No video

WAKILI MADELEKA ; KULIPA MSHAHARA WENZA WA VIONGOZI NI SHERIA YA KIBAGUZI "NI AIBU SANA "

  Рет қаралды 17,857

KUSAGA TV

KUSAGA TV

9 ай бұрын

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
KZbin : www.youtube.co...
Tiktok. www.tiktok.com...

Пікірлер: 112
@emmanueljoseph3812
@emmanueljoseph3812 9 ай бұрын
NCHI tumepigwa kizembe na pakuponea ni Watanzania kubadili mtazamo Tuwapeni WAPINZANI NCHI HII., INATOSHA
@humphreymkony8915
@humphreymkony8915 9 ай бұрын
Wakili Madeleka umeilemisha Jamii ya Wtz kwa kirefu sana. Asante sana
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 9 ай бұрын
Badala ya kuhangaikia umeme wanaenda kulipana pesa wakati wananchi wanabakia maskini...😭
@abdallahnkrumah6237
@abdallahnkrumah6237 9 ай бұрын
Msomi Madeleka wewe na Mwabukusi Nawaombea kwa Mungu Mshiriki kwenye Bunge la Mwaka 25 ili kuendelea kulisaidia Taifa hili. Iwekwa kuchaguliwa au kuteuliwa.
@liberatusmsasa7103
@liberatusmsasa7103 9 ай бұрын
Nakukubali sana wakili Madeleka!
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 9 ай бұрын
💯👍
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 9 ай бұрын
Yaani ni ubaguzi wa hali ya juu... Wakimbizeni hao🏃‍♀️🏃
@desiderihugo5704
@desiderihugo5704 9 ай бұрын
Hawa wabunge sijui wanafikiria kwa kurumia nini jamaniiii!!!! Hivi Mungu wetu unayaona haya????? Inaumiza sana
@user-st4kv4bd1l
@user-st4kv4bd1l 9 ай бұрын
Sisali watumishi wa kawaida na wastaafu Kikokotoo kinatutoa kamasi halafu wanatuletea Sheria ya kuwalipa wenza ! Katiba mpya ni muhimu Sana! Na tukutane kwenye uchaguzi ujao ! CCM haina huruma kabisa! Yarabi Kodi yangu miye!
@tanzaniamycountry9308
@tanzaniamycountry9308 9 ай бұрын
Huyu mwamba namkubal Sana, Nataman sku moja nipate fursa angalau ya kuonana naye nimpe mauwa yake
@antonyelias866
@antonyelias866 9 ай бұрын
Ukweli mtupu
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 9 ай бұрын
WELL SAID
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 9 ай бұрын
KATIBA MPYA... NI SASA....
@fletchermusukwa8432
@fletchermusukwa8432 9 ай бұрын
Good analysis from learned lawyer Madeleka 🔥
@saturinimushi4746
@saturinimushi4746 9 ай бұрын
❤Mume wa Mama Naye ameula. CCM Karagabao😂
@rehemashabhay8946
@rehemashabhay8946 9 ай бұрын
Wacha wajipangie tu jinsi ya kuwanyonya maskini walipa kodi.Mungu yupo..Madeleka Mungu akulinde..
@BernadethaSimba-qi4dw
@BernadethaSimba-qi4dw 9 ай бұрын
Wanapiga fedha bado hawarodhiki jamani hii Nchi bora Katiba zilekebishwe na Wabunge wasiwe watunga sheria yoyote ile iwe mwisho kwao
@insightsecure2819
@insightsecure2819 9 ай бұрын
Na me nilipwe maana mke wangu ni Mwl,
@adeltuszakumuha9618
@adeltuszakumuha9618 9 ай бұрын
Sahihi kabisa.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 9 ай бұрын
Hapa ndio napata tabu kujuwa nchi yetu ina shida ya Katiba au shida ni UTEKELEZAJI na KUHESHIMIWA Katiba? Kwa sababu tukienda hivi hata Katiba Mpya tunayodai haitakuwa na maana yoyote.
