WACHEZAJI WALIVYOKICHAFUA 'GYM' KUELEKEA UZINDUZI WA LIGI YA MABINGWA (CAF) DHIDI YA VITAL'O

  Рет қаралды 44,890

Yanga TV

Yanga TV

Күн бұрын

#DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi

Пікірлер: 219
@user-sq1pg2fe6l
@user-sq1pg2fe6l 20 күн бұрын
Pamoja sana chama langu kubwa mungu awabariki na kuwatangulia kwa kila jambo Naipenda sana tim yangu ya Yanga mungu atutangulie kwa kila jambo ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Mhabeshi.Madayi
@Mhabeshi.Madayi 22 күн бұрын
Naiona chama langu la yanga likileta mapinduzi makubwa sana afrika na kuwa timu yenye mvuto sanaa africa na timu hatari sanaa africa kwa siku za usoni hapo inshaallah 🎉🎉
@NickmasGozi-tt2sh
@NickmasGozi-tt2sh 21 күн бұрын
hii ndio yanga Bora ambayo ajawai kutokea balani Africa yanga hoyeeeeee❤🎉
@mrrockboy9508
@mrrockboy9508 22 күн бұрын
Vijana wakazi daima mbele nyuma mwiko 🇹🇿🔰✔️🔥🔥🔥
@claratango9262
@claratango9262 22 күн бұрын
Mungu Ibariki Yanga Mungu Ibariki Tanzania 🙏🙏🙏
@user-kt2td6jn4e
@user-kt2td6jn4e 22 күн бұрын
Ila max Dah umetishaaaa❤❤
@naliakafatuma9870
@naliakafatuma9870 22 күн бұрын
MWENYEZI MUNGU awe Nanyi nyote awatawale awaongose awalinde awatunze awapikanie awashindie awaweseshe vyema kwa kila Jambo kazi njema kila la kheri kwenu nyote barikiwa Sana Yanga
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 22 күн бұрын
Jamani tukalipie kadi natusiokuwa nazo başı tukakate kadi jmni mchongo kujisajiri chama letu lizidi kutupa raha..... DAİMA MBELE NYUMA MWIKO👍👍👍
@patridabernard9148
@patridabernard9148 22 күн бұрын
Nakuamini kocha wa viungo na jopo lenu lote mungu awazidishie afya njema daima
@MnankaMunanka
@MnankaMunanka 22 күн бұрын
Yanga bingwa ❤❤❤❤❤❤ mwaaah
@SaideAndurabe-kh7lu
@SaideAndurabe-kh7lu 22 күн бұрын
From Mozambique kazi kazi
@dalmasokoth4190
@dalmasokoth4190 22 күн бұрын
Wakati mnapambana kufanya mazoezi wa kwao wapo mtaani wanakula bata wakipelekewa Moto uwanjani oooh wapimwe wanajiboost na madawa!!
@SmailSwalehe
@SmailSwalehe 22 күн бұрын
Mungu awape heri na uwezo wa kupambana ishaalaah,,
@GodfreyKarino
@GodfreyKarino 22 күн бұрын
Profet maxii nzengeriiii
@linnahcasmir5275
@linnahcasmir5275 21 күн бұрын
Naipenda Sana hii team💚💛
@FundiMajumba
@FundiMajumba 22 күн бұрын
Big team big vision
@proisolution7166
@proisolution7166 21 күн бұрын
BRAVOO TECHNICAL STAFF THIS IS THE ONLY AREA YOU NEED TO STICK ON IF THERE IS A ROOM ON YOUR DAILY TRAINING PROGRAM,IF YOU WIN PHYSICAL BATTLES WITH THIS ASSEMBLY OF TALENT BUNCHED AND WORKING TOGETHER WITH ANTS STYLE TIRELESSLY(TEAM BATTLES OF AND WITH A BALL) -WE CAN CONQUER AFRICA.
