rajuun. 30.01.22.
@bernadetamodest6170
@bernadetamodest6170 2 жыл бұрын
Hasa huko Arusha mauaj kila kukicha
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 2 жыл бұрын
Poleni jamani wafiwa poleni sana .mungu awape subra
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 2 жыл бұрын
MWAKA HUU WATU WANAKUFA, NDUGU, JAMAA, RAFIKI NA WAPENDWA WETU WENGI WANAUAWA, KAMA HATUNA VIONGOZI WALA WATAWALA
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
🤔🤔🤔🤔🤔🤔
@ashamshika8130
@ashamshika8130 2 жыл бұрын
Aiise nimejikuta napata hasira kwa haya yanayoendelee
@mentalawarenesstz8276
@mentalawarenesstz8276 2 жыл бұрын
Utusamehe Mungu utuhurumie, uwafariji hawa waliopotelsewa na ndugu yao. Urejeshe amani ndani ya mioyo nayo. Natubu Mungu kwq ajili ya taifa langu
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 2 жыл бұрын
Suma Vijana wabaya sana na wengi wao wanadhulma wanadhulumu watu kwa fojari mbalimbali mungu ni mwema watalipwa kwa yale wanayofanya hapa hapa duniani
@anitamollel8982
@anitamollel8982 2 жыл бұрын
Du hatari kama maaskari ndiyo wanao shiriki kufanya uhalifu raia tuta ponaje serikali iangalie hili swala kwa Kweli huku chekereni matukio ni mengi sana tunaogapa sana r i.p broo mungu akupunguzie adhabu ya kabri😭😭😭
@jenimjelwa5717
@jenimjelwa5717 2 жыл бұрын
Mungu sis wanao tunauwawa kama wanyama tuangalie baba twaja mbele zako
@hasoze1669
@hasoze1669 2 жыл бұрын
Jamani
@euverusjohn539
@euverusjohn539 2 жыл бұрын
Mama tunaweza kumlaumu sana kwasababu baba alivyokuwepo matukio hatuku yaona kama ivi yani ukiamka asubhi unakutan na matukio ya vifo hi inamaana GANI Sasa tunakuwa n rais wa nini kam ndy ivi mama tunaomba ukae na watu wa usalam maisha yetu Yapo hatarini ukienda kazini ukiridi salama unamshukuru mungu.
@liciouscharles3370
@liciouscharles3370 2 жыл бұрын
HIVI NIULIZE TU KWANINI HUWA MNAHOJI WAFIWA WENYE UCHUNGU MPAKA WANASHINDWA KUONGEA😔😔
@josephurupia4653
@josephurupia4653 2 жыл бұрын
Kwani wasinge wahoji ungekuja hapa ku comment
@philemonmkumbo9695
@philemonmkumbo9695 2 жыл бұрын
Askari wameua watu wengi mno hakika polise nizaidi ya magaidi na mungu na ss watanzanzania hatutawaacha salama hawa ma mbwa kila uonapo askari ona kama umekutana na simba mia jitetee hawa makumaaa tuu tunawaweza msiogope
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 жыл бұрын
Kabisa yani
@danymsengi4958
@danymsengi4958 2 жыл бұрын
Wanazngua kisenge yan huku mbagala zakhem wiki iliyopita waliuwa jamaa wa mtaani kabsa
@danymsengi4958
@danymsengi4958 2 жыл бұрын
Mwisho wasiku RAIA watachoka tutaanza kuwapiga mawe
@aminaomaryaliy3226
@aminaomaryaliy3226 2 жыл бұрын
Mkiwa tayari mnipitie kama mwanamke uchungu naujua nimeumia sana Sina Imani naaskar yeyoteyule
@cecygeorge4443
@cecygeorge4443 2 жыл бұрын
Ila ninyi wauwaji ninyi mngejua jinsi mnavyozichosha familia za watu mnavyofanya familia kuishi maisha magumu jamani poleni sana familia
@husnaseph9476
@husnaseph9476 2 жыл бұрын
Achatu ndugu yangu
@nuruurubeya2694
@nuruurubeya2694 2 жыл бұрын
Poleni sana wafiwa mungu awape subra wakati huu wa huzuni
@catesamy7593
@catesamy7593 2 жыл бұрын
Jaman jaman inauma
@Elias-gy8qu
@Elias-gy8qu 2 ай бұрын
Poleni ndugu zangu mulie mupeteza Kija ppoleni sana ila jkt juma sio wazuri ata kidogo ni waaonefu muno na sio uko kwenu kila mahali walioko juma niwaonefu muno ila nao inafaa wachukuliwe atua kali sana na serikali la sivyo watawaumiza wasamaria wema
@finakimario7414
@finakimario7414 2 жыл бұрын
Kazi ipo! Askari na raia
@christinasiikon4708
@christinasiikon4708 2 жыл бұрын
Kinachosikitisha Zaidi ni campuni ya kiliflora inamilikiw na wazungu.Suma JKT NI WATANZANIA.kwanoni Suma mnawauwa ndugu zenu? Mwisho wa siku suma mnalipwa tu vijisenti na wazungu kwa Mwenyezi Mungu mtatoa hesabu ya hizo roho za watu mnazodhulumu.
