MKRISTO ADAI KUWA HATA WAISLAMU NI MIUNGU KAMA WAO !!

  Рет қаралды 5,266

Straight Path Dawah

Straight Path Dawah

Күн бұрын

Пікірлер
@AdamShumbu
@AdamShumbu 7 күн бұрын
From Zanzibar Allah awape subra na awalipe malipo mema. Aamina
@salimiddi7583
@salimiddi7583 8 күн бұрын
Asalaam alaykum waratulahyh wabarakatuh ustadh kuria
@Noorein-ws8wk
@Noorein-ws8wk 6 күн бұрын
Subhana Allah Mmungu awaoneshe haki wakristo na wakiona waifuate... aamiin
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o 5 күн бұрын
Bila Yesu mbinguni hakwendeki.Yohana 14:6. Quran sura 19:71
@mariamhakim1463
@mariamhakim1463 4 күн бұрын
❤❤na wapenda tokanTz Mungu awape maisha mema yenye baraka tele nakheri kwa kila jambo❤
@salmaminja7714
@salmaminja7714 Күн бұрын
Allahu Akbar. Uctadh hakika mnapambana na watu ambao uelewa wao ni mdgo snaa wanaitaji somo kubwa na subra Allah awape mema ktk dunia na akhera kwn dini yke tukufu mnaitendea haki kuifikisha kwa wasio ijua. Hongeren sana. Allahumma Amiin Wa-Iyyaka
@Muhammed-km3er
@Muhammed-km3er 8 күн бұрын
Nakukubal sn shekh Ramadhan from Zanzibar
@Khalifaathumani-cy5om
@Khalifaathumani-cy5om 6 күн бұрын
Mashallah Tabaraqallah
@allymkumba70
@allymkumba70 8 күн бұрын
Duh mungu atuongoze kwenye njia ilionyoka kweli
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o 5 күн бұрын
Yohana 14:6
@salimiddi7583
@salimiddi7583 8 күн бұрын
Jamani wachristo mlipotelea wpi nashindwa hta mm ni mungu inna Lillah wa inna lallaih Rajiun
@mwanajaa-v5x
@mwanajaa-v5x 8 күн бұрын
SUBHANA ALLAH ametakasika MwenyeziMungu, hafanani na viumbe vyake
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o 5 күн бұрын
mbona Allah ana mguu? Sura 50:30 na hadith sahih Bukhari 4848?
@guyogalora-gl2lu
@guyogalora-gl2lu 8 күн бұрын
Masha Allah.. Barak Allahu feek my brother ramadha kuria
@Fumokale
@Fumokale 7 күн бұрын
Ramadhan kuria bin kaguo na shaikh khalifa nawapenda kwa ajli ya ALLAH s.w❤
@guyogalora-gl2lu
@guyogalora-gl2lu 8 күн бұрын
Masha Allah.. Barak Allahu feek sheikh ramadha kuria
@iddyjuma8036
@iddyjuma8036 4 күн бұрын
Allah amfanyie wepesi katika kaz ya kumtangaza Allah
@malikdodo5190
@malikdodo5190 7 күн бұрын
Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh
@loner_wolf
@loner_wolf 7 күн бұрын
Wakristo bado hawajui uweza wa mungu kikamilifu . Sasa mungu achoke apumzike kweli jmn 😅😅😅 Pumbavu sana hiki chuma chenye shirt white .
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o 5 күн бұрын
Ndio nyinyi mnasema Allah hawezi kua na mtoto Kwa sababu hana bibi.
@jarajara7859
@jarajara7859 5 күн бұрын
Mungu mmoja bt mitihni tu ya dunia
@AmadeSalimoSalimo-gw8ij
@AmadeSalimoSalimo-gw8ij 7 күн бұрын
Mashaalah🎉🎉🎉
@firdausjabir1436
@firdausjabir1436 8 күн бұрын
Assalamu alaikum
@adanabdi5249
@adanabdi5249 8 күн бұрын
Masha Allah.
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 8 күн бұрын
Mwenyezi Mungu si mtu alale achoke ale n aende choo hana udhaifu wowote.mfikirie sana mnayoyasema.
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o 5 күн бұрын
Mungu anauwezo wote....anao uwezo hata kua mwanadamu.Hilo halimshindi Mungu wetu
@MohamedHozi-p1u
@MohamedHozi-p1u 4 күн бұрын
​@@NathanielNathan-m4oawe mwanadamu apate faida gani..wakati mwanadamu n viumbe vyake wwe uko na ucngzi
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o 4 күн бұрын
@@MohamedHozi-p1u Kwani Allah wenu Kuna mambo mengine hawezi fanya?
@MohamedMeja
@MohamedMeja 8 күн бұрын
