Nyimbo hii kila ninapokuwa na masikitiko au simanzi basi husikiliza nyimbo hii au shada la maua. Simanzi na sikitiko hutoweka. Mashallah hizo siku za kheri.
@saheelameir43136 жыл бұрын
I realy miss my home. Allah ibariki zanzibar yetu na uwarehemu wazazi wetu
@sabraabdilnasir88263 жыл бұрын
Amiin allahumma amiin
@awatifalghanim11065 ай бұрын
Amin
@mohammedjumasalum904 жыл бұрын
When you miss zanzibar here is the right place to regain the moments of how beautiful island it is ! RIP the magic voice
@sakinaabd58989 жыл бұрын
waché waseme sina budi nawe sikhofu lawama sababu ya wewe ungekuwa nyoka radhi uniuwe seuze taussi wache walalame hakika mrehemiwa machaprala ungekua nyoka sumu yako dawa,damu husafika maradhi hupoa,uzuri hakika wewe umepewa siwezi kwepuka liwe litokuwa ahsante oncle MUNGU AKUREHEMU NA AKULAZE PEMA PEPONI
@sakinaabdallah771310 ай бұрын
Bwana mkatili usiye Imani nimetambua wewe ni adui , wala hukui thamani saddaqta Maneno kibao👏👏👏hebu tahayari kutupa hissani chuki n'a kiburi zinajiamini,ni jambo zuri wacha kisirani, ni wewe ufanyavyo Jua umo hatarini taumwa mwisho useme shetani whaouuuu🤔
@hidayabakar70265 жыл бұрын
Kweli bb znz haipo wameiyuza Salimini na wenzake
@maryamjohn25373 жыл бұрын
Natamani Zanzibar yetu irudi nyuma jamani tunaenda wapi Sasa sielewi kabisa Allah bariki visiwa vyetu na tamaduni zetu
@saheelameir43133 жыл бұрын
Amiin
@saheelameir43133 ай бұрын
Ahaa utanitoa machozi😂😂😂
@sakinaabd58989 жыл бұрын
nimefunga nia katu sibadilii, hapa na khatwia kupenda jamali, hiyo nitwabiya pasiwe suali mimi naridhiya yeye kakubali hakika kupenda ni jamali oncle lalapema peponi ichallah
@mohammedsahera47535 жыл бұрын
Sakina ABD wambea mkome kutusema na chokochoko zenu midomo km kunguru
@adidascrew13086 жыл бұрын
That our really zanzibar yenye amani na upendo maskini zanzibar yetu
@nasseral-maqbaly242011 жыл бұрын
Khasara tumeipoteza zanzibar na culture yake kwa sababu ya wanafiki wachache ambao wanatizama maslaha yao tu sasa imekua sio zenji imekua zanzibara na tumepoteza mpaka culture yetu ya kiislam.Allah awalaani waliosababisha na wanaoendelea kuizamisha zenji yetu ambayo iliweka history katika africa na dunia nzima.
@shirazyameir24036 жыл бұрын
Allah ataturudishia wenyewe kama si duniani basi huko peponi
@mushken655 жыл бұрын
Nikweli. Lakini umesahau kusema tulipoteza culture yetu ya sisi watu weusi kabla ya kushika culture ya waarabu na kiislamu. Hapo ndiyo muafrika anakosea kujiuliza kabla hajaiga culture ya waarabu culture kwanini akapoteza culture yake. Ukishajibu Hilo swali hutorudia sema tena culture yetu ya kiislamu ihali mababu zetu walipigwa na kwa nguvu wakalazimishwa waache culture zao. It's all about control of the black man to force him to see his culture as satanic and white men or Arab culture as better.
@saheelameir43135 жыл бұрын
we Ngeta utakua kaffir hapa hatuzungumzii uafrica tunazungumzia uzanzibar uliojaa utamaduni wa kiislam
@saheelameir43135 жыл бұрын
sisi wazanzibar utamaduni wetu ni wakipekee
@prriya5073 жыл бұрын
Wallh hii nyimbo naweza isikiliza ata kutwa nzima na ham haniish😘😘😘😘😘😘
@saheelameir43135 жыл бұрын
lau ningalikua nauwezo duh zamahizo ningezirudisha nyuma ila cwez Ya Allah tupe mwisho mwema
@khakeemafro62748 жыл бұрын
dahhhh chozi iloooo miss u my Zanzibar
@kassuomar4 жыл бұрын
HOME SWEET HOME
@sumaiyayahya12526 жыл бұрын
Sikhofu lawama sababu ya wewe! Umenkosha marehem.... Kweli saivi Zanzibar taarab kama disco... Old is surely gold!