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 22 күн бұрын
Daima mbele nyuma mwiko 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@patridabernard9148
@patridabernard9148 22 күн бұрын
Safiiiii naipenda YANGA ,daima mbele nyuma mwiko
@JacksonFrances
@JacksonFrances 22 күн бұрын
Dar Es Salaam Younger 🌍 Africa Club inayokuwa Kwa kasi Bàrani Africa KISOKA,, KIUCHUMI na WANACHAMÀ"
@edsonmalcel4478
@edsonmalcel4478 21 күн бұрын
Siyo dar es salaam younger Africa, ni young Africans SC mzee
@anetboaz8783
@anetboaz8783 21 күн бұрын
May this effort pay in Jesus name
@KasimSeif-w1y
@KasimSeif-w1y 22 күн бұрын
Yanga Bingwa
@user-ox3ij7ki3t
@user-ox3ij7ki3t 22 күн бұрын
Wananchi vip mbna kama tumepunguza kasi ya kusubscribe au ndo tunasubiri mpka mechi ichezwe??😂😂 Hongereni sana wachezaji wetu juhud zenu tunaziona kuanzia kwenye mazoezi mpka uwanjani alf kuna tim wachezaji wao wanakula bata mtaani alf wakienda uwanjani ndani ya dakik 45 pumzi inakata hovyo kabisa😂😂😂😂😂
@GracegofreyntanduNtandu
@GracegofreyntanduNtandu 22 күн бұрын
Naaam naaaam wapambanaji
@JOSEPHMWIBU
@JOSEPHMWIBU 22 күн бұрын
Team kubwa Afrika ✌️✌️
@RashidSwaleh-mt7ru
@RashidSwaleh-mt7ru 22 күн бұрын
Uhakik
@GodwiniFwelo
@GodwiniFwelo 21 күн бұрын
Orgn of teamwork
@AlexcpetroCpetro
@AlexcpetroCpetro 22 күн бұрын
Wap yangaZ Nkane katisha sana
@TheEyeTz
@TheEyeTz 21 күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/b5W1e4qQat55ldUsi=roYYTiwmJrRX3n4c
@patridabernard9148
@patridabernard9148 22 күн бұрын
Kuna Kambi vitu hivyo hawana Hadi wanasema mnatumia madawa keep on
@GeradinaJohn-xh8pw
@GeradinaJohn-xh8pw 22 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@paulmasunga1754
@paulmasunga1754 22 күн бұрын
Kwa Mazoez haya wakutufunga Africa hii ni Mahakama tu😂😂😂
@JacksonKiwike
@JacksonKiwike 21 күн бұрын
Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 is yanga Yellow calor 💛
@user-qt9fm2lj6b
@user-qt9fm2lj6b 22 күн бұрын
Wape salaam Vijana wako tayari kwa ushindi
@user-qm5un9yc8r
@user-qm5un9yc8r 21 күн бұрын
Love yanga
@mwashamleo9996
@mwashamleo9996 22 күн бұрын
Hakuna kuchoka had kolo walie
@user-ox8js7ck4v
@user-ox8js7ck4v 19 күн бұрын
Hapana coach kuwa makini kuna baadhi hawafanyi mazoezi inavyotakiwa,hayo mazoezi wakiyafanya inavyotakiwa watakuwa fit sana,lakini naona wanategea, coach fuatilia,hawanyooshi mikono panapotakiwa kunyoosha,na miguu pia,zingatieni jamani mnakamiwa sana tunataka muwe fit sana
@petersynto2043
@petersynto2043 21 күн бұрын
Chama langu linapata dawa 🙏🙏
@HamisiMbonde-uf5vw
@HamisiMbonde-uf5vw 22 күн бұрын
Big up wanachi GB64 hayo nayo madawa!!!!!!!!!! Au memory imeingia vailasi
@ceciliadaudi1632
@ceciliadaudi1632 22 күн бұрын
Acha tu huu mwaka 😂😂😂😂
@HamisiMbonde-uf5vw
@HamisiMbonde-uf5vw 22 күн бұрын
Ukitaka kumua nyani usimuangalie uson
@neemadaniel6233
@neemadaniel6233 22 күн бұрын
Gb 64 si unajua mwalimu wa UPE😂
@HamisiMbonde-uf5vw
@HamisiMbonde-uf5vw 22 күн бұрын
@@neemadaniel6233 sio Kweli mzushi2
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 22 күн бұрын
