WAKILI MADELEKA:POLICE KULINDA UWANJA MBEYA CHADEMA WASIFANYE MKUTANO NI MATUMIZI MABAYA YA AKILI

  Рет қаралды 38,272

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 212
@StevenNyanguye
@StevenNyanguye 2 ай бұрын
Hongera sana Mungu awabariki kwaajili ya taifa letu
@HassanKibwana-h3w
@HassanKibwana-h3w 2 ай бұрын
Hongera kiongozi upo vizur sana mungu Akusimamia
@Uhuru1234
@Uhuru1234 2 ай бұрын
Ubarikiwe sana Madeleka
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 2 ай бұрын
Pumbavu huyu madeleka, polisi fanyeni kazi yenu. YaA,kusini usifananishe na hili kenge wewe.
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 2 ай бұрын
Akili zako zimeshikiliwa na mshipa wa haja kubwa unatakiwa ufanyiwe upasuaji immedietly🎉
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 2 ай бұрын
Mbona matusi Ninyi ni vijana ambao hamna maadili, alafu mnataka muwe viongozi, kiongozi ni lazima awe na heshima. mmekosa uadilifu, siasa siyo uadui . Wana chama wa vyama vyote mnatakiwa mpendane❤
@FridayMwassa
@FridayMwassa 2 ай бұрын
Angalia tu majina yao ndiyo utajua IQ zao​@@zebedayokatamaduni9676
@gililwise
@gililwise 2 ай бұрын
Mungu awatangulie kwa kila jambo madereka watanzania wananyanyaswa na hawa watu waliofeli iv
@geraldabel8784
@geraldabel8784 2 ай бұрын
hahahaaaa
@yohanamdemu9232
@yohanamdemu9232 2 ай бұрын
Ubarikiwe baba ubarikiwe saaaaana
@MuhojaMalicho
@MuhojaMalicho 2 ай бұрын
Jamaa anakiri sana❤❤❤❤❤
@duniakidogo8516
@duniakidogo8516 2 ай бұрын
Ubarîkiwe kaka. Hata kama mahakama ni zao iende tutajua mbele ya safari
@ChristianMkumbo-ix2ke
@ChristianMkumbo-ix2ke 2 ай бұрын
Your the golden boy
@Uhuru1234
@Uhuru1234 2 ай бұрын
Asante wakili,wapeleke wanamazoea mabaya, tena deal nao mpaka mwisho, na mungu awasaidie katika hili, mm nitawaombea
@leokamil6284
@leokamil6284 2 ай бұрын
🎉🎉
@GoodluckTarimo-u3j
@GoodluckTarimo-u3j 2 ай бұрын
Wanatulazimisha tuwe ccm wakati tushawachoka
@JemeslaizerJemeslaizer
@JemeslaizerJemeslaizer 2 ай бұрын
Mungu Akulinde Sana madeleka lakini tengeneza shule ya ujasiri na sheria. Watu wote, wawe walimu kama wewe.
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 2 ай бұрын
Thank you advocate Madereka, you deserve to your professional.
@HadijaKilagule
@HadijaKilagule 2 ай бұрын
Nakufatiliaga Sana kaka
@goldenmaduhumedia4681
@goldenmaduhumedia4681 2 ай бұрын
Wakili ana akili huyu nyie duh utafikiri anasoma sehem kumbe ni bongo kali .Mungu akubariki sana wakili Madeleka na uje uwe kiongozi mkubwa katika nchi hii
@omarsaid7153
@omarsaid7153 2 ай бұрын
Madeleka hua havungi vungi maneno, he is straight forward ( Matumizi Mabaya ya Akili )😂😂😂
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 2 ай бұрын
WAKILI MSOMI PETER MADELEKA. .SAFI SANA KAKA
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 2 ай бұрын
Amen Mh Madeleka Mungu awatangulie kwa kila kitu unachofanya na team yako 🙏🏼🙏🏼
@ngagamtumzima
@ngagamtumzima 2 ай бұрын
Upo sahiii sana
@HeriMohamedi-re7xu
@HeriMohamedi-re7xu 2 ай бұрын
Mimi sijasoma lakini nimegundua kuwa Tanganyika bado haijapata Uhuru ila Zanzibar ndio Ina Uhuru ndio maana inaitawala Tanganyika
@SarahShao-jw1up
@SarahShao-jw1up 2 ай бұрын
Kweli kaka
@mirajichima969
@mirajichima969 2 ай бұрын
Kama una hoja hivi!?
