MAshaAllah Al’hatimi ilmu imelala hapo Allah barik
@thabitisango60682 жыл бұрын
Sawa Mkobize na kubishana na maulidi lakini kunavijiji huko songwe na kwingine uislam haujulikani na watu wanahitaji kusilimu huko😭😭😭😭
@abiabi93532 жыл бұрын
Wewe hata hujui kinacho zungumzwa hapo. Hapo panazungumzwa elimu.sheikh hapo anasisitiza watu wasome wasiwe kama mawahabi kazi yao kurikia vitu ambavyo hawana elimu navyo
@mushifumushifu23552 жыл бұрын
Sasa wewe kaziyako nini ???
@khamisptrany93932 жыл бұрын
Mawahabi zi kaziyao kuwaingiza wstu kwenye uisilam, bali wao kazi yao nikuwatuwa waisilam kwenye uisilam
@mulhatomar6953 Жыл бұрын
Nikweli na mungu atakwenda kutuuliza siku ya qiyama kwa hilo
@rushu12322 жыл бұрын
ukitaka kuingia pepo ya Allah mswalie Mtumi sana utasamehewa na atakushufaia youmul mahashar
@@medimisi6930 nakuskitikia sana brother , kusoma maulidi ni kama kwamba kwafanywa jambo linalomuudhi Allah. Brorher kasome usije uka comment kitu ikawa ni sababu yeko kukupeleka pabaya
@haridyhillaryndembo19462 жыл бұрын
Allah mwenyewe na malaika wake wanamtakia rehma mtume wanansalia na enyi waumini msalieni mtume s.a.w ni aya hiyo Anayekataza watu kukusanyika kwa pamoja ili kumsalia mtume tukio linalofahamika ni maulidi akapimwe akili maana mtu huyo huyo huweza kukusanyika na kumsalia mtume kwa pamoja na waumini wengine mkusanyiko wauite jitimai au kongamano hapo hufurahi ila tukio likiitwa maulid tayar ni bidaa 😂 nimeelewa kumbe tatizo jina maulid linawakera linawaudhii ila jina jitimai ,kongamano ,muhadhara au mashindano halikerii 😂
@musashiundu2 жыл бұрын
@@haridyhillaryndembo1946 wewe nawe ndo huna chochote katika elimu zaidi ya ubishi tu... Maulid hayamo katika uislamu kamwe. Tumbo zenu ndo zawapelekea hapo.... Yaani masufi sijui mna nini. Ndio maana imam Shafi akasema kuwa.(ما رأيت صوفيا عاقلا قط) maana yake. (Sijawahi kuona sufi mwenye akili katu)
@harunasimai77372 жыл бұрын
Nikisoma Kisaa Cha Nabii hizrii na Na bii Mussa Alaihi Salam Ndo naelewa Kuna Elimu nyingi Sana hatuzijui ispokua kwa Yule Alie mtaka yeye Allah (s.w) Nikweli hii dini Itakuja ngeni na Itaondoka ngeni minahisi Kama unaona kitu hakifai Kama huna Elimu na kitafutie undani wake Kama huezi kufanya hivyo fanya Mambo mengine yatakayo mrizisha Mola wako kila mtu Atabeba mzigo wake Yaumul qiama Tupendane waislam sote ni kitu kimoja jamani🙏🙏.
@banihashim9866 Жыл бұрын
Mawahabi KASOMENI TatizoHamuna Elimu Kujua kiarabu si ELIMU
@alyashee12552 жыл бұрын
Subhana-Allah waislamu twalekea wapi kumsifu mtume wako ni shirki hata umuite Muslim mwenzako mzinifu kwa sababu ya kusoma maulid kumtukuza mtume wako neno zito hilo SUBHANA-ALLAH mungu atuongoze na atusamehe madhambi tufanyayo ya dhahiri na ya siri atupe na kauli njema ya rabbii na wewe shekhe mwenye kutowa maneno ya kejeli mungu akusamehe na akuongoze kwa kupotowa waislamu wenzako dini haijasema wala kufundisha kutukana watu kwa sababu wafanya mambo ya kheri
@mohamedgandi7237 Жыл бұрын
Kiukweli kabisa hakuna alichodhihirisha hapo isipokuwa amejificha kwenye shamba njugu tu,mgongo wote uwazi,sio Kwa maelezo ya lugha Wala Kwa Aya aliyoitoa,Bado hajaziba maneno yanayoonyesha kufru kwenye barzanji.....Lau Allah angesema wamuombe msamaha mwenyezi mungu na wamuombe msamaha mtume,hapo tungesema lakini Allah kasema wamuombe msamaha na waombewe msamaha na mtume,hii inamaana kwamba mtume sio mwenye kufuta dhambi,na kiukweli kabisa hakuna vile mtaziba hapa.WALLAHU A'ALAM
@AbdulIssa-o7e7 ай бұрын
