Thank you so much our Sheiks and also the Christian brothers and sisters. They, the Christians, are humble as Quran states. The Christian brother appears so close to Islam because of his passion. He will make a Good Muslim, God Willing. These sheikhs are working hard to save their brothers from the hell fire. They love their Christian brothers and sisters. They have good intentions, so please listen to them with an open heart. I am from Canada and your lectures strike lessons fairly deep into the heart. Your examples are sweet, and make one think of our short and GHAFLA { deceptive} lives on earth. Bless you my brother. Your knowledge amazes us! May our Christian brothers search for their Creator and accept the One who created them. It is the same God of Christians and Muslims and all humans and everything created. Let us not fight for the sake of holding on to our bias. The Truth stands alone, differences are many. Regards from Ray in Canada Reply
@mussamohamedmohamed96294 жыл бұрын
Sheikh Ramadhan Gakuo,,,,ALLAH AKUONGEZEE UMRI UZIDI KUFUNDISHA AU KUFIKISHA UJUMBE WA ALLAH,,,
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Allahuma ameen. Ni Bin Kaguo
@naimaabuualii5783 жыл бұрын
Amini
@SalmanMughal-lq5lt7 ай бұрын
Aamin
@jasminjuma63904 жыл бұрын
Alhmdulilah kwa kuzaliwa muislam shukran yarabi kwa neema. Hii ya uislam
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Alhamdulillah
@maryammagenyo50874 жыл бұрын
Wa crhisto mumelewa kabisa
@Awatee3 жыл бұрын
Alhamdulilah mashallah ukhty Jasmin Allah atunusuru na ukafiri na atufishe tukiwa waislam Amiin
@jasminjuma63903 жыл бұрын
@@Awatee Allahumma Amiin
@Awatee3 жыл бұрын
@@jasminjuma6390 Thumma Amiin ya ukhty
@jaffarumar52584 жыл бұрын
Masha’Allah Mafundisho mazuri
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Jazak Allahu kheiran
@jafarykahera17274 жыл бұрын
Shegh mnafanya kazi kubwa allah atawalipa kwa kuwafumbua macho wakrsto wamefungwa na wachungaji
@bnussrahlimsantah37303 жыл бұрын
Sana tu wallah
@kenyan97392 жыл бұрын
😂😂😂Christian forever
@wazirikhamisi48284 жыл бұрын
بارك الله فيك وجزاك الله خير يا أخي الكريم الله يحفظك
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
اللهم آمين
@abdur-rahmanmuhammad28984 жыл бұрын
As-salaam Alaykum warahmatullah wabarakatuh Masha Allah kwa kazi nzuri mnayoifanya Allah awalipe khayr nyingi na awalinde na kila Shari mbaya
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Allahumma Ameen
@mohammedt.v49304 жыл бұрын
Ameen
@mohammedt.v49304 жыл бұрын
امين
@mafhalimahlalbeyt54464 жыл бұрын
In toilet do poop and pee clean your skin with water not with paper because,s,tosmear dirt more people toucht paper so you can also get corona virus from x why not brush teeth with paper?
@Awatee3 жыл бұрын
Waleykum salam warahmatu llah wabarakatuh
@salehejuma52903 жыл бұрын
Allah akuongezee ufaham na uelewa ya mambo ya mwenyzi mungu
@fridahmulongo94843 жыл бұрын
Ma shaa Allah sheikh good job Allah akulipe
@loner_wolf Жыл бұрын
Yesu anasema yupo m/mungu, abiria wanasema yeye mwenyewe yesu ndio mungu..... Wazungu wametuweza sana waswahili.....
@SalmanMughal-lq5lt7 ай бұрын
SubhanaAllah.
@salamahamadisudi19124 жыл бұрын
Yesu ni Nabii wakristo wacheni ushindani
@nasseralhabsi14833 жыл бұрын
Ma sha Allah sheikh, namwomba Allah akujaalie kila la kheri ktk. kazi hii ya daawah. Hakika unajua kuelimisha watu ili wamjue Allah wa kweli.