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 2 ай бұрын
Huo ndio ukweli
@kwisa4899
@kwisa4899 2 ай бұрын
Watanganyika ni wajinga sana
@Sheba4651
@Sheba4651 2 ай бұрын
​@@kwisa4899Si wajinga ndugu, ni wajanja ila ule ujanja ujanja umezaa kasiriko, yaani Zanzibar tumetowa mwanamke anakutawaleni, sasa mna hasira za bure, ndio katiba mliandika wenyewe, mkaona Zanzibar mwisho wao umakamo tu. Na huku Zanzibar muweke kibara hata kwa mtutu wa bunduki, ujanja ujanja umewaumbua. Mtakua naye mama huko, sisi Zanzibar tutampa kura zooote, pamoja na ACT, tena atakaa miaka 10, alimaliza huu urithi wake😂😂
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 2 ай бұрын
Waambie bro hawajaenda shule hao, wanaotumia mitutu kwa mambo madogo mno!!
@slivestermathias9416
@slivestermathias9416 2 ай бұрын
Jamaa uko vizuli sana
@MiriamAziz-z5t
@MiriamAziz-z5t 2 ай бұрын
VIVA WAKILI MADELEKA....MZALENDO WA KWELI WA TAIFA LETU.
@phillipmasungwa7365
@phillipmasungwa7365 2 ай бұрын
SAFI SANA MADELEKA.
@RizwanAbdallah
@RizwanAbdallah 2 ай бұрын
Upo sahihi kaka
@elicktilia4430
@elicktilia4430 2 ай бұрын
Mungu akutangulie mr mwana sheria
@AshrafLema-n5r
@AshrafLema-n5r 2 ай бұрын
Madeleka ,we need to've people like you & others,to roll our lowfull desire,precisely to reach our goal!!
@abubakariramadhani1372
@abubakariramadhani1372 2 ай бұрын
Wakil msomi uko vizuri sana
@briankatani6770
@briankatani6770 2 ай бұрын
100%✓ uko sahihi
@estambuya3901
@estambuya3901 2 ай бұрын
Mungu awatangulie katika hili, polisi wavunja sheria ".
@MSOMBAAlon-gh3ps
@MSOMBAAlon-gh3ps 2 ай бұрын
Wachukuliwe hatua mara Moja liwe fundisho maana wanakurupuka sana nakujiona. Wapo juu ya Sheria. Tena washitakiwe umoja wa mataifa .wamezidi sana
@admaumsengi4230
@admaumsengi4230 2 ай бұрын
Wasitulazimishe kuendelea kuwaamini kuongoza hii nchi tumeichoka ccm ikae pembeni tufanye yetu . Peoples umesomeka wakili msomi
@CharlesMwakajinga-r5d
@CharlesMwakajinga-r5d 2 ай бұрын
Nikweli ajila wanapeana wenywe
@geofreychitamu366
@geofreychitamu366 2 ай бұрын
Ilo la mahakamani nafikiri litakuwa sawa,wapenda haki wataichangia hili.
@jumannehamadi2282
@jumannehamadi2282 2 ай бұрын
We jamaa huwa nakuelewa Sana namani mm ndio ngekuwa ww
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 2 ай бұрын
Chadema Ina vijana wengi wasomi sana ndio maana CCM inawanunuwa
@REMMYMATOVELOMASASI
@REMMYMATOVELOMASASI 2 ай бұрын
Safi sana madeleka afande mwenzangu
@AllyMabena
@AllyMabena 2 ай бұрын
Saf sana washtakiwe Hao polis walio walio ongoza ukamataji
@Uhuru1234
@Uhuru1234 2 ай бұрын
Hii ya kuwashitaki nime ipenda, na muone namna ili kesi kama hizi zisicheweshwe mahakaman
@GerardMdui
@GerardMdui 2 ай бұрын
Nlilkuwa nakusikia tu, kumbe upo vzr!!