Mijisufi hii, allah anawaona nyi madhekhe mnaopoteza watu, katika shirki na mnasimama kutetea ndo mmezuwa ibada ya kusujudia makaburi ya masharifu, na watu wenu wanawafata tuuu, allah katia mihuri kwenye nyonyo zenu tutaendelea kuwabainishia hakki mpk kitasimama kiama atakao taka allah atawaongoa ninyi mashekhe wa kisufi itaki llah,msidanganye watu kufata uzushi, mtume alikuja na dinni safi na watu wenu mnawapoteza na wao hukubali kipotea we mtu anaona shirki wazi wazi anafata shekhe lake wallah, mtakuja juta kwa allah ninyi misufi
@assadaboubakar7406 ай бұрын
duuu
@hamdiabdi14202 жыл бұрын
٥- [عن جبير بن مطعم:] إنَّ لي أسماءً: أنا محمدٌ وأحمدُ والعاقبُ والماحيِ، والحاشرُ الذي يُحْشَرُ الناسُ على عقبي، والعاقبُ آخرُ الأنبياءِ البزار (ت ٢٩٢)، البحر الزخار ٨/٣٤٠ • إسناده صحيح • شرح رواية أخرى
@AsmanMwanza-kr5fw Жыл бұрын
جزاك الله خيرا
@AdamChogoАй бұрын
Hawataki kusoma
@ramadhanmustafa1941 Жыл бұрын
Shekh lazima utambue madhambi huyafanya mja kwa laana zake mwenyewe wakati mtoaji rizk kutoka mbinguni au ardhini ni Allah (sw) kwa rehma zake Na kwanini utafute kiunganishi baina ya dhambi ambazo Allah amezikemea na mazao ambayo Allah (sw) amemruzuku mja kwa rehma zake kama si kutata kuwatumbukiza ktk shirki na madhambi bila ya kujua Kwa kusema mtume Muhammad (sw) anafutia watu madhambi kisha ukakimbilia ktk utaalamu lugha je huoni kuwa huku ni kujitia upofu kwani sifa hii ni ya Allah (sw) au nayo pia inataka ujuzi wa lugha Kwanini Mtume wetu Muhammad (sw) mumsifu kwa kuchupa mipaka kiasi cha kuchota baadhi sifa za Allah (sw)na kumpachika nazo kwa kutafuta kiunganishi hukoooooo kwenye lugha wati qurani tunayo na inajtosheleza Mtume muhammad (sw) anasifa nyingi sana lakini si kusamehe madhambi lugha isiwe chaka la kujificha
@الزغويالزغوي-ض3ن2 жыл бұрын
اللهم صل وسلم على سيدنا محمد وعلى آل سيدنا محمد، كما صليت على سيدنا إبراهيم وعلى آل سيدنا إبراهيم، وبارك على سيدنا محمد وعلى آل سيدنا محمد، كما باركت على سيدنا إبراهيم وعلى آل سيدنا إبراهيم في العالمين إنك حميد مجيد.
@wazirihamisi64842 жыл бұрын
Huku ndio kumswalia mtume
@yahyarashid80382 жыл бұрын
Iyo swala yako ya mtume swallahu ghalaih wasallama ina makosa kidogo sh
@الزغويالزغوي-ض3ن2 жыл бұрын
@@yahyarashid8038 KUMBE NI SWALA YANGU WEWE INAKUHUSU NINI ?!
@yahyarashid80382 жыл бұрын
Kwanza nikufahamishe kitu Al akhi hakuna hadith yoyote iliokuja na (سيد) sas ww sjw umelitowa wap ile neno au iyo swala yako iyo haipo ni yako ww sio aliosema mtume صل الله عليه وسلم
@shambaboy412 жыл бұрын
@@yahyarashid8038 ndugu yangu yahya nakuomba ukimfhamisha mtu ustumie maneno makali tutumie hikma coz sote Ss ni waislam ...wengne tumesoma na wengne hatkusoma dini.. sk tuelmishane kwa hikma vzr...
@mohdkhatib223 Жыл бұрын
Sasa ni wapi mtume saw alifundisha hivo, hamuachi vituko nyinyi masufi?
Ukafiri umo, nikama wakatoliki wanasemaga maria awaombee msamaah kwa mungu. Nyinyi nimakafiri
@mohaaseif Жыл бұрын
may God open you mind openly alhad
@mulhatfahdsaid76112 жыл бұрын
ma sha Allah sheikh Alhad
@imaamgharithauri10592 жыл бұрын
Watu wanapokosa Twariqa basi ilmu zao hubatilika huwa hawajui kama hawajui na hali ya kua hawajui kitu. Tuwafundishe vijana adabu wamfahamu Mtume ni Nani? Katika swala tunasema assalamu a'laika ayyuha nnabiyyu ( Hii nayo si shiriki?) Unaona..!!! Ndio nikasema hawa vijana hawajui na hawajui kama hawajui kwasababu yeye anapinga Maulidi lkn ktk sanad ya Masheikh zake takriban wote utakuta wanatokana na Twariqa na wakisoma Maulidi na kudhikiri. Sasa nani ana ilmu yeye? Au Masheikh zake? Tumswalieni Mtume محمد صلى الله عليه وسلم
@hafsumohd2049 Жыл бұрын
Allah akuongowe inshallah tunakutaman uje utete sunna kama hivyo unavyotetea usufi.