@JumbNovis5 ай бұрын
Allah Akupe kila la kheri shekhe wetu, mwalimu wetu... Asante sana wakiristo wa Kenya kwa kweli mmeonesha kuwa ni watu wa upendo na mnajali malumbano ya kiimani.. Allah atuongoze njia iliyonyooka
@Yu-jr9uf Жыл бұрын
Alhamdulillah najiskia raha sana kuona wasokua waislamu wakikiri kwamba Yesu sio Mungu... biggest step ahead to monoitheism religion, Islam
@sgfdhaikuhusu60864 жыл бұрын
Mashallah shekhe una moyo mungu akuzidishieee
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Allahuma ameen
@iddyally44394 жыл бұрын
Allah awajalie sana mashekh hao vijana wakislimu watakua vijana wazuri sana kwenye uislamu
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Allah awaongoze
@telaamtauta22272 жыл бұрын
Hatamimi namshukuru mungu kwakutoka huko kwamaana hawana hata muelekeo mungu akulipe sheikh ramadhani namwexiyo
@rashidkipingu73584 жыл бұрын
Wallah ustadh nimekupenda kwaajili ya ALLAH
@hashimkassim2823 жыл бұрын
MashAllah Allah akuzidishie ilmu
@salmaalnaamani85044 жыл бұрын
Mungu akupe afya kwa kazi yako Taqbir Allah akbar . Mungu awasameh na awaongoze katika njia ya sirat mustaqim
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Ameen, jazak Allahu
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Ameen
@maryanomar1194 жыл бұрын
Amin
@SalmanMughal-lq5lt7 ай бұрын
AaminaYaarabSoote.
@radhiamohaa3723 Жыл бұрын
Shekh ramadhan nimekubali sana, Allah ndio kila kila
@حنةمنغا4 жыл бұрын
Masha Allah tabaraka Allah Rahman Yaa Sheikh Masha Allah,straight to the point,kuelezea kila kitu Masha Allah,may Allah reward you and your group for the beautiful work of dawwah you have dedicated yourself into. Perfect👌
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Alhamdulillah
@munirashughuli72244 жыл бұрын
Allahu Akbr
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Allahu akbar kabira wa alhamdulillahi kathiira
@suheilahsuheilah49683 жыл бұрын
Mashaallah mola akubariq ustadh
@rahmaabid4474 жыл бұрын
Waaa eti tishuuu...😊😊
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Naaam kufuta badala ya kuosha
@Bosskubwah4501 Жыл бұрын
Adam! YESU ALIENDA SHULE GANI tatizo hatusomi vizuri tukaelewa
@Bosskubwah4501 Жыл бұрын
Mashaallah kazi nzuri nasi tunapata elimu kubwa
@maryamgalu55233 жыл бұрын
Masha Allah good job
@jamuhuraly12382 жыл бұрын
MASHAALHA Mungu akuifazi maisha mema, Wakristo wanapingana wenyewe ,
@thomasoloka35502 жыл бұрын
Sheikh Ramadhana Allah awabarik na awaogeze umrii duniani muadele na dawah mtaani walai naskia alm zaindi ndani ya streit pant ndawah inshallah mpaka mtakapo fuguliwa na Allah nget ya firdhaus
@jaliaibrahim28324 жыл бұрын
Asante ustadhi
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Karibu sana
@jasminjuma63904 жыл бұрын
Mashaa allah
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Alhamdulillah
@shehaothman29483 жыл бұрын
Kijana Ramadhan, ana Subra ya hali ya juu, MaashAllwah. Alhamdulillah
Asalam alaikum, shekh kazi unayoifanya ni kubwa mno, kuoambana na watu wote hao bila kukasirika wala kuchanganyikiwa na memory yako bado iko sawa. ALLAH akupe afya na ufahamu zaidi ili uweze kuwafungua macho waliolala
Tumsifu YESU mtumishi,huyo shehe atupe andiko linalomtaja mohamadi kuwa yeye ndiye Roho mtakatifu,,, Yesu katikà john 14:25-26...jina la Roho mtakatifu ni Yesu mwenye... mathew28:20 Yesu atakuwa pamoja Nasi Hadi mwisho wa dhahari(Roho mtakatifu ndiye Yesu, ndiye MUNGU wa kweli,,,1 john5:20... Romans 9:5.Amina mtumishi barikiwa Sana.
@jumanjenga76823 жыл бұрын
Good job. Masha Allah. Watching from Boston USA.
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Shukran jazeelan, may Allah protect you and your family
@munaisa58502 жыл бұрын
MshaAllah Mungu akuhifadhi duniyani na agira sheg wetu Amiin
@achanifumos10933 жыл бұрын
Allah akupe na akuzidishie subra...