@godsson5954
@godsson5954 2 ай бұрын
Genius
@TemuCalvinWilbard
@TemuCalvinWilbard 2 ай бұрын
Mheshimiwa nakuelewa sana napenda watu jasiri kama wewe muungane muwe 100 nchi hii itakombolewa
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 2 ай бұрын
Kwakuwa police wameshidwa kutenda haki kwa vya upinzani maana yake wao ni ccm hivyo basi kwenye uchaguzi patachimbika
@PeterMandata
@PeterMandata 2 ай бұрын
Madeleka,Tundulisu na mwabukusi mnatuelimisha sana watanzania ambao serikali hawataki hichokitu.
@noelbryson7840
@noelbryson7840 2 ай бұрын
YULE KAMANDA AJE HAPA ASIKILIZE WATU WANAOJITAMBUA..
@geofreychitamu366
@geofreychitamu366 2 ай бұрын
Hawzikuja kwa kuwa wanaokuja hapo ni wanaojitambua na wana matumizi mazuri ya akili.
@hassanjalikazi6754
@hassanjalikazi6754 2 ай бұрын
Madeleko bro wewe unaskili sana unajua mko wachache tanzani wewe kibatala mwambukuzi aaaa huwa mnanikosha sana mungu ata walinda ishaala
@MSOMBAAlon-gh3ps
@MSOMBAAlon-gh3ps 2 ай бұрын
Inaonyesha police ni makada wa chama wanafanya wanavyotaka ndio maana mwenezi wa chama Cha ccm aliposema tu wakawatoa wenye akili tumejua
@SinarahaNtaraha
@SinarahaNtaraha 2 ай бұрын
Kutokuijua sheria shida kubwa sana yaan madereka unaongea bila hofu kwa sababu ya kujua sheria
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 2 ай бұрын
Ndiyo maana alienda kusoma akaliacha Jeshi la police vilaza Kama Hawa wasio jielewa!
@ODENILWILA
@ODENILWILA 2 ай бұрын
Hawa polisi hivi wanajielewa kweli
@slivestermathias9416
@slivestermathias9416 2 ай бұрын
Wewe jamaa unahakili sana
@MajengoPo
@MajengoPo 2 ай бұрын
Pongezi Wakili Madeleka, wachukueni mahakamani mapolisi hao hawaijui haki, wao ni kuswaga tu kujipendekeza tu kuwa wanafanya kazi. Endelea Mh. MADELEKA
@KuzenzaSangija
@KuzenzaSangija 2 ай бұрын
Sahihi Tz hakuna haki na demokrasia uonevu umetawala kuliko hata Kwa mkoloni tunafanyiwa maigizo ya 4R Tena Kwa matumizi makubwa ya nguvu ya uvunjifu wa Sheria na polisi Kwa mihemko ya hofu na ujinga
@1961nungwi
@1961nungwi 2 ай бұрын
Jambo TV hebu tafuteni Waandishi wenye weledi, sio ilimradi wanajua kuongea
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 2 ай бұрын
Nenda wwe
@1961nungwi
@1961nungwi 2 ай бұрын
@@SmilingFlowerBouquet-hs2hv kwa kweli inabidi niende. Maana inachosha!!🥴 Habari ni bidhaa ya Ubongo.
@FridayMwassa
@FridayMwassa 2 ай бұрын
Wenye weledi ni kama nani
@DominicKihwele
@DominicKihwele 2 ай бұрын
Asante Wakili Msomi Madeleka: Waburuzeni Mahakamani ili liwe fundisho tupate Tz inanayo zingatia Utawala kwa mujibu wa Katiba na Sheria mbali mbali
@ShabaniOmaryy
@ShabaniOmaryy 2 ай бұрын
💯✊✊pa1
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 2 ай бұрын
Exactly.