@azzyal-junaiby8552 жыл бұрын
Hawana hoja wanayojua wao nikukata viuno barabaran eti asifiwa mtume s.a.w subhanallah mchen Allah
@abiabi93532 жыл бұрын
Lkn je shehewenu wakiwahabi emeilishwa au hakuelimishwa
@jumatano2422 жыл бұрын
Tofautisha barzanji na dufu sheikh
@abuuintisaar21042 жыл бұрын
Mbn hat ww unakata viono saa zingine gest na vimada
Sasa je ikiwa hakuna kukata viuno na hakuna barazanji je maulidi itafaa? Yani iwapo watu washerehekea maulid kwa kutowa mawaidha na durusi na kumswalia na kumsifu mtume, bila ya kucheza na bila ya barazanji je itafaa? Acheni unafiq
@muhammadarif-cl6de Жыл бұрын
kitab albarzanji famous in here ..masyaalloh ..
@abusihaa63962 жыл бұрын
Tumcheni Allah tuache kubabaisha watu na maelezo ya kupinda ili kulazimisha malengo yenu..usiejua kiarabu ni wewe na Alhamdulillah umejidhihirisha leo
@abdulgadiralahdal9012 жыл бұрын
Shida yenu ni katikakutoelewa kwenu
@abusihaa63962 жыл бұрын
@@abdulgadiralahdal901 jina lako latosheleza unamsimamo gani lakini laa ukijua kua elimu ni amana na utakwenda kuulizwa nao..siajabu kufasiri BARA ZA NJI kwani ni maneno ya mtu mumeenda mukafisiri maneno ya Allah munavyo taka nyinyi kinyume na karne 400 ya wema waliopita nayo ni "قُلْ بِفَضْلِ اللَّهِ وَبِرَحْمَتِهِ فَبِذَٰلِكَ فَلْيَفْرَحُوا هُوَ خَيْرٌ مِّمَّا يَجْمَعُونَ" Je wewe unaoelewa tupe tafsiri ya akili yako kwa hio ayah
@HamadMbarouk-xo9et Жыл бұрын
Maana yake ni Kwa fadhila ya mungu yaani Quran rahmatih ni mtume Muhammad saw Kwa hivo viwili watu wafurahie hilo ni jambo la kher kukushanyika watu wakafurahi
@binismail20292 жыл бұрын
Akufutie madhambi. Zuga watu na ALLAH Anakuona. Hamtaki kusoma Tauhidi ndio maana watoto wadoogo wanakuadhirisheni. Hiyo lugha hasa ndio tunakutaka hapo hasa.
@ZuhraMiraji Жыл бұрын
Tatzo La hawa mashekhe wa mauld hawataki kukaa chin wakaisoma tauwhiid waropokwa tu
@sabdiduwil8436 Жыл бұрын
Ivi kweli mwenyezi mungu unamtakia salam. Yeye ndiye mwenye Salam hizo. mtume si chochote hawezi kumuombea mtu asamehewe
@AdamChogoАй бұрын
Eee ewe soma baba mtume c km mbanga ww
@alawikihema86762 жыл бұрын
ALHAMDULILLAAH ALLAAH TABAARAKA WATAALA NDIYE MMILIKI WA PEPO NA MOTO ,LAITI VIWILI HIVI VINGEKUWA MALI YA KUNDI FULANI BASI KWA CHUKI ZILIZO KATKA NAFSI BASI UONEVU UNGETENDEKA KATIKA HUKUMU , ALAISALLAAH BIAHKAMIL HAAKIMIIN,
@lugranmrisho60412 жыл бұрын
mbn hujagusia pale wanaume wanaopandiana katka hayo maulid yanayofanyika na hapa hajajib ila kazunguka tu weny kuelewa wataelewa tu
@yuzzahvascuez4732 жыл бұрын
Hawaoni
@salmyhussein6255 Жыл бұрын
Shekhe katafsiri uzuri,lakini mwezangu anapindisha, wacheni kupeleka watu kwenye shirki, barzanji Ina maneno ya shirki
@salumally6632 жыл бұрын
Mawahabi wana mtihani sanaa...kusoma hawataki kazi kukurupuka ...
@bakariomari87582 жыл бұрын
Nyie munaendelea kupotezwa. Maulid shirki nyingi
@مبغضالبدع-ع9ص2 жыл бұрын
Hhhhhhhhhhhhhhhh hua nafurahi kuona makhurafi wakisema mawahabi hawasomi! Wewe uliona khurafi gani anasomesha kama watu wa sunna! Na wewe unaesema nnahakika hata juzuu amma hujahifadhi!