Wao wazurure zurure mitaani kisha walale... Kisha wakipigwa kidude au minara ya 4G ikisimama waseme WACHEZAJI wanatumia dawa za nguvu.... #Nonsense #Madunduka #Uozo
@user-pv3ip3uk2s
@user-pv3ip3uk2s 22 күн бұрын
😂😂😂😂
@ramadhanamryhassan814
@ramadhanamryhassan814 22 күн бұрын
Kwanini Aziz Ki kavaa Jezi ya Burkina Faso na wenzie wamevaa Jezi za timu? Au yeye yupo juu ya sheria
@amaniomar1755
@amaniomar1755 22 күн бұрын
Endellion kupambana wanajeshi wetu tuko nanyi kwa maombi
@RumaMagugulu
@RumaMagugulu 22 күн бұрын
Ogela San GSM mungu akuogezee sikuzakaish ume2fanya tuvmbe mtaan 😅😅😅😅😅
@tmcproduction123
@tmcproduction123 21 күн бұрын
Team Bora sana
@malietamaliet
@malietamaliet 22 күн бұрын
😢😢sa baleke walimsajili wa nn tuna dube msonda Mzize wakina viungo chama aziz paccome wanafunga huu usajili mm sikuukubali ndo hawa wanatoka kwa makolo kutuletea madeni kwenye timu yetu kama okrah
@mwajayhaxxan5507
@mwajayhaxxan5507 22 күн бұрын
Yaaan kama huyo okrah sijui walimleta wa nn daaah kutusababishia madeni tu, me ndo mana nasemaga yaaan dirisha dogo la usajil sio lazima tusajil aiseeh😢😢😢
@malietamaliet
@malietamaliet 22 күн бұрын
@@mwajayhaxxan5507 sio dogo tu ata kubwa Kwa sajili zote hambao sijupenda waingie hili dirisha ni baleke yanii ila hatuna namna ishatokea
@nseyantemi
@nseyantemi 21 күн бұрын
Chama langu hilooooo
@zakiakondo2849
@zakiakondo2849 22 күн бұрын
Vijana wangu kazini 💚💚
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 22 күн бұрын
Duķe abuya🎉🎉🎉🎉
@user-vj2hz6se8d
@user-vj2hz6se8d 22 күн бұрын
Aziz anazingua anajiona kama timu yake hii anaenda popote atakapo
@user-ip2we5uc7n
@user-ip2we5uc7n 22 күн бұрын
Safi sana
@ZaliyaSaid
@ZaliyaSaid 22 күн бұрын
Hongera sana yaga yangu nisalimie pakome
@AngelinaHassan-fe3jp
@AngelinaHassan-fe3jp 21 күн бұрын
Daima mbele nyuma mwiko
@mwajumampokileomckapela7541
@mwajumampokileomckapela7541 22 күн бұрын
Kazi kazi💚🖤💛
@brathonisanga8391
@brathonisanga8391 22 күн бұрын
yanga bingwa
@KhadijaHussein-u9f
@KhadijaHussein-u9f 22 күн бұрын
Boooka unanipa raha sanaaa
@chillogeorge1383
@chillogeorge1383 22 күн бұрын
Ninachogundua ni kuwa wachezaji wengi wa kiafrika wanacheza kwa vipaji zaidi, ila kwenye upande wa fitness bado wapo nyuma mno. Wakiongeza 'intensity' kwenye mazoezi wanayopewa wangefika mbali zaidi. Wengi wao pamoja na kuwa wazoefu sasa wa mazoezi ya gym kama haya lakini bado wanafanya kama ndio wanaanza leo. Bado wana short cuts nyingi kwenye mazoezi yao. Ama hawafanyi kwa push kwa power kubwa zaidi, au body positioning zao zinakuwa kama za wachezaji wa ridhaa. Wanapaswa wayakumbuke maneno ya Coach wao, Gamondi. Aliposema "You play like you train" Hio inamaana pia kuwa "You train like you play". Hivyo mazoezi napaswa pia kuwa ya kasi karibu na uhalisia wa upinzani atakaoupata mchezaji akiwa dimbani. Kila la heri wanajeshi wetu, maisha ni hatua. Tutafika tu. Daima mbele🔰
@dmswaggbamboostick4576
@dmswaggbamboostick4576 22 күн бұрын
Max yupo serious na mchongo 😎😎👑👑🔥🔥🔥🔥
@shafiikibwesi3076
@shafiikibwesi3076 22 күн бұрын
😂😂😂 Ongezeni dawa Wanangu sanaa.. hadi Maji waite Mma..
@user-sq1pg2fe6l
@user-sq1pg2fe6l 20 күн бұрын
Kesho ni gory nyingi Sana kuanzia goriy tano na kuendelea
@radhiamussa1629
@radhiamussa1629 22 күн бұрын
Pia muendelee kushikilia hapohapo fitness hiwe juu kwa wachezaji muda wote,speed,team work, consistency, kutokuwa wabinafsi kwenye pasi wapeane na kwenye kufunga wafunge pia kutumia nafasi kwa usahihi kwani club bingwa ni mechi za mtoano ikichezea nafasi ndio umeshajiondoa mashindanoni one chance one goal pia haijalishi wahamuzi hawapo fair kiasi Gani ni lazima kujijenga kisaikolojia kushindana na hivyo vikwazo nakumbuka na ushindi tusije kurudia makosa ya south Africa tusimpe ata nafasi ya refa kutudhurumu juhudi zenu zitalipa pia mazoezi kwenye upigaji penati wachezaji wote wawe wanafanya mazoezi kwa ufanisi mkubwa pia Dua zetu zipo na nyinyi daima
@Musaybah-v1h
@Musaybah-v1h 20 күн бұрын
Allaah Akbar
@tiffguyyahya7253
@tiffguyyahya7253 20 күн бұрын
Nkane nakusihi mwanangu cheza mpira Acha comedy wewe mpira unaujua jitahidi mwanangu nakupenda bure
@hk_ballers
@hk_ballers 21 күн бұрын
Boys 👊🏽
@user-pv3ip3uk2s
@user-pv3ip3uk2s 22 күн бұрын
Yanga oyeeeeeh
@StevenAndrew-l2b
@StevenAndrew-l2b 22 күн бұрын
Debe anapamban apo baadae ooooh Anafunga magoli ya ofcide
@litayboytz6219
@litayboytz6219 18 күн бұрын
Max anazingua hatoi pasi akiliona lango anatamani ashinde yeye tu, hangalii nafasi nzuri za wenzake
@ewaldambrose6136
@ewaldambrose6136 22 күн бұрын
Aziz k anaenda kufurahia soka la Simba inamaana letu halivutii au😮
@massatujeli3158
@massatujeli3158 22 күн бұрын
gamond alivyokuwa anaenda kwenye mechi zenu zaidi ya mara mbili kuwaangalia mlikuwa mnamzidi nini labda
@deven.oauditx7547
@deven.oauditx7547 22 күн бұрын
Naona wanaenda kulishwa madawa ya kuongeza nguvu
@StevenAndrew-l2b
@StevenAndrew-l2b 22 күн бұрын
makolo wanaona vijana wanavyo jituma Baadae oooooooh walinunua mech
@allysaidlyambange4500
@allysaidlyambange4500 21 күн бұрын
AFU MSEMEE HOOO MADAWAA NYOOOOO! Kwa maezi haya nyinyi hamuogopi
@ShangweNgaga
@ShangweNgaga 22 күн бұрын
Wanaume wa kazi
@SubiraMohammed-ks6qg
@SubiraMohammed-ks6qg 22 күн бұрын
Makolo wanaona mazoezi aya alafu badae waseme wanatumia madawa
@josephfissoo9583
@josephfissoo9583 22 күн бұрын
😂😂😂mfa maji...
@bakarially253
@bakarially253 22 күн бұрын
Wezenu wapi mazoezi kisha timu zenu hazina mipango mnakalia😂 kisema wanatumia dawa
@scopy0428
@scopy0428 22 күн бұрын
Sisi kama mashabik tunaiman kubwa sana na vijana wetu
@pamamaganza9468
@pamamaganza9468 22 күн бұрын
Mtu wa kawaida anaruhusiwa kufanya mazoezi hapo GYM
@user-sw9tp2rf7f
@user-sw9tp2rf7f 21 күн бұрын
Mazoez makali kama haya mpaka wanang'ata na meno harafu anatokea msenge mmoja anasema yanga wanatumia madawa ,
@IMANWILLIAM-bl2ui
@IMANWILLIAM-bl2ui 22 күн бұрын
oya Aziz mwenye hyo range tunamjua
@marcobulili4341
@marcobulili4341 22 күн бұрын
Siku zote mbaazi skikosa maua husingizia mvua! KOLO! Mtasema mengi sana, fanyeni mazoezi mkijichamganya hamsa zinawahusu tena
@kapondadr5840
@kapondadr5840 22 күн бұрын
Max anafanya mazoez huku kabeba body hama hafu akikutana na ndez wanasema wanatumia madawa 🤣🤣🤣
@issahpaul4510
@issahpaul4510 22 күн бұрын
endeleeni kusema wanatumia dawa kujibust....wakati dawa yenyewe ni mazoezi hayo
@user-sw9tp2rf7f
@user-sw9tp2rf7f 21 күн бұрын
Mziwanda wa timu nkane yeye ni kicheko tyu ,
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 22 күн бұрын
Wapi Baleke.
