Tatizo la wahuni vijana wanajua wao NDO wa kwanza kumbe kulikuwa na wahuni vijana wakazeeka na uhuni haujawatoka. Wahuni vijana Vs mhuni Mzee mmoja hivi.
@kassimally53583 жыл бұрын
hv ni kwl wanatembea na boksa mjin du! kuigiza kazi
@popomnyama80133 жыл бұрын
Hilo tama babu alilo rudisha siyo poa saula
@malikzafarani1723 жыл бұрын
Wahuni si watu kbs
@davianjosephjoseph31212 жыл бұрын
Hahahahhha hiyo mitama na mateke sasa😂😂😂😂😂😂joti bana
@danielmweta87163 жыл бұрын
Hii jot karudia coz iko vizuri
@kweka14l353 жыл бұрын
Joti ameishiwa Comedy mpaka anaamua kukopi na kupaste Maudhui kwa kina Bambo wa East Africa TV. 🤣🤣🤣😂
@masoudally42893 жыл бұрын
Hii aliigiza mwenyewe joti mwaka 2007
@mustaphagairo19363 жыл бұрын
@@masoudally4289 kama hvyo kmbe ameamua kuboresha sio mbaya
@nicsuu60623 жыл бұрын
Babu muhuni kuliko vijana 😅😅😂😂😂😂 🇰🇪
@moseswil83033 жыл бұрын
😁😁😁ati nitakutoa mshipa wa kichwa ww hunijui 🙌🙌
@yasodishonest97923 жыл бұрын
Katikati yajiji mmepita daah 🤣🤣🙌
@mohamedhaji22003 жыл бұрын
Helaaa
@davidbernard1833 жыл бұрын
Dah! Joti ni machine
@allyndingo18123 жыл бұрын
Umekausha tu mzee
@abdallahmngazija83803 жыл бұрын
Aaaa jaman hii kalii mbona hatar
@careenpaul23283 жыл бұрын
Wa kwanza Mimi😋😋
@isacktz57093 жыл бұрын
Babu muhuni kweli 😂😂
@MrNdanguza3 жыл бұрын
Hahaha bongo bahati mbaya 😂😂😂😂unalogwa
@salehechuma39703 жыл бұрын
Hahahahaha.....Eti mie si Shuwaini!!!
@hajihaji67013 жыл бұрын
Maridio hiii.. Kutoka origino comedy..
@mihangwamasingija37543 жыл бұрын
Babu gani anapiga mateke hivyo😂😂😂
@johnyema33602 жыл бұрын
Aaaa hicho kipigo alichowapa babu so chakitoto😂😂😂😂😂😂😂
@فاطمةسعيد-ث2ق3 жыл бұрын
😃😃wazee wa mjini ao wapo wengi
@philimoncharles34372 жыл бұрын
Kazi nzuri sana
@logoutjrgongzulu15723 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁 Me si Shwainiiii
@Electrical833 жыл бұрын
We mzee faa kweli
@furahishashaban34223 жыл бұрын
😂😂😂.mimi naindoka na mchanga
@davidbernard1833 жыл бұрын
Hahahaaa wazeewazamani nuksi
@johnyema33602 жыл бұрын
😃😃😃😃🤣🤣🤣🤣 babu anaimbaaaaa
@mossesmatechi90223 жыл бұрын
Ahahahahaha mzee yule ni Taperii 😂😂😂😂me nisinge tembea
@jonasmongi78113 жыл бұрын
Hahhahaha joti noma sauraaah 😁🤣
@teacherd3 жыл бұрын
Napenda saa ukicheza kama MZEEE 🤣🤣🤣
@simonandrew22383 жыл бұрын
Nakubali jotii
@azizsaleh94023 жыл бұрын
Enz za ze comedy. Namuona masanja hapo
@williamkavuta80663 жыл бұрын
Kazi hizi jamaa wanatembea boxers shekilango....
@ernestelias83223 жыл бұрын
Pesa mjmba hujui nn
@erickevarist87383 жыл бұрын
Big up bro mbavu zangu mie
@sashahussein873 жыл бұрын
Joti, Kipande yuko wapi? Muda sasa humuhusishi, na yuko vizuri.
@husseinmaingo71163 жыл бұрын
Kipande yuko India masomoni
@fettymussa59323 жыл бұрын
Kwel jmn tumemmis mbay
@AFRICANBRO3 жыл бұрын
Kipandeee😫😫😫 njoooo
@jenifajuma53953 жыл бұрын
We nitakutoa mshipa wa Uso 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@harunimfaume62803 жыл бұрын
HahhahaAa wahunii banAA WAMEINGIAAA CHOO cha kikeee 😂😂😂😂😂
@jasnafkiser42113 жыл бұрын
Wa kwanza!! Nipen likes
@fedharmmark63983 жыл бұрын
Hahaaaa wahuni wameingia ktk chaka la bandari siyo.