@B23-i8p
@B23-i8p 2 ай бұрын
Mtu makini
@hybridaccounts
@hybridaccounts 2 ай бұрын
Tatizo ni D mbili kaka na IQ.
@Zaikadena
@Zaikadena 2 ай бұрын
Ukijua Sheria ni Raha sana jmn
@benjaminseraphin903
@benjaminseraphin903 2 ай бұрын
Huyu jamaa ana akili sana!god bless you 💯
@RahmaMwamwezi
@RahmaMwamwezi 2 ай бұрын
Nmeipenda hyoooooo
@MedardLutelemba
@MedardLutelemba 2 ай бұрын
Ndio maana police ni division 4 ya zero 0️⃣ hayanaga akili afu ni masikini watumwa kwenye nchi mishahara midogo yananyonywa haki zao na serikali badala wawe kitu kimoja na wananchi yanajipendekeza
@ibrahimmsula201
@ibrahimmsula201 2 ай бұрын
Big up
@mandajamaly4843
@mandajamaly4843 2 ай бұрын
Kuna watu mnajua mambo katiba na sheria mnazijua aiseee
@kamalabuberwa2001
@kamalabuberwa2001 2 ай бұрын
Peleka Awadhi mahakamani haraka sana
@EliasMwita-q3x
@EliasMwita-q3x 2 ай бұрын
True
@mlelwa
@mlelwa 2 ай бұрын
Duuuuh kumbe
@francissimwinga-gb2vd
@francissimwinga-gb2vd 2 ай бұрын
Kweli kabisa muharifu atachiwaje bila mahakama kuamua kweli police wapelekwe mahakamani
@InnocentCharles-hm3ff
@InnocentCharles-hm3ff 2 ай бұрын
Yan mambo ya kalee bado yanatesa watz hadi Leo...
@raphaelkorio2435
@raphaelkorio2435 2 ай бұрын
Asee dah
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 2 ай бұрын
Kabisa aisee, hii mijitu ni ya kushitaki
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 2 ай бұрын
Maelekezo
@isacktesha6659
@isacktesha6659 2 ай бұрын
Hii ndiyo tafsiri ya akili kubwa Sasa , mwanasheria msomi
@francissimwinga-gb2vd
@francissimwinga-gb2vd 2 ай бұрын
Kweli hii nchi ni nchi huru kweli hata wakoloni waliheshimu sheria
@yosephatMasanyiwa-oh1rl
@yosephatMasanyiwa-oh1rl 2 ай бұрын
Madeleka usiishie kuongea Peleka kabisa mahakamani tukaone utaalam wao wa kujieleza huko
@ChristianLimo-k8t
@ChristianLimo-k8t 2 ай бұрын
Nice
@CastoMasuta-e8g
@CastoMasuta-e8g 2 ай бұрын
👍
@altonkanjolonga2380
@altonkanjolonga2380 2 ай бұрын
KAKA MUNGU AKUTUNZE,UMEKUWA SAUTI KWA WASIO NA SAUTI
@yosephatMasanyiwa-oh1rl
@yosephatMasanyiwa-oh1rl 2 ай бұрын
Umetumia Neno zuri sana madeleka kusema ni matumizi mabaya ya akili. Haki ya Mungu Hilo neno linawatosha kabisa wajitafakari.