@mandaruukali2374
@mandaruukali2374 9 ай бұрын
Umezungimza vizur sana
@patriciamuganda4498
@patriciamuganda4498 9 ай бұрын
Ndio reality ya Tanzania. Kundi Fulani katika Kila aspect ya Society ndio wanakuwa re-cycled. Kwa mfano, mtu anashindwa huku anahamishiwa kule wakati Kuna watanzania wengi Wana uwezo zaidi wa kufanya Majukumu hayo. Ubaguzi upo, umetengenezwa na unazidi kushika Kasi.
@user-yl4dc6on6q
@user-yl4dc6on6q 9 ай бұрын
Matereka na mwabulikusi Ni wazalendo wa taifa hili hakuna haja ya wake wa Marais kulipwa mbona Wana marupulupu mengi Kuna watu wengine hata Panadol hawana
@maswamills3161
@maswamills3161 9 ай бұрын
mishahara wanalipwa,maji hawalipi,umeme bure,!!!!!!.
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 9 ай бұрын
Wananchi wengi watanzania hawajui sheria... Hii clip itembee kote watanzania wajue kinachoendelea nchini kwao....
@hajihassan5433
@hajihassan5433 9 ай бұрын
Hapa leo nakuunga mkono 100+%.
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 9 ай бұрын
Ulikuwa bado humkubali tu?
@hajihassan5433
@hajihassan5433 9 ай бұрын
@@ramadhanmahongole9293 Ni mara nyingi sana simkubali ushabiki anakuwa mshabiki zaidi.
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 9 ай бұрын
BRAVO COMRADE MADELEKA.....ENYI WATANZANIA WOTE BILA KUJALI TOFAUTI ZETU TUING'OE CCM MADARAKANI....CHADEMA....CHAMA PEKEE MBADALA KWA TAIFA LETU.
@paull8659
@paull8659 9 ай бұрын
CCM inatafuna nyama mpaka mfupa pia. Hiyo ndiyo CCM ya mama Samia na bunge lake la kiharamia.
@sophiamalinga18
@sophiamalinga18 9 ай бұрын
Mungu tuhurumie watanzania
@emanuelpiniel5277
@emanuelpiniel5277 9 ай бұрын
Wakalipane wakati kikokotoo Kwa watumishi wa kawaida bado ni kitendawili
@daudimchileg307
@daudimchileg307 9 ай бұрын
Hii nchi apana tutakuja tufie barabarani wee subir
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 9 ай бұрын
Maccm yatuletee tume huru na hayo mabolice kazi Yao kutupiga tunapojaribu kuipigania haki zetu yamepewa nini sasa kikundi kinaendelea kutunyonya
@knight6757
@knight6757 9 ай бұрын
Wataleta🤔👀?
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 9 ай бұрын
Yaani serikali hii inakera sana bunge la ovyoo sana wizi mtupu yaani hakuna kiongozi anayewafikiria wanyonge bali kuimarisha tabaka waliloliunda watanzania tumelala nchi inaendeshwa kihuni
@BenderaRulenge-er7wx
@BenderaRulenge-er7wx 9 ай бұрын
Hivi kweri wanajadiri sheria na wanalipana pesa kwa ajili ya kulipana wake wa viongozi au waume wa viongozi wakati huduma za kijamii ni hafifu hospitalini kweri hiyo nisawa kabisa?
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 9 ай бұрын
Hili bunge la ovyooo sana kuiba tu Mungu ingilia kati
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 9 ай бұрын
Raisi akisaini muswada huu nitashangaa....
@leokamil6284
@leokamil6284 9 ай бұрын
Tutampinga kwa nguvu zote
@lilianvitus2488
@lilianvitus2488 9 ай бұрын
Imeshapitishwa tayari ina wiki mbili sasa
@user-hl8gf5rx8i
@user-hl8gf5rx8i 9 ай бұрын
Nakuellewa sana wakilpitter
@ramadhaniseifuledi513
@ramadhaniseifuledi513 8 ай бұрын
Mwamba nakuelewa vyema upepesi macho unatoa makavu safi
@christinangondi4212
@christinangondi4212 9 ай бұрын
Hizo pesa za kuwalipa mishahara Waume/ Wake zao, wazipeleke kurekebisha/kutatua Tatizo la umeme
@ChristerShao
@ChristerShao 9 ай бұрын
Wakili,mtaenda mahakama ipi.Angalia msije kupuyanga
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 9 ай бұрын
AIBU NA FEDHEHA KUBWA SANA KWA BUNGE LETU....KUPITISHA SHERIA YA OVYO NA YA KIFISADI KWA NCHI MASIKINI KAMA YETU.
