WAKULIMA KULIPA KODI MAZAO KWA EFD, Mbunge Amvaa Mwigulu Nchemba Atoa Ushahidi

  Рет қаралды 82,739

BM TV TANZANIA

BM TV TANZANIA

Ай бұрын

#BmtvTanzania #Bmtv
Tembelea
bmtvtanzania.com/
INSTAGRAM
/ bmtvtanzania
FACEBOOK
/ bmtvtanzania
TWITTER
/ bmtvtanzania1

Пікірлер: 388
@listamaswaga5289
@listamaswaga5289 Ай бұрын
Mwigulu hutufai watanzania
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA Ай бұрын
Umejuaje? WAKTI Mwingine NAJIULIZA hivi Mtanzania akipata uwaziri ANALISHWA SUMU GANI?? Hivi kweli watu wanajua matumizi ya EFD NA JE HIZO EFD wanazifahamu kweli ? MUNGU TUSAIDIE
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 Ай бұрын
Huyo Jamaaa ni mjinga ndio maana magufuli alimtumbua huyo hana faida yeyote
@user-cw2nj4io3v
@user-cw2nj4io3v Ай бұрын
Mbunge hongera sana, Mwigulu aondoke ktk hiyo wizara, hafai kabisa!
@edgaredward3490
@edgaredward3490 Ай бұрын
Huyu jamaa cjui kapata vipi wizara nyeti na mama kwenye Inchi
@hawaally2308
@hawaally2308 29 күн бұрын
Wao mbona wanalipwa zaidi ya 10 m hata Kodi hawalipi lakini wanabana watumishi na wakulima wadg kulipa Kodi.
@afandechanel1507
@afandechanel1507 Ай бұрын
Huyu Migulu hafai hata kua mkuu wakata maana huongozi hajui
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 Ай бұрын
Wanasahau walisomeshwa kwa pesa za walipa kodi tena watoto masikini leo umefika hapo juu unasahau kumtetea mnyonge hii laana haitawaacha salama shida ingine ni kwamba Tanzania haijawahi kuwa na chama kingine madarakani zaidi ya sisiemu
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv Ай бұрын
Kwani hakuna mtu mwingine anae weza kuwa waziri wa fedha , siaapewe mtu mwingine,
@Anithawilielemi-uh3ww
@Anithawilielemi-uh3ww Ай бұрын
Mwigulu ajiandae kuwapa wakulima mvua pia,ni mvivu wa kifikiri,
@catherinemzurikwao3265
@catherinemzurikwao3265 Ай бұрын
Sijawahi kumpenda wala kumwelewa Mwigulu. Hafai, hafai, hafai, hafai tena
@hidayaismail-fk1js
@hidayaismail-fk1js Ай бұрын
@@catherinemzurikwao3265 kabsa yaan
@rashidkihunga2938
@rashidkihunga2938 Ай бұрын
mwigulu hatufai wakulima
@bakarikaoneka1080
@bakarikaoneka1080 Ай бұрын
Uwezekano wa kupiga hatua kwenye kilimo ni mdogo sana sana.
@silassaitoti7689
@silassaitoti7689 Ай бұрын
Sio sawa kabisa mkulima Ndio analisha Taifa
@simasima8084
@simasima8084 Ай бұрын
Hv mwigulu ww ni mtanzania kweli mbna huna huruma we mzee nitaomba dua zte utoke kwenye hzo wzara kbsa 😢😢
@Mpakauseme
@Mpakauseme 29 күн бұрын
kwasababu raia bado ninyi ni wajinga na waoga hapo na bado
@munuoisaack418
@munuoisaack418 Ай бұрын
Hakuna utumwa kama uwezo mdogo wa kufikiri,,,mlisema gas ni majibu ya Nch leo.mnakuja kubana wakulima WOI hakuna kitu hapo kwa huyo kiongozi
@user-jc8vt7ct9t
@user-jc8vt7ct9t Ай бұрын
Huyu jamaa ni zero kabisa mwigulu hufai kabisa
@michaelmagwaza-bc6mk
@michaelmagwaza-bc6mk Ай бұрын
Hecco sana Mbunge makini Muelewa Mwenye hofu ya Mungu na Mtetezi wa Wanambozi.