@mussazamzam57624 жыл бұрын
Wallah nyimbo Inaimbwa kw hisia Kali mpka ndani mifpa inatembea aah ungekuwa nyoka sumu yako dama damu husafika maradhi hupoa
@saheelameir43133 жыл бұрын
Asalam alykum sumaya
@bumsnyagenda96393 жыл бұрын
Hawa wazee walikua waandishi wa kweli hawakubahatisha machaprala gwiji wa taarabu asilia
@mubamubarak32196 жыл бұрын
Ungekua nyokaa sumu yaako dawaa, damu husafika maradhwi mashalla!!machaprala rest in peace
@shirazyameir24036 жыл бұрын
MY ZANZIBAR MY MOM AND DAD LAND I REAL MISS YOU SO MUCH
@abdallahsuleimani74163 жыл бұрын
Dah!!! Wapi Tena imebaki story sijui kama Zanzibar ya heshima na maadili itarudi Tena : tumebakiwa na wabakaji
@saheelameir43133 жыл бұрын
Itarudi in shaa Allah kwa uwezo wa Rabbi
@abdallahsuleimani74163 жыл бұрын
Sio kizazi hichi tena
@mohdseif24592 жыл бұрын
Znz imendoka tangu 64 ww unajua leo
@IdhharMKassim2 жыл бұрын
Waache waseme, sina budi na wewe Sikhofu lawama, sababu ya wewe Wache waseme, sina budi na wewe Sikhofu lawama, sababu ya wewe Ungekua nyoka, radhi uniume Seudhika usi, wache walalame Ungekua nyoka, radhi uniume Seudhika usi, wache walalame Ungekua nyoka, sumu yako dawa Damu husafika, maradhi hupoa Ungekua nyoka, sumu yako dawa Damu husafika, maradhi hupoa Uzuri hakika, wewe umepewa Siwezi kwepuka, liwe litokua Uzuri hakika, wewe umepewa Siwezi kwepuka, liwe litokua Nimefunga nia, katu siibadili Hapana hatia, kupenda jamani Nimefunga nia, katu siibadili Hapana hatia, kupenda jamani Iyo ni tabia, pasiwe suali Mimi nimeridhia, yeye mekubali Iyo ni tabia, pasiwe suali Mimi nimeridhia, yeye mekubali
@abdymmanga6338 Жыл бұрын
Umetisha sanaaa 🔥
@sulaiman911310 жыл бұрын
Na mwibaji Machaprala Tarab asli.
@shirazyameir24036 жыл бұрын
kuna aehisi huzuni kma mm now juu ya zenji yetu duh machozi mengi mengi
@lipymuscat47798 жыл бұрын
mashallah..ZANZIBAR YETU
@najjatharoub1973 жыл бұрын
Nimefunga nia ?? Nalia my beautiful zanzibar😇😇
@allyshafi4391 Жыл бұрын
Legend professor, Mauild Moh'd Machaprala❤
@samihzamil15597 жыл бұрын
i miss zanzibar
@Albertin612 жыл бұрын
Siku zetu hizo leo wapi them day Zanzibar ilikuwa Zanzibar
@ibrahimalghaithi64058 жыл бұрын
Masikini Zanzibar yawakati ule, kitovu cha Islamic civilization
@saheelameir43137 жыл бұрын
dah wallah mwili unasisimka tufanyeje tuirudishe Zanzibar yetu imeharibiwa na utalii na muungano
@ahmednarshad61496 жыл бұрын
Napenda sana mimi
@suleimansaid74866 жыл бұрын
Wapi sasa imebaki hadithi tu. Zanzibar nimeenda arijojo.
@shamscookery59898 жыл бұрын
Nalia wallahi
@suleimansaid74864 жыл бұрын
Za kale dhahabu
@zuhuraramadhan39604 жыл бұрын
Jaman maneno yametulia kweli mahaba haya sisemi kitu mim
@ndalokacha78854 жыл бұрын
Laha ya Zanzibar
@JKIddi11 жыл бұрын
Very nice!!
@johnkuma68673 жыл бұрын
Ulikuwa na sauti ya kupendeza na mpangilio wa vyombo vya muziki wa kipekee.( PKA) ulituwacha pwekee kwa ulimwengu wa Taarab🇰🇪