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 9 ай бұрын
Serikali hii imeteka mifumo yote yavyombo vyadora kwakutumia hongo yaani wakubwa wote wanakula sahanimoja na watawala mafisadi kwahiyo ningumu kutatua ukifatilia hizivurugu zote zasheria chaguzi utendaji wakibabe chanzo nikuhongana kwamifumo yetu yakulinda haki,ili waendelee kuwalinda waendelee kutunyonya eemungu tusaidiye
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 9 ай бұрын
Hawa wabunge wanadanga kwamba wapo kwaniaba ya kutetea wanainchi huo ni uongo wao wapo bungen I Kwa masilahi Yao na chama Chao kilichoko madarakani
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 9 ай бұрын
Wabunge hawa wakirudi majimboni wasichaguliwe tena hawa wabunge....
@josephatbwakome5711
@josephatbwakome5711 9 ай бұрын
Kwani kuna mbunge aliye chaguliwa kihalali?
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 9 ай бұрын
Ujinga wa bunge la Tanzania 🇹🇿
@karimmunis8302
@karimmunis8302 9 ай бұрын
Serikali badala ya kupunguza matumiz wao ndo kwanza wanaongeza matumizi
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri 9 ай бұрын
Kuchukua mali ya mtu bila kibali chake kwa siri ni kumuibia mtu huyo.Hii ni wizi.Tunafanya dhambi mbele za Mungu.Tutubu na tuache kabisa.
@leokamil6284
@leokamil6284 9 ай бұрын
Wanatunga sheria kila siku kwa manufaa yao bila aibu, wametoka kwenye kuhongana mahekalu wanaongeza na wake tukinyamaza hawatakomea hapo .Wanataka kushibishwa mpaka watapike hawatosheki walafi wabinafsi hawana haya.Wanalipwa wanatunzwa na wakifariki wanatunzwa familia zao maisha yote yao bado wanataka tu nchi ya kibinafsi hii
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 9 ай бұрын
Lakini ni kweli hao Marais wakistaafu wanalipwa pesa nyingi na wanapewa marupurupu mengi tu na nyumba wanajengewa mpya ifike sehemu watu wawaoneee huruma wananchi wa kawaida
@timboxlee919
@timboxlee919 9 ай бұрын
Blessed madeleka, hii awamu tunaongozwa na vipofu, RIP JPM
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 9 ай бұрын
Viongozi wanatudharahu sana
@diegoshanga8184
@diegoshanga8184 9 ай бұрын
Aise Wakili msomi umeongea poiti sana!! Madeleka!! Da!! Sikua najua kwamba hawa watu walikua wanalipwa!!!
@reginas1832
@reginas1832 9 ай бұрын
Duu! Hivi mbona hawa watu wamekuwa zaidi ya shetani? Yaani kodi za Watanzania kazi yao ni kulisha viongozi kweli? Wamemzidi hata shetani.
@user-yy5oi9zp2h
@user-yy5oi9zp2h 9 ай бұрын
Wakili msomi mungu akupe Marsha marefu uendelee kutufumbua macho, ukweli happ wametukosea Sana wanalipwa mafao posho zanini
@christinangondi4212
@christinangondi4212 9 ай бұрын
Wa-Tz wengi wanalala njaa na mateso makubwa ktk Mahospitali, wakati Mafisadi machache yanafaidi Madini, Misitu, Bahari, Maziwa, Mito na Mbuga za Wanyama
@meshackmayenga969
@meshackmayenga969 9 ай бұрын
Pamoja na hayo serkali iangalie kuongeza kiwango cha pensheni kwawanaolipwa 100000 kwa mwezi. Kwahali ilivyo kiwangohicho kwasasa hakitoshi hatakununulia fungu la nyanya na vitunguu.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 9 ай бұрын
INASIKITISHA SANA
@sophiamalinga18
@sophiamalinga18 9 ай бұрын
Umenifungua wakili
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 8 ай бұрын
Wanasema umeme vijiji vyote.Ninachoona mie ni nguzo za umeme zenye nyaya ambazo zina umeme wa mgao usiokuwa na faida kwa wananchi
@YussufNgome
@YussufNgome 9 ай бұрын