@mwalimumuhidini15442 жыл бұрын
@@مبغضالبدع-ع9ص wewe mwenyewe ni mtu wa bid.a kujiita na kujinasibisha na kundi hivi mtume S . A . W alijinasibisha na kundi gani
@azzyal-junaiby8552 жыл бұрын
Subhanallah nawew kurupuka kama dini watu wakurupuka tu
@bakariomari87582 жыл бұрын
@@azzyal-junaiby855 hawa wamepotea tatizo hayo maulid waambiwe tafsiri yake ndio watajua. Ila niubishi tu
@salumkibari48782 жыл бұрын
Huyu mpingaji wa barazanji kwanza hana adabu kwa viongozi na hufai kujiita shekhe yaani wew nimekudharau afadhali hata mvuta bangi ana nafuu kuliko wew uliyesoma halaf unamazungumzo ya kifedhuli
@issahashimu25932 жыл бұрын
Asalam aleikum usidhihirishe chuki namnq hiyo
@salumkibari48782 жыл бұрын
@@issahashimu2593 kama hawana adabu na mashekh bc tuendane nao hivohivo
@salumkibari48782 жыл бұрын
Kama mwanaume aweke midahalo na cyo kubweka mitandaoni kutaka umaarufu
@shambaboy412 жыл бұрын
Kwani jamani Mtume saw yeye mwenyewe alishawahi kujisomea maulid ???
@khamisptrany93932 жыл бұрын
Mtume kuto kufanya kitu haimanishi kuwa ni haram
@JumaBinAbdallahАй бұрын
Sheikh wacha kiburi,na kuita watu makafiri please please wacha
@MohamefMullah Жыл бұрын
Mawahabi kweli ni tatizo mtu anafika kusema mtume si chochote subhannallah, Hawa Mawahabi wa naona mtume ni kama wao wala hawatafautishi wao na Mtume ,
@salumanyaalamanzan2396 Жыл бұрын
Subu Hana Allah 😭😭
@MuhammedBalkiss Жыл бұрын
Subhanallah nahadhi imehumba nani wewe muhongope allah shahuriyako
@saidabdallah54482 жыл бұрын
Alhamdulillah tunamshukuru ALLAH kwakututoa huko kwenye shirki ya maulid
@othmanmasilamba38442 жыл бұрын
Rudi darasani shekh
@jumatano2422 жыл бұрын
Unaijua maana ya shirki au mradi naww useme tu ?
@khamisptrany93932 жыл бұрын
Sasa je ikiwa hakuna kukata viuno na hakuna barazanji je maulidi itafaa? Yani iwapo watu washerehekea maulid kwa kutowa mawaidha na durusi na kumswalia na kumsifu mtume, bila ya kucheza na bila ya barazanji je itafaa? Acheni unafiq
@maawymuhammad67792 жыл бұрын
Wacha zako Wewe Maulidi Iko kwenye Sheria.Ati kufru we wajua kufru nnini?!?!
@ahmadseif72412 жыл бұрын
Ahsante shekh kwa kuwaweka sawa wapinga maulidi, wakasome kiarabu wasivae vikanzu tu kama wanakwenda kuruka moto
@ibrasaid92562 жыл бұрын
Angalia kauli zako huenda ukajikuta unaingia katika ukafir kwa kukejel na kukebeh Sunnah za mtume swalla llaahu Alaihi wasallam
Kweli sis tuna vaaa kanzu za kwenda kuruka moto ila ww unavaaa kanzu ya mama yako
@issahashimu25932 жыл бұрын
Subhanallah unadhihak sunnah,
@yahyarashid80382 жыл бұрын
@@issahashimu2593 Al akhi uyo ayo malemba alilo jifunga t wajuwa kama apa sunna haipo amejifunga kama Shia
@athmandaba1420 Жыл бұрын
Sasa si mungeandaa hio nikash tusiona elm tujuwe haqq..mbona hamjitowi kikaeleweka!?😢
@abuually-ol2xc Жыл бұрын
Hawaa mawahabi wallah waongoo sanaa hawaa
@rushu12322 жыл бұрын
nyinyi hamuelewi swala ya Mtumi ni dhikri sababu ukimswalia mpaka umtaje Allah. Allahu ma swali ala Muhammad ndio utasamehewa dhambi zako.
@salumanyaalamanzan2396 Жыл бұрын
Masha Allah
@ilhamswaleh34282 жыл бұрын
Waisilam tunapoekekea tuwe kama wengine tu tusiingiliane imekua kero kila siku kukosoana kwa madhehebu mpk matusi na kejeli kila siku raddi kila siku huyu kamjibu huyu mpk wasookua na elimu wanachanganyikiwa bora kila mwenye dhehebu lake akae nalo wengine tutabaki kua waisilam tu maana kutwa kujikweza tu kwa madhhebu
@omaryhamisi8997 Жыл бұрын
Maulid imeanza mud gan
@jaymackenzie87112 жыл бұрын
Masufi punguzeni kufruu jamani nyinyi n wanaosema kuna mungu Baba mungu mwana n roho mtakatifu hamtafautiani, mcheni Allah n mupunguze uzushi .ivi Kwa nn mg'anga'nia kuyanusuru maulidi Kwa kukosoa Aya z Allah
Sawa twakubali sisi wazushi,,, na nyie wenye tawhiid3 nini ndo sawa? Na mtume alisema hivyo au kuna hadithi isemayo kuna tawhiid3? Kwa hy sisi na nyie nani wazushi sio nyie? Maana ya utatu na ukafiri
@calielmy93582 жыл бұрын
Kuna haja ya kusalamia mungu.hii shirki ya maulidi MTA acha.fitna ndani ya uslama kwani nahwa ndio tauhidi
@aminahmed6782 жыл бұрын
Hio yote sababu ya maulidi ? Iko wakati mtu صلي الله عليه وسلم kasherekea yeye mwenyewe hio maulidi ????
