Asante kwa kutujulisha. Nikija huko nitaleta ndizi na magadi unipikie kibulu(kyumbo)😃😃
@theopportunitygiver3 жыл бұрын
Hakuna shida na Karibu sana. Subscribe plz na usishau ku-share na wengine.
@africanbellatherealtalk3 жыл бұрын
Umenichekesha eti hiki hiki cha kuombea maji.Video nzuri sana ngoja nitashare na mtu.
@theopportunitygiver3 жыл бұрын
Ha ha haaa... Cheka mwaya😹. Thanks for subscribing👌. I have done the same🥰.
@theopportunitygiver3 жыл бұрын
Thanks for sharing too❤️
@janedenzel95553 жыл бұрын
Clever girl so nice to help our people God bless
@theopportunitygiver3 жыл бұрын
Thank you😍. Subscribe plz😁
@FromTanzaniatoNorway3 жыл бұрын
Umetouch all the points and more, well explained sis! Will share this so many more people can see! happy saturday
@theopportunitygiver3 жыл бұрын
Asante sana❤️
@ashaimohammedi67542 жыл бұрын
Dada Habari naomba namba yako nataka kazi za ndani nisaidie
@theopportunitygiver2 жыл бұрын
Kazi za ndani ni huku www.energyaupair.no
@yvonneirakiza39903 жыл бұрын
Jaman nisaidie dada kufika kwaajili ya kazi za ndani
@theopportunitygiver3 жыл бұрын
Karibu sana
@muniramshana83303 жыл бұрын
naomba unisaidie kwaajili ya kazi za ndani nina passport yangu
@theopportunitygiver3 жыл бұрын
@@muniramshana8330 kwasababu ya korona sasa hivi wamesitisha kuchukua watu wa kazi za ndani
@muniramshana83303 жыл бұрын
@@theopportunitygiver ahaa xawa
@shabaniguma86962 жыл бұрын
Umegusa point zote thanks njia nzuri kufundisha watu wetu , wewe unaishi mji gani Norway??
@theopportunitygiver2 жыл бұрын
Asante!! Ninaishi mji unaitwa Tønsberg.
@shabaniguma86962 жыл бұрын
Safi sana mie miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuja Norway mji wa kusini mwa Norway Stavanger kwa MDA mdogo hivi July au August ningipenda kuja kutembea pia kuangalia opportunities huko
@theopportunitygiver2 жыл бұрын
@@shabaniguma8696 ok!! Stavanger ni mbali na hapa. Kama arusha na dar. Ulikuja kwa njia gani na kufanya nini? Tourist au field?
@shabaniguma86962 жыл бұрын
@@theopportunitygiver OK kumbe kuna umbali huo sikujua Mie nilikuja kama tourist ila Norway ni nchi nzuri sana nilienda mazingira yake, wewe unaishi huko MDA sasa?
@shabaniguma86962 жыл бұрын
Nime subscribe chanel yako very educative sister,
@gracejohn94063 жыл бұрын
Mimi naomba nisaidie kupata kazi za ndani huko
@theopportunitygiver3 жыл бұрын
Karibu sana +47 973 73 407
@gracejohn94063 жыл бұрын
@@theopportunitygiver Asante
@gracejohn94063 жыл бұрын
@@theopportunitygiver Asante
@rashidymuzna15012 жыл бұрын
Habari yako dada samahan naomba mawasiliano yako nipo oman nafanya kazi za ndani nataka kuja uko kufanya kazi