SHEIKH KIPOZEO AWAVUNJA MBAVU-"WANANIITA MZEE wa MIZIGO-MSTAAFU KIKWETE KAKA wa TAIFA TULINDE AMANI"

  Рет қаралды 22,262

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 27
@globaltv_online
@globaltv_online 3 ай бұрын
MPIGIE DR.JJ.MWAKA SASA KUPITIA 0758 100 100 na 0785 100 100 UPATE MSAADA WA KITABIBU KWA GHARAMA NAFUU.
@MohammedAlomary-r6s
@MohammedAlomary-r6s 3 ай бұрын
Masha Allah.maneno mazuri ya busara .huyu Sheikh nampenda kwa mawaidha yake mazuri.
@Keyamachio
@Keyamachio 3 ай бұрын
Unity and peace is very fundamental globally and we should all embrace it regardless of our religion, status, ethnicity and colour. We should luv it ❤.
@MustapherSamson-s6l
@MustapherSamson-s6l 3 ай бұрын
SAHIHI SANA MZEE KIPOZEO AMANI NDO MSINGI WA KILA KITU, WANAOBWABWA KUHUSU AMANI TUWASAMEHE BURE, HAWAJIELEWI WANAENDE LIBYA WAKAJIFUNZE UVUNJIFU WA AMANI.
@clementhiddi1486
@clementhiddi1486 3 ай бұрын
JPM is a hero. The best president to lead this nation. RIP
@CharlesEdwardCvanoedward
@CharlesEdwardCvanoedward 3 ай бұрын
Amani na Upendo Tanzania 🇹🇿
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 3 ай бұрын
KABLA HAJATAMKA CHOCHOTE RAIA WASHAJIANDAA KUCHEKA😊
@kayalaonlinetv
@kayalaonlinetv 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂 kwel kk
@andrewkissava9184
@andrewkissava9184 3 ай бұрын
Ndo viongozi wa dini tulio nao hapo wanaotetea haki ya wananchi wanao uawa,wanao tekwa,wanao onewa hongera shekhe pia kwa kuwasifia viongozi lakini yupo MUNGU aliye hai juu ya taifa hili ,ninachojua waovu hawataendelea sana na uovu wao MUNGU atawqshughurikia hivi karibuni ooooo naujurikane kuwa upo MUNGU mtetezi wa taifa hili
@binseif2216
@binseif2216 3 ай бұрын
Kweli kaka Hao chadema wabaya sana wanaua ili kumpakazia mama tupo pa1
@CharlesEdwardCvanoedward
@CharlesEdwardCvanoedward 3 ай бұрын
Vita isikie kwa mwenzio usiombe ije kwako
@josephbundala1475
@josephbundala1475 3 ай бұрын
Ommy, unashauri wafanye nini? Waongelee jambo la kupigana na kuuana zaidi? Siyo tuliopo bado kjpendana na kuondoa mauaji yanayotokea? Busara ni ya muhimu katika hali hii ya mauaji.
@malishainvestment-i2i
@malishainvestment-i2i 3 ай бұрын
Makofi na uislam Wapi na wapi!
@JOSEPHPETERMACHOTA
@JOSEPHPETERMACHOTA 3 ай бұрын
Hawa mashehe badala wawase serikali kusimamia yanayotakiwa na wananchi wanaenda kutishana
@faridfrefre35
@faridfrefre35 3 ай бұрын
Ni haraam kusema maovu ya serikali hadharan Njia ni kuwaandikia barua au kuwafata viongoz faragha
@MedardMushobozi
@MedardMushobozi 3 ай бұрын
Kwa hiyo JPM hakulunda Amani?
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 3 ай бұрын
Punguza makasiriko!
@Al.habeebAl.habaaib
@Al.habeebAl.habaaib 3 ай бұрын
KIPOZEO SIKU HUNA MAWAIDHA ZAIDI YA UCHALE TU
@thamratysuleiman3053
@thamratysuleiman3053 3 ай бұрын
Anaonekana kama mwana siasa kwa sasa
@Al.habeebAl.habaaib
@Al.habeebAl.habaaib 3 ай бұрын
@@thamratysuleiman3053 Anaonekana mbelr ya nani? mbele yenu nyinyini wenye chuki na waislam au mbele ya ALLAAH??
@ShabanMohamed-e9l
@ShabanMohamed-e9l 3 ай бұрын
Endruu wewe Ina one kana sio m tz Ina bidi tukuchunguze maana coment zako zote za hivyo hovyo
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 3 ай бұрын
SHAME ON YOU VIONGOZI WA DINI MMEWASAHAU MAALBINO WANAMALIZWA NA MAPALOKO NCHINI LAKINI MKISIKIA WANASIASA WANATEKANA MNAANZA KUBWEKA 😢NA MAPALOKO WAKO KILA KONA
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 ай бұрын
Kipozeo ni shekh au mchekeshaji alisomea wapi huo ushekh au skuhiz i kila mzungumzaji avae kanzu uitwa shekh awe ajasoma madamu uzoefu wa kuongea ataitwa shekh
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 3 ай бұрын
Tulia huna unalolijua.
@athumanikhamisi3377
@athumanikhamisi3377 3 ай бұрын
Kwahiyo sasa kinachokuumiza zaid ni nin?mi sijakuelewa.
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 ай бұрын
@@athumanikhamisi3377 huyo comedy tuuh kama shekh kasomea wapi huwo ushekh Hawa ndo wanaharibu uislamu kila mtu adai shekh ulisomeea wapi huo ushekh kina ductur sule kapewa ushekh kwa kuadisia kisa Cha nyuki saivi Siri imefichuka kumbe ni liganga kuhani anashirikiana na majini
@alyumaraos
@alyumaraos 3 ай бұрын
​@@AbdulIssa-o7eumezaliwa juz ndugu humjuw sheikh kipozeo vizuri waulize wentekujuwa ikiwa ww hujuw
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,6 МЛН
UKIANGALIA MIZIGO MWEZI WA RAMADHANI FUNGA YAKO INAENDA BURE
16:26
Wasafi Media
Рет қаралды 18 М.
Mawaidha muhimu sana kwa kila mtu a must watch by Sheikh kipozeo
17:59
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 101 М.
IBILISI NI MSHENZI TU //SHEIKH KIPOZEO
19:11
arkas online tv
Рет қаралды 94 М.