@abuukilanga22492 жыл бұрын
ALHAMDULILLAH
@awatifomar51852 жыл бұрын
MAULID NI BIDAA SHEIKH USIWADANGANYE WATU WAELEZE UKWELI HUO UNAO USEMA WEWE NI UTUMBO MTUPU
@hassanabdi40612 жыл бұрын
Soma kirab kwanza shekh
@shambaboy412 жыл бұрын
Mtume (saw) hakujisomea Maulid yeye mwenyewe wala hakuwaamrisha Maswahaba zake kufanya hivo.... kwasabab hayamo ktk ibada tulizoamrishwa na Allah wala kusoma Maulidi si ktk dini....sasa sjui kwann sis waislam wa zama hizi tumeyashika ilhal hayamo ktk dini yetu ya kislamu..
@mohammedmkoma92882 жыл бұрын
Wewe Mwehu ,Ulitaka yeye ajisifu labda nyie mijiwabi ndio mwajisifu ila waislam hufanya mambo bila kujisifu ila wasifiwa na wengine huwezi ukakaa na kuanza kujisifu .... Mtume Muhammad Swallallahu A'alayhi Wasaallama yeye ni Rahma lili'alamiin.
@shambaboy412 жыл бұрын
Mim ni muislam km ww so usnite km ivo jiwahabi ndo nn sasa km kuna ugomvi labda .... Tusome dini yetu km tulivoamrshwa alaf tutaelewana. Tustumie matamanio ya akili zetu tutumie quran na sunnah.
ACHENI UZUSHI AU FANYENI KWA SIRI ILI WATU WASIATHILIKE NANYI
@akramdinn86022 жыл бұрын
MTOTO mzuri hata ndevu huna mashaallah ulimi unlegea hee 😂😂😂😂
@ahmedsaid-rx1bb2 жыл бұрын
Sisahihi mwalim kumwambia mwenzio ivo
@abdiramadhani68432 жыл бұрын
Mche Allah
@khamisptrany93932 жыл бұрын
Sasa unamtongoza?
@fatmaally7241 Жыл бұрын
Acha uchale muogope Allah, ukweli unaujua ila kwakuwa unapenda wali bado unatetea barzanji
@abulhanifah2542 жыл бұрын
Usufi kweli ni ujinga , ukibishana na ujinga utaonekana mjinga
@mushifumushifu23552 жыл бұрын
Mjinga niwewe asiyejua hata kusoma qur An
@Auf-uh3jq Жыл бұрын
Sasa Ustadh Alhaaatim washindana na Imam anyowa mpaka masharubu atembea bila kofia Dalili no Ilmu no Lugha wapoteza time
@dusabearafatrwigema92482 жыл бұрын
Sasa nyinyi muna akili kushinda maswahaba,mbona hawakusoma hizo upuzi wenu mwazuwa
@saidmohammed28302 жыл бұрын
Beach boy ulisoma wapi
@سعدياقوت-ت2خ2 жыл бұрын
Wanao pinga maulidi hawana jipya na sheikh umewajibu kwa elimu ya hali ya juu waka some kwanza lugha ya kiarabu
@musashiundu2 жыл бұрын
Nyie wapumbavu ndio mwaona kuwa kajibu kwa elimu ya juu kwa sababu hamfahamu chochote... Mkasome jamaa..... Mwenyewe aongea bila ya dalili yoyote. Quran yenyewe aikanyagakanyaga
@rushu12322 жыл бұрын
wewe jaribu umswalie sana Rasul kama hufutiwi dhambi kama huondokewi na matatizo.
@sabdiduwil8436 Жыл бұрын
Nyinyi na wakristo mkosawa bila ya yesu huingii peponi. Mtume ni mtu kama wewe. Kama ipo aya inayosema mtume mshirika wa mwenyezi mungu tuambieni?
@JamilahSwaleh Жыл бұрын
Wacha shirki baba
@rushu1232 Жыл бұрын
@@JamilahSwaleh kama kumswalia Mtume ni shirki sijui kuabudu sanamu itakua nini mbona hamuna heshima wewe umeniona nikifanya shirki.
@HafidhAli-lt5xt Жыл бұрын
Mtume afutia watu madhambi, mbona hakumfutia babake.
@rushu1232 Жыл бұрын
@@HafidhAli-lt5xt nyinyi hamuelewi lugha ukimswalia Mtume wafutiwa dhambi na wapata thambu naninani alieye kwambia babake anadhambi mbona hizi chuki zenu kwa Mtume Muhammad ni myingi sana.
@JK-um6op Жыл бұрын
Mimi nakataa kabbisa wa shehe wa maulidi.. kufru katika maulidi ni kweli..