@betridakazimoto1291
@betridakazimoto1291 22 күн бұрын
Kazi kazi vijana
@innocentmmandago3029
@innocentmmandago3029 22 күн бұрын
Good luck
@josephmapesa71
@josephmapesa71 22 күн бұрын
farid acha uhuni ongeza juhudi,.. unakomea juujuu tu
@ZuhuraNhumbi
@ZuhuraNhumbi 22 күн бұрын
Yaan makolo wivu umewajaa sana
@AmaniBimbona
@AmaniBimbona 22 күн бұрын
🤪🎉🎉🎉🎉
@AmaniBimbona
@AmaniBimbona 22 күн бұрын
💚💚💚💚💚
@ahombilesanga3042
@ahombilesanga3042 22 күн бұрын
Huyu pacome vp mbona kama anatishia wapizani usalama
@maxwellmarko7007
@maxwellmarko7007 22 күн бұрын
Aziz ananza kuvunja unidhan clubn siku hizi
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 22 күн бұрын
Nisipomuona Baleke,kwa kweli huwa sina furaha kabisa.
@AmisihalunaKilung
@AmisihalunaKilung 22 күн бұрын
Nguo za mazoez zip katika mabeg yao
@NdevuKamdini
@NdevuKamdini 21 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@jekoniarubeni4609
@jekoniarubeni4609 22 күн бұрын
Nkane wanazidi kukudidimiza chini
@Officialmkomig
@Officialmkomig 22 күн бұрын
😅😅
@KhadijaHussein-u9f
@KhadijaHussein-u9f 22 күн бұрын
😂😂😂😂nkane
@sadikidaudi460
@sadikidaudi460 22 күн бұрын
Wachezaji wapo kujidunga madawa yakuongeza nguvu
@jekoniarubeni4609
@jekoniarubeni4609 22 күн бұрын
Boka nyosha miguu
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 22 күн бұрын
Mbona kama wanaenda kwenye mziki vile.
@ChristianMaarifa
@ChristianMaarifa 22 күн бұрын
Sare ni kwenye vikoba sisi tunaangalia boli maze tukikutana ndio utafaamu kwanini hawavai sare
@Hamisyayoub
@Hamisyayoub 22 күн бұрын
Jamn hii sasa kufuru jez ya Mazoez inakuwaje Kali hv
@TheEyeTz
@TheEyeTz 21 күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/b5W1e4qQat55ldUsi=roYYTiwmJrRX3n4c
@radhiamussa1629
@radhiamussa1629 22 күн бұрын
Nilikuwa na ombi kwa viongozi kwanini mwanasheria wetu hasilitizame hili la kutuzushia wachezaji wetu wanaongeza nguvu kwa madawa especially GB 64 anaongea kwa kujiamini bila ushahidi ili hiwe funzo kwa wengine wasiwe wanazusha vitu bila ushahidi nakuchafua bland ya timu
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 22 күн бұрын
Sema kweli mazoezi yanauma,ila ndo dawa ya mwili.
@TheEyeTz
@TheEyeTz 21 күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/b5W1e4qQat55ldUsi=roYYTiwmJrRX3n4c
@YusuphBupamba
@YusuphBupamba 21 күн бұрын
Nashangaaa kunabiji mtu vinasema wanajidunga madawa wakati wao wanachukua mara nne mfululizo tulikuwa Tumetulia2 wao washaanza na kuongea wanatumia madawa wachezaji muda mwingi wanatumia kwenye mazoez wakati wachezaji wao wakiwa wa nafanya mazoez wanacheza acheni uchinga
@paulchaula6796
@paulchaula6796 21 күн бұрын
Mbona kama Kuna mchezaji mpya
小丑妹妹插队被妈妈教训!#小丑#路飞#家庭#搞笑
00:12
家庭搞笑日记
Рет қаралды 28 МЛН
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 14 МЛН
48-Year-Old DAVID BECKHAM still destroyed Bayern 99 legends
11:29