Kama I hili Bunge linajadili masala ya wananchi au maslai yaviongozi mbona mnataaa sana hamtosheki duu
@kingnass6410
@kingnass6410 8 ай бұрын
Hakika unachozungumza ni ubaguzi haswaaa unaongelea
@festokemibala5832
@festokemibala5832 9 ай бұрын
Sheria yoyote unayoiona inawasilishwa bungeni na kupitishwa ujue ni serikali imepeleka hivyo dada mkubwa anahusika. Kiukweli hii ni mojawapo ya sheria mbaya kuwahi kutokea hapa nchini sheria ya kibaguzi. Kwa maana hii watu waapply kuwa wake/waume wa maraisi na viongozi ili wakistaafu wapate mafao kisheria
@emanuelmwakasungula3052
@emanuelmwakasungula3052 11 күн бұрын
Hata Mimi mke wangu ni mtumishi wanipe Hera zangu
@PaskaliCharles-pz8ds
@PaskaliCharles-pz8ds Ай бұрын
Hii CCM ifike wananchi tuseme inatosha hospital dawa hazitoshi vitanda wao wanaendelea kujinufaisha wenyewe na kodi zetu
@ChristerShao
@ChristerShao 9 ай бұрын
Hatuna watetezi hii nchi mungu anasikia.Mungu tunusuru.
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 9 ай бұрын
Hiyo ni michongo inayotengenezwa kwa manufaa yao watanzania hakikisheni wabunge hawarudi bungeni
@talents7934
@talents7934 8 ай бұрын
Tutapigwa Kama Ngoma 😂😂😂😂😂😂😂😂
@donaldmwita4227
@donaldmwita4227 9 ай бұрын
WATANZANIA sikiza huyu wakili ana manzuri.
@albertkamala6843
@albertkamala6843 9 ай бұрын
😂 😂 Yaani hapa wabunge hawa wamechemsha! >Ni sheria mbaya sana inayoonyesha ubinafsi uliopitiliza kwa wake au waume kulipwa kwa kigezo cha mmoja wao kuwa ktk uongozi! >Ni kulipwa mshahara na marupurupu pasipo kuvuja jasho! >Ni jambo lisilo na maslahi yoyote zaidi ya hasara kwa walipa kodi...wenye nchi..wananchi!
@fortunatashirima-mh2fx
@fortunatashirima-mh2fx 9 ай бұрын
💐💐💐💐💐💐
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 9 ай бұрын
Mwaandishi hauelewi kabisa
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 8 ай бұрын
Hivi hili bunge lipo tayari kupitisha hiyo sheria?au hilo bunge halioni mateso ya watanzania na maisha yao
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 7 күн бұрын
Uzuri anaijua katiba na anaongea kwa reference za kisheria huyu ni kutoka kwa MUNGU lakini Watanzania kwa ujinga wetu tutamdharau
@kisangageorgethomasi2830
@kisangageorgethomasi2830 9 ай бұрын
Imepenya iyo sioni chawa wala kunguni wa kijani wakiunga mkono utopolo uu
@talents7934
@talents7934 8 ай бұрын
Aiseee kuweni Serious yani mnamaanisha Wenza Wa Viongozi Wapewe Mshahara? Mnaakili kweli Nyie Yani hatuna umeme maji madawa hospitals halafu tunawachagua mkatusemee bungeni kisha mnatunga Sheria za Kuwalipa Wenza Wenu?
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule 9 ай бұрын
Ni aibu Kwakwel
@alfrediaugustino1026
@alfrediaugustino1026 9 ай бұрын
💅 chukua ua lako Hilo maana ufafanua
@ChristerShao
@ChristerShao 9 ай бұрын
Hawasomi hiyo katiba.
@ankoanko-zz7it
@ankoanko-zz7it 4 ай бұрын
Tutakutananao 2025 ndio watajua
@1961nungwi
@1961nungwi 9 ай бұрын
Labda wenza wa madaktari na walimu walipwe pia
@KwindaLaizer
@KwindaLaizer 9 ай бұрын
Hii nayo ni ukweli
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 8 ай бұрын
Kodi zetu zinaliwa hivyo kweli jamani nyie wabunge. Watanzania wanashida wanakula kwa shida sehemu za kulala wengine hali mbaya
@user-un5dm8gj7p
@user-un5dm8gj7p 9 ай бұрын
NCHI INAENDESHWA KIPUMBAVU
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 9 ай бұрын
Ndio ubatili wenyewe huu! Fedha batili zinaliwa na watu batili ili kusudi NENO litimie...
