#Thestorybook Simulizi ya Maisha ya Raisi wa Kwanza wa Zambia Robert Mugabe.
Пікірлер: 573
@lupenzakenny88934 жыл бұрын
Ni bonge la kiongozi ,alikua na xifa zote,alikua anafaa, hakika alijiamini na aliamini kua mungu Ni wetu xote sio wawazungu tu no, Kama unaamini hilo gonga like zako hapa
@nancykaona20544 жыл бұрын
Asante sana mtiga . Sikuwa najua nimemezeshwa ujinga na wazungu.ilove you mugabe
Upo vizur kaka unajua kuadithia yaan nasikiliza hata sichoki Nice work bro
@ahmedshaban91114 жыл бұрын
Sifumbi macho kwenye kujifunza You are the best Mtiga
@bridgettjohn78114 жыл бұрын
Napenda de way unasimulia hata ambae anakichwa kigum anaerewa keep it up😘😘
@kelyanjeremiya25334 жыл бұрын
Rest in peace mkuu mugabe.. MUNGU bado anatutazama wanadamu tunaojiona ndy kila kitu kwenye ulimwengu huu wa mwanga na giza ila tuzidi kumuomba yeye..🙏🙏
@cruzzymsomalitm76764 жыл бұрын
😂😂😂😂 Mugabe ni konki 🔥fireeeeee kama tunao mkubali mugabe tujuane kwa kulike
@rkplatnumzplatnumz46034 жыл бұрын
Cruzzy MsomaliTM kweli mgabe noma
@theafricanprincevivecongo86324 жыл бұрын
Cruzzy MsomaliTM mim
@htwwkha21794 жыл бұрын
Mugabe chuma
@denismtoma5664 жыл бұрын
Jembe letu
@azizawadh59734 жыл бұрын
Kawaachaje zimbabwe
@naamanbenedict37814 жыл бұрын
Kama unaingalia 2020 piga like
@stephanieeunice85724 жыл бұрын
The love I have for this guy's voice ooh my,but I love intelligent,sharp and articulate men.Mtigah keep it up,I love you
@user-mo5mi6bt6v4 жыл бұрын
big up kwa *Ananias Edger *
@sospetersiame9064 жыл бұрын
Nilimpenda sana mugabe huyo kwakweli wazee wetu hao ni majasiri sana walikuwa hawaogopi mtu ma wazungu wakikuweza wanapelekesha mbaya
@yonamwakamele4 жыл бұрын
Safi sana Media zote wangekuwa kama wew basi Waafrika baadhi wanaopumbazwa na wazungu wakapumbazika kuua na kuchafua viongozi bora wa Africa wangebadilika.
@subirajohn7284 жыл бұрын
Yona Mwakamele ni kweli
@rabamelody40754 жыл бұрын
Wajinga ndo wanao kubali adui afuze watoto wake
@ezekielpetermasonda41944 жыл бұрын
Yona Mwakamele nikweli
@immamrema22884 жыл бұрын
Asante sana maana mimi nilimchulia mtu gaidi...mungu alaze mahala pema pepon amen
@pendael024 жыл бұрын
Pole sana kwa kukaririshwa
@omariamiri55564 жыл бұрын
Nikiiangalia wasafi itafik mbali ina watu makini kila idara big up mnaleta mapinduz ya habari na burudan
@afrieagle83144 жыл бұрын
Hila ndo wanawafukuza sikuhiz😔😔😔
@brokenigga28424 жыл бұрын
Kila mtu ana uzuri na ubaya wake 🙌🙌
@Fm-MornStar20144 жыл бұрын
Asante sana mtangazaji! Mimi nahitaji simulizi kama hizi zitawale zaidi. Wazungu wanajaribu kuchafua vichwa vya wengi wetu!