@victorernest7702
@victorernest7702 2 жыл бұрын
Asanteni Sana 😭😭
@tatumussa651
@tatumussa651 2 жыл бұрын
Poleni sana
@claudiayohana6576
@claudiayohana6576 2 жыл бұрын
Huyo baba kanitia uchungu jamni😭😭😭😭😭😭
@omarkhamis7368
@omarkhamis7368 2 жыл бұрын
Dawayao nikuvamia nao wakauliwa tu haya matukio ya askari kuuwa watu ktk nchii yameka endelevu sasa dawayao nawaonikuuliwa tu kammbua naiwe mmbuai tu
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Nileteeni Hamza,,,
@madamloveness7274
@madamloveness7274 2 жыл бұрын
Askari wavuta bangi Sana cku hizi Yaan baada ya kulinda wananchi wanauawa kama kuku.
@neema_mollel
@neema_mollel 2 жыл бұрын
Duh ee Mungu wangu
@nuruheartaman3466
@nuruheartaman3466 2 жыл бұрын
Mungu atunusulu tunaelekea kubaya mno
@jumakalukule5312
@jumakalukule5312 2 жыл бұрын
Tz mauaji yamezidi aisee poleni sana familia
@MrMalisa2011
@MrMalisa2011 2 жыл бұрын
SUMA JKT kuna shida. Tanzania nzima wanalalamikiwa. NIT ni wao,
@superwomanmwenyeheri.1367
@superwomanmwenyeheri.1367 2 жыл бұрын
Pepo la mauti Tanzania, Toka kwa Jina la Yesu.Eee mwenyenzi Mungu tusamehe mahali tulipokosea pasipo sisi kujua.turehemu ss ni waja wako. Halafu sijawahi kumpenda hii salamu tunayoanzaga nayo..Salamu kwa jamuhuri ya Tanzania!! Hatumuweki MUNGU mbele, Tusalimiane kwa Jina la mwenyenzi Mungu muumba wa mbingu na nchi,na vyote vilivyomo, tukiwepo sisi wanadamu.
@salustiashayo3486
@salustiashayo3486 2 жыл бұрын
Surely
@fatumaseleman1579
@fatumaseleman1579 2 жыл бұрын
Hizo siasa wanataka vita ahooo mungu baliki Tanzania yetu 😭😭😭😭
@victorialawrence7489
@victorialawrence7489 2 жыл бұрын
Mauaji yamezidi sana jamani
@annastevensteven9515
@annastevensteven9515 2 жыл бұрын
Jaman mbona mawaji yamezidi hif
@neemaruben5427
@neemaruben5427 2 жыл бұрын
Jmn jmn jmn jmn 😭 tunaenda wapiiiii kwani
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Jamani wameua kwanini wameua ameiba nini hayo maua ndiyo uuwe mtu maua na roho ya mtu kipi cha maana hivi kwanini askari wanaua sana
@mariambeautysonghuseni9549
@mariambeautysonghuseni9549 2 жыл бұрын
Mungu wangu jamani kwanini lakini
@tatutza6465
@tatutza6465 2 жыл бұрын
Polisi wanamaliza kaka zetu
@murattywamuratty9778
@murattywamuratty9778 2 жыл бұрын
Suma jkt sio polisi
@s0phialwassa574
@s0phialwassa574 2 жыл бұрын
Mungu tusaidie hatuna pa kukimbilia ila ni kwako tu
@hawaomary96
@hawaomary96 2 жыл бұрын
Tuna uwana wenyew kwa wenyew mungu wangu😭😭😭😭
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
RIP poleni sana wafiwa
@yusramanganga2381
@yusramanganga2381 2 жыл бұрын
Dah kwakweli hii Alli nimbaya sana mungu tunakuomba tusimamie
@d.a.t3383
@d.a.t3383 2 жыл бұрын
iGP Sirooooo KAAMBIWA NA mama Niniii
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 2 жыл бұрын
Kazi iendelee 🤣🤣🤣
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 жыл бұрын
innalilah wainailehm rajiun
@mwananyamalaz4427
@mwananyamalaz4427 2 жыл бұрын
Poleni sana Jamani rest in peace brother 🙌
@devothaignatus5911
@devothaignatus5911 2 жыл бұрын
Mungu tsaidie jmn duh!!!! Mama Samia ckia kilio chawatu mahaskar wamezidi ktumia nguvu jmn 😭😭😭😭😭
@marygorethlaswai6787
@marygorethlaswai6787 2 жыл бұрын
Umeona kila Siku mauaji mauaji mauaji
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Subhannallah
@veronicasulle1849
@veronicasulle1849 2 жыл бұрын
Eee Mungu tusaidie na utusamehe matukio yamekuwa ni mengi mnoo
@ojasoojaso9479
@ojasoojaso9479 2 жыл бұрын
Matendo yamauaji kinyama yanayoendelea kila uchao kote nchini ni matokeo ya uongozi mbovu wa vyombo vyetu vya usalama. Tumechoka na mauaji haya ya kinyama yasiyokoma, viongozi wa juu wawajibishwe ili kupisha wengine wenye uwezo kuongoza vyombo hivi vya usalama.
