Kiukweli sasa ivi TANZANIA nchi yetu ktk upande wa boxing tumeanza kuona mambo makubwa safi sanaa hongera kwa mr class 🔥🔥🔥🔥
@festolukumay12173 жыл бұрын
Ibrahim Class ndio bondia namba Moja Tanzania hongera sana
@baltazalbusanya88513 жыл бұрын
Respect to azam media to still promoting
@daudimatelot93393 жыл бұрын
Respect kwa Ibrahim class mawe 🇹🇿
@zananabalozi6703 жыл бұрын
Ibrah class mawe yamekaa sawa. Hongera sana class
@fatmabaraka31913 жыл бұрын
Good boy Ibrahim unanipa raha' kazi nzuri
@mowales80403 жыл бұрын
Inatosha kama jina lake Ibrahim Class professional kabisa Ushindi halalii
@saidhuma91713 жыл бұрын
Game nzur sio ile ya Mfaume mfaume,, Ibra hongera sana
@emmanuelmayunga15183 жыл бұрын
Mfaume hamna kitu anaongea sana kaz hajui
@boningassa43023 жыл бұрын
Class ni world class athlete
@hollocharles8205 Жыл бұрын
Huyo ndio mawe on fire
@abasmwika34323 жыл бұрын
Safi Ibra Ila fanyia kazi idara ya ulinzi unajiweka wazi sana.
@AhmedAli-hk1il3 жыл бұрын
He deserved to be winer congratulations 👏 ibraclassic
@Kemdraphael3 жыл бұрын
Tuwe professional kweny kuanalysis game mnakua kama mashabiki wote but what a match fantastic
@fadhili22933 жыл бұрын
Wanakosea Sana
@mnzavachris54233 жыл бұрын
Fadhili wamekosea nn
@HD_mark3 жыл бұрын
@@mnzavachris5423 wanakosea kutompongeza mpinzani anapofanya yake
@zananabalozi6703 жыл бұрын
Class ni bondia mzur sana tena sana sio mfaume mfaume
@mnzavachris54233 жыл бұрын
duh!
@omaryseif69303 жыл бұрын
Hhhhh!! au sio ?
@HD_mark3 жыл бұрын
Ibrahim saf sana, afanyie mazoezi stamina ya right yake next time tupate knock out. You're the man Ibrah! Bongo to the world
@fadhili22933 жыл бұрын
Ibrahim classic ndio bondia hajawahi niangusha anapopambana apa bongo tofauti na mwakinyo na mfaume
@mnzavachris54233 жыл бұрын
ivo
@pedrojimenez75143 жыл бұрын
Desde Colombia bendiciones para toda África
@fadhilplatnumz62093 жыл бұрын
Good- Ibrahm class umeshinda Vizuri ikpoa .
@shaabanali48693 жыл бұрын
Big up ibra
@greysonsindini54893 жыл бұрын
Hamjui kuchambua mnamchambua mtz tu mmefeli sana
@josephmshanga79553 жыл бұрын
Mwamba ibra unajua saana .. respect kwako
@aliymajala56783 жыл бұрын
Kazi kazi
@ismailkatala47923 жыл бұрын
Mfaume na kiduku jitahidini kuwa neutral kwenye analysis mnayofanya....mnaweka ushabiki sana wakati kazi yenu ni kuchambua mchezo... otherwise hongera kwa Ibraah ametishaa 💪
@mnzavachris54233 жыл бұрын
halal kabs co
@abdulkarimukitamkanga40533 жыл бұрын
Hongera Sana iblahimu klsasi
@maikogod78313 жыл бұрын
Noma
@jasperjackson88713 жыл бұрын
Big up sn ibra classic!!!