@joshuamcompanyjoshuamgusi71754 жыл бұрын
Daah Napenda Sana Usimuliaji wako Kaka Mtiga🔥🔥🔥
@laizerjohn28504 жыл бұрын
Mugabe kiboko bwana
@emmyyahya83584 жыл бұрын
Wow mtangazaji unanikosha Sana brother 🤗😘
@francekabelege29983 жыл бұрын
Waheshimuni sana wanawake wenye mimba kwamaana nimtu pekeee ambae anatembea na ushahidi kuwa wamefanya mapenzii da Mugabe ni balaaaaa navoskiia ivi namwona nyerere mana vuchwa vyao nisaw Africa unity
@teljanahmed20514 жыл бұрын
Mko vizuri story book Tuleteeni pia story ya Burundi kwa ihsani yenu
@jifaqmoonwalker60324 жыл бұрын
Hii ndo media pendwa Tanzania kwa sasa.... Keep it up Wasafi
@victorjames37304 жыл бұрын
The really legend of AFRICA
@mustialjumi82134 жыл бұрын
Nakubali sana mtiga abdala sauti imeweza kipaji uko nacho big up!👊👊👊
@tumainieldanistan24724 жыл бұрын
Nice presentation bro Umetufungua macho
@djrautz7334 жыл бұрын
Hili pindi ni kali sana kama unakubak gonga like
@marthanjau66183 жыл бұрын
Kwa hilj nimekubali uko makini
@gersonjohakm19353 жыл бұрын
Nikweli alikua kiongoz mahilii ila duuuuuu!!!!!!!!
@riziki25424 жыл бұрын
Nilisema na ukafanya big thanks 👍💕👌
@ivetamasae31724 жыл бұрын
I respect u on what you are doing coz you know how to find the truth
@saidsoud59674 жыл бұрын
Jembe hili..SIMBAAAAA..
@fiziparadise78084 жыл бұрын
RIP sir, you did enough for us. A luta continua✊🏾 Respect from DR of Congo🇨🇩
@lizbethkisasa50604 жыл бұрын
Asante mwandishi nahisi tumejifunza mengi
@rnoboeofficial53383 жыл бұрын
mungu nisaidie nije kuwa raisi kama mugabe,magufuli na gadafi nikomboe waafrica ee mwenyezi mungu nisaidie niwe mzalendo daima.
@eltonjohnivyishaka294 жыл бұрын
Brother w ni noma saana
@shabankawambwa43974 жыл бұрын
Hongera simba kwakuongeza ushindani wa tasnia ya Sanaa sio kila siku radio na tv moja tu
@goodhopeofficial80414 жыл бұрын
Mtiga ni fire🔥
@filbertkapama88244 жыл бұрын
Nkiangalia huku namuona mtiga,juu naona ananius hahahaa gonga like kama unamkubali mtiga abdala
@amoursalum2723 жыл бұрын
Kiuhalisia mugabe alikua simba haki yke kukaa madarakani mpka kufa
@mussamkalawa21014 жыл бұрын
Wazungu wapumbavu sana ,,,Safi sana Rais Mugabe sijawahi kufaham kama ndo ulikua Unamsima hvo.
@mamachris68114 жыл бұрын
Tatizo letu Weusi huwa hatupeani support
@barakamafwimbo83234 жыл бұрын
Ni kwel kabisa tunakumbuka mambo ambayo siyo ya msingi
@wilsonjohn19194 жыл бұрын
Tujiulize sana kwanin mashujaa, na wanaharakat (wapigania uhuru wa Africa wanapatwa mauti katika hospital za ulaya pale tuwapelekapo jili ya matibabu ( r. i, p)Zimbabwe freedom fighter
@jackfimbo44864 жыл бұрын
Wilson John sababu bado Uhuru haujapatikana kutokana na kuisha kwa mafreedom fighter
@amevuai87244 жыл бұрын
@wilson john umeuliza swali zuri sana tena la msingi
@josiahjohn52304 жыл бұрын
Hii ndo ujue kuwa bala la africa linapigwa vita na mataifa yalioendelea ili tudidimizwe kiuchumi, hakili na afya kwa kuwaangusha watetez wa africa kama ilivyo kwa mwalim jk nyerere
@ebbycronal70114 жыл бұрын
Swal zuri sawa na bob marley
@mtulivuindustryltd23564 жыл бұрын
The big problem
@mariahwanjiku18094 жыл бұрын
Am just loving the story book
@josephatisabu39644 жыл бұрын
Miriam,
@Daphne3624 жыл бұрын
Jamani hiyo sauti yako we kaka mtiga 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
@djdino22504 жыл бұрын
Mmy naomba namba yako please yangu 0745720466
@valture1003 жыл бұрын
Kazi nzuri sana, nashukuru kwa historia hii Kumhusu Hayati Mugabe. Naomba utuletee yake Nabii Dr. David Owuor.