@erastosanga3918
@erastosanga3918 2 жыл бұрын
Poleni sana jamani 🙏🙏🙏
@steramwanakira7183
@steramwanakira7183 2 жыл бұрын
Pole sanaa sana mama
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 жыл бұрын
Aisee nchi hii ma askari wamekua sio wa kuaminika yani wanaweza kukuua na kesi hakuna
@CalmWhiteNoise5
@CalmWhiteNoise5 2 жыл бұрын
Rest in peace ✌️
@sudymgeni701
@sudymgeni701 2 жыл бұрын
Uyo mzee 2amesema ajui alafu anasema wizi ameitwa kwenda kuiba usiku.sasa amuoni kama Kuna kitu hapo.vijana vijana tamaa inatuponza sana.
@gerkombo6512
@gerkombo6512 2 жыл бұрын
Kwa hiyo sasa hv imekuwa tanzania ya vilio kila kona. Maana kila kukicha ni misiba inayotokana na mauaji.
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 2 жыл бұрын
Jameni Maskari wakutulinda sisi tena njo inakuwa viikwazo kwa sisi RAIA KW3LI INATIYA UCHUNGU MWEINGI
@aggylukumai4458
@aggylukumai4458 8 күн бұрын
Maaskari wageuka wauwaji.
@salustiashayo3486
@salustiashayo3486 2 жыл бұрын
Uongozi wa Suma uko wapi
@bamsnames149
@bamsnames149 2 жыл бұрын
DAAAAA HIII HARI IMESHAKUWA NGUMU SANAAAAA🤔
@thomasnyarusanda2608
@thomasnyarusanda2608 2 жыл бұрын
Kwa matukio haya jamani Tanzania tunaelekea wapi!
@asmahassan1044
@asmahassan1044 2 жыл бұрын
Hivi hawa polisi Wana Nini siku matatiz yetu tutayapeleka wapi Kama tu watu ambao tuliwaamin wamekuwa hivi😭😭
@shabanilikey4808
@shabanilikey4808 2 жыл бұрын
Elewa....walinz wa kampuni ndio polisi?
@rhdimpoz6019
@rhdimpoz6019 2 жыл бұрын
innalillah wainnalillah rajion .
@eliasebastian4110
@eliasebastian4110 2 жыл бұрын
Yaan hakuna kitu Ina uma kama hii tuisikie TU .hat kama mtu amefanya chochote ila roho ya mtu ni roho ya Mungu we unaitoaje!angalieni majonzi mliyoyaleta kwenye familia mnaenjoy SAS nyie Suma?
@hallin9561
@hallin9561 2 жыл бұрын
Askari police wamekuwa majambaz, wauaji, wdhurumu haki, wapiga dili. Ni hasira kwasabab ya mishahara yenu midogo au pepo tu
@albertlukoo7386
@albertlukoo7386 2 жыл бұрын
Duuuuuuuuuu!!!!! Mungu turehemu
@joleal7941
@joleal7941 2 жыл бұрын
Eee mungu wangu😭😭😭
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Jamani Tanzania mbona mauaji yamezidi kiasi hiki kuna pepo gani hili Tanzania
@swaumadamu1163
@swaumadamu1163 2 жыл бұрын
Inalilah waina ilah rajiun
@niwemugenimediatrice5640
@niwemugenimediatrice5640 2 жыл бұрын
Oooooh!Condolences kwa watanzania wote
@mishikikoti2948
@mishikikoti2948 2 жыл бұрын
Walimbishia hamza na wakasema alikua gaidi , , sasa hiki nini ? Mungu anafichua mliokua mnayaficha miaka mingi, askari wanaua raia wengi saana
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 2 жыл бұрын
Innalillah wainna ilaih rajiun
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 2 жыл бұрын
Mauaji mauaji mbona yanaongezeka ?