Daah mashekhe mumepagawa sana yaani munachanganyikiwa sana munajua lugha kuliko maswahaba daah dalili mbaya sana
@OmarOmar-em1ol2 жыл бұрын
Hamjasoma Mawahabi munaropokwa tu Hamuna hoja za kutunyamazisha maulid yatasomwa mpaka mujiue au muhame miji
@shamisahmed14252 жыл бұрын
Tena Shekh Omar ilo dogo sana..kubwa zaidi lau kama siķu ya Kiama tutapata fursa ya kuyasoma basi ukouko tutasoma...!!Haachi Mtu Maulidi apa!!
@azzyal-junaiby8552 жыл бұрын
Miji hatuhami natutawaambia kila siku na asietaka kuelimika awache ila msijefika mumechelew kama firaun akataka kuamin dakika ya mwisho
@rukiaissa5878 Жыл бұрын
@@shamisahmed1425 Swallu ala nnabiyy
@rukiaissa5878 Жыл бұрын
Masha allah mapenzi makubwa haya allah atuhifadhi sote tunaompenda mtume kwa kukusanyana pamoja tukamswalia kipenzi chetu
@khalidjahadhmy4787 Жыл бұрын
Tutasoma
@afandisaid541 Жыл бұрын
Huwezi kuiona njia ikiwa una matamanio ya nafsi Allah akuongoze uache shirki
@hutiswalehe2444 Жыл бұрын
Mawahabi tushawajua bwana hawajui kusoma na wala hawana ilimu za fani,kwahyo kila kitu kwao ni makosa kutokana na ufinyu wa ilim zaoo
@mgosilawanukoviri27342 жыл бұрын
Shekhe upo sawa hao warudj darasani yani maulidi ya swamwa mpaka kiyama maana hapo hatajuwi paulo bali rasulullaha mohamadi ibun Abudillah
@shambaboy412 жыл бұрын
Kwani mtume saw alituamrisha tumsomee maulid?? Tusomeni dini
@abubakarmustwafa86622 жыл бұрын
Hawana ilmu Mawahabi,ni madebe matupu,kelele nyiiiiingi za inzi zisizo na faida
@raniakhan54632 жыл бұрын
Mawahabi ni watu gani?
@abiabi93532 жыл бұрын
@@raniakhan5463 watu wanaofata itikadi za mpotoshaji Mohamad Abdulwahab
@yahyarashid80382 жыл бұрын
Ipo siku utajuwa ukweli allah akuongoze
@musashiundu2 жыл бұрын
Masufi mna matatizo ya akili. Mkatibiwe. Yaani hamna hoja yoyote nyie. Uongo ndo mmejaza
@Ahmadiyyāh.022 жыл бұрын
washirikina na wanafiki hugombana Kila kukicha ,Kama mnaamini mpaka Leo hii Hazrat Isa bin Mariamu yupo hai tena anaishi mbinguni ,Hii pekee ni shiriki,Wanaojiita Sunni wanaamini kuwa Mtume mtukufu (s.a.w) alikuwa ni 'Aalimul Ghaib na Ibilis(shetani) alikuwa pia na 'ilmul Ghaib.Hii ni shiriki
@aliabdallah4233 Жыл бұрын
Najaribu kuirudia rudia lkn sielewi jibu la msingi ispokuwa maneno ya kiarabu mengiii
@suleymanmadyan1730 Жыл бұрын
Uwez elewa masikio yako mamdogo kwenye kiarabu huyu. Mtu anajua na anaelimu sana tuclete ubishi aina mana
@kurashigesir87092 жыл бұрын
Maulid ni uzushi....wanayatimiza wanafaida zao wanapata. Hakuna Khalifa rashidun alopiga dufu
@nassorrashid64662 жыл бұрын
Hakika kaka
@Chris-in1vc2 жыл бұрын
Acheni kuchanganya watu, asilimia 98 ya waislamu hawaongei kiarabu, wamekariri tuu na ndio maana Hali ya ubishani na kutielewa dini inazidi. Keani katika Sunnah na mafundisho sahihi ya Muhammad , kaagiza wapi maulidi ifanywe?
@swiddiqabubakar75002 жыл бұрын
Swadakta Yaa sheikh Hawa hujisomea bila kujuwa lugha nimewaskia sana mawahabi Hawa lakini wewe kiboko yao
@azzyal-junaiby8552 жыл бұрын
Shuwain lugha tu ndio mnayoiyona nyinyi sheria iko wap aya za tafsiriwa kilugha tu wachen maneno yenu someni
@abiabi93532 жыл бұрын
@@azzyal-junaiby855 jee lugha simuhimu katika kutafsiri hukmu?
@maimunashaban95382 жыл бұрын
لا يجوز الاحتفال بمولد
@yuzzahvascuez4732 жыл бұрын
هم لا يصدقون....عاندون
@khamisptrany93932 жыл бұрын
وما هو الدليل؟
@RamadhaniMwandambo-fx9sb Жыл бұрын
Huyu bwege wa kiwahabi inavyoonekana hata shule ya msingi hakupita, hata misemo hajui, hivi mtu anaposema Fulani amevaa miwani , ni kweli anamaanisha amevaa miwani? Kuvaa miwani maana yake nn kama sio kulewa. Ma hiya dhunubi haijamaanisha Muhammad ndiye mfuta madhambi, Muhammad ni sababu ya wewe kufutiwa madhambi, bila Muhammad kupewa utume wewe huo uislam wako ungeujulia wapi? Nyinyi ni makuadi wa wayahudi na wamarekani na lengo lenu ni kuusambaratisha umoja wa kiislam Kwa juwafarakanisha.