@harselybayo44664 жыл бұрын
bro you made me cry😟
@wakujamedia-tz4 жыл бұрын
Asante the story book niiomba sana hii story
@leonardqamunga62184 жыл бұрын
We jamaa unayesoma unajua kazi unayoifanya Upo vzr sn , kaza buti Upo vzr sn
@tensotv4 жыл бұрын
Daah nyi miamba...👊👊DUNIA NZIMA🙌🙌
@Johnkokolo4 жыл бұрын
Me nakupa hongera bro umekuw mtu wa kuigwa kwa kufafanua vitu km hivi tofauti na wanaotutafutia habr za udaku...keep it up
@TALLUBOY4 жыл бұрын
Big father president Ongera sana in AFRICAN
@barakastephano61444 жыл бұрын
I really admire his voice when he was speaking. Rest in peace "lion of Africa "
@gracebalthasar30444 жыл бұрын
R.I.P the Lions of Africa.. Nyerere, Mugabe, Mandela
@kimutattoo40674 жыл бұрын
Aiseeee appreciate Daddy Robert Mugabe We will miss you forever and for always😓😂😓😂😓😂
@zuleyvendor65774 жыл бұрын
Mugabe me alikuwa ananiacha hoi tu alivyokuwa akisinzia hadharani😂😂😂😂😂ninachompendea zaidi mugabe ni ujasiri wake wa kupambana na wazungu...
@wachutv94304 жыл бұрын
aaaah sawa mama
@veronicadaniel11224 жыл бұрын
Zuley Vendor Alikua amezeeka
@amisibilly50843 жыл бұрын
Huzee ulichangia
@blezywatino10432 күн бұрын
Mugabe❤❤❤ the legend of Africa.
@jescajoseph34194 жыл бұрын
watu waliozaliwa miaka ya 20's...wako genius sana
@georgebataze66254 жыл бұрын
Alikuwa na akili nyingi sana huyu mzee.Hajawahi kuwa dictator ila hila za wazungu.
@maliethnyoni28474 жыл бұрын
Yaan ww kka unasauti nzuli sana
@JefreyKings4 жыл бұрын
Do a story on President Jomo Kenyatta for all our Kenyan Brothers. Mashujaa day is coming up on 20 October
@faridaminzi43534 жыл бұрын
Mtiga respect kwako
@zenamiraji90624 жыл бұрын
Respect kwa mugabe...he was real man. No fear. Rip.simba wa Afrka
@fintaniferx95354 жыл бұрын
Kifo ni aki yetu ata kama wange kaa miaka miatatu wao wange kidai2 cha muimi ni kuwaombea kwa mungu mwenye nguvu awapumuzishe kwa amani
@elianaminja55854 жыл бұрын
Umetisha kiongoz 👏👏
@kingkongmadiba31744 жыл бұрын
May Your Soul Rest In Peace Hon. Mugabe ...!!!
@isaacsimon35804 жыл бұрын
Hawajaisha wote amebaki Kenneth Kaunda wa Zambia
@subirajohn7284 жыл бұрын
ISAAC SIMON kweli
@Freecross1894 жыл бұрын
Vizuri sana ndugu uko vizuri sana
@princegabytv72514 жыл бұрын
Rest in peace simba(lion) of AFRICA❤
@officialmrtop10184 жыл бұрын
Big up sana *Mugabe* , duuh Africa Tumepoteza wasimamizi wetu wanaosimama nakusema bila uoga kabisa tuseme *Mugabe Simba from Africa*
@kikongajoel26934 жыл бұрын
Story nzuri sana rest in peace Mugabe
@erastocharles40314 жыл бұрын
Daah hakika ni kweli,, watu wengi wanamkumbka MUGABE kwa mabaya pekee lakin mengi saana amefanya mazuri
@raphaelshan49054 жыл бұрын
Malikia hana mamlaka yeyote ni cheo cha heshima tu Kama ilivyokuwa kwa machief na watemi hapa TZ .Ila wameamua kukienzi cheo cha umalikia kuna utofauti uraisi au waziri mkuu. Ndo maana uingereza wanafanya uchaguzi wa waziri mkuu kila baada ya miaka Mitano.