@asmahamisi25573 жыл бұрын
Mkujeeeee😝😝😝😝😝😝
@kawisakawisa8683 жыл бұрын
Wakuu kitambo nipo naomba like !
@frankmichael13073 жыл бұрын
Hahahaa kwel wahun sio watu wazur
@abedysalumu72143 жыл бұрын
Watu wanatafta hella duuh
@eliasgembe58003 жыл бұрын
Duuh safi sanaaaa
@dicksonmadembwemadembwe67533 жыл бұрын
We ni Shwaini kweli
@marrykaka41983 жыл бұрын
😂😂😂😂🤣🤣mzee noma
@ben.breaker3 жыл бұрын
hahaha mzee kawafunza Adabu 😄😂😂
@gwamakamcdonald63383 жыл бұрын
Raia wako faster kukoment
@hkthebaddest3 жыл бұрын
Mkomee mkomee mkomee🤣🤣🤣
@albertwililo4313 жыл бұрын
Mkomee Mkomee Wahuniiii...!!! Eee.eeeh 😆😂
@hkthebaddest3 жыл бұрын
🤣🤣🤣joti ni KONYO 🔥🔥🔥
@Carolbenny Жыл бұрын
Mishipa ya kigimbi kweli?kwa mitama hio inawezekana 😂😂😂😂
@bernardbinbelyjeshi77483 жыл бұрын
No views no like no comment I am the first one
@MS.independent89343 жыл бұрын
Babu noma sn hahah
@youngchua6973 жыл бұрын
WAHUNI SIO WATU WAZURI 😂😂😂😂😂😂😂
@hamzahassan20793 жыл бұрын
Nyumba yapemben Ninyumba ya king.!
@abdullahswaleh40663 жыл бұрын
😂😂😂 hii kali 🏆
@sylvesteremmanuel43623 жыл бұрын
Baada ya kuchukua hela...naweza nikaacha nguo zenu na nikawaloga😂😂😂🙌
@davidbernard1833 жыл бұрын
Nakukubalisana br
@barakalukumay80873 жыл бұрын
Saulaa!!!! Kichuga chuga
@mahmudmustafa85883 жыл бұрын
+254 KENYA NAIROBI SHOW LOVE
@sirbinladen7863 жыл бұрын
*Tiba ya nguvu za kiume kwa kutumia miti shamba* kzbin.info/www/bejne/qJWlc32ngbZrfac
@sirbinladen7863 жыл бұрын
*Dawa ya Mvuto wa kupendwa na watu kazin biashara* kzbin.info/www/bejne/qJWlc32ngbZrfac
@linussamson50483 жыл бұрын
Jot nakuomba umurudixhe kipande
@mohamedabshir61423 жыл бұрын
Cjui tatzo n nn Yan kipande jembe
@fatmafetty41173 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣Mkome mkome🏍️🏍️🏍️🏍️🏍️🏍️🏍️
@zach4068-c9e3 жыл бұрын
Ww 😆😆😆
@mtweveandrew18613 жыл бұрын
Daaah hy kali
@robrob67193 жыл бұрын
Jma amefagia mzee hhhhhh
@Beststar09443 жыл бұрын
Jotii hiii umeirudia kwenye ze comedy alivua viatu masana
@AFRICANBRO3 жыл бұрын
Hii Masaki ya wapi😳🤣🤣🤣🤣🤣
@officialkay8233 жыл бұрын
Baba lao sasa 😂😂
@Soccer_Life23 жыл бұрын
Noma sana
@lloveyoutanzania53153 жыл бұрын
Huyo jamaa mwenye kipensi cha jiens anasura ya kihuni lweli
@KS-iw7qv3 жыл бұрын
Ati La Haula Walaa kuwwata.... Wahuni😂😂
@impuratv45833 жыл бұрын
Love from Burundi
@chrissjoel77523 жыл бұрын
Hiyo subtitle et *THEY START FOLLIWING BABU* 😂😂😂😂😂😂😂😂 *KEEP FOLLOWING BABU* Kwani BABU haina kiingereza
@Fgldesigns3 жыл бұрын
Babu wametumia kama Jina huona kwa majina washiriki ya Washiriki imeandikwa Babu... Joti akiigiza mzee huwa anaitwa Babu ikiwa na maana ya pande zote mbili kama jina na pia kuwakilisha mzee.! Sio kwamba wamekosea wamedhamilia kulitumia kama lilivyo. Angalia video zote alizoigiza mzee huitwa *Babu* na majina ya washiriki huandikwa *Babu* hivyo hivyo na akiigiza wakike huitwa *Kiboga*