@sarahrajabu98123 жыл бұрын
Hongera sana class
@danielimikaeli14083 жыл бұрын
Hawa ndomabondia wakuleta safisana Ibla
@kombozuberi31433 жыл бұрын
Safiii champion
@kidunapoletano31183 жыл бұрын
Bondia wangu ninao wapenda Na wazee wa show. Namber 1 Mwakinyo 2 class. 3 mfaume Na 5 ni mzee wa show show kiduku. Tuendeleee kuwapa sapoti mabondia wetu ili wafike mbali nao waweze kuishi good time Na wakatuwakilishe Duniani kote bila kumsaau messi wa ngumi salimu mjengo ni balaa
@valensmyovela9483 Жыл бұрын
Jamani bondia Class atapambana lini tena? Yuko vinzuri sana
@mchaganaduka3 жыл бұрын
Boxing in tanzania is taking over
@twebwetvcommedytz91133 жыл бұрын
Class wewe nakupa namba 3 kwabongo yani no 1 mwakinyo,no kiduku na no 3 ndio wewe mdogo wangu hongera sana nakuonambali sana
@twebwetvcommedytz91133 жыл бұрын
2
@abubakarbakar75183 жыл бұрын
huyo class mfaume nakaa vizuri tu
@stephenmatiko25853 жыл бұрын
Good our champ
@charlesmazige Жыл бұрын
class big up
@alexkohe87353 жыл бұрын
Classic ni mnoma
@lewismpangala9273 жыл бұрын
Good boy mhehe wetu mawe
@mnzavachris54233 жыл бұрын
nani mhehe!
@zuheorsalim77592 жыл бұрын
Ibra amejitahidi sna ila amepogwa
@mack_vita_onyango84093 жыл бұрын
Naona watu wana msema champion Mfaume mfaume, Niwambie tu Game some time huwa ina mkataa mtu, kutokana na aina ya mchezo wenyewe na mpinzani wake" Ila mfaume mfaume champion ni Namba nyengine nina imani Akipata game nyengine hato tuangusha tutataka kuona Bad punch.. high speed punch
@ezekiellukiko44873 жыл бұрын
Co kwamba tunasema n mbaya cc tulizungumzia game ile alipigwa akapewa ushindi lakin game nyingine huwa anacheza vzuri
@mnzavachris54233 жыл бұрын
Ezekiel Lukiko au co!
@kennedymatonge48333 жыл бұрын
Mfaume mfaume mashine nyingine
@halfanijuma76463 жыл бұрын
Very cool fight congrtas to ibra class
@lifeisgood42423 жыл бұрын
Very heavy. The fight is cool and interesting.m
@shijamakoye60133 жыл бұрын
Huyu ndio bondia sasa IBRA sio ujinga ule wamfaume mfaume
@fadhili22933 жыл бұрын
Mfaume anajua ngumi za kuongea tu. Ata mwakinyo naye anazingua
@mnzavachris54233 жыл бұрын
Fadhili yamekuwa hayo!
@shebanishebe78663 жыл бұрын
Pongezi. Uko vzr
@Skha_LowTk3 жыл бұрын
Next time bro Denis..
@frankmwacha3 жыл бұрын
Maweeeeeee
@begaca3 жыл бұрын
Duh trip hii mmezingua mbona kama sio full fight n za kudonoa donoa haina radha duh
@SwaibuIbrahimu Жыл бұрын
😅😅😅Àsim
@jacksonjoel13523 жыл бұрын
Big up usiwe kama mfaume anapigwa kam mtoto
@patrickmuvendi1423 жыл бұрын
Ibra huyu ndo bondia Bora tz
@mchaganaduka3 жыл бұрын
Simply mwale couldn't match up ibrahim speed
@kinyikaog72673 жыл бұрын
Daaa ongela yake
@kaundasutikaunda77693 жыл бұрын
Pambona zuri sana
@emmanuelmwakyusa73833 жыл бұрын
Macho yako yanaona kama mimi? Round ya nne wakati Mwale akishambuliwa na Class kocha wa Mwale anaonekana kwenda kuchukua Kitambaa tayari kwa lolote hata kumaliza pambano. Ibra Class is best in Bongo, hakimbii kimbii kwenye ulingo, yeye ni showshow mwanzo mwisho.