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 9 ай бұрын
Wanapeana nafasi kwa kujuana hapa ni ulaji tu
@ChristerShao
@ChristerShao 9 ай бұрын
Kuna walimu ambao ndiyo kila kitu,kuna madaktati.
@christinangondi4212
@christinangondi4212 9 ай бұрын
Watu wa Saloon, Mama Lishe, mabucha ya nyama/samaki na Wafanyabiashara wengi wamefilisika kwa mali zao kuharibika na kuoza
@christinangondi4212
@christinangondi4212 9 ай бұрын
GOD forbid
@lekishonmolele1859
@lekishonmolele1859 8 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣kweli hii serikali niya kimchongo mchogo Tz kuna Family ambozo wanakula chakula kwa kubaatisha alafu kuna watu ambao wako manyumbani hawafanyi kazi alafu wanalipwa
@festokemibala5832
@festokemibala5832 9 ай бұрын
Nachefuka
@AntonyDova
@AntonyDova 9 ай бұрын
Tanzania 😢
@hemedsabuni9965
@hemedsabuni9965 9 ай бұрын
Hizo pesa kwa nini wasitulipe sisi walikokotoa pensheni zetu?
@saidmakombeni5155
@saidmakombeni5155 9 ай бұрын
Muongo mkubwa, kuna sheria nyingi mno kwa makundi maalum au taasisi maalum
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 9 ай бұрын
Hivi hao walioko madarakani huwa hawayaoni haya? Mbona unaongea mambo yenye mantiki
@giftkalenge418
@giftkalenge418 9 ай бұрын
SAWA kabisa he waume was Vio gozi inakuwaje Kwa Sheria hizi?
@lilianvitus2488
@lilianvitus2488 9 ай бұрын
Wenza pande zote iwe wa kiume au wakike
@user-qo1np9iv9k
@user-qo1np9iv9k 9 ай бұрын
Wafanyakazi nao wanapofariki wenza wao walipwe
@bibletv9818
@bibletv9818 9 ай бұрын
Kwa nini hadi wafariki na si wakiwa kazini
@filbertdamiani101
@filbertdamiani101 9 ай бұрын
Mtu asiyeelewa ata tatizo kiakili. Hawa ni wanasheria, wewe ni darasa la Saba unajua nini.
@Kasonadi-hp1lv
@Kasonadi-hp1lv 9 ай бұрын
​@@filbertdamiani101 unawaamini sana wanasheria
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k 9 ай бұрын
Yaani viongozi tulionao wafikri njia kuwaibia watanzania tu hawatosheki fahamuni iko siku yatawatokea puani
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 9 ай бұрын
Maajabu hayo wazazi wanakufa hovyo kwa sjili ya kukosa pesa za matibabu halafu wanawalipa familia za Marais ujinga gani huo bandari ziuzwe utawala gani huu wa mauzauza
@mjeshimlokole-us5xc
@mjeshimlokole-us5xc 9 ай бұрын
Hata mishahara ya nchi hii hailipwi kulingana kazi anayofanya mtu, anayofanya kazi kubwa analipwa kidogo na anayefanya kazi kidogo ndiye analipwa Sana, ajabu kubwa nchi hii duu.
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 8 ай бұрын
Hawa wanafanya kazi Kwa ubabe wanaovunja Sheria Kwa makusudi tutawawajibisha Kwa kuandamana
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 3,6 МЛН
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 26 МЛН
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 4,2 МЛН
Mwanzo Mwisho Lissu Afunguka Kilichotokea Mbeya
23:21
The Chanzo
Рет қаралды 26 М.
IJUE SHERIA INVYOSEMA WAKATI WA MGAWANYO WA MALI KWENYE MIRATHI
12:05
Dina Marios tv
Рет қаралды 2,1 М.
Massale steun voor Eritrese relschoppers!
4:39
PowNews
Рет қаралды 106 М.
Bosbranden in Griekenland onder controle
1:57
NOS Jeugdjournaal
Рет қаралды 10 М.
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 3,6 МЛН