@nusaibahassan5842
@nusaibahassan5842 2 жыл бұрын
Inna lilahy Wainna ilahy rajioun 😭😭
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 2 ай бұрын
Hii arusha nisawana ŵatusi nawaĥutu ķila uchaômaûwaĵo
@bellahamissi8799
@bellahamissi8799 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭
@SafiyaJ-yw2vt
@SafiyaJ-yw2vt 2 жыл бұрын
Mwaka umeanza kwa mauwaji jamani mama ana uchungu wa mwana aujuwaye mzazi😭😭😭😭
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 2 жыл бұрын
SASA LIKITOKEA TUKIO TAFUTENI MTU WAO NAE MPIGENI MUMMALIZE, HAKUNA KUTOA TAARIFA POLISI.
@subirajohn728
@subirajohn728 2 жыл бұрын
R..i.p Richard!
@charlesmpemba9387
@charlesmpemba9387 2 жыл бұрын
Hawa Askari wameingiwa na pepo gani jamani.wawe wanawanyonga ili wajifunzee
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 жыл бұрын
Jaman hebu sasa tukae tulie na Mungu watu wanatekwa, wanachinjwa ,wanachomwa visu wanabakwa ,wanajinyonga,mara moto, mara mafuriko sijaskia serekali ikitoa tamko lolote sasa watu wanajichukulia maamuzi tu😭😭😭😭
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Rais Mama Samia upo?! Ww si ndio Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi hii? Vyombo vya ulinzi na usalama, services za upelelezi na ujasusi sizipo chini yako ? Mbona hauchukui hatua yoyote? Wananchi tumkimbilie nani mwingine ? 😭😭😭
@sharmelasaif47
@sharmelasaif47 2 жыл бұрын
Kijana bado mdogo jamani inahaja gani yakuongozwa na serkali kama serkali ndio viongozi wa mauwaji
@godfreymbuya2659
@godfreymbuya2659 2 жыл бұрын
Bila katiba mpya tutalia sana,
@angelageofrey9756
@angelageofrey9756 2 жыл бұрын
Tatizo Tanzania sheria hazifuatwi hakuna haki jamani kunatisha
@daudilfrans996
@daudilfrans996 2 жыл бұрын
Kwa Sasa vyombo vya habari vipo huru
@faiditv5535
@faiditv5535 2 жыл бұрын
Ndio kitupekee nnacho mpendea mama huyu ktk uongozi wake
@sadalamustafa3848
@sadalamustafa3848 2 жыл бұрын
Watanzani tunahitaji mabadoliko jeshi letu ni la uuwaji chadema tukisema tunaonekana wabaya lakini Hali ni mbaya Sana police badala ya kulinda watu wanauwa watu
@fatumamgaya1213
@fatumamgaya1213 2 жыл бұрын
Eeeh mungu wangu cjui tunapoelekea n wapi jamani
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 2 жыл бұрын
Kila siku lazima mtu auwawe sijui tatizo nn
@mohamedaden5881
@mohamedaden5881 2 жыл бұрын
Sijui tucoment Nini tumechoka
@unjuusalvatory5331
@unjuusalvatory5331 2 жыл бұрын
Hizi crimes ni za kuandalia documentary aw movie kbs, calling producers..tufanye kaz.
@kingmagufuliforever3144
@kingmagufuliforever3144 2 жыл бұрын
Naamini hakupigiwa bure lazima ametenda uhalifu na leo zimetimia arubaini zake na kufa ndio dawa yake mana tumechoka wezi bora alivouliwa mana angebaki angewaibia raia wengi kwaio mapolisi wametuokoa safi xn
@Awatee
@Awatee 2 жыл бұрын
🙄🙄🙄Hio sio sheria ya mwizi ni kukatwa kiganja chake cha mkono
@Zubaiba
@Zubaiba 4 ай бұрын
Innalillahi wainnalillah rajiun
@khadijahomankweliyamjahaya7421
@khadijahomankweliyamjahaya7421 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭jamani
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 2 жыл бұрын
He kumekucha bado eh
@samiasaid3036
@samiasaid3036 2 жыл бұрын
Rip magufuli💔
@zaitunimawalla562
@zaitunimawalla562 2 жыл бұрын
Innalillahi wainna illahi rajiun.
I Can't Believe We Did This...
00:38
Stokes Twins
Рет қаралды 95 МЛН
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 49 МЛН
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 59 МЛН
Familia ya Dereva Bodaboda aliyeuawa  pamoja na mpenzi wake yaeleza haya
15:31
I Can't Believe We Did This...
00:38
Stokes Twins
Рет қаралды 95 МЛН