@RehemaMagoire
@RehemaMagoire 2 ай бұрын
Hahahaha
@TallTallmysha
@TallTallmysha 2 ай бұрын
Hhhhhhhhhhh safi sana dah kusoma raha sana aise,madeleka ni mtu na nusu
@fadhilikyandofadhilikyando5666
@fadhilikyandofadhilikyando5666 2 ай бұрын
sanaaaaaaa
@isayamwashibanda5819
@isayamwashibanda5819 2 ай бұрын
Uko sawa kamamanda bola wafutee kuliko kuacha kupambana na majambazi wanapambana na chademaa
@lindajohansen9220
@lindajohansen9220 2 ай бұрын
Tuko pamoja kaka Madeleka, kama mtahitaji solidarity ya wananchi tuambieni tutajitokeza tu. Wahaini wa kisiasa hawa waelewe kwamba wao hawana haki ya kuwa juu ya sheria. Pimbi hao
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 2 ай бұрын
Mungu atusaidie. Nahi ccm navibalakavyeka. Vya vilambalamba vipolis hivi tukiviletea. Bokoalamu. Watatu sivinatosho kabisha nasisi tukanunu bunduki tumalizane
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 2 ай бұрын
Kweli baba
@jacklinelyimo7407
@jacklinelyimo7407 2 ай бұрын
Wapelekeni haraka sana tunataka haki Tz na sio siasa za ubaguzi upande mmoja Polisi hawatakiwi kujihushisha na siasa wapo kusimamia haki na usalama wa raia basi
@paulmanda801
@paulmanda801 2 ай бұрын
Mungu nionyeshe njia nikutane na huyu mweshimiwa peter wakili au kama kuna namb zake naombeni ndugu wana fb
@paulmathias6328
@paulmathias6328 2 ай бұрын
Hawa watu jamaniiiiiii ni shida siwapendi mpaka bas
@rogersiddy
@rogersiddy 2 ай бұрын
Mtangazaji nawewe akili zako bhana yaan unasema Katibu mkuu wa Ccm amesema waachiwe mtu anakupa tatizo tatizo alafu analitatua uyo uyo unamuona mwema watanzania tuna akili timamu bhana
@EmmanuelMwankusye
@EmmanuelMwankusye 2 ай бұрын
Tuandamane tu
@manethmwiyanja2452
@manethmwiyanja2452 2 ай бұрын
Nyie ndio watu muhimu yaani mihimili ninawaunga mkono polisi wana mahovyohovyo sana msipo wadhibiti kisheria mmoja mmoja watatusumbua.
@georgempogomi7329
@georgempogomi7329 2 ай бұрын
Madereka nakuelewa Sana peleka mahakamani kabisa sisi wanyonge tunateseka mno mioyoni kuona uovu wa polisi kwa viongozi na vyama vya upinzani
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 2 ай бұрын
Kama itahitajika gharama tutasaidiana
@LilianMushi-ho8qf
@LilianMushi-ho8qf 2 ай бұрын
Peter naomba mawasiliano yako ninaomba ushauri/ msaada wako
@JekobuNgwara
@JekobuNgwara 2 ай бұрын
Nikweli kama wanatumika hawapolis wanaweza vuluga uchaguzi maana wanajipachika vyeo bilamagizo
@michaelmhina3613
@michaelmhina3613 2 ай бұрын
Najaribu kufikiri sana kuhusu elimu ya Awadh Juma Haji.
@JoelRichard-hj3bi
@JoelRichard-hj3bi 2 ай бұрын
Police wa Tanzania wamekua chanzo cha maovu nchini,sijui ni nani kawapa akili hizi za kijinga,Tanzania inakwenda pabaya.
@thadeusmateru1356
@thadeusmateru1356 2 ай бұрын
Fedheha kwa Taifa
@kisinza6077
@kisinza6077 2 ай бұрын
Duuh! Hii nchi kifanyike kitu gani?
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 2 ай бұрын
ASANTE MR PETER
@mzeebabumzee
@mzeebabumzee 2 ай бұрын
ndiyo watu ninao wa fatilia kama awa nipo lazi pesa yangu iishe kwaa jili ya bando ili nim sikilize wakili wangu madeleka mwabukusi pitakiba tala na mkuu wao lisu mungu awa linde sana na sana
@sammymdemeka7937
@sammymdemeka7937 2 ай бұрын
Maridhiano ni Drama aisee
LIVE; GODBLESS LEMA AANIKA MADUDU UANDIKISHAJI WAPIGA KURA
54:34
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 48 МЛН
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 9 МЛН
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 48 МЛН