@wcb4life8594 жыл бұрын
Nakwenda Zimbabwe
@FBN8344 жыл бұрын
Namkubali sanaaa Mzee Mugabe
@pragodisama12174 жыл бұрын
Dah nimechelewa
@jostamzxkaole31134 жыл бұрын
🔥🔥HATARII🙏🏻🙏🏻 TUNAPENDA tumpate mtu mwingine kama MUGABE.. R.I.P MUGABE
@liboriusbabile11974 жыл бұрын
i doubt john pombe magufuli is likely to be like him
@kondegangfans73684 жыл бұрын
Kipindi changu pendwa 💥 support by konde gang
@joharhamisi91404 жыл бұрын
konde gang hivyo ndo inavyotakiwa
@jameskimanzi20794 жыл бұрын
My favorite artist konde boy 💪👊👊
@elifasinimpagaritse89254 жыл бұрын
konde gang siku hizi una comment kwenye ma video
@hansiselemani80254 жыл бұрын
Elifasi Nimpagaritse hyo sio konde gang,,monde gang account take INA herufi kubwa
@abdulchakusaga13224 жыл бұрын
hey
@mohdharoub71214 жыл бұрын
I respect ever 4rever RIP MUGABE
@nassirmasoud60974 жыл бұрын
I lyk dis man.shujaa sana huyu
@tatukinyogoli90014 жыл бұрын
Uko vizuri kaka
@zechyulewagreenapple57054 жыл бұрын
Excellent
@nomatter12394 жыл бұрын
Gonga like kama unamkupali mugabe aliposema wazungu wa cls midom yao
@lillynjuguna30223 жыл бұрын
Thanks for reminding us what is important lest we forget
@mufamozmufash1664 жыл бұрын
Wasafiiiiiii
@ibrahimkassim16644 жыл бұрын
Km umeyakubali maneno ya Mugabe gonga like hapa Obama km unataka tukubali ushoga Njoo nikuanze ww
@happinessmwenda27734 жыл бұрын
Mke wa Mugabe Grace ndiye aliyeharibu sfa za rais huyu.Nchi ya Zimbabwe sasa inasikitisha.
@micamathew64334 жыл бұрын
Sijawahi kuona kosa la huyu hayati rais Mugabe...huyu ni kiboko cha wazungu. Wazungu hapa walikaa mbn, huyu ni mbabe kwelikweli..nampenda.
@peterswambua524 жыл бұрын
R.I.P ....Mugabe +254😩😩
@joellbee48824 жыл бұрын
Pw
@michaelndilima62104 жыл бұрын
Safi sana
@kamutua63764 жыл бұрын
Wow now i know.. Thanku fo this
@djfiremoto34294 жыл бұрын
MTIGA ABDALLAH🔥🙌
@hassanmassaga24764 жыл бұрын
Wazungu washenzi kwlkwl ......lkn watu weusi sisi bado tunawashobokea
@yvonnesaronga2194 жыл бұрын
wazungu hawana maana .....wale hawatupendi ....
@yvonnesaronga2194 жыл бұрын
duuuh text zinakatwa .....
@veronicadaniel11224 жыл бұрын
Hassan Massaga Hakika
@azizawadh59734 жыл бұрын
Wanauwezo wanaongoza dunia wakatae ufe na njaa
@johnsonjusto95644 жыл бұрын
mugabe kwa quotes zake nimejifunzaga kwake nakucheka pia
@amourmtungo6234 жыл бұрын
Kuwa na uzalendo na kuipenda nchi yako ni kama moyo na damu lakini tukipata nyazifa sisi waafrika tunabadilika na kubadilisha katiba kwa matakwa ya mtu binafsi, we can’t achieve the real freedom of speech, tolerance and the love between ourselves because we become selfish and greedy.
@malaakyakub38534 жыл бұрын
Mugabe it wos lions of Africans salaam from Somalia
@ramafrica90164 жыл бұрын
Wazungu wanacho jua ni divide and rule,,,,,,nawachukia xna hawa ni sawa na panya anakupuliza kisha anangata
@ibramacho99623 жыл бұрын
Thanks san wew unajua san
@johnphilipoaugustino61004 жыл бұрын
Tupe na ya nyerereee arifu
@magezrajab76444 жыл бұрын
Kama unaamini Mugabe alikuwa kiongozi bola please like apa.😘😘
@jacksonmluge62852 жыл бұрын
Africa it's need leaders like him 💪
@lizbethmacha3844 жыл бұрын
Noma sanaaaaa👏👏👏👏👏
@user-sj3wf5vz7l5 ай бұрын
We malkia wa uingereza anayo power kubwa sana. Anaweza kumwondoa waziri mkuu ambaye ndie mwangalizi wa serikali. Wanatufumba macho tu. Malkia uingereza anashika cheo cha rais. Na analindwa na dola
@benancejohn119810 күн бұрын
Mwamba kabisa 🙌🔥🙌
@moseking24004 жыл бұрын
Hadithi nzuri sana na ingependeza kama waafrika wote wangejua hii story maana inajenga xana