@hamidaalhabsi85683 жыл бұрын
Maashallah maashallah nimependa sana hichi kipindi alhamdulilah rabillamin niko Musalam 🙏🙏🙏🙏
@FatimaFatima-wk1jk2 жыл бұрын
Pole na kazi shekhe na hongera Kwa uthubutu Allah akulipe kheri INSHA'ALLAH 🤲
@StraightPathDawah2 жыл бұрын
Allahuma ameen
@mariarin64282 жыл бұрын
Hapo mwanzo kulikuako na neno, na neno lilikuwako kwa Mungu.
@aybkham57954 жыл бұрын
Apo safi unaelewesha vema kwa amani
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Ndivyo inavyotakiwa
@rilkabuya65194 жыл бұрын
Mashaallah tabarak allah, Takbiriiiiiiiiii, Allah Akbari
@esthermrambamramba15704 жыл бұрын
Hapa kazi ipo
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Tena kubwa
@isaacotieno7900 Жыл бұрын
ameshindwa kujibu
@jacobponga15403 жыл бұрын
Masha Alllah, Allah Akbar Uislamu ni dini nzuri na ya haki kwa watu wote! 💜
@divinahdivinahw5134 жыл бұрын
Maria alimzaamtoto JinaEmmanueli inamanisha munguyukonasi
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Wapi alimwita mwanawe Emanueli?
@jeromemathias22924 жыл бұрын
Wakristo kweli uwa Awana muda wa kujadili Mambo ya mungu kuweni makini kupotosha watu wa mungu wasije angalia kwa kukosa mahadili
@hassanfondo61574 жыл бұрын
Mashaallah
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Alhamdulillah
@hamadkombo65134 жыл бұрын
Allah awazidishie nguvu na Imani kwa kazi ya kujitolea kwa ajili ya Allah na kuelimisha waliokosa elimu ya ukweli kwa ajili ya kumjua Mungu wa kweli
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Allahuma ameen
@musanike30793 жыл бұрын
😁😁 SubnALLAH... May ALLAH guide you Sheikh Ramadan
@myoutubecom-gg7sb4 жыл бұрын
MashaAllah
@salehmalale97942 жыл бұрын
Mashallah...sheikh Rudi huko
@fauziaabdullah37333 жыл бұрын
mungu atawaongoza wajue njia ya sawa
@lavinnochii7204 жыл бұрын
Hawa wakristo wanapewa ukweli waziwazi kutoka kwenye bibilia lakini bado hawataki kukubali ukweli.ubarikiwe ustadh Kwa kazi nzuri unaoifanya🙏.uko pekee wakristo wako wengi lakini bado ulitokea kuwa nambari moja MASHALLAH
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Wabishi sana Mwenyezi Mungu awaongoze
@stivutitus9633 жыл бұрын
falaww ujijui dinigan yamashetan
@perischari36302 жыл бұрын
Yesu Kristo ni mwana Mungu.Someni john 3:16
@smadon56384 ай бұрын
Mara mwana wa Mungu Mara Mungu,nyie Wakristo 😂😂
@amsodewiz4901 Жыл бұрын
❤❤❤ Muhammad
@ABUUALLYBARWANI2 ай бұрын
Wallahi kuwa muislamu ni neema kubwa sana ,maana hawa wakristo kwa kweli wanatia huruma hata hawaeleweki mara yesu mungu mara yesu mwana wa mungu mara yesu sijui ni roho ya mungu hata hawaeleweki kabisaa 😢
@111dudi3 жыл бұрын
Baraka Llahu fiyk Ustaadh Ramadhan
@StraightPathDawah3 жыл бұрын
Shukran jazeelan
@aliissa-je6gt7 ай бұрын
wao kwa wao hawaelewani inna lilahi wainna ilayhi rajiuwn😆😄😁
@mwajumamwajuma37564 жыл бұрын
Mashaallah wisilam ustadh wakiristo wanakufuru sana mungu awape mogozo hawaelewi
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Ameen
@saumuseif91894 жыл бұрын
Kazinzuri kwakweli
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Shukran jazeelan
@telaamtauta22272 жыл бұрын
Uislaam nirahaa sana
@jamilshisia59294 жыл бұрын
MashaAllah hapo umewapa elimu ya kutosha
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Wabishi sana lakini
@husnaodhiambo68484 жыл бұрын
Mashallah Shukran Jazylan kwa part 2
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Ameen
@mamoulovecherry51213 жыл бұрын
MASHAALLAH tabarakaAllah Allahu Akbaru 🤗🤗🤗🤗🤗🤗
@hassanambarakmbarak87594 жыл бұрын
Shekh safisana mashallah
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Shukran jazeelan
@ahmednassor68873 жыл бұрын
@@StraightPathDawah pole cana ustazi mungu atakulipa kila la kheri vijana wamekushika na wala hawaelewi
@aaibrahim44874 жыл бұрын
Wakristo hua hawaelewi maandika.... Allah awaelekeze wakristo wote INSHAALLAH
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Ameen
@wazirikhamisi48284 жыл бұрын
Aamiyni
@mwalimupatrick43233 жыл бұрын
Wakristo ndo walimu wenu
@ibrahimjuma103 жыл бұрын
Masha Allah munafanya kaz mzur Allah awalipe malipo mema
@telaamtauta22272 жыл бұрын
Wallah hao watu watakupotezea mudatu hawaeleweki
@j.bjacobbasubi21874 жыл бұрын
Minaona anatuma mkewe kwa wa kristo kwasababu anajuwa dini yawa uwaji Sana sana kilamutu tuninabii tu ka anamuamini kristo yesu kamavili muhamed alivio mwamine yesu nandiya kwaama akaomba angozwe kwa jia ya walio nihimishwa
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Hapa kazi ipo
@omargbabaomar20044 жыл бұрын
Masha Allah sheikh nakupata kazi yako mzuri nikiwa Qatar
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Shukran sana ndugu yangu tukumbukane kwenye dua Allah atufanyie wepesi
@moodyhassany89284 жыл бұрын
Shekh yesu ameshakufa teyari zamani tu
@wazirikhamisi48284 жыл бұрын
Hapana yesu ajafa ndg
@ayubumzaire10444 жыл бұрын
@@wazirikhamisi4828 Mbona kubishana kuhusu YESU kufa, BIBLIA ktk Injili zote tatu zinaeleza ya kwamba YESU alikufa na baada ya siku 3 alifufuka akapaa mbinguni, Na ktk hili hakuna shaka ndio ukweli wenyewe
@achouraachoura57632 жыл бұрын
Mungu awaongze ktk njia ya Haki🤲
@juniorYB Жыл бұрын
Only halla is great
@icetruth4 жыл бұрын
Masha Allah,,😁
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Allahu akbar
@rachelevarist704 жыл бұрын
Jazakallah khaira
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Shukran sana
@gshdhvdhf82834 жыл бұрын
Yaani mtu mmoja tu anafundisha watu zaidi ya kumi wanauliza maswali Mia anawajibu anawauliza swali moja hawanajibu wanachanganyikiwa
Wakristo awanacakufundisha akipinga anakuta kajiyega mwenyewe uyo ni roho a swadiki al amini mikweli muaminifu mutume MUHAMADI S.A.W
@bibleknowledge-b1y5 ай бұрын
Yohana 3:14-15 [14]Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa; [15]ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika yeye. Yesu aliteseka, kufa na kufufuka kwa ajili ya dhambi zetu.. Bila hivyo hakuna msamaha... Wakolosai 1:14 [14]ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi;
@fatumamwalimu57654 жыл бұрын
Huyo mwanamke jina tu ni shida! Mashekh wetu Allah awatangulie kwa kila hatua na awape humri mrefu pamoja na afya njema Aamin thuma Aamin
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Ameen
@Est1434-e7l2 жыл бұрын
Don't force siyo roho mtakatifu wakati siyo Imani yako. That is Holy spirit and no body else
@siamabakwe42744 жыл бұрын
Eheeeeeee good good for part 2 asante kabisa
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Thanks
@God-son1 Жыл бұрын
Njia ni yesu
@pungopungo4113 жыл бұрын
Hao sio wakristo yesu ukikutana na mkristo wa kweli hapatatosha hapo
@mwaserarashid54512 жыл бұрын
Huyo mwanamke anamasihara sana hata ana mana
@duchillahomaromar96742 жыл бұрын
du malim uko vizur sana
@yusufmwangichannel66924 жыл бұрын
Masha Allah, kazi nzuri, Allah akulipe kheir, next time urudi hapo ili mjadili kuhusu kifo cha yesu
@StraightPathDawah4 жыл бұрын
Inshallah mpango huo upo
@Ali-nl2du2 жыл бұрын
Kweli, shikio la kufa halisikii dawa. Allah akupeni subra, hii kazi ngumu lakini malipo yake adhimu.
@pungopungo4112 жыл бұрын
Kuna wakrito jina .mkristo anaemjua Yesu vizuri hawezi kusimama hapo. Kwa mapopo
@AbdulmajidHyder4 жыл бұрын
Ma Sha Allah...... tuko pamoja nawapata nikiwa Doha Qatar 🇶🇦