@AbdillahSOthman2 жыл бұрын
Nauliza ili nipate kujua: Kitabu gani kinaleta ushahidi kuwa Rasuulullah alisherehekea mazazi yake, Au aliwaamrisha maswahaba zake washerehekee, pia Mashairi gani yalisomwa, au nasheed gani zilisomwa. Naomba kumbukumbu za vitabu ambavyo nitapata ushahidi wa hayo maswali ili nipate kujua na mie.
@mwalimumuhidini15442 жыл бұрын
Hata Mimi ningependa kujua ni disaini gani ya simu aliyoitumia Mtume S .A .W ili na mie nitumie
@bugystar86592 жыл бұрын
He kwan kutumia simu ni ibada?🤔
@abdillahali39302 жыл бұрын
@@mwalimumuhidini1544 wewe upo mbali Sana hhhh ety simu
@abdulabdulathumani59922 жыл бұрын
Kila kitu ni ibada ukikifanya katika mipaka ya Allah subhanallah
@bugystar86592 жыл бұрын
Ibada si kila kitu bali ibada ni matendo maalum tena yawe yameelekezwa na ALLAH sw na Mtume wake nje ya hapo ni kupoteza muda tu.
@binismail20292 жыл бұрын
Acheni Upuuzi. Nyny na masahaba nani Bora. Mbona wao hawakufanya . Kazi kuharibu kuiharibu Dini TUUU. Mmeyamaliza alokuja nayo mtume hata muongeze upuuzi wenu
@husseinabdallah84982 жыл бұрын
Upuuz n nn hapo
@binismail20292 жыл бұрын
Mtume kashaelekeza Nini watu wafanye na Dini imekamilika.kwanini wanatia Yao ambayo hakuna sahaba kafanya. Au alokuja nayo mtume washayamaliza. Dr. Zakir Naik Geneous kaulizwa swali hilo2 kuhusu Maulid ingieni KZbin. Barzanj anamshinda Ibn Abass mbona hakufanya upuuzi huo. Mwisho ajizongazonga eti ktk Ok ugha anatoka nje ya mada kubabaisha watu
@binismail20292 жыл бұрын
Mwafanya Masahaba waliokaa na mtume hawajui nyny ndio mwajuwa mashairi Duuuh Mashiya Kiza kingi.
@binismail20292 жыл бұрын
IVI NYNY LOGICALLY KAMA MNA NIA HASA YA KUMFUATA MTUME S.A.W NDIO NJIA HIYO WALIPITA MASAHABA. NDIO MARASHI YA VITA VYA BADRI MISHAIRI HIYO
@binismail20292 жыл бұрын
انما أن بشر مثلكم HALAFU AKUFUTIETIENI MADHAMBI. MATHEMATICS MNA CRADIT FFFF
@allymafita1985 Жыл бұрын
Unatumia nguvu kupindua mambo, huku n kuwaiga manaswara, ibada ya kiislàm haiwezi kuwa na munkar ndani yake,
@binismail20292 жыл бұрын
Alomwambia atunge maulid ninani.masahaba hawakutunga mbona walfuata kivitena wakabashiriwa pepo. Hao ndio watukufu. Hapo kwenye lugha tunakutaka usogee karibu.
@ahmadmadaai1357 Жыл бұрын
Tunga n ww kitabu chko kwn alietunga neno msahaf nani mbn tunautumia
@abushams2451 Жыл бұрын
Fnya hishama bn una ji fnya una jua balagha hiyo isnad haingi hpo ume sahau sharti ya isnad na majizi قال صاحب جوهر المكنون: ووجبت قرينة اللفطية أو معنوية و إن عادية Kisha hiyo ayah ume toa mwnzo jua qaida kisha useme una jua lugha sw kaka al hathmey ka ji funze lugha kisha uonge
@athmanhamid95782 жыл бұрын
Kama watu ingekua wamswalia barzanji apo lkn wamswalia mtume hakuna ubaya...na ukimswalia mtume c wafutiwa dhambi..
@khamisabbas9982 жыл бұрын
Wanatumia nguvu kubwa katika kutetea bidaa zao,Allah wape upeo maana ndio unaemuongoa umtakae
@rushu12322 жыл бұрын
ukimswalia mtumi hufutiwi dhambi ukimswalia husamehewi makosa hiyo ndiyo maana ya mahiya dhunubi.
HUJIELEWI KABSA...NYAMAZA HATA TWASIKIA KUTAPIKA...
@sulehassanshall6140 Жыл бұрын
Tukimswalia mtume Tunapata thawabu nakufutiwa Dhambi .mawahabi chuki zimekaa kwanafci zao nahasira Kali .wakikufurisha waislam wenzao..Akili zao nindogo Sana ..Mungu Atuongoze cici nawao mawaHabi.