@mnzavachris54233 жыл бұрын
au co
@twaizoofficial44552 жыл бұрын
W
@gavethhans52423 жыл бұрын
Hamna bondia maneno mengi tu mkienda ugenini mtachapika sana sababu mnapigana ķwa mdomo ila Mwakinyo kiboko yao hana mpinzani
@mnzavachris54233 жыл бұрын
doh
@ramsonramadhan41563 жыл бұрын
Nyie sio wachambuzi ni mashabiki Nguli...not gud
@zabronnkoy49083 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@ezekiellukiko44873 жыл бұрын
Kabisaa sasa mfaume na ibra wote wanacheza gym moja ndio maana hapo ibra akipigwa wanakaa kimya
@liboriusbabile11973 жыл бұрын
ibra anapiga punch zinanyooka, zina speed na anacheza kizungu kabisaaaa. game utazani MGM grand. hata mwakinyo alibondwa kabisa na mfilipono uzalendo uka mbeba. ibrah anatupa jamani ngomi zote jamaa anatipa
@jaspermkoxeffu90393 жыл бұрын
Samata
@piuszahoro43263 жыл бұрын
Hii mechi hatar
@lutenganocharles71943 жыл бұрын
Classic is better than mfaume and mwakinyo he use brain and he is fast he a shapper appreciate that was the box we need not uzalendo you won that fight 100 percent
Jimmy Kabwe Hapa Kazi unayo kwakweli😎😎😎 Mnhhh Utopolo hao wachambuzi.. Jimmy Kabwe Nakukubali.. Azam tafuteni wachambuzi sio hivi ni fujo Tu.. Hawajibu vzuri wanavyoulizwa.. Mungeleta mtu mwengine mwenye mawazo kama ya Jimmy Sio kila mtu anafaa kuwa kwa hiki kipaza..
@mchayunguadamu91203 жыл бұрын
neno kuuza nyago sio neno lakiungwana kwenye mchezo tujifunze watu wengi wanafatilia
@lutenganocharles71943 жыл бұрын
Alaf nyie watangazaji mnapotangaza pambano acheni kutaja neno uzalendo Hilo Ni shindano msiwe upande mmoja mnakosea Sana mapambano yte huwa mnasema uzalendo haitakiwi hivo nyie tangazeni ngum achaneni na maswala ya kuwa one side lekebikeni
@coolruler68203 жыл бұрын
Tuna vijana wazuri,,tatizo bado naona lipo kwa makocha. Ktk ngumi hakujapatikana kocha mahiri wa kunoa hawa vijana tukaona vitasa angalau kama vile vya Mbwana Matumla enzi za ubora wake kipindi akinolewa na kocha Msouth
@kinyutatonha88313 жыл бұрын
yule alo akisema nitamuua atachangiwa hela arudi kwao mbea naona alikuwa anatoa madevu tu hana lolote sifa nyingi na majigambo mwambieni aangalie pambano ilo iliajifunze
@elizayanga97563 жыл бұрын
Hahahaaaaaaa
@deusmauka96263 жыл бұрын
Mfaume Mfaume na wewe jifunze kupigana kwa weledi acha ujinga, tatizo la mfaume kinachomdhoofisha ni ngono zembe kwa mkewe, kuweni mbali na wake wenu mwezi mmoja kabla ya pambano, ngono inadhoofisha mwili.
@hamudumussa49863 жыл бұрын
Saivi mapromota tunataka mkanda wa WBO
@mosesjohn99863 жыл бұрын
Makin
@harunimfaume62803 жыл бұрын
Ibrahm klas ni mtu hatal huyu ndio bundiaa mwenye raza ya mpambano sio wale wanao letwa na wenginee
@deusmauka96263 жыл бұрын
Watangazaji acheni ujinga wa kuegemea saaaana upande mmoja onyesheni uelewa wa kazi mnayoifanya kuweni nyutro. Sifia kwa akili msiwe kama mbumbùmbu wa utangazaji.