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 Ай бұрын
Matajiri hawallipi kodi kodi wanayolipa chache
@johnparkr
@johnparkr 21 күн бұрын
Mawaziri wote kulipa Kodi kwenye mishahara zao, seating allowance na manufaa zingine wanazozipata..........
@calvinloveambroce842
@calvinloveambroce842 26 күн бұрын
Mwigulu ni sawa na Israeli mtoa roho afai kabisa kuwa waziri
@ukuvukiland2387
@ukuvukiland2387 Ай бұрын
Huwezi kukusanya ushuru kwa maskini wanaojitafuta wakati kuna matajiri mnakula nao........
@shabaniramadhani8026
@shabaniramadhani8026 Ай бұрын
Kwani nini huyu Mwigulu mama samia usimtoe. Unamng'ang'ania nini?
@user-ek7nu1qc8g
@user-ek7nu1qc8g 29 күн бұрын
@@shabaniramadhani8026 anatakiwa amchomoe huyu atamchafua mama
@yapukahassan
@yapukahassan Ай бұрын
BM TV nashukuru kwa kutoa maelekezo mazuri kabla ya kukomenti . Mmi nilitaka ni m2kane waziri wa pesa maana anatia kichefu chefu
@Edger-bn2mt
@Edger-bn2mt 25 күн бұрын
Hv kwann magufli hakuruhusu hyu mwguru awe wazr wa fedha
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv Ай бұрын
Tatizo ni cheti Cha mwigulu
@anastazialushika
@anastazialushika Ай бұрын
Tulia hongera sana dada uko vzr sana.
@sajurumassawe7431
@sajurumassawe7431 25 күн бұрын
kwa kweli kama Hawa ndio walisomea uchumi basi Tanzania tumeisha huyu hata mchunga ng'ombe anamshinda na kufikri huyu hafai kbs kuwa kiongozi ndio maana magu kamfukusa na ww unamrudisha angalia ss nn anafanya kama ujinga
@suleimanhemed9543
@suleimanhemed9543 26 күн бұрын
Hivi niwaulize tra, kwa nini mnakusanya kodi kutokana na mtaji wa mfanya biashara na sio faida ?
@alexvenas2699
@alexvenas2699 Ай бұрын
Huwa Kila nikimuona mwingulu naelewa kwanini Magufuri hakutaka kumtumia kwenye utawala wake , anakera sana aise.😢
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 Ай бұрын
efd kwani inashida gani
@catherinemzurikwao3265
@catherinemzurikwao3265 Ай бұрын
Hanaga akili huyo waziri
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA Ай бұрын
UMEJUAJE NDUGU?
@user-kx7ob5rx4p
@user-kx7ob5rx4p 28 күн бұрын
@@YOSHUAMWAMPETAwe un
@mussabuhe8881
@mussabuhe8881 28 күн бұрын
mwigulu kwani Tanzania Haina wasomi mpaka huyu jamaa mbona apo Amna kitu jamani uyo trati na trabu
@christopherbonifacekiputa8584
@christopherbonifacekiputa8584 Ай бұрын
Tulipe kodi wakati tunapeleka wapi wakati mazao yetu tunayaweka ndani!? Shubamitii waziri!!@ mfyuuuuu!! Maninaaaaaaa!!
@onesmomwakasege5215
@onesmomwakasege5215 Ай бұрын
Napendaga Sana mwigulu akikutana kwenye maswali na Dr tulia inakuwaga ni vita mulahaaaaaaa
@andrewIzdory-sk4cu
@andrewIzdory-sk4cu Ай бұрын
Mwigulu ni waziri mwenye roho ya kikatili sana kwa watanzania maskini. mfanyabiashara aliyejificha kwenye mgongo wa siasa.
@thomasmwakatobe8207
@thomasmwakatobe8207 Ай бұрын
Waziri wangu Mwigulu ukifanya hivyo utaleta njaa Tz hata wenzio waliona hivyo ndio maana wakakaa kimya..Kwanza kilimo chetu Bado tuko nyuma Sana maana mpaka Sasa tunategemea mvua hiki ni kilimo Cha kienyeji Sana at least tungefika kwenye kilimo Cha umwagiliaji Kwa asilimia 85 - 90 Kwa hatua hiyo angalau tungesemea Kodi ingeleta maana Sana.Mungu Bariki viongozi wetu.Amen
@leokamil6284
@leokamil6284 Ай бұрын
Yeye anaishi kila kitu bure mshahara mnono atakumbuka vipi wakulima maskini ambao hawana mbele wala nyuma.Jamaa kasahau katoka kwenye familia maskini. Kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa.Waziri huyo ni mbishi mbinafsi anajiona anajua na Elimu yake ya kuunga unga .Ndio maana mwendazake alimtema hajui ila anajifanya anajua Mbinafsi TRA si ni nyinyi mnakondamiza wananchi na ubinafsi wenu .
@user-jr3mg3ko6m
@user-jr3mg3ko6m Ай бұрын
Mwiguru kichomi Sana kwenye tozo arisema ambaye hataki akaishi Burundi hatufai hatakido
@catherinemzurikwao3265
@catherinemzurikwao3265 Ай бұрын
Tena ni kichomi kisicho na dawa
@ahmed-shakirmwamba4992
@ahmed-shakirmwamba4992 Ай бұрын
Mwigulu, Alisema
@user-ek7nu1qc8g
@user-ek7nu1qc8g 29 күн бұрын
Huyu jamaa 😢
@user-ml5tq8hj2x
@user-ml5tq8hj2x 28 күн бұрын
Kweli sijui mama alimrudishaje mwigulu jamani hii ni shida tunateseka sana vitu viko juu umaskini ni mkubwa hakuna unafuu wowote halafu leo wakuluma watozwe kupitia mashine ya efd ni aibu
@kayumbasosthenes3596
@kayumbasosthenes3596 17 күн бұрын
MWIGULU toka umekuwa navijisent umekuwa namambo yakiwak,unadhan wenzako hawatak kuish maisha bora eeh
@juliusntandu4302
@juliusntandu4302 Ай бұрын
Tatizo mtu aliyeshiba hawezi kusikia njaa ya mwenye njaaaa
@HalidMuhammad-gi9qy
@HalidMuhammad-gi9qy Ай бұрын
Jamani jamani mwigulu madaraka yanakulevya kupindukia acha ushenzi wako ni ubaya
@nestoryelastokafuku5270
@nestoryelastokafuku5270 Ай бұрын
Viongozi kama Hawa hawafai angetambua wakulima wanavyo hangaika asingesema hayooo yote.labda sjajua ana Semea wakulima gani..
@mosesfrancois752
@mosesfrancois752 Ай бұрын
Kama uchawi unafanya kazi huyu Mwigulu ni mchawi kweli, yani licha ya kuwajua wakulimwa wa Tanzania na hali zao kiuhalisia tena na ndugu zake wapo ,bado anataka kodi kwenye mikono ya mkulima ,kumanina alieturooga fundi
@kulwasamwel3602
@kulwasamwel3602 29 күн бұрын
Machine hio niyakukodi au kununua nielezee ilinipatefaida
@dignakanje4508
@dignakanje4508 Ай бұрын
Hivi kwann usiachie tu hicho kiti mweshimiwa ili maisha mengine yaendelee.Kwanza uhasira,unajibu kana kwamba wabunge hawajielewi,wakati ndio wananchi wamewachugua nakuwaamini.Kiukweli mweshimiwa waziri Huwa unatoa maneno makali sana hta wananchi tunaumia,.
@suleimanissa2089
@suleimanissa2089 Ай бұрын
Mh. Tulia big brain
@ayubumwakabana2137
@ayubumwakabana2137 Ай бұрын
Wanyiramba hoyeeeee , hongereni Kwa kumpa kura huyu mtu 😂😂
@ndayi7
@ndayi7 Ай бұрын
Watanzania tufikili kuhusu uzalishaji na myoyo wa uzalishaji..Mtasababisha njaa nchini.Wakulima nao ni Watu na wanafamilia kama ninyi..Tunategemea maono mema KUTOKA Kwa viongozi wetu.Mungu anawaona
@gracelukumaybarikiwasanara7114
@gracelukumaybarikiwasanara7114 Ай бұрын
Jmn wananchi tunateseka sana raisi muondoe huyu wazri muweke mwingine atakuchnganisha na wananchi
@bahatisaimon6019
@bahatisaimon6019 Ай бұрын
Kwani nchi nzima hakuna anaeweza hesabu tofaut na huyo Mwigulu wenu
@mashakaamosgabinza3893
@mashakaamosgabinza3893 Ай бұрын
Hii nchi tunaelekea wapi jamani hiyo formula ya EFD ni hewa hiyo siyo chanzo Cha mapato ni wizi wa bila kutumia siraha maisha ya watanzania ni mangumu sana fatilieni vzr
@calvinloveambroce842
@calvinloveambroce842 26 күн бұрын
Mbona sisi tuna mitaji ata million tano haifiki lakini tumepewa mashine hii ipoje
@ibrahimmawazo9229
@ibrahimmawazo9229 28 күн бұрын
Mwigu toka huwezi kazi ndo maana ulifukuzwa kazi na kipenzi chetu magufulu unalima au unasemasema tu
@piusjuma7384
@piusjuma7384 Ай бұрын
Wazr wa fedha na wakilimo hawafai ...wajiandae kufanya kazi nyingine
@user-ml5tq8hj2x
@user-ml5tq8hj2x 28 күн бұрын
Na kweli hatutamuelewa mama hii ikipita ya efd kwa wakulima hakika
@FaabiranOmar-x3u
@FaabiranOmar-x3u 28 күн бұрын
Tungeni sheria kwa usahihi msikandamize masikini kuweni makini
@user-uo9kk7kn9z
@user-uo9kk7kn9z Ай бұрын
Mbunge hongera mwigulu mvivu wa kufikiria atafte Kodi kwenye mabandari tu
@KelvinMtavangu-ow8yo
@KelvinMtavangu-ow8yo 28 күн бұрын
M. Mwaisongole upo vizuri. Hivi ndivyo hayati Baba wa Taifa J.K. Nyerere Alitetea wanyonge. Yawezekana tumejisahau?
@abubakaranwar337
@abubakaranwar337 26 күн бұрын
Wewe Kuma mwiguru mchumba zakayo umetuzoea
@joshuamwambene2874
@joshuamwambene2874 Ай бұрын
Mama Samia tunakupenda mama yetu tupe waziri mwingine wa fedha amekuchafua
@PartySekemi
@PartySekemi Ай бұрын
Hongera sana kijana msomi makini mh tulia mungu akupe maisha marefu
@josemalley1691
@josemalley1691 Ай бұрын
Tulia kiongozi wanguuu umemjibu vizuri
@sumayizengo-uc8eg
@sumayizengo-uc8eg Ай бұрын
Kama nchii imewashinda kuipanga bora mkasema mama awatoe ote aweke upya maana machine naukulima wp tupeni mbunga kama mulizozibana maifazi 2zilime
@barakambuzeyonja6935
@barakambuzeyonja6935 Ай бұрын
Jamaa anajikubali Ila katika uwezo mdogo wa kujibu nikikumbuka alivyotujibu asiyeweza kulipa tozo ahame sina hamu naye huyu jamaa hata mwenye elimu ya darasa la Saba asingitoa jibu la dharau hivyo. Madaraka na mchanga kwenye kiganja
@medsonulendo4221
@medsonulendo4221 29 күн бұрын
Wazir wa fedha mkulima watanzania nimasikin sana mh Bashe anapambana kuikwamua hii nchi kupitia kilimo waxir wa fedha anataka kumkwamisha ushaur wangu kwa Rais aliamgalie hilo kwa umakin
@AmbokileBukuku-hq2zk
@AmbokileBukuku-hq2zk 28 күн бұрын
Walima mwaka huu tusilime paka serekali ibadilishe Sheria yake na kama wataka tuone wabunge wakitoa Kodi
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Siyo aondoke kwenye wizara tu bali katika jimbo wamnyime kura tumwone kama ataweza kuchekelea ulipoondolewa kwenye uwaziri na Magufuli ulifiata na kuwa mnyonge kama mgonjwa. Umepewa tu unaona masikini waendelee kuwa masikini hoyo ni roho ya kimasikini hata kama unapesa lakini roho yako ya kutu kabisa.
@Garusahir
@Garusahir 27 күн бұрын
Huyuu sio mtanzania anakosaa hurumaa inaa onekanaa hanaa jamii inayo jihusisha na kilimo
@Ali.salimu
@Ali.salimu Ай бұрын
Mwaigulu. Hufai. Kabisa. Wewe. Ni. Mnyonyaji. Nakuchukia sana
@jumadinya3796
@jumadinya3796 28 күн бұрын
Jamani mbona kushiba kwenu kunafanya maisha yawemagumu sana kipindi hiki tangu Tanzania itawaliwe na J. K. NYERERE hatujawahi kuona utitiri wa makodi kama sasa wewe unasema wakulima wawe na mashene yanini au huu muridi wa mashine kuna mkono wa mtu jifikirie. Kwanza. Ukila ukishiba wewe fikiria watu. Wengine hawajala nyinyi kupelekwa na wapiga kura mume pata kiburi jieni kua watu watawachoka bora tujaribu tena chama kingine tuone hii ndio dawa yenu jeuri ya pesa imewajaa hamjali masikini pua hamwatetei wambunge kazi yenu ni kutetea watanzani zidi ya serekali futa tamko la mkulima kua awe na mashine
@jacksonbarnaba9088
@jacksonbarnaba9088 28 күн бұрын
Tunarudi kuke magufuli alikotutoa😢
@saadmohamed3186
@saadmohamed3186 Ай бұрын
Duuh wacha mvua inyeshe tuone panapovuja lei mkulima alipe kodi tena kwa Efd aisee na mvua nazo serikali ipo tayari kuwawezesha wananchi!! Kilimo cha kimasikini tena mvua sio za uhakika, huko vijijini hawaijui hata efd mashine!!
@bornifacecharles2
@bornifacecharles2 20 күн бұрын
Akitoka Sami atake fata urais ni Tulia
@yahayaramadhani6418
@yahayaramadhani6418 25 күн бұрын
Mwigulu nikatiri sana, hana huruma
@boniventurehussein7276
@boniventurehussein7276 25 күн бұрын
Mwigulu 😢 yaan wewe ningekuwa Rais walahi hata ubaloz nyumba kumi hupati
@user-eb3hf1lm9e
@user-eb3hf1lm9e Ай бұрын
Mm sijui huyu mwigulu ninan alimpa hiyo nafasi nyeti km hii mtu mjinga
@user-kx7ob5rx4p
@user-kx7ob5rx4p 28 күн бұрын
Aluyempa si huyu unayemwita mama
@user-zg1pu1gl2d
@user-zg1pu1gl2d 29 күн бұрын
Me na Lima kwajili ya chakula na kusaidia familia yangu kwamahitaji yote , afu Pembejeo ni gharama bado unaniambie nilipe kodi kweli ? Hiyo haiwezekani embu sikilizeni point anazoongea huyo mbunge, buni vyanzo vingine vya Mapato mtaka kutuua wakulima wadogo ety .
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 Ай бұрын
Tunawata wabunge kama hao wajae bungeni sio wabunge kula posho walale
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 Ай бұрын
Kaka mwigurrr.pole ndugu.MIMI NI MYAIRAMBA,EFD MIMI MKILIMA HAPA SHELUI UTAKUWA UNANIONEA TU SASA.DUH!
@user-kx7ob5rx4p
@user-kx7ob5rx4p 28 күн бұрын
Hawa wanataka ya kenya
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 Ай бұрын
Huwa napenda sana vindi vya bunge,,wanapeana za uso kwa uso..
@user-xc6ls9xn8h
@user-xc6ls9xn8h Ай бұрын
Mwigulu hewa tupu hafai hafai kabisa mjanja mjanja sana
@AndrewMtweve-pm7gl
@AndrewMtweve-pm7gl Ай бұрын
Mwigulu kwenye hii nchi ni sumu
@simongwandu7392
@simongwandu7392 Ай бұрын
Wabunge wajiangalie kuwagusa wakulima itafika mtaiangamiza ccm Maana kuwagusa wakulima ni mtaji mzuri sana kwa wapinzani
@judithmwamukinga4448
@judithmwamukinga4448 Ай бұрын
Tunaomba mh Raisi tupe waziri wa Fedha mwingine sijui kama huyu in Mungu anakiburi kupita kiasi
@jameshamzatagalile3146
@jameshamzatagalile3146 Ай бұрын
sikuzote ukitaka kuiba mweke mwizi... ili akupe njia ya kuiba
@deogratiusmaila676
@deogratiusmaila676 Ай бұрын
Huyu sio mbunge wa CCM
@antonyndinga8890
@antonyndinga8890 Ай бұрын
Ni kweli, kinachojadiliwa bungeni c ndicho kinafanyika TRA ukiuliza unaambiwa hizo ni siasa tuu
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 Ай бұрын
Mwigulu ni jipu. Katika umri wangu nikiwa nafuatilia siasa sijaona kuona waziri wa fedha bogus kama huyu. Kwa ufupi ameishiwa mawazo. Sio mtu sahihi katika wizara hii.
@catherinemzurikwao3265
@catherinemzurikwao3265 Ай бұрын
Kwa kweli hata mimi sijawahi kumwelewa, halafu hua anajiona ana akili kuliko watanzania wote! Very bogus indeed
@NanaMaembe
@NanaMaembe 2 күн бұрын
UYU MWIGULU KWANINI MAMA HASIMTUMBUE? MAANA ANATUUMIZA SANA WA TZ
@user-wc5iq1jt2t
@user-wc5iq1jt2t 29 күн бұрын
Mwambieni huyooo
@maswamills3161
@maswamills3161 Ай бұрын
Ni uonevu mno.
@user-je3oq5yo1e
@user-je3oq5yo1e Ай бұрын
Mbunge uliyesema mawaziri wavivu kufikili uko sahihi kabisa sababu asilimia 75 %Tanzania ni wakulima wadogo hakika tufike wakati tuseme huko juu viongozi mnatuboa
@AbuuHurayra-el1uh
@AbuuHurayra-el1uh Ай бұрын
Mama huyu fukuza kazi kabisa mwigulu mfukuze kazi
@Muuzambuzi
@Muuzambuzi Ай бұрын
Mwinguru anazingua kwakweri mama tusaidie
@hasaniyusufu1171
@hasaniyusufu1171 Ай бұрын
Jinga sana Hilo jamaa
@mbulachujoseph2596
@mbulachujoseph2596 Ай бұрын
Watanzania tunaona
@SaluMaige-sc8bm
@SaluMaige-sc8bm Ай бұрын
Mwigulu jangiri
@khalifayakubu3558
@khalifayakubu3558 Ай бұрын
Maviiiiiiii
@user-vr6lu8tq1n
@user-vr6lu8tq1n 18 күн бұрын
Kwanini wanamn'gan'ngania
@user-zm7kk1tr5l
@user-zm7kk1tr5l 2 күн бұрын
Mkulima anasubiri mazao kwa mwaka mzima umukate kodi hebu mwiguru wacha kijizima data hebu jamani kumbukeni kunakufa kwamugu utakweda kusema nini jamani hebu mwiguru kuwa na hofu ya mungu hata kidogo jamani khaa unafikiri sisi wanchi tunapata wapi pesa kila sehebu unatukata kodi khaa tumechoka
@AmedeusMbanda-gh4rj
@AmedeusMbanda-gh4rj Ай бұрын
Alikuwa halolote wazri wafeza 😂
@edgaredward3490
@edgaredward3490 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂halotel ipi
@MasoudyMichael-ox7xl
@MasoudyMichael-ox7xl Ай бұрын
Na raisi wenu hatumpi kura kwa staili Mana watu anaowaweka Ni wanyonyaji kudadeki
@daviddonatus8121
@daviddonatus8121 Ай бұрын
Huyu jamaa tokea ameteukiwa kichwani kwake hakuna kitu kabisa anajua mambo ya simba na yanga
I Can't Believe We Did This...
00:38
Stokes Twins
Рет қаралды 130 МЛН
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 24 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 74 МЛН
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 20 МЛН
I Can't Believe We Did This...
00:38
Stokes Twins
Рет қаралды 130 МЛН