@mussamsuya85952 жыл бұрын
Amna kitu apo mzee
@athumanichamzuri38442 жыл бұрын
Ndio maana mimi nimechagua Ahlul Sunnah waljamaa au kwenda motoni....
@allymuhamed72952 жыл бұрын
Subhana Allah
@yahyarashid80382 жыл бұрын
Sh wangu kama uko pamoja na ahlu sunna wal jamaghaa usiwe na shaka upo kwenye njia sahihi na allah akufeshe ukiwa kwenye njia hiyo hiyo
@athumanichamzuri38442 жыл бұрын
@@yahyarashid8038 hakuna njia nyingine
@akramdinn86022 жыл бұрын
Waambie hata shkh abdulqadir jailani anafutia madhambi
@banihashim53472 жыл бұрын
MISUFI HAMJASOMA ETI MNAMUITA MTUME EWE MWENYE KUFUTA MADHAMBI, ALAFU HAPO MKIKOSOLEWA MNAKUJA JUU
@mwalimumuhidini15442 жыл бұрын
Kwa sababu mikosoaji haijasoma wala haijui chochote ni mimbumbumbu
@mafiatv54792 жыл бұрын
Afadhali sisi masufi lkn nyie walokole tena mishoga
@banihashim53472 жыл бұрын
@@mafiatv5479 DUNIA NZIMA NI MASHAHIDI KUWA NYINYI NDIO MASHOGA WA WAZI WAZI, WANAUME WAZIMA MNAKATIKA VIUNO KATIKA DIB, AH YENU YA MAULIDI, DUFU TOTO,
@AmirathumaniSori5 ай бұрын
Huooo ni ushirikina uliopo kwenye Baraza nje
@karimdaud3993 Жыл бұрын
Hajui kiarabu wala kiswahili Tabu kufaham yeye na bachu
@jaedy69482 жыл бұрын
Wazushi
@binismail20292 жыл бұрын
Mnamfanya Barzanj kama mtume hakosei. Nasio hapo TU nisehemu nyingi ktkt kitabu hicho
@abiabi93532 жыл бұрын
Hatakama anakosea lkn si kwakipengee hicho
@wazirihamisi64842 жыл бұрын
Hakuna kitu KIBAYA kama ujinga aisee yani masufi ni mtihani sana tena sana
@ZQTANZANIA2 жыл бұрын
Kwa hio wewe kwa ujinga wako hapo unaona uyo wahabi yuko sahihi
@wazirihamisi64842 жыл бұрын
@@ZQTANZANIA NDIO WAHABI YUKO SAHIHI KULIKO HUYO KHULAFI MWENZIO
@badilamu Жыл бұрын
Vipi lengo lahaki lipatikani tahreef .
@saidiabdallah-kv7bd Жыл бұрын
Shekhe usijisumbue kuwaelimisha hao nisawa kwao ukiwaonya au usiwaonye nisawa kwao hawakuamini hao ameshapiga sildi nyoyo zao nakatika machoyako na vifua vyao hao ni mabubu vipofu viziwi kwaio hawatoacha ujinga wao wakakufata ww hao makafiriiiiiiiii shehe utaumia hao wanaopinga maulid ni makafiriiiiii usisumbuke nao
@MusaRamadhani-wj2dw10 ай бұрын
Huyu kijana Hana elimu kabisaa hata hajui balzanji ninani watu kama hawa wanafaa viboko
@saltoninsein9138 Жыл бұрын
Ati mtume ni sababu kuvutiwa thambi yetu, mumevuka mipaka kuliko wakiristo
@ibrahimabdalla9986 Жыл бұрын
Utumbo mtupu. Inamaana nyny Mashia mnamjuwa mtume zaidi kuliko Maswahaba. Mnaiharibu dini. Waharibifu wakubwa nyny Malemba makubwa.
@manturemdachi2118 Жыл бұрын
Umepata ujasiri na ilimu gani ya kukosoa kitabu cha msome wee bwege unayejifanya msomi ,mjinga mkubwa we, muombeni sana serekali zetu zinanafasi kuwalinda ulifaa kukatwa kichwa
@othmanbakari26752 жыл бұрын
kweli ukiwa mtu wa bidaa huna akili
@mwalimumuhidini15442 жыл бұрын
Je umewatizama mama na baba yako je wao
@abiabi93532 жыл бұрын
Katika watu wajinga basi mawahabi wanaongoza.hujijengea misingi yao yakuhukumia mambo ya dini alafu wakasema hiyo ndiyo dini
@othmanbakari26752 жыл бұрын
ukijiangalia matendo yako ulipokua m2 wa bidaa unaona kweli nilikua sina akili
@othmanbakari26752 жыл бұрын
allah atufahamishe
@abiabi93532 жыл бұрын
@@othmanbakari2675 issue nikwamba mawahabi wengi hawajui bidaa ni nini na nini si bidaa.Hata ukichukua hiyo tafsiri yao ya bidaa utakuja kugundua wana migongano chungunzima.utakuna mambo mengi yanaingia kwenye tafsiri yao ya bidaa lkn utakuta wanayafanya.sasa huo si ujinga