Mashaallah
@iddyjuma8036
@iddyjuma8036 4 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@AliAme-p2r
@AliAme-p2r 6 күн бұрын
Innaddina indallah Islam hakika dini ya kweli mbele ya Allah ni uislam
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o 5 күн бұрын
Enock, Elijah wako mbinguni.Je dini yao ilikua ni gani?
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 5 күн бұрын
💖
@MohamedHozi-p1u
@MohamedHozi-p1u 4 күн бұрын
Polepole tu mwisho mtaelewa tu ndugu wakristo
@Ozihamza
@Ozihamza 7 күн бұрын
Khalif anasauti anaweza kuwa mtangazaji mzuri sana wa TV
@SmilingDreamCatcher-ui6fo
@SmilingDreamCatcher-ui6fo 8 күн бұрын
Assalam aleykum
@suleimankipyego5143
@suleimankipyego5143 3 күн бұрын
Cheki huyu kuku maji😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅eti mtoto wa nyoka ni nyoka bure kabisa😅😅😅😅😅😅😅
@Kairanuh-j8p
@Kairanuh-j8p 8 күн бұрын
❤❤❤
@THEBADBOYTZ
@THEBADBOYTZ 8 күн бұрын
Assalamualaikum
@brightzone.
@brightzone. 8 күн бұрын
Anahoji Laymans - Anajiona anajua.
@HisMajesty64
@HisMajesty64 8 күн бұрын
Sio kujiona, ni anajua tu. Wewe unaejua pia unakaribishwa uhudhurie uelimishwe. Anaejua anajua tu.
@GloriaNdeleva
@GloriaNdeleva 8 күн бұрын
❤❤🎉 thanks
@brightzone.
@brightzone. 8 күн бұрын
@@HisMajesty64 Sasa anakutana na hao watu hawajui hata wanachokizungumza - Hakuna mkristo anayejua Dini yake vizuri akaongea hicho alichokiongea. Niko hapa nielimishe tuone..
@AhmedZahor
@AhmedZahor 8 күн бұрын
​@@brightzone.Wewe unaejua Mungu wako anaitwa nani?
@brightzone.
@brightzone. 8 күн бұрын
@ Mungu ni mmjo brother. Kutoka 3:14 Mimi niko ambaye Niko. Simple sana.
@EvansKasha-wn8bp
@EvansKasha-wn8bp 3 күн бұрын
Uisilamu n usanii tu
@SoosanOman
@SoosanOman 5 күн бұрын
Waislamu majini tu 😂😂😂 Na chuki
@WamboAlex
@WamboAlex 8 күн бұрын
Mungu n mmoja na sijui huwa mnauliza wa kristo nini
@suleimankassim7523
@suleimankassim7523 7 күн бұрын
Kwa waislam Mungu ni mmoja ila kwa wakristo Mungu ni watatu
@WamboAlex
@WamboAlex 6 күн бұрын
@suleimankassim7523 nyinyi ndio mnajua hivo but sisi wakristo mungu n mmoja
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 5 күн бұрын
​@@WamboAlexmungu ni yupi Sasa? Yesu au baba yake? Au roho mtakatifu?
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o 5 күн бұрын
​@@Catherine-mh8swWewe uko na mwili,nafsi na roho.Je wewe ni watatu au ni mtu mmoja?
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 5 күн бұрын
@NathanielNathan-m4o jibu swali kwanza
@Khalifaathumani-cy5om
@Khalifaathumani-cy5om 6 күн бұрын
Wachungaji wa kikiristo wamepoteza watu wengi sana.
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o 5 күн бұрын
Stage ya kwanza ya waislam.sura 19:71
WAKRISTO WATOFAUTIANA KIDOGO JUU YA AINA ZA BIBLIA.
43:22
Straight Path Dawah
Рет қаралды 4,7 М.
KRISMASI NI KAZI KWISHA!! WAKRISTO WENGI WAMEELEWA KUWA HAIMO KWENYE VITABU
1:33:12
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
UTAPELI KWA JINA LA SADAKA
44:08
Straight Path Dawah
Рет қаралды 6 М.
MZEE OLE KARASI AELEZEA HISTORIA YA WAMAASAI KWENYE DAWAH MASHINANI
1:00:08
Straight Path Dawah
Рет қаралды 4,5 М.
NDACHA AKUBALI KUSOMA MADRASSA
1:00:22
Straight Path Dawah
Рет қаралды 33 М.
WAKRISTO WAJITOKEZA KUONA QURAN KWA MARA YA KWANZA
1:41:06
Straight Path Dawah
Рет қаралды 27 М.
WAKRISTO WA MADHEHEBU TOFAUTI WAHITILAFIANA JUU YA BIBLIA
57:21
Straight Path Dawah
Рет